BREAKING NEWS: Msimamo wa CLOUDS baada ya Makonda kugoma kuomba msamaha

  Рет қаралды 228,815

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 174
@edusarah4377
@edusarah4377 7 жыл бұрын
moyo wenye upendo hauhesabu makosa. Hongera Ruge Mungu akuongezee busara zaidi na baraka ktk shughuli zako
@dainesszuberyguii6040
@dainesszuberyguii6040 7 жыл бұрын
Ruge nakukubali sanaa wanaume wote wangekuwa km wewe tungekuwa mbali sanaa haunaga mambo ya kikekike big up!Ruge namungu akufanyie wepesi katika kazi zakoo💪💪
@jumannemgenda7608
@jumannemgenda7608 7 жыл бұрын
U know nothing
@jichomtandaoni8281
@jichomtandaoni8281 7 жыл бұрын
kweli u mpumbavu, umejitukana tayari eti mambo ya kikekike, shenzi kweliiii
@jumannemgenda7608
@jumannemgenda7608 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@jumannemgenda7608
@jumannemgenda7608 7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@jumannemgenda7608
@jumannemgenda7608 7 жыл бұрын
hahahaha
@dawillygene
@dawillygene 7 жыл бұрын
Hongera Br Ruge, nimekupenda bure. maaana nachukia sana watu wa kinyongo. Br umevuka na moyo mweupe fanya kazi usiangalie nyuma. narudia kusema nimekupenda buuuuuure. uhamuzi wa kusamehe ni wako na kusamehe ni ya Mungu, samehe tu baba mara saba sabini
@nicholausraphaelkijanampol7186
@nicholausraphaelkijanampol7186 7 жыл бұрын
Mungu anawaona ipo Tu siku yake ata asipoomba msamaha Hapa Duniani Ataomba atakapokufa uko atakako kwenda Me sipajui. Viva Nape Nauye Shujaa wetu💜🙌
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 11 ай бұрын
Shwaaaaaa donee
@tendatanzania8358
@tendatanzania8358 7 жыл бұрын
ITV DAIMA ndicho chombo pekee cha habar Kilicho bora zaidi Tanzania na central and east Africa. The first ever superbrand ITV. CLOUDS MEDIA hamna kitu kama nimipango yenu ya siri ili kuisha ITV na mshindwe kwa jina la YESU kristo.
@zeblufingo8361
@zeblufingo8361 7 жыл бұрын
usilitaje jina la Bwana Mungu wako Bure, Maana Bwana hatamhesabia kuwa Hana Hatia Mtu alitajaye jina lake bureeeeeeeeeeeeee!Kutoka.20:7
@idrisargevar4557
@idrisargevar4557 7 жыл бұрын
Andrew John ndo akili yako ilipoishia hapo😂😂
@rehemaahmed1984
@rehemaahmed1984 7 жыл бұрын
you are bogus of the year
@thobiassajilo8249
@thobiassajilo8249 7 жыл бұрын
Hongera sana. Mungu akutangulie kwa kila lililo jema kwan malumbano hayana mana. Kikubwa ni kupiga kazi
@scholasticasamamba3774
@scholasticasamamba3774 7 жыл бұрын
mwanangu Ruge unajielewa saaana..mungu aendelee kukupa uelewa hivo hivo..mungu akibariki saana.
@tracyjustice1600
@tracyjustice1600 7 жыл бұрын
Ruge you stood up your ground, safi sana your unshakable maana wewe ndio umekosewa na kiuungwana lazima uombwe msamahaa
@zuhuraabdurlazack8008
@zuhuraabdurlazack8008 7 жыл бұрын
mungu kakujaalia sana ruge big up genius wangu
@nicksanga4159
@nicksanga4159 7 жыл бұрын
Ruge Safi sana umeongea point za msingi Tanzania kwanza!!
@kingndinyo9764
@kingndinyo9764 7 жыл бұрын
All the best IPP MEDIA ITV💪 ....
@askoftv1632
@askoftv1632 7 жыл бұрын
na hata vitabu vitakatifu vinaelekeza na kusisitiza msahama na kusameheana, so it is fine and ok kwa kile kilichofanyika
@zuhuraally171
@zuhuraally171 7 жыл бұрын
Hongera ruge unabusara sana
@abrahammtegeta635
@abrahammtegeta635 7 жыл бұрын
Ruge nakupigia salute.
