BREAKING: RAIS MAGUFULI AKIWASILI MSIBANI KWA MAMA SHIGONGO

  Рет қаралды 57,933

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

BREAKING: RAIS MAGUFULI AKIWASILI MSIBANI KWA MAMA ERIC SHIGONGO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo Julai 29, 2018 amefika nyumbani kwa marehemu Bi Asteria Kahabi Kapela akiwa ameambatana na mkewe mama Janeth Magufuli kwa ajili ya kuja kutoa pole kwa watoto wa marehemu pamoja na familia kwa ujumla.
Mama mzazi wa Mkurugenzi wa makampuni ya Global Group ,Eric James Shigongo, amefariki dunia julai 27, 2018 katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Hospital ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Suazi1
/ uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Пікірлер: 53
@fredkyara.babamunguwambing482
@fredkyara.babamunguwambing482 6 жыл бұрын
Pole sana kaka Shigongo. Pia hongera sana Rais. Wangu kwa Moyo wako Mwema.
@kingoman7895
@kingoman7895 6 жыл бұрын
Nampenda sana rais wetu allah atuwekee maisha yake yote Amin
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 6 жыл бұрын
pole sana shigongo na hongera kwa kumhfadhi vzuri marehem na kumludisha nyumbani mlkozaliwa, ckama gwajima alyezka mzazi wake dar na kusahau nyumbani, poleni sana wana famly
@falesmasabo6124
@falesmasabo6124 6 жыл бұрын
polen sana
@davidolemollel4962
@davidolemollel4962 6 жыл бұрын
Hongera mno kwa kujali
@xkingx8041
@xkingx8041 6 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu Raisi wetu
@annastaziakibole5603
@annastaziakibole5603 6 жыл бұрын
mungu akujalie rais wet
@esterkiyabo5133
@esterkiyabo5133 6 жыл бұрын
Asante sana Rais wetu
@elivtv.baseafrica3988
@elivtv.baseafrica3988 6 жыл бұрын
Pole sana shigongo
@japhetdaud3889
@japhetdaud3889 6 жыл бұрын
kweli Rais wetu Mungu akujalie pia matendo mema hayo
@athumanomary1438
@athumanomary1438 6 жыл бұрын
Asante san raisi wetu kwa upendo mkubwa kwetu asante san raisi wetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe raisi wetu
@bahatifabian2804
@bahatifabian2804 6 жыл бұрын
Pole.sana.kaka.erc.kwakoondokewa.namama.yetu.mpendwa.yote.nimipango.yamungu.mungu.amlaze.mahal.pema.pepon
@zenarajabu3937
@zenarajabu3937 6 жыл бұрын
Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi polen sana wanafamily
@rispermagufwa3591
@rispermagufwa3591 6 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa Mwenyenzi Mungu awape Nguvu kwenye msiba huu mzito
@faridasaid8724
@faridasaid8724 6 жыл бұрын
ubarikiwe rais wetu,
@husseinkulumbiza8894
@husseinkulumbiza8894 6 жыл бұрын
Mungu Atujalie mwisho Mwema.
@kelvinjohn6851
@kelvinjohn6851 6 жыл бұрын
Pole sana kaka Erick Shigongo
@sanadidauda8415
@sanadidauda8415 6 жыл бұрын
Poleni sana. Wafiwa
@mariamumgeni8049
@mariamumgeni8049 6 жыл бұрын
polen.wafiwa..r.I.p.grd
@trickytriggtz9440
@trickytriggtz9440 6 жыл бұрын
Mungu akujalie raise wetu
@eliyakapaya5858
@eliyakapaya5858 6 жыл бұрын
Lieni pamoja na wanaolia poleni sana wapendwa Bwana alitoa na Bwana ametwaa
@emilykisimba4752
@emilykisimba4752 6 жыл бұрын
pole sana kaka shigongo kwa msiba wa mama mzaz kwan kaz ya mungu haina makosa
@modestaabeli3389
@modestaabeli3389 6 жыл бұрын
Poleni jamani dungu zangu mungu awape guvu
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 6 жыл бұрын
RIP SHIGONGO,praised TO GOD FOR everything.
@claralassonn8833
