#BREAKING

  Рет қаралды 8,943

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 96
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 3 сағат бұрын
Poleni sana Mheshimiwa mbowe police wanatumika na CCM wanawaongopa chadema mpo vizuri Mungu yupo pamoja nanyie chadema inshaallah ushidi upo karibu
@EliasFijabo-pt2zb
@EliasFijabo-pt2zb 2 сағат бұрын
Poleni makamanda Mungu kwa maumivu tusikate tamaa tusonge mbele
@LothMotika-bs5ul
@LothMotika-bs5ul 3 сағат бұрын
Duu poleni sema ukweli Mungu wetu yuhai atajibu tu mapema
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 2 сағат бұрын
CCM tuache ushamba huu au irudisheni nchi kwenye chama kimoja kuliko kuonea watu hiv
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 2 сағат бұрын
Inauma SANA..
@songombingo108
@songombingo108 3 сағат бұрын
Ninapata hasira sana ninapoona maisha ya hawa polisi wanavyoishi na shida walizonazo lakini wanakuwa wanajifanya hawajui.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 сағат бұрын
Maelekezo kutuka juu😢😢😢
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 2 сағат бұрын
Mambo yatageuka tu msikate tamaa
@bestman3651
@bestman3651 Сағат бұрын
Hope uhodari huu utaonekana pia na kwenye majanga ya kuanguka majengo na ajali za ndege na boti majini
@karimmakweta3530
@karimmakweta3530 3 сағат бұрын
Nchi ngumu Sana hii Hasa pale vyombo vya ULINZI vinPofanya siasa
@BernardUrassa-lq8so
@BernardUrassa-lq8so 3 сағат бұрын
IPO siku mtatuelewa tu
@goodluckjohnuiso-gt1fg
@goodluckjohnuiso-gt1fg 3 сағат бұрын
Aibu kwa nchi
@wanguwangu34
@wanguwangu34 3 сағат бұрын
Shida nini jamani sisi wote watanzania mbona tunapigana kila kitu, kinachotafutwa ni nini, nadhani kuna police hawana sifa ya kuwa police ila wameingia wakiwa na malengo yao ya kuharibu jeshi la police, ratiba ya campain ni suala la kuzungumza siyo kupigana, huwezi kuwa police kama huji miiko ya police na bahati mbaya hata IGP yupo kama boya tu wala hakemei uovu huu wa baadhi ya police, police ninaowajua mimi wengi wazuri sana na very bright lkn kuna wahuni wameingia jeshi la police ndiyo wanaleta shida.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 сағат бұрын
WAZEE WA CCM JITOKEZENI MZUNGUMZIE YANAYOENDELEA. AMANI NI TUNDA LA HAKI
@andrewmushi8274
@andrewmushi8274 Сағат бұрын
Hawa watu wa CCM nimakatili sana hv wajiona wao n miungu watu
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Сағат бұрын
Iko siku yao! Yuko wapi Hittler na Musolin? Yuko wapi Mobutu?
@edwardmakonge6951
@edwardmakonge6951 3 сағат бұрын
poleni sana mungu yupo.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 сағат бұрын
Mungu hadhihakiwi
@bulayaconfidential7212
@bulayaconfidential7212 2 сағат бұрын
Rais; sijawahi kuua labda nimewahi kuua sisimizi 👂
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 2 сағат бұрын
Polisi wengi ni vibaka wa ccm toka enzi za magu sijuwi nini kifanyike ?
@mwalimhamad3825
@mwalimhamad3825 3 сағат бұрын
Makosa ya mbowe mnamuogopa mnaenda kuonea wengine mumeishiwa polisi na ccm
@نوفل-س5ر
@نوفل-س5ر 2 сағат бұрын
CCM kuondoka madarakani kirahisi rahisi km munavyo fikiria Kwa visanduku vya kura tu ni vigumu sana .
