BREAKING: POLISI WATOA TAMKO, TUMEMKAMATA MBOWE, LISSU, LEMA “HAWAJATEKWA”

  Рет қаралды 74,304

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 463
@ShairaniAdam-s3o
@ShairaniAdam-s3o 3 сағат бұрын
Ipoo sku yenuu Hii Tanzaniaa mtahama kma mnavyowatesaa watu wa vyama vngne
@yohanalucas656
@yohanalucas656 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@MngwaliAllykizangwa
@MngwaliAllykizangwa 2 сағат бұрын
Utahama ww sisi tunahitaji ulinzi tutumie tulivyo vichuma siyo siasa zisizo na tija
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 сағат бұрын
Acha ujinga wewe anaetakiwa kuhama ni mtoto sio baba
@allythabiti8150
@allythabiti8150 2 сағат бұрын
Utahama wewe, yan watu wachache wavunje aman😂😂
@SamiraameirSamira-qt9yn
@SamiraameirSamira-qt9yn 2 сағат бұрын
Ulinzi gn kwa mfn wakati watu wana tekwa na walivyo vichuma 😢​@@MngwaliAllykizangwa
@PeterIchobe
@PeterIchobe 2 сағат бұрын
Polisi nichawa wa ccm inasikitisha kwakweli awa mapolisi wetu awajielewi kabisa wao wanacho angalia nielatu du! Ifikemaali tuamkejamani tumechoka manyanyaso
@thomasmallya2972
@thomasmallya2972 2 сағат бұрын
Sasa wewe ulitaka polis wa siiitii maagizoo kaz ya jeshi la polis sheria namba moja ni utiii polis awana shida shida iko kwa viongoz kuanzia CCM NA CDM
@aminaomari2312
@aminaomari2312 2 сағат бұрын
Sababu za maandamano ni nini?hawa Chadema wanavuruga sana amani.​@@thomasmallya2972
@evancetarimo1310
@evancetarimo1310 Сағат бұрын
Ni utii ndo maana hata maagizo ya yule bint wa yombo yalifanyika ipasavyo😢​@@thomasmallya2972
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Сағат бұрын
Shida inaanzia kwenye katiba Katiba imempa mamlaka makubwa ya kila kitu Rais yeye ndio anateua wakuu wa idara zingine zote za nchi so mtu akishateuliwa lazma awe mtumwa wa boss wake na mbaya zaid ukimpata rais chiz atatumia vibaya hayo mamlaka ndio inakua shida zaid😢
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 47 минут бұрын
Na wewe hujitambui upo upo tu kama nyumbu,fanya kazi acha umalaya.
@jaderkyser9389
@jaderkyser9389 Сағат бұрын
Mi naandamana Kimoyomoyo tu Nasiguswi😂 VIVA ROMA VIVAAA
@PrinceByarugaba
@PrinceByarugaba 2 сағат бұрын
Kamateni wanaoteka watu!!
@ericconstantine891
@ericconstantine891 2 сағат бұрын
Podium ni fridge la coco cola kwel tumefikia hapa
@nuliatbaraka6350
@nuliatbaraka6350 2 сағат бұрын
Yote yanayotendeka Mwenyezimungu anayaona tuwe na imani na subra kila mwenyehaki atapata haki yake bila kutumia nguvu Inshaallah.
@frolamtei115
@frolamtei115 2 сағат бұрын
Mnatunia nguvu kubwa Sana kujilinda na kujitetea mlaniwe sana
@JuhudyMachete
@JuhudyMachete Сағат бұрын
Mimi nilikuwa mrilo anatoa taarifa kwamba wamewakata wanaoteka watu ivi hii nchi ni ya watanzania wote au ni ya ccm tu mungu ikumbuke nchi yetu na watawala dharimu hawa
@MohammedMtoza
@MohammedMtoza 3 сағат бұрын
Africa hakuna mchana niucku tu,wacha tuendelee kuvuta shuka cku kukpambazuka tutaamka
@emmanuelfari8924
@emmanuelfari8924 3 сағат бұрын
🤔
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 сағат бұрын
Ni ukweli
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp Сағат бұрын
@MdYeasin-xx1gm
@MdYeasin-xx1gm Сағат бұрын
usiku ata uwe mrefu kutakucha tu
@aziziamimu6011
@aziziamimu6011 Сағат бұрын
Chukia tuu kama huwezi kukemea, Kemea kama huwezi kuchukua hatua za Haki. Amebakia mmoja tuu anayeweza kuchukua hatua za haki. Mola Mlezi, Hakimu Mwenye Nguvu.