@hajiabdallah4135
@hajiabdallah4135 7 жыл бұрын
Kk Ruge sidhan km huo msamaa umetoka rohon bali ni shinikizo ktk sehem flan tena kwa manufaa flan.All in all umeniangusha the way clouds mlivyodhalilishw na mguso waloupata w2 pa1 na sekta ya habar mpk wakakubaliana kutotangaza wala kupublish habar za kiongoz flan alowachafua af Leo unakuj kukubal kirahis rahis namna hii! yan ni km usaliti
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
Big up ruge huo ndio uwanaume na clouds itabakia kuwa media bora Tanzania achana na hawa mbwa wanao comment ujinga hapa
@francissabatel3324
@francissabatel3324 7 жыл бұрын
Hassanova junior mtazamo wangu viongozi wetu wa sasa wanajiona wapo juu kwa kila Kitu. weredi kiukweli umepungua sana kila kukicha maamuzi ya AMANI Tu kwa wananchi. vyombo vya habari tunawategemea sana epukeni hizi siasa. kuomba radhi Ni ugwana sana.
@furahachuma9039
@furahachuma9039 7 жыл бұрын
Hassanova junior Ungeondoa neno "hawa mbwa wanaocomment hapa" ujumbe wako ungekuwa mzuri sana.
@jichomtandaoni8281
@jichomtandaoni8281 7 жыл бұрын
kuita watu mbwa kwa sababu maoni yenu hayafanani ni kuonyesha kichwa chako kiko tupu
@biyamungu1021
@biyamungu1021 7 жыл бұрын
hongera kwa kazi nzr busara hekima muhimu zaidi asnte ruge na grop zima
@charlesmagere9020
@charlesmagere9020 7 жыл бұрын
Mungu akuzishie maisha marefu brother
@barikiarastus8770
@barikiarastus8770 7 жыл бұрын
Hekima na Busara Mungu alizokupa zitakusaidia Sana, ruge.
@louser9473
@louser9473 7 жыл бұрын
Safi sana anko ruge, najifunza mengi sana kupitia busara ulizojaliwa na mungu
@adamkatet274
@adamkatet274 7 жыл бұрын
Upo juu Ruge
@daudimwidimakihanda5386
@daudimwidimakihanda5386 7 жыл бұрын
Makonda muda wake utapita na tutamsahau ata Yesu aliishi miaka 30 tu, kujifanya dunia ni yako na madaraka ni yako ni Ujuha
@abdallahrenatus6677
@abdallahrenatus6677 7 жыл бұрын
ITV super brand
@kissatuagusto2246
@kissatuagusto2246 7 жыл бұрын
.....nilikuwa nakuona wa maana Sana....unavisimamo vya zamani Sana,mbona wamekuheshimu Sana...clouds may decline soon...!!
@barikiarastus8770
@barikiarastus8770 7 жыл бұрын
Mungu akusimamie katika kazi zako.
@selemanshaban194
@selemanshaban194 7 жыл бұрын
Safi uncle ruge mwanaume rijali ameumbwa na moyo wa kusamehe
@lyaruusiayako2642
@lyaruusiayako2642 7 жыл бұрын
Braza Ruge sikuwahi kukusikiliza kabla ila katika hili nimeadmire jinsi unavyoreason. The way u stood firm na msimamo wako n u put u differnces aside for the public interests. Niamini umejijengea heshima kubwa sana tz na Mbinguni
@trendtv1565
@trendtv1565 7 жыл бұрын
lyaruu Sia yako what was the public interest on this
@paulsasuma8713
@paulsasuma8713 7 жыл бұрын
Yes
@paulsasuma8713
@paulsasuma8713 7 жыл бұрын
Yes
@lyaruusiayako2642
@lyaruusiayako2642 7 жыл бұрын
Public has a right to Information, putin aside their beef for public to enjoy that right ni Uzalendo
@lyaruusiayako2642
@lyaruusiayako2642 7 жыл бұрын
Kila mtu anaflaws zake naamini hata wewe simkamilifu 100%. Siwezi kuongelea kuhusu mambo yake mengine Ila katika hili ameonesha hekima kubwa sana
@fleetcare9211
@fleetcare9211 7 жыл бұрын
safi mpatane bhana
@revocatussanka185
@revocatussanka185 7 жыл бұрын
Kimsingi ruge akiwa mwakilishi wa Clouds media huku akijua clouds ni mwanachama wa chama cha wanahabari ambacho ndiyo waliomfungia Bashite angetupa mpira kwa chama hicho. Hapa yy kajifanya ndiyo chombo . Anazua mgogoro au kwa kutojijua au makusudi. Hii ndiyo nchi ya ajabu sana.