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl 36 минут бұрын
Sijakuelewa lakini kama ulizingatia somo la civcs nadhani utakuwa upande mzuri
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 3 сағат бұрын
Inaonekana jeshi la polisi tanzania limejifunza kupiga sana kuliko weledi wa kazi yao😂😂😂
@songombingo108
@songombingo108 3 сағат бұрын
Chama chenye kila aina ya nyenzo na nguvu ya dola kinaogopa kukutana na Chama kisicho na chochote. Ujuwe hapo hakuna Chama
@joojombi2341
@joojombi2341 Сағат бұрын
Kila chama na ratiba zao. Haiwezekani mambo hayo. Mbowe na Chadema yako mafatani wakubwa nyie. Kapigwa kwa sababu maana mnadharau na maneno yenu ya ufatani mtupu waongo wakubwa kupita maelezo nyie
@MarwaKipilipili
@MarwaKipilipili 2 сағат бұрын
Mdude lazima wamshikilie coz ni mwiba kwao.
@MaxCharles-wj5dg
@MaxCharles-wj5dg 4 сағат бұрын
kwenye vitu ambavyo tuna bugi ni hivi mipolis vipo 30 SS tupo elf 5 kwann tusi kiwashe tuka dundaba tu tuaalche uoga ,nchi hàikombolewi Kwa huluma uonevu umezidi
@Marry-v8e
@Marry-v8e 3 сағат бұрын
Police wote ni CCM
@noelmakere1381
@noelmakere1381 3 сағат бұрын
Makala anahusika ktk hili
@MoEd-k8w
@MoEd-k8w Сағат бұрын
Yote hiyo inazid kudhihilisha kuwa ccm hawakubaliki na wanaogopa upinzani
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 4 сағат бұрын
Hizo chuki za polisi, kuwapiga wapinzani, kama vile ni majambazi, mimi zinanishangaza sana.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 3 сағат бұрын
Wanatumwa,amri ni amri
@peterhassan1372
@peterhassan1372 3 сағат бұрын
Hivi wakiacha bunduki walamatane kavukavu wataweza au!!
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 3 сағат бұрын
Siku upinzani ukichukua nchi hili jeshi la polis lifumuliwe na liundwe upya maana hili la sasa linaitumikia CCM limesahau majukumu yake
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m 2 сағат бұрын
Rais wa nchi upo lakini washindani wako wanateswa ili chama chako kipite kilahisi kumbuka watanzania wanaona wanasikia lakini wanalialia moyoni
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 сағат бұрын
Kutumia dola kubaki kwenye dola. This was the worst statement ever said in the history of TZ
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 2 сағат бұрын
INCHI hii Haina democrace KABISA democrace ILIKUWA WAKATI WA kikwete naamini SIKU Moja kikwete atapewa tuzo ya democrace
@WillKilulya
@WillKilulya 52 минут бұрын
Mbowe msanii sana kuliko wasanii alionao,ni mzushi sana anatengeneza matukio Kwa sababu aonekane anaonewa,Piga sana hao wanatukana sana Polisi na mamlaka wao ni kina nani?wapigwe tu.
@khamisjuma7616
@khamisjuma7616 2 сағат бұрын
undeni vikosi vya kupambana nao hao ccm b ktk vyama vyenu ndio mtaheshimika vyenginevo mtalalama kila siku sababu walinzi wa amani wamegeuka kuwa wahuni .
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 2 сағат бұрын
MUWE MNAFUATA UTARATIBU SASA MNAVUNJA RATIBA YA KUFANYA MIKUTANO MULIYOWEKEWA AF MNATAKA MUACHWE TU AF MNASEMA SIO SABAB YA MSINGI
@FrankMashauri-t4t
@FrankMashauri-t4t Сағат бұрын
Io akili kua nayo makini sana itakuponza sku moja kama kwa umri huo hulijui baya au jema mjinga sana
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 4 сағат бұрын
Ccm.na.mapolisi.wao.wanaigopa.chadema.