@MIBWA
@MIBWA 2 сағат бұрын
Atuna democracy
@emlongetcha88
@emlongetcha88 2 сағат бұрын
Naomba, aulizwe swali kuhusu kaulu za viongozi wa ccm ambazo zinaelekea kuvunja Amani... Je, nao watakamatwa lini? Naomba aulizwe swali hilo tafadhali
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 2 сағат бұрын
Police wanalinda chama cha mapinduzi
@gracebwimbo1889
@gracebwimbo1889 2 сағат бұрын
kweli kabisa mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Hivi vyeo ni dhamana tu wasijiinue MUNGU WA MAJESHI NDO BWANA WA MAJESHI KIBURI CHAO CHA KUTUMIA MAMLAKA WALIYONAYO HAKIKA MUNGU Hashindwi atawaondosha ghafla
@jumaseifally6337
@jumaseifally6337 Сағат бұрын
Acha kumuweka Mungu kwenye ujinga bhana
@husseinmtima6106
@husseinmtima6106 Сағат бұрын
Friji la coca-cola limekuwa podium!
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 Сағат бұрын
Swali Zuri sana ila kwa hao waandish uchwara hawawez uliza ilo swali ila ni mwamba Salim Kikeke pekeyake
@cleopajackson9934
@cleopajackson9934 2 сағат бұрын
😂😂sasa friji lanini mnahangaika nalo...office Haina meza
@Habibtyjojo
@Habibtyjojo Сағат бұрын
Kumbuka walisema wapo kambi
@Patriotism-x3v
@Patriotism-x3v 2 сағат бұрын
Mkamateni na mafwele
@IsmailjumaTenge
@IsmailjumaTenge 2 сағат бұрын
Tanzania inathamini uchawa KULIKO haki jeshi la polisi la Tanzania hawajielewi wote machawa tu subirini nkifika kwa mungu kama mtakuwa machawa
@facef5577
@facef5577 2 сағат бұрын
😂😂😂 hv uvunjifu wa amani ni upi wanaongelea... watu wanatekwa wanaona amani ipo, vichaa wa akili wapo wengi
@HassanNdauka-x1z
@HassanNdauka-x1z 2 сағат бұрын
Watekaji wanatokea chadema kwa ajili ya kuichafua serikali, na aya mambo yanashamili sana kipindi cha uchaguzi, kama unabisha mfuate Dr slaa atakusibitishia, upande mwingne ni iman za kishilikina ndugu tunauwana sana alafu lawama tunazipeleka serikalin
@FRPBYPASSTZ
@FRPBYPASSTZ Сағат бұрын
@@HassanNdauka-x1z sasa kama watekaji wanatokea chadema na polisi wanajua mbona hawachukuliwi hatua
@JumaMatao
@JumaMatao Сағат бұрын
Wanajiteka wenyewe
@FRPBYPASSTZ
@FRPBYPASSTZ Сағат бұрын
@@JumaMatao kunbe
@robertzamani5612
@robertzamani5612 30 минут бұрын
​@@HassanNdauka-x1zUnaushahidi
@SamiraameirSamira-qt9yn
@SamiraameirSamira-qt9yn 2 сағат бұрын
Ivyo unavyo ongea kwa gogi utasema ukaa maisha kwenye hicho cheo 😂 lkn tunashukru maana mumesema km mumewakamata hamukusema kamechukuliwa na watu wasojulikana 😂😂😂
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 Сағат бұрын
Ni majukumu yao kuhakikisha amani inaendelea, watu wachache wavuruge amani ikisha kichaka tunaonewa😢
@Mosmwampa
@Mosmwampa 2 сағат бұрын
Polisi mnatumika vibaya kuminya demokrasia, ujinga mnaofanya leo utatesa vizazi vyenu baadae maana sio wote watakuwa polis kama ninyi
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 41 минут бұрын
Wewe ulitaka wafanyeje?