@paulsasuma8713
@paulsasuma8713 7 жыл бұрын
Duuh kikubwa Bifu niliishe Mambo yaende sawa
@mohammedmhina3973
@mohammedmhina3973 11 ай бұрын
Kiko wap
@nassorlido9380
@nassorlido9380 7 жыл бұрын
Tanzania Tanzania dah acha nikae kimya lkn inauma sana
@fabiansam8157
@fabiansam8157 7 жыл бұрын
hii kali hadi wzr fuln alikos kaz coz hii issue daa nyinyi noma san
@johanesmwombeki6462
@johanesmwombeki6462 7 жыл бұрын
Ila RUGE unabusala sana ongela na naombe MUNGU anifanye kuwa kama wewe👍👍👍
@tendatanzania8358
@tendatanzania8358 7 жыл бұрын
CLOUDS MEDIA. nilikuwa nawaona wana mana sana kumbe hamna kitu hapa niwa puuzi wakubwa. Mnaendesha media yenu kisiasa tena kwa mpango ya siri ili kuendelea kuficha madhaifu makubwa yanayo tendwa na baadhi ya viongozi Eti kwa kuwa raisi kasema.
@ladislausriwa4315
@ladislausriwa4315 7 жыл бұрын
Meena ninakujua una uelewa mzuri tu, lakini leo umejitoa uelewa kwa ajili ya tajiri unayemtumikia sasa. Katika taratibu za kawaida Mbowe akishakuteua wewe kuwa mhariri wa Tanzania Daima ,je waandishi wa gazeti hilo wana mamlaka ya kukuambia uombe tena kazi hiyo? Kama siyo Mh Rais ameshamaliza tatizo la Ruge na Makonda wewe akili ya kumtaka Makonda aombe radhi umeitoa wapi? Big up Ruge wenye akili tunakuelewa, Makonda keep it up. Rais ameshamaliza , mmeshamalizana na Ruge, kina meena wasubiri ili itokee kwao wapate KIKI. Ningekushangaa Rais ameshasema wengine wanatafuta stori. Kesho watoke na stori ifuatayo, Makonda ana Kiburi. Kwa Clouds media big up mna Personnel wenye uelewa na weledi
@DOCTAKIWIA
@DOCTAKIWIA 7 жыл бұрын
Mungu nimwema tu
@omarysalum5681
@omarysalum5681 7 жыл бұрын
Urafiki kwenye kazi wekeni kando kazi kwanza mambo mengine badae
@patrickmbogo7805
@patrickmbogo7805 7 жыл бұрын
Siku zote majuto huja badae sana,
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 7 жыл бұрын
Nchi haina sheria,bashite alivunja sheria Alihatarisha maisha ya watu. Mwenye nguvu mpishe. Maendeleo mtayaota na kuyasikia redioni
@tendatanzania8358
@tendatanzania8358 7 жыл бұрын
Hamna msimamo hata kidogo wasaliti. Mnakumbuka shuka asubui.. Eti masirahi ya nchi masirahi yalikuwepo kipindi cha nyerere bhana.
@Tiffany340
@Tiffany340 7 жыл бұрын
safii ruge..