@claralassonn8833 6 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@rwimirajames6631
@rwimirajames6631 6 жыл бұрын
Pole Sana kaka shigongo
@mkurangacnajemasabatochane4626
@mkurangacnajemasabatochane4626 6 жыл бұрын
ameamua kuiongoza tz xaxa Mungu ambariki awe naafya njema
@apaesariaminde2241
@apaesariaminde2241 6 жыл бұрын
Poleni sana familia ya shigongo , bwana MUNGU awe faraja yenu
@salomemwisomba9703
@salomemwisomba9703 6 жыл бұрын
pole kaka shigongo msiba wa mama unauma hata iweje lkn angalau na nyie mmeachwa wakubwa na amekula matunda yenu...wengine mama anakufa hata hauelewi pakushika.
@naslamgollo6405
@naslamgollo6405 6 жыл бұрын
Nice
@josephjoseph7348
@josephjoseph7348 6 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa
@pinomandau8146
@pinomandau8146 6 жыл бұрын
Joseph Joseph Inatia faraja
@mwasitially1030
@mwasitially1030 6 жыл бұрын
Poleni wafiwa wote mbele yake nyuma yetu
@akimmbwego797
@akimmbwego797 6 жыл бұрын
TRUE PRESDAA
@faridasaid8724
@faridasaid8724 6 жыл бұрын
poleni wafiwa
@issasalaf1655
@issasalaf1655 6 жыл бұрын
Pole mwalim wangu Eric kuwa na subra
@hechihechie5558
@hechihechie5558 6 жыл бұрын
Nampenda sana mhh Magufuli.ana roho ya upendo...poleni kwa msiba wafiwa
@utukufueliya5279
@utukufueliya5279 6 жыл бұрын
kiongozi wa watu
@pastormkingandegekubwa1390
@pastormkingandegekubwa1390 6 жыл бұрын
uyu uncle Magu amefanya vizuli sana
@abelkabili8474
@abelkabili8474 6 жыл бұрын
R.I.P Mama etu Mpendwa...!! Pia asante sana Mtukufu Rais kwa kuwa na Moyo wa kuwafariji watu wenye Matatizo
@paulofesto4948
@paulofesto4948 6 жыл бұрын
R. I. P
@musarichard2934
@musarichard2934 6 жыл бұрын
isingekuwa utajiri Wa shigongo wakubwa hao wangefika?..hii dunia kama huna kitu wala umaarufu ni sawa na kapupu tu..
@planetmediatv7590
@planetmediatv7590 6 жыл бұрын
Muda mrefu tulihitaji raisi Kama huyu YES
@newagecommunications7258
@newagecommunications7258 6 жыл бұрын
Upumzike kwa Amani Mama yetu
@samwelmaguga446
@samwelmaguga446 6 жыл бұрын
Dada unajua sana kutangaza hadhi yako ni kutangaza vyombo vya kimataifa,
@vailetpatson7895
@vailetpatson7895 6 жыл бұрын
mung hawatie nguvu
@rheanmutimanwa3471
@rheanmutimanwa3471 6 жыл бұрын
Eeeeh kumbe huyo baba yuko vizuri ivyo 🤔
@elizaandrew9115
@elizaandrew9115 6 жыл бұрын
Mama anauma sana poleni wafiwa wote mwenyezi mungu awape nguvu na faraja mzidi kumuombea mama
@deustutu1162
@deustutu1162 6 жыл бұрын
polen sana
@fredkyara.babamunguwambing482
@fredkyara.babamunguwambing482 6 жыл бұрын
Pole sana kaka Shigongo. Pia hongera sana Rais. Wangu kwa Moyo wako Mwema.
@neemajoshuaer9562
@neemajoshuaer9562 6 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa wote
@bethuvibes7915
@bethuvibes7915 6 жыл бұрын
poleni but you look so pretty Neema
@neemajoshuaer9562
@neemajoshuaer9562 6 жыл бұрын
bethu chumba thanks so much be blessed
MAJONZI: Mwili wa Mama Shigongo Ukiwasili Airport
1:34
Global TV Online
Рет қаралды 7 М.
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
What does Satoru Gojo have? #cosplay#joker#Harley Quinn
00:10
佐助与鸣人
Рет қаралды 7 МЛН
M V Raghavan in Nere Chowe | Old Episode | Manorama News
25:16
Manorama News
Рет қаралды 420 М.
Interview with dr V P Gangadharan in Nerechowe | Manorama News
25:31
Manorama News
Рет қаралды 454 М.
Mch. Hananja awavunja watu mbavu ibadani, UDSM CCT CHAPLAINCY.
42:54
UDSM CCT MEDIA
Рет қаралды 1,9 МЛН