@JamesMsuya-xp5gm
@JamesMsuya-xp5gm 2 сағат бұрын
Kutoa taarifa mnapomkamata mtu ni jambo zuri na la busara ila kuzuia maandamano sio sawa hapo demokrasia imekiukwa Yani askari n kama mtumwa tu yani unalazimika kufanya jambo ambalo wew binafsi unajua si sawaa
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l 2 сағат бұрын
Mimi ninachotaka kusikia mmewakamata watekaji habari za kusema mmewakamata waandamanaji kwa hazina mashiko leteni wauwaji hapa
@kassimomar7589
@kassimomar7589 Сағат бұрын
Hao kila siku Wana fanya funjo kama waislamu mwenge watesa mukasema magaidi
@Queen-be1uf
@Queen-be1uf 3 сағат бұрын
Aibu si ndogo. Fridge ndio podium😂😂😂😂😂. Tanzania nchi ya wajinga
@sautiyawanyonge2511
@sautiyawanyonge2511 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@SamiraameirSamira-qt9yn
@SamiraameirSamira-qt9yn 2 сағат бұрын
🎉
@amandojonase2428
@amandojonase2428 3 сағат бұрын
Wanamakosa gani ni uonevu tu kwa sababu kama mnasema nchi inauhuru na demokrasia na katiba inaluhusu maandamano kwa nini serikali haitoi vibali kama kweli serikali haionei raia wake.
@jeunajuatv817
@jeunajuatv817 2 сағат бұрын
Hakunag kubali cha maandamano
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 2 сағат бұрын
Alafu kuna watu wanasema Tanzania kuna amani, mimi nasema kunautulivu, maana kama kuna amani huyu amekamatwa atakuwa na amani au familia yake itakuwa na amani, hii sio
@nizarrama225
@nizarrama225 2 сағат бұрын
​​unaongea ukiwa unakunya..?😂 Ikiwa timu za mipira wanaruhusiwaga kuandamana namashabiki zao kufurahia ubingwa, kwanini vyama vya siasa visiruhusiwe kuandamana tena kwa aman!i​@@jeunajuatv817
@edwinmbelle4207
@edwinmbelle4207 2 сағат бұрын
Uhuru wa katiba ? Marekani wanafunzi walioandamana walifanywa nini ? Je katiba yao inasema nini ?
@abdallahasilia9918
@abdallahasilia9918 2 сағат бұрын
Uonevu upi acheni uchochezi kwaiyo kutokee vurugu kisa watu kuandamana mbona waliachiwa waandamane kipindi cha nyuma nikuwa sasa hizi wamepanga vurugu
@Martin-w2l9p
@Martin-w2l9p 2 сағат бұрын
Nguvu wanayotumia kwa chadema wangeitumia kuwasaka watekaji na wauaji wa raia wasio na hatia. Mwenye akili lazima ashangae
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo Сағат бұрын
Hamna kesii hapo ..... Mbwa Koko kwa kazi yenu na akili zenu askari polisi!!!