@MrMPUTO
@MrMPUTO 7 жыл бұрын
ni uboya tu hlo fala linazidi kuonesha utaahira wake endeleeni tena kulitangaza mm ntajifunza kihindi niangalie Chanel za kihindi
@kubwajinga5019
@kubwajinga5019 7 жыл бұрын
Tunaomba sana siku akija studio za clouds akabaka mtangazaji msije kulalamika na kusema Tusaidieni nakumbuka ruge alilalamika sana kuwa jamaa aliwaingilia akija tena akambaka mtu tusisikie mkiweka press na madudu gani mukae kimya na akija na wanajeshi akimbaka mtangazji mukae kimya kabisaaa
@paulsasuma8713
@paulsasuma8713 7 жыл бұрын
Hahaha! llll Kubwa Jinga duuh sina mbavu
@ngoshacharles4374
@ngoshacharles4374 7 жыл бұрын
sawa umeeleweka kaz kwao TEF wataendeleza mgomo au lah
@mamysalem8791
@mamysalem8791 7 жыл бұрын
safi sana ruge unajitambua sana hongera sana
@hamissrajabu6730
@hamissrajabu6730 7 жыл бұрын
Unafiki wa ruge nawa mbowe hakuna tofauti mbowe naealitumbia lowasa fisadi papa kesho yake akasema lowasa nimtu safi dhambi hii labda asubili siku ya hukumu
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 жыл бұрын
Mimi nimekuelewa ruge na unajua nn unafanya hongera kwa busara baba
@harrysonelihuruma8303
@harrysonelihuruma8303 7 жыл бұрын
Media ya Tanzania imeingiliwa na Siasa
@josephfelix4029
@josephfelix4029 7 жыл бұрын
big up brother
@niwaelymjema3824
@niwaelymjema3824 7 жыл бұрын
Nilichojua ruge anataka kunyenyekewa kama mungu
@claysimba660
@claysimba660 7 жыл бұрын
mwenye nguvu muite POWER.....
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 7 жыл бұрын
this true man!!
@shadrackadrew6146
@shadrackadrew6146 7 жыл бұрын
tatizo uelewa mdogo
@paulsasuma8713
@paulsasuma8713 7 жыл бұрын
Ruge uko Sawa
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 7 жыл бұрын
Hamna lolote ndio faida ya kutumika jamaa anasema alikuja kucheki km kuna sembe
@NN-wi6sm
@NN-wi6sm 6 жыл бұрын
Ruge anajifza kwako amefeli kiakili we mnafiki wauwaji wamaendeleo ya wasani mpaka viongozi
@Tiffany340
@Tiffany340 6 жыл бұрын
Makonda ni sawa na maji kuleta vita nae sawa nakujiua na kiu tu.
@sultanmm7722
@sultanmm7722 7 жыл бұрын
kama ulitaka muitwe wawili kwanza.mbona mwanzono naww ukumuita makonda lafiki yako ukomkosoa mkiwa.wawili ulikimbilia kwenye midia
@katelengumasolwa571
@katelengumasolwa571 7 жыл бұрын
Ruge unatumiea na mafisadi kama Lawsir
@birianination7097
@birianination7097 5 күн бұрын
Marehemu alikua mwamba,
@ramadhanimatimbwa4635
@ramadhanimatimbwa4635 7 жыл бұрын
ukisikia mtu anasema siwezi kuomba radhi yupo juu ya Shelia
@jumannemgenda7608
@jumannemgenda7608 7 жыл бұрын
WeWe unawanyanyasa wasanii wacha nawe unyanyaswe kila mtu anajdai na sector yake
@suzyjames4968
@suzyjames4968 7 жыл бұрын
asante
@Msonjo
@Msonjo 7 жыл бұрын
whya kwa sifa hhh anajiona mungu mtu
@palesyosilingo6386
@palesyosilingo6386 7 жыл бұрын
Kulewa madaraka ndio matatizo
@mdachibakari7317
@mdachibakari7317 7 жыл бұрын
Hivi Raila hakufundishwa kuiba kura na rafiki yake wa ccm
@suleymandachi5596
@suleymandachi5596 7 жыл бұрын
mdachi Bakari wewe ni chizi,,ndugu yenu lowasa kaenda kijipendekeza kwa kenyata hata ati odinga rafiki wa magufuri,,mbona hamsifii nkurunzinza,.. hakuna vyama vya upinzani Afrika mashariki..ila kunavyama vya uroho wa madaraka,,kisha muibe..jajayenu Mungu ataiziwia hamfiki ikulu ng'ooo
@atheistblood8568
@atheistblood8568 7 жыл бұрын
daah...aya bana yetu macho.
@mathewchuwa3057
@mathewchuwa3057 7 жыл бұрын
aisee ruge unaakili ile laaana.......kama ni wahenga wanasemaga iviii..... Funika kombe mwanaharamu apite.
@sharifa2274
@sharifa2274 7 жыл бұрын
Nivizuri sana kusameheana hakuna mkamilifu
@sharifa2274
@sharifa2274 7 жыл бұрын
Fanyeni kazi kwa ushirikiano
@omarawadh8421
@omarawadh8421 7 жыл бұрын
umeona eehh...