@salama1113
@salama1113 3 сағат бұрын
Ifike wakati wanavyo taka na cc tunataka kilasikutunateseka cc arafu wao wanajificha kwenye amani wakati wao ndo wavunjaji iyo amani
@Castory-k4j
@Castory-k4j 3 сағат бұрын
Tunaomba amani TZT acheni kutumia nguvu mamulaka
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 32 минут бұрын
Mbowe jitafakari na wanachama wa chadema kuingilia sehemu siyo husika
@danielkanso
@danielkanso 47 минут бұрын
Makusudio ya wakuu ni kuwaumiza tu wanao wapinga kwa hoja mhhh
@danielmwanjali2449
@danielmwanjali2449 4 сағат бұрын
CCM wanaogopa upinzani
@sadickissa1600
@sadickissa1600 4 сағат бұрын
Hii serekali mungu ailani na tunaomba Aingushe kama Alivyoiangusha serekali na ccm ya firaun
@MzamiruAlly
@MzamiruAlly 45 минут бұрын
Serekalye2 inawaoneasana upinzani
@johnkiyoyo6853
@johnkiyoyo6853 3 сағат бұрын
Wanaenda huko waliopata 0!
@wilbroadsiyonga5889
@wilbroadsiyonga5889 2 сағат бұрын
Aluta continua
@jumarajab5316
@jumarajab5316 3 сағат бұрын
eti analindwa na makomando 😂
@noelmakere1381
@noelmakere1381 3 сағат бұрын
Pumbavu sana wewe
@StevelabaranSeverwa
@StevelabaranSeverwa 2 сағат бұрын
Dawa n kila kiongoz Wa upnzan akuwe na ulizi mnzitoo, Na mbowe kiongoz Wa upnzan inafaa utimize Hilo kila kiongoz Wa upnzan inafaa kuwa Na walinzi
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 Сағат бұрын
Hii ya kuumiza watu kila ck, kuharibu rasilmali watu ,muda pesa na chuki inayojengeka inalisaidiaje hili taifa? Basi tujue siasa hizi za vyingi hizitawi labda kwa nchi hii wake ulikuwa bado. Tusiumize watu wetu bure kwa sababu za kipumbavu.
@gervaslukaya
@gervaslukaya Сағат бұрын
Du ila mitandao ni shida watu wengi wana coment jambo awajui chanzo na kama aujui jambo jema kukaa kimya
@LeonardCharles-g8c
@LeonardCharles-g8c Сағат бұрын
Acheni siasa ili tuone polisi watafanya kazi gani
@selemankishema5780
@selemankishema5780 30 минут бұрын
Tafuteni shughuli zingine achaneni na siasa 😂😂😂
@alexvenas2699
@alexvenas2699 23 минут бұрын
Wewe haujielewi ndugu,
@saidimpako5186
@saidimpako5186 Сағат бұрын
SIASA ZA SASA SIO ZILE TENA KWAUFUPI CHAMA NI KIMOJA TU KWENYE HII NCHI MBOWE BADO ANADHANI KUNAVYAMA VINGI
@sospeterodhiambo6869
@sospeterodhiambo6869 Сағат бұрын
Kuna Wakati mlisema mtawafungulia polisi kesi kuzuia na kuwapiga Mbeya Hamjafanya hivo Ndo maana wanaendelea kuwaonea tu Mngewapeleka Mahakamani akina Awadhi Haya mambo yasingejirudia angalao wangeogopa kuwajibika binafsi Lkn mlivowaachia wanaona business as usual Maneno tu Mseme na kutenda
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Сағат бұрын
Umeongea la mama sana brother
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Сағат бұрын
Umeongea la mama sana brother
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Сағат бұрын
Umeongea la maana bro
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Сағат бұрын
​@@yosephatMasanyiwa-oh1rlHaya mambo ya siasa dah! Huenda walipewa KIBUNDA wakaambiwa Kaa kimya huwezi kujua
@fabby1181
@fabby1181 44 минут бұрын
Hata Mimi nilikuwa I interested lusikia
@MarwaKipilipili
@MarwaKipilipili 2 сағат бұрын
Mbowe najuwa unaumizwa sana kwa sababu ya watanzania tusiojijuwa ila mungu akupiganie tupo nyuma yako.