@mathahosea6783
@mathahosea6783 2 сағат бұрын
Safi kabisaaa Mimi wala siwahurumii maana hawataki amani
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 34 минут бұрын
Kamanda kasema kweli kuwa hawajatekwa,,wamekamatwa 👍🏿
@abassjuma6248
@abassjuma6248 Сағат бұрын
Uko vizuri kamanda
@norobo205
@norobo205 2 сағат бұрын
Itabidi cocacola wawalipe mmewatangazia biashara ya vinywaji
@MeryKusekwa
@MeryKusekwa Сағат бұрын
😂😂😂 mi nikajua nimeiona mtu Hilo friji nikajua waandishi wanapewa vinywaji baada ya heka heka kumbe friji linafanywa meza😅😅😅😅🙌🙌🙌
@Whizra
@Whizra 3 сағат бұрын
kukatwa kwa mbowe ita leta vurugu sana naona polisi wame kosea sana , ila usi sahau hali iliyo tokea kenya sababu ya ubuuzi kama hu , vijana wenzangu kecho tukutane msimbazi mata
@husseinyathuman87
@husseinyathuman87 2 сағат бұрын
😅
@saliminyusuph6122
@saliminyusuph6122 2 сағат бұрын
Atutaki maandamano. Tunapambana na Hali yetu ya kimaisha na familia zetu.
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 2 сағат бұрын
Kaandamane na familia yako
@barakanaseeb7155
@barakanaseeb7155 2 сағат бұрын
KaJifunze kuandika kwanza
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 сағат бұрын
Usifananishe police wakenya na tz
@husseinguga2701
@husseinguga2701 2 сағат бұрын
Uyu mjomba linajionaga kama ni lirobot😂😂😂😂😂😂😂😂😂 cheki anavyoongea na waandishi wa abari yani kama hii nchi niyao sisi ndo wageni😢.That day will come.
@humphreybilly7437
@humphreybilly7437 3 сағат бұрын
Kwanini mmewakamataa? Acha huonevu maisha Ubadikika pia na Afya TAUNI YAJA KWA KILA MTU ALIE ONESHA UBAYA KWA KILA TUKIO LA LEO.
@goodlucknnko1280
@goodlucknnko1280 2 сағат бұрын
Njoo wewe kaa hapa.. Kwani Body guard wa Kamishina alikuwa wapi?
@allythabiti8150
@allythabiti8150 2 сағат бұрын
Kamata wote weka, nchi yetu aman kwanza
@MSOMBAAlon-gh3ps
@MSOMBAAlon-gh3ps Сағат бұрын
Ww unayesema kazi nzuri mjinga hujitambui kazi nzuri hao ni majambazi? Hujui kuandamana ni haki ya kikatiba pumbuvu sana lichawa ww
@asmasamata5268
@asmasamata5268 11 минут бұрын
We unaandamania wap mpenz
@saadune
@saadune Сағат бұрын
Wanainchi are helpless in a police state. Viongozi wamekamatwa???wametekwa??kuna tofauti gani nchi hii???
@IbrahimAli-u1q
@IbrahimAli-u1q Сағат бұрын
Kazi nzur❤❤
@ThomasfrancisMvella
@ThomasfrancisMvella 2 сағат бұрын
Hivi ndivyo mataifa makubwa yanavyopenda,,,yanawaweka buyz na mifarakano, huku operation zao zinaendelea nchini pasipokuingiliwa,,,,na yapo tayari hata kuzamini ili hii mifumo ya vurugu vurugu iendelee....da! Hawa wanasiasa bwana...shkamoo siasa...I pray for our president samia to stay very strong , kwani nchi nyingine waliananza hivi hivi, wanakuja kushtuka too late,,,,hoja zijibiwe kwa wakati....ila harakati zozote zitakazo bainika zinazidisha migogoro zidhibitiwe very soon........
@Winifrida-j9w
@Winifrida-j9w 2 сағат бұрын
Wazi
@NassorHamad-dj6sv
@NassorHamad-dj6sv 2 сағат бұрын
Wewe una akili kubwa ya analyse mambo. Big up
@edmundsilayo2736
@edmundsilayo2736 2 сағат бұрын
Zero minded mission, why don't you guys deal with kidnapers and allocate your energy there?
@PrinceByarugaba
@PrinceByarugaba 2 сағат бұрын
Ungekuwepo ulinzi mbona watu watakufa jamani??