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 6 жыл бұрын
HUNA JIPYA KIAZI WEWE,UNA ROHOMBAYA KULIKO SHETANI,
@kenyomarion5605
@kenyomarion5605 7 жыл бұрын
Ruge una akili mingi sana...
@makasara6532
@makasara6532 7 жыл бұрын
kama ushawah kuona wrong turn ndio hii
@michaelcanisius1615
@michaelcanisius1615 6 жыл бұрын
Haya ni mauza unga yana tusumbua...makonda chapa kazi achana na hayo mauza ungaaa puumbafu kabisa
@mwelachris1404
@mwelachris1404 7 жыл бұрын
Daaaa
@ElysherJoh-zr6pt
@ElysherJoh-zr6pt Ай бұрын
2024 anyone here?
@nesto_automobiles4608
@nesto_automobiles4608 7 жыл бұрын
adhabu aliyopewa amejifunza isitoshe mheshimiwa rais ametoa wito ndio mkuu wa nchi
@alphoncegeorge7382
@alphoncegeorge7382 7 жыл бұрын
hii media ya private kwa nn isifutwe tu
@fiderismgina160
@fiderismgina160 6 жыл бұрын
luge unako ipeleka kilauz namigogolo inayoendelea unakoelekey unaipoteza mana kila kukicha mala nyimbo azchezwi baazi yawasani mala mukuwamukowa asitangazwe kituwo chochote wekama nani
@sheilatezura5652
@sheilatezura5652 7 жыл бұрын
tatizo ukikuza Jambo dogo ukalifanya kubwa.
@stephanothomas3585
@stephanothomas3585 7 жыл бұрын
Sasa waandishi wa WABARI make sasa kupgwa makofi nakutukanwa na wakuu wamikoa maDC nawakulugenz. watapga kwakua watafuatwa na viongoz wenu wa JUKWAA LA WAHALILI. wayamalize km walivofanya Leo.
@omarawadh8421
@omarawadh8421 7 жыл бұрын
ni shida kwa kweli
@tonynuru435
@tonynuru435 7 жыл бұрын
Rc Makonda endeley kukimbiza na kubabuwa wabangu bangu kowards kama hawooo ...
@jumannemgenda7608
@jumannemgenda7608 7 жыл бұрын
Woyooooooh
@zeblufingo8361
@zeblufingo8361 7 жыл бұрын
umekomaa Ruge wapo waliokasirika na kupatanishwa kwenu kwasababu walikuwa manufaa nyuma ya ugomvi wenu. Najua wamenuna kabisa kabisa. Enyi wambea mlioingilia ugomvi wa watu mnaona kiherehere chenu? Wenzenu wamepatana na ninyi mtapatanishwa na nani kama sio aibu yenu.Mkome kuingilia ugomvi wa watu.Kimewauma mno!Tafuta kiki nawe upatanishwe na rais uandike historia mpya!
@omarymwigula5479
@omarymwigula5479 7 жыл бұрын
Nimekuelewa meshack
@wilonjahatua2067
@wilonjahatua2067 7 жыл бұрын
Dahh kwaiyo aibu ya nape?????
@andrewnyambega5590
@andrewnyambega5590 7 жыл бұрын
hiyo inaitwa kua uyaone
@saifalrajhi5001
@saifalrajhi5001 7 жыл бұрын
Nna hamu kuiona video ya Mchungaji
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 7 жыл бұрын
likoap lile libib kimbimbi😆na bishop mizee mizm ovyo ,,
@mamafranjovlog72
@mamafranjovlog72 7 жыл бұрын
Rosemary Benjamin karibuni kwenye chaneli yangu kulata habari za ujerumani . maisha . schoraship, bonyeza picha yangu itakuleta kwenye chaneli yangu au waweza nitafuta kwa jina hilihili la mama franjo vlogs .msisahau kusubscribe .
@agneschilale4357
@agneschilale4357 7 жыл бұрын
Mama Franjo VLOGS
@amriabubakar9099
@amriabubakar9099 7 жыл бұрын
mambo yakiuweledi
@makwega0340
@makwega0340 7 жыл бұрын
Bora yesheee!
@kajombaremeloog3415
@kajombaremeloog3415 7 жыл бұрын
Msimamo uwehuo
@diradamilo9878
@diradamilo9878 7 жыл бұрын
Yote yana mwisho
@nyamizikhamisi8327
@nyamizikhamisi8327 7 жыл бұрын
hamkupima mkojo?
