Yaliyosemwa na msigwa kuhusu chadema yameanza kujitokeza kama ni paredi ni lile tamko la kusema hey! Mguu sawa! Na hii ni baada ya kuwa mguu upande kwa muda ili kusubiri mgeni afike kukagua gwaride .
@hasani5655 күн бұрын
Lissu can stand alone as Independent Candidate na atafanya vizuri mno .
@MagdalenaBeenad5 күн бұрын
Acha uongo acha bangi kakataliwa na nani pumbavu
@johnsinyinza74509 күн бұрын
Akitoka lisuu chadema kwishiliya mbali.
@eliakazilo60784 күн бұрын
Mfupa alioshindwa fisi mbwa hauwezi. Kwani chadema inapata pesa wapii? Pesa ni shidaa..ukiuliza chadema maswala ya pesaa ,utatimuliwaa
@NOELKISONGA9 күн бұрын
Hizo ni figisu za Mbowe lakini ipo siku Taifa litajua maksudi ya Mungu juu Lissu kwenye Taifa hili
@abdalahgunda13199 күн бұрын
Lisu ni mvumikivu kuliko mwana siasa yoyote ktk taifa letu km kweli basi mbowe ndio aondeke sio lisu sababu lisu ni mwana siasa muekemishaji wa siasa ktk taifa hakuna wa kufikia hata wenye PhD nchini mbali kabisa na lisu elemu ktk siasa nchini kina mbowe ni wanafunzi wa lisu ktk sisa wote kina mrema wanapata madini toka kwa lisu watanzania wakatae wakubuli Sasa umtue lisu ktk chadema unaua chadema
@ANGELUSLIJUJA8 күн бұрын
MBOWE KAARIBU SANA TWASILA YA CHAMA TUMEONGEA SANA SANA KUUSU KULEKEBISHA CHAMA AMEKUWA AELEWI KABISA KUNA TATIZO KUBWA NDANI YA CHAMA KITAKUFA TALATIBU WATU KAMA LISU NI LULU KATIKA CHAMA MBOWE AKISHAULIWA ANAYAPUUZA SASA WANACHAMA AWAYAJUI AYA MTATUMIA NGUVU KUBWA ALAFU NGUVU ZOTE ZINAFELI HII APO SAWA NILIWAI SEMA 2018 CHADEMA ISIPO JITADHIMINI KITAKUFA VIBAYA
@JackKanyigo6 күн бұрын
Taharifa ya zamani acha ujinga
@FortunatusPhilimon6 күн бұрын
Aisee
@AkwilineKawishe-t3d9 күн бұрын
Lisu hawezi kubama Chadema.Jaribuni kumuelewa.Kile kichwa hakiwezi kuyumba.
@SubiranTimo7 күн бұрын
Mlikuwa wapi kusema mqeee ccm mna mambo mnahangaika sana
@grasslugala98608 күн бұрын
CCM kweli mnatapatapa upotosha umma chadema haina mambo kama hayo kwa viongozi wake haipo iyo
@HuseniMsumba9 күн бұрын
DUUU!? KWELI UCHAWI UPO😂
@JamesMsemwa-b2t9 күн бұрын
Hapo anafaa lissu ❤❤❤❤
@michaelmlyuka60327 күн бұрын
Lema M/kiti Kanda ya Kaskazini amaonyesha kuwa kitu kinataka kukitafuna Chadema (kuna Mdudu ameingia Chamani) Mbunge Msukuma alionyesha tuhuma ya Viongozi wetu kupokea fedha toka upande ule. Akasema kama yupo wa kubisha yupo tayari kutoa ushahidi. Chadema tupo?
@AnjelicaBayyone9 күн бұрын
Waongo sana acheni upuuzi wenu wa ccm mtahangaika ssna
@KenedyThabiti7 күн бұрын
Sio kweli
@PrinceHendry-hp8vv7 күн бұрын
Sio kweliiiiiii
@abdulmsuya85427 күн бұрын
Duu, hatari chadema!!!
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv9 күн бұрын
CHADEMA mumekuja kuwa wapuuzi mwishoni tumewekeza akili zetu huko munakuja kuleta upuuzi mwishoni damu zilizo mwagika muta zilipa
@WilbertManjonda9 күн бұрын
Nani alimwaga damu hizo? Unaona bora aliyomwaga damu yenu kuliko aliyemwagwa?
@nicolauslema889 күн бұрын
Elimu ndogo ndio shida kubwa Chadema.