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 2 сағат бұрын
Hii ni moja ya sekta mbovu katika ufanyaji kazi na wana mazingira magumu kuanzia maisha mpaka mazingira yao ya kazi
@psttitonakazaelimjema.9562
@psttitonakazaelimjema.9562 2 сағат бұрын
Washukuru kampuni ya coca-cola, imewasaidia friji, maana hawana hata meza.
@mageuzijumanne1894
@mageuzijumanne1894 21 минут бұрын
Kama mbabe wa dunia alikufa basi naamin one day yote haya yataisha
@wazirimwanazuoni5567
@wazirimwanazuoni5567 Минут бұрын
Jumanne Mlilo yuko vzr sana, Masha Allah.
@sadicksingogo260
@sadicksingogo260 55 минут бұрын
Futeni vyama kielleweka,kibaki ccm maana ni mateso sana,tuludi Kwa mkoloni bola
@BiharamuloOrganizaton-oz1wc
@BiharamuloOrganizaton-oz1wc 2 сағат бұрын
Polisi hamtendi haki acheni ukweri uonekane
@nuswemwakasala8687
@nuswemwakasala8687 2 сағат бұрын
Mungu yupo ipo siku Moja tutajua mbivu na mbichi
@MIBWA
@MIBWA 2 сағат бұрын
Atuna nchiii
@philemontemi4469
@philemontemi4469 2 сағат бұрын
Soka na wenzake wako wapii, tolea taarifa hili
@JacquelineMacha-y3n
@JacquelineMacha-y3n 3 сағат бұрын
Kwanini wawakamate sasa,,,maandamano ni halali kikatiba maandamano yenyewe mbona niyaamani kabisa sasa
@husseinyathuman87
@husseinyathuman87 3 сағат бұрын
Sikiliza ndio utoe lawama
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z 2 сағат бұрын
Safi kabisa Kama mbona vurugu sio nzuri,maanake watakaoteseka hapo ni akina mama,watoto,wajane,virema. Hivi Nini hivi.
@AsifiweAfya
@AsifiweAfya 2 сағат бұрын
Kama hivo mbona hamfanyi hivo sikuzote.nandomana tunashangaa Jeshi kuzunguka na bunduki mtani
@TheBakari
@TheBakari 2 сағат бұрын
Plz kwani lazima chama kimoja kila siku then it means kwa serikali ya tanzania inaonyesha iko na makosa mengi
@abubakarahyan9515
@abubakarahyan9515 2 сағат бұрын
Hahhahaa et tumewakamata hwajatekwaa hahhaha nafurahishwa Na jesh la police
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 41 минут бұрын
Wote waliotajwa ni vichwa adimu sana ( talent man)
@AshwarSalon
@AshwarSalon Сағат бұрын
Naomba mungu silaha mlizo beba ziwalipukie
@paullameck-r5j
@paullameck-r5j 2 сағат бұрын
Hivi ile kesi ya wale wabakaji iliishia wapi mbn ni kama tumezimwa kiaina
@tumainilaizer6517
@tumainilaizer6517 Сағат бұрын
Namm nataka kujua ila tumuulize nani jamani😮😮
@secundawabura7902
@secundawabura7902 2 сағат бұрын
safi kabisa kamanda mrilo umejibu vizuri sana kazi ya jeshi la polisi ni kuzuia jambo lisitokee 👏👏👏👏👏
@issakisalu9237
@issakisalu9237 2 сағат бұрын
Mmmmh
@hassanlubola414
@hassanlubola414 2 сағат бұрын
Mimi nimeona tu askari wa kumlinda kamanda Mrilo wakibadilishwa
@BiharamuloOrganizaton-oz1wc
@BiharamuloOrganizaton-oz1wc 2 сағат бұрын
Wanatumia nguvu kubwa kuwakamata watetezi waliwaacha watekaji inauma Mungu ni bora aangegarikisha taifa hiri
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 6 минут бұрын
Viongozi wa CHADEMA wamekamatwa, makosa watakayo tungiwa ni UHAINI kama yale aliyo shitakiwa anayo Mbowe. Polisi wamaisha elekezwa cha kufanya na Rais Samia ametoka amri wakatwe MIKIA. Sio mikia tu wanaweza wakawapoteza.