@nkatakulimamkuwa4872
@nkatakulimamkuwa4872 7 жыл бұрын
yaan kuna watu wengine wakipewa uongoz au ukuu wa mkoa wanakuwa kama mungu watu hawajui kuwa hiyo ni ajira tu
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 7 жыл бұрын
NA WALE AKINA LISU NA MBOWE WALIOMWITA FISADI LOWASSA FISADI WAENDE MAHAKAMANI KUMSAFISHA, AU WATAMKE TU HADHARANI KWAMBA WALIKOSEA NA KWA NINI WALISEMA VILE ILI MAMBO YAISHE. HAHAHAHHAHHA!!!!!!!!!!!!!!!!!!
@issabwoy4750
@issabwoy4750 7 жыл бұрын
me xielew aitxee
@saidpolenikwamsbakinidi6232
@saidpolenikwamsbakinidi6232 7 жыл бұрын
Hakuna haja yanchi yetu kua namahakama nasheria amekosa apelekwe mahakamani akajitetee
@petermillumba7575
@petermillumba7575 7 жыл бұрын
Volume down..
@abamagamba817
@abamagamba817 7 жыл бұрын
Hahahaha CR kiboko yayo
@frankyusuph5774
@frankyusuph5774 7 жыл бұрын
Dahhhhhhh😅😅😅😅😅😅😇😇🌚🌚
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 7 жыл бұрын
WATU WAJINGA SANA KWA SABABU WANASHINDWA KUSAMEHE KOSA DOGO KAMA HILI, LAKINI WAMEWEZA KUSAMEHE MAFISADI KAMA AKINA LOWASSA WALIOKULA MALI ZA WATANZANIA . "ASIYEKUWA NA DHAMBI AWE WA KWANZA KUMTUPIA MAWE LOWASSA," MBOWE
@Kamikaze2910
@Kamikaze2910 7 жыл бұрын
godfrey mbwambo Unajua mbowe aliongea maneno gani baada ya Lowasa kutajwa pale mwembeyanga kuwa ni fisadi papa mwaka 2010? au ndo kujitoa ufahamu! Ya kuambiwa changanya na zako ndugu, hivi unafahamu tafsiri ya neno KUVAMIWA kweli????? Naimani utakuwa na hekima na busara hata kama ni kwa kiwango kidogo, UGATUZI WA MIGOGORO HUFANYWA KWA KUSIKILIZA PANDE ZOTE ZILIZO NA TOFAUTI KABLA YA KUFANYA MAAMUZI YOYOTE, kwanini sasa TEF walifanya maamuzi pasipo kuulizwa kwa Makonda pia? Usimwamini sana mbowe na wenzake wote waliomuita majina ya ajabu ajabu Lowasa wa watu, halafu Leo wanageuka kuwa watetezi kwa waliyoyaibua wenyewe, usiponisikiliza Kaa ukijua ipo siku watakueleza suluhisho la matatizo yoyote yanayokukabili ni kumlala mzazi wako. #mudawaujingaujingaumekwisha
@zeblufingo8361
@zeblufingo8361 7 жыл бұрын
Sasa matusi ya nini jamani mweeeeeeeeeeeee!Unadhani hata Ruge alikuwa na amani moyoni?No. ni mtu mzima kama alivyokuwa Makonda na Ruge hakutulia. Si unajuaga kila cha Dar kinahitaji ruksa ya Mkuu ilikifanikiwe?Mangapi yalikwama jamani!!!!!!!!!!!!!!!Lakini hiyo ni kuonesha heshima kwa president wetu ambae ni mshabiki wa Clouds 360 kuliko liredio lao linaloegemea upande mmoja na kukandia upinzani.