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 44 минут бұрын
Cahadema mkitaka hwa polic na maccm kuacha haya macbo mnatakıw kulipa kisasi kisaai kimayma sana Ww ndugu yako kapigwa bila kosa lolote na ww tafuta ndugu yake pigaa poteza kimya kimya badae wakıja gundua hawaeez fanya maana wataogopa
@willymgaya7618
@willymgaya7618 38 минут бұрын
POLICE WANAPATA WAPI TAARIFA YA VYAMA KUKIUKA RATIBA ZA MIKUTANO YA KAMPENI? NA KWA NINI WATU WAPIGWE. MH. RAIS HUONI HALI HIYO,KWA SABABU HIVYO NI VYOMBO VYAKO.
@kelvinmagesa6586
@kelvinmagesa6586 3 сағат бұрын
Mbowe hatukuona wewe wala wenzako kariakoo mpo huko mnapoteza ushawishi mkubwa kwa kutoshiriki shughuli za kijamii walinzi wa kwanza ni wananchi mnakwama sababu mmejitenga na jamii zaidi ya kuweka mbele matamanio ya kushinda uchaguzi shinda kwanza ushawishina sio kupambania kura zetu
@michaelmaterego2489
@michaelmaterego2489 3 сағат бұрын
Acha ujinga
@0diraWilson
@0diraWilson 3 сағат бұрын
Acha bangi ZAKO
@NiazonBukoke
@NiazonBukoke 3 сағат бұрын
Mbona unaonekana mpumbavu sana wewe???
@RphaelMwambenja-g2g
@RphaelMwambenja-g2g 2 сағат бұрын
Uyo ni kichaaa chama chako ndio kimepoteza ushawishi ndio maaana wanatumia police kisiasa
@peternyambo1439
@peternyambo1439 2 сағат бұрын
Police WANAIDHALILISHA CCM. CCM SIO WEPESI KIHIVYO TUOGOPE UPINZANI?? CHAMA KINA MBINU NYINGI SANA, VIONGOZI WANGU WAAMBIENI POLICE WATUACHIE HAO WAPINZANI TUNAWAMUDU KILA KONA. WANAWAPA MAILAGE SANA BILA KUJUA.!!
@andrewmushi8274
@andrewmushi8274 Сағат бұрын
Binafsi ningekuwa nauwezo askari wote wanchi hii wasingeamka kesho
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 3 сағат бұрын
Wajinga sana
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 3 сағат бұрын
Tii Sheria bila ya shuruti
@HijaSaid-t6c
@HijaSaid-t6c Сағат бұрын
Kwanini nyinyi mkubali kuachiwa, halafu mkubali kumuacha Mdude ndani mngekataa kuachiwa mpaka muachuwe wote na Mdude, ndio maana mm mawazo yangu binafsi huwa na amimini wewe ni chawa tuu vaku wewe, unachievable na akili za wenzako
@joojombi2341
@joojombi2341 Сағат бұрын
Wacheni kupotosha umma nyie bhana muogopeni mungu wenu bac waongo wakubwa mafatani wakubwa sio ratiba yenu kuingilia ratiba za chama kingine. Wacheni upuuzi kupotosha umma
@Happynesi-d4k
@Happynesi-d4k 4 минут бұрын
Unateseka ndugu kama vile nakuona
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Сағат бұрын
Mdude kupigwa sio kitu cha Ajabu kwani huwa anatukana sana Polisi akifikiri ni Wajomba zake hivyo leo wamempa anachostahili