@godfreywilly639
@godfreywilly639 2 сағат бұрын
Freezer la Coka
@NuhuPesambili
@NuhuPesambili 2 сағат бұрын
Mhhhhhh
@joeljekela1219
@joeljekela1219 2 сағат бұрын
Fridge ndiyo platform
@bakarimashi848
@bakarimashi848 Сағат бұрын
Masikini nchi yangu 🥲
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 2 сағат бұрын
AFANDE MULILO: Binafsi naona moyo wako ni mazuri. Uziri huo ukaitete HAKI na KWELI; ili AMANI nchini ikawe yenye kutokana na HAKI, wala isije tokana na vitisho, ujeuri, ukatili, uuaji Kwa lengo la KUNDI fulani kukaa madarakani milele kinyume na matakwa ya wengi. Mungu azidi KUKUPA HEKIMA Mulilo ili TANZANIA iliyofika PABAYA SANA ipone.
@RajabuSuleiman-e2b
@RajabuSuleiman-e2b 50 минут бұрын
Amani ni Muhimu Sana kukiko kuutafuta urais wa nchi.Mimi yangu ma ho na masikio.😂😂😂😂
@johnpeterbarongo6445
@johnpeterbarongo6445 2 сағат бұрын
Wananchi lazima tusiwaelewe. Polisi mnatumia nguvu kubwa kuzibiti wapinzani na wananchi wanaodai haki kwa amani au kwa sababu wanamshinikiza mama kuwatumbua mabosi wenu
@AlikinaHassan
@AlikinaHassan 30 минут бұрын
Kamanda watu watatu usitunyime usingizi sisi tupo bze kutafuta pesa piga kazi mzee jumanne
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i 41 минут бұрын
Hii nchi bora wakoloni warudi tu maana tumeshindwa kuwa huru manyanyaso kwa Sana pumbafu kabisa serikali yetu
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya Сағат бұрын
Utawala wa Sheria umetoweka katika nchi yetu. Lakini CCM wakitamka maneno ya kutishia usalama wa raia, wao ni Ruksa. Wala hakuna tuliyemshuhudia amekamatwa na polisi. Sasa tuieleweje nchi yetu?
@AbuJunaidi
@AbuJunaidi Сағат бұрын
Huyo lisu na mbowe hawna manufaa katika Jamii. Hicho. Chamakifutwe mqana hawafuatimikoo y a nchi
@Mrsalt-z9m
@Mrsalt-z9m Сағат бұрын
Kkk
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 Сағат бұрын
Maandamano ni HAKI ya kila MTANGANYIKA sheria na KATIBA inaruhusu maandamano.
@ShabanimuhamedSuleimane
@ShabanimuhamedSuleimane 2 сағат бұрын
Kuna haja kubwa ya kupigania uhuru kwani Tz.haijawa huru. Tunahitaji uhuru Kwa Amani Kabisa.Wananchi wanaelewa Hila za viongizi wetu wa serikali na ccm.
@adamwoiso2180
@adamwoiso2180 2 сағат бұрын
Yaani kituo cha police hakina podium mpaka Kamanda anaongelea juu ya fridge 🤣🤣🤣🤣🤣
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Сағат бұрын
😂😂😂
@aishahazary4097
@aishahazary4097 2 сағат бұрын
Utakapopigwa risasi hutamuona Lisu Mbowe wala Lema.Utaozeana Moi na ndugu zako watakopa mpaka basi..