@williammwamalanga10659 күн бұрын
Mmetukera sana vipi mbowe umbona unatumia hasira
@atanasmkama49709 күн бұрын
Hakuna channel siamn km U tube siku hz
@blues4life6338 күн бұрын
Aende ata Kwa Maccm tutamfata
@AbrahamJacob-i7o9 күн бұрын
Huyo lisu anataka kuhama chama mwacheni aende
@blues4life6338 күн бұрын
Kenge ujui maisha
@jafarmlawa96277 күн бұрын
Mmesha azwa kuparulana wenyewekwa wenyewee
@Omarimakuka7 күн бұрын
Chama cha wachaga wengine wanatoka wapi?😅😅😅
@ausonjustinian46737 күн бұрын
Lisu tutamfata hats aende wapi❤
@peterhassan13729 күн бұрын
Hilo likitokea ni ushindi Kwa ccm
@Revelation1412.7 күн бұрын
LISU AANZISHE CHAMA CHAKE MIMI NAJIUNGA 😊
@NOELKISONGA9 күн бұрын
Mbowe hafai kwenye chama hicho hata bure
@NicodemusPatrice-t4h9 күн бұрын
Chadema ukwel unaumaaa
@bahatielias64438 күн бұрын
Hii ni ya kupikwa pumbavu ccm
@ajiaally32698 күн бұрын
Wachaga kwa wachaga wanasaidiana
@georgempogomi73299 күн бұрын
Yesu alisema fanyeni hukumu za haki acheni kabisa hisia za uovu wa CCM Chadema ni haki na kweli CCM wasituguse kwa rushwa na uovu wao
@kinanaomar5 күн бұрын
Lisu safari hii utakoma ubishi wewe mwenyewe na ni lazima ikurambe
@hamadhamud-n4j9 күн бұрын
Aliye zoea kunyonga vya kuchinja aviwezi.kazoea kuisema ccm.ambao ni wavumilivu.sasa chadema uvumilivu umewashinda
@HamzaHeri7 күн бұрын
CHADEMA WAFANYA BUSARA KUKITIMUWA HICHO KICHECHE CHAO HUKUNA MTANZANIA MWENYE BUSARA ANNAWEZA KUMPA KURA YAKE KUNA VISASI AKIFAI
@simonlabia38777 күн бұрын
Mbona mlishidwa kumuua?
@DanielMahinda7 күн бұрын
Lisu ndochadema wengine niwezitu
@DicksonAmbilikile9 күн бұрын
Hamuami ipo siku mtaamini atakapo hama
@mussakivura58919 күн бұрын
Haiko sawa
@martinkisha63078 күн бұрын
CCM wewe mumawaengua kuwaharibu chadema siyo kuzuia madai wa wananchi ya haki ya uchaguzi
@MasaiDaniel8 күн бұрын
Mzee kayatimba
@gidongailo71749 күн бұрын
Imemkataa Lisau?!?!? 😂😂😂😂
@ceciliamagalabajimmy43919 күн бұрын
Wanataka wamtibue Lissu ili uchaguzi uwe mserereko kwa ccm.wananchi kuweni macho. Fedha chafu zilikuwepo kweli na akina Msigwa wameshindwa kuhimili, kupishana kura 3 ndio kukufanye uhame!! Lissu hakupigwa risasi na bado kavumilia. Mwanasheria huyu Mungu ana makusudi yake.
@MarwaKipilipili9 күн бұрын
Lisu unakuweje tena mbona tunakutegemea sana au umelambishwa asali tiyali unatuangusha watanzania.
@grasslugala98608 күн бұрын
Watanzania co wajinga kama mnavyo dhani
@RichardLyamuya9 күн бұрын
Tundu Lisu kumbe ni kibaraka
@KeiFerouz-fn9oc7 күн бұрын
Kuma wewe
@zaph2088 күн бұрын
👎🏽You’re simply nuts !!
@leodgardotmar71987 күн бұрын
Mbowe you are a crook
@ObadiahMutambo9 күн бұрын
𝑪𝒄𝒎 𝒘𝒂𝒎𝒆𝒌𝒂𝒎𝒂𝒕𝒘𝒂 ,,,𝒄𝒉𝒂𝒅𝒆𝒎𝒂 𝒎𝒎𝒆𝒘𝒂𝒔𝒉𝒊𝒌𝒂 𝒔𝒆𝒉𝒆𝒎 𝒎𝒃𝒂𝒚𝒂
@michaelmlyuka60327 күн бұрын
Lema M/kiti Kanda ya Kaskazini amaonyesha kuwa kitu kinataka kukitafuna Chadema (kuna Mdudu ameingia Chamani) Mbunge Msukuma alionyesha tuhuma ya Viongozi wetu kupokea fedha toka upande ule. Akasema kama yupo wa kubisha yupo tayari kutoa ushahidi. Chadema tupo?