@paulsasuma8713
@paulsasuma8713 7 жыл бұрын
+Brian Baraka Duuh Noma
@paulsasuma8713
@paulsasuma8713 7 жыл бұрын
+zabron mwakalasi Uko sawa
@kelvinalex5644
@kelvinalex5644 7 жыл бұрын
godfrey mbwambo tumia akili mbona hutaji watawala walioifilisi nchi Kwa maslai yao au una chuki na hao tu
@emmanuelmedukenya6572
@emmanuelmedukenya6572 7 жыл бұрын
Makonda jembe la ukweliii Ruge ulizingua kukuza jambo dogo ambalo ungeongea na makonda mgeyamaliza lakin sijui ulitumiwa nanani kukuza jambo lile na kusema uwongo kiasi kile kuwa umevamiwa bila kuvunjwa chochote wala kupigwa yeyote wala bila madhara yeyote Kwelii watu wasaniii duuuh
@fastfacts1967
@fastfacts1967 7 жыл бұрын
andrew madunda sawa lafiki!😂
@suleymandachi5596
@suleymandachi5596 7 жыл бұрын
andrew madunda ruge alitumiwa na wahilifu wa nchi hii wamuda mrefu wauza viwanja hewa wauza unga na majambazi,baada ya makonda kuziwia wakaanza kumsakama...nakutumia mawakala ili kumdumaza. chapa kazi Makonda usipo andikwa habari zako tuzipata hats Kenya..sema wasijelalamika media zao hazina washabiki nakutaka zifungiwe kama wasanii wavyolalamikia nyimbo na filam kutoka nje
@meshackabdul928
@meshackabdul928 7 жыл бұрын
kutumika kisiasa na wanasiasa ni dhambi kuu kwa wananchi,,,clouds media sio people's station but politicians station,,, shame on you Ruge wewe sio mfano wa kuigwa kabisa kwa vijana!!
@joombwambo9355
@joombwambo9355 7 жыл бұрын
zero brain ww
@onesmomganga972
@onesmomganga972 7 жыл бұрын
meshack abdul watu wengine wanaongea tu ungekuwaa wewe ungepambana
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 7 жыл бұрын
meshack abdul acha Ukumbavu fara wewe
@kelvinalex5644
@kelvinalex5644 7 жыл бұрын
meshack abdul wee una matatizo binafisi hata busara kichwani mwako hamna
@ambokileosward8850
@ambokileosward8850 7 жыл бұрын
meshack abdul Vivaaa Meshack
@priscavallentino2432
@priscavallentino2432 7 жыл бұрын
hahahahaa
@tonynuru435
@tonynuru435 7 жыл бұрын
Eti tumepatanishwaa ... kule ni kupatanishwa au kukutanishwa ... !! So styupid guy ... ur a koward ...
@dicksonkafuruki4405
@dicksonkafuruki4405 7 жыл бұрын
tony nuru kwani katka familia ukiwa na ugomvi na mdogo wako na baba yako akahtaji mpatane ukifuata maagzo ya baba utukuwa mjinga au ukikaidi ndo utakuwa mjinga.
@tonynuru435
@tonynuru435 7 жыл бұрын
Scarlet Pimpernel siyo busara ni ujinga ule ulioptiliza ... afu sis watu weusi hasa watanzania mambo yetu hayaend sawa shauri tumejawa na unafiki mwingi sana! Na hili suala la unafiki lipo kwa wasomi na wasiosoma ... yeye ni mjinga tu ... like it not ... Kama ni busara should play both parties ... Paul Makonda na ruge ::: Lkn Umemsikiya paul Makonda ... kinaga ubaga amesema haombi radhi ... Asa hapo busara ipo wapi ... ??!!!
@tonynuru435
@tonynuru435 7 жыл бұрын
DICKSON KAFURUKI sasa hapo utasema wamepatanishwa au wamekutanishwa ... Mi navojuwa kupatna ni lazima aliyekosa aembe radhi bila kujari cheo chake au ukubwa wake ... Asa huyo mwingne anasema kinaga ubaga kuwa hayuko tayar kuomba radhi ... Huyu mwngn kabakiy mnyonge tu ... ndo utasema wamepatanishwa au ubabe umetumika ...
@ngoshacharles4374
@ngoshacharles4374 7 жыл бұрын
sawa umeeleweka kaz kwao TEF wataendeleza mgomo au lah
@amriabubakar9099
@amriabubakar9099 7 жыл бұрын
mambo yakiuweledi
Makonda Akataa Kuomba Radhi Clouds Media Sababu Hizi Hapa
9:16
Global TV Online
Рет қаралды 178 М.
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,4 МЛН
1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9 🙈⚽️
00:46
Celine Dept
Рет қаралды 109 МЛН
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
За кого болели?😂
00:18
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3 МЛН
Новости дня | 23 ноября - дневной выпуск
4:46
Euronews по-русски
Рет қаралды 3,2 М.
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,4 МЛН