@musamusa6213
@musamusa6213 2 сағат бұрын
Safi sana chadema wanapenda nchi imwage damu sisi hatupo tayali tunatafuta pesa tu
@asslammachano1483
@asslammachano1483 2 сағат бұрын
Na sik ukij kutekwa ww au mzee wako ndipo utakapokuj kuach kutaft pes na kuutaft uhai na uzima wao. Think about it
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 сағат бұрын
Mbona damu ilishamwagika au ile ilikuwa maji Kibao Azori Mawazo Kanguye Ben Saanane Lisu Sativa nk
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 2 сағат бұрын
Na sasa hatuna hakika kama ya Soka Mlay na Mbise haijamwagika MUNGU ajua
@BENEDICTMHINA-pd1kr
@BENEDICTMHINA-pd1kr Сағат бұрын
Pesa gani unayotafuta wewe unaganga njaa unasema unatafuta pesa
@BENEDICTMHINA-pd1kr
@BENEDICTMHINA-pd1kr Сағат бұрын
Mbona Kenya wanaandamana af fresh tu
@euremwacha870
@euremwacha870 2 сағат бұрын
NJIA MNAZOTUMIA WAPINZANI HAZITAKAA ZIZAE MATUNDA KAMWE. WATU HAMKO SIRIOUS. YOU ARE WESTING PEOPLES' TIME. MBOWE NA CHADEMA WAIMBE WIMBO WA SARAFINA "FREEDOM IS COMING TOMORROW" And If I don′t live to see the day You better believe it I'll be there This is my home and I′m here to stay Freedom is coming tomorrow Get ready mama prepare for your freedom Freedom is coming tomorrow Get ready mama prepare for your freedom Yaahooo woza uzojaiva mama Yaahooo woza uzojaiva mama Yaahooo woza uzojaiva mama Freedom is coming tomorrow Freedom is coming tomorrow Freedom is coming tomorrow Hey"
@AliciaKyai
@AliciaKyai Сағат бұрын
Hakuna kitu hapo polisi awajui Sheria unamkamata mtu arafu ujui Sheria inasemaje
@EidAlnadabei-uc4cb
@EidAlnadabei-uc4cb 59 минут бұрын
Kwani maandamano serikali wameona Kuna hvunjifu wowote Hakuna pia mboe alikua pekeake anahojiana na waandishi WA Habari kunakosa Hakuna wamwaachie haraka iwezekanavyo
@sylvanusshadrack1724
@sylvanusshadrack1724 50 минут бұрын
haya matukio ya uvunjifu wa amani ni kwenye maandamano tu mbona hawa wanaoteka watu na kuwaua hatuoni kukamatwa?!!
@themaestro-24
@themaestro-24 Сағат бұрын
ASANTE KAMANDA KWANI TUNATARAJIA UTUELEZE JUU YA WATEKAJI NA MLIPOFIKIA.HILO NDILO MUHIMU KWA WATANZANIA.
@rasmorgan9720
@rasmorgan9720 59 минут бұрын
Kenya polisi opposition leaders.😂hawez kutokea.
@williammbuzimai5744
@williammbuzimai5744 8 минут бұрын
Mmmmmmmmmh Mlilo mlilo Nicole amexhukuliwa na police tukimuona kwa macho yetu, unavyokataa upo serious kama mwanasiasa.
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 33 минут бұрын
Nilichokiona hapo polisi wanatetea mkate wao hakuna kingine
@israelmpiluka-gu6vh
@israelmpiluka-gu6vh 2 сағат бұрын
Wananchi tunahofu kubwa kutokana jeshi a polisi kushindwa kuwatambua watekaji nawauaji hatuna amani kabisa.
@edsonkuyunga
@edsonkuyunga 2 сағат бұрын
Polisi nyie kazi yenu ni kutetea wanannchi na sio hao ma-ditecta wanao jilimbikizia mali za wananchi... SHAME ON YOU😡
@suleymanimixkatafighter2669
@suleymanimixkatafighter2669 24 минут бұрын
Kuna mambo hayapo Sawa kbs hapa wangewaacha Tu waandamane tena ni maandamano ya Amani .Wangepewa ulinzi kama mwanzo walivyoandamana lengo Lao ujumbe wao ufike na utekelezaji ufanyike
@beatricejohn1659
@beatricejohn1659 3 минут бұрын
Mmewakamata kwa kosa gani mbwa nyie? Serikali imejaa uonevu hamtaki kuambiwa ukweli ni mabavu tuu Kikio changu ni kwa shirika la haki za binadamu liingilie Kati serikali imejaa uonevu tuu wanatumia mabavu tuu hatuwataki ondokeni kwani lazima mtuongoze..tumewachoka wicked leaders
@gonsalvamswaga6471
@gonsalvamswaga6471 Сағат бұрын
nawaza tu hawa police walivyokuwa wengi mtaani ingekuwa kila siku hivi hata vibaka wasingekuwepo kabisa mtaani, kumbe tunaweza kuwa salama na mali zetu
@AbelJohn-tx4in
@AbelJohn-tx4in Минут бұрын
Mijitu mingine sijui inatokea nchi gani, ndiyo maana mnaambiwa watanzania ni marehemu wanaotembea, vichwa vyao vimejaa wadudu ndani bongo zao zimeliwa na wadudu
@NaftaryMgoye
@NaftaryMgoye Сағат бұрын
Tanzania bila chadema inaweza msajiri wa vyama futa chadema ili amani iwepo Hawa ndo waliomba kuwa na jeshi lao wakawapeleka vijana mafunzo ndo hao wasiojulikana wanaisumbua serikali
@petergasaya2445
@petergasaya2445 2 сағат бұрын
Jukumu lenu polisi ni kuzuia maandamano ya chadema peke yake au hata jukumu la kuwatafuta wakina soka ni lenu?
@Skomi-0nedayyes
@Skomi-0nedayyes 57 минут бұрын
Ni afadhari niwe raia wa Malawi mara 10 kuliko kubaki kuwa raia wa Tanzania nchi isiyo tambua haki za raia au haki za binadamu kuish. I hate Tanzania government.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 38 минут бұрын
Sasa unangoja nini kurdish Malawi kwenu we choko,hama haraka utuachie nchi yetu bwege wewe
@EdithaKessy
@EdithaKessy Сағат бұрын
Nyinyi serikali ndio mna toesha amani mnakamata watu na kuwauwa pumbavu nyinyi
@abdallahibrahim9052
@abdallahibrahim9052 2 сағат бұрын
😂😂😂mimi nikajua kuna party flan hivi ila ni aibu sana au ndio amiri mkuu nae aone kama na yeye hawatendei haki hawana hata meza😂😂😂😂😂😂
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 2 сағат бұрын
Ndio mliyotaka Haya mtuambie mmewakamata wamekosa nini Kwa kuwa wameongoza maandam ya amani au kwa kupaza sauti zao dhidi ya maovu yenu na ya serikali ENDELEENI TU KUWATESA WATETEZI WETU WA HAKI MUNGU ATAWAADHIBU VIBAYA . SIKU MOJA MTAYALIPA HAYA YOTE
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw 2 сағат бұрын
Mwandishi umekosea kusema sema jasho la police ama josho la police sio jeshi la police lingekua jeshi la police wasingefanya ujinga huo kukamata watu wasiokua na makosa
@jaderkyser9389
@jaderkyser9389 Сағат бұрын
Who is JESHI LA POLISI BY THE WAY.. SHAMEFUL
@AyoubPapiy
@AyoubPapiy 2 сағат бұрын
Muliro good answers 😂😂😂😂😂
@2002-m3i
@2002-m3i 2 сағат бұрын
Hao akina Abubakari na Waislam wengine waliokamtwa ndo muwabamize kabisa , manake wanashirikiana na makafiri wenye chuki na Samia kwa sababu ni Rais Muislam, wabamizeni hadi washike adabu, poa yawezekana nao siyo Waislam ni makafiri kama makafiri wengine
Johnson Sakaja - Mimi Ndio Gavana Nairobi, Sio Gachagua!!
16:28
Radio Maisha
Рет қаралды 7 М.
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 22 МЛН
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 78 МЛН
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 23, 2024 | Mchana
30:58
WAKILI WA TUNDU LISSU AELEZA SABABU ZA KUKAMATWA TUNDU LISSU
4:24
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 12 МЛН
MAPEMA HII LEO.
0:47
Millard Ayo
Рет қаралды 512
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 22 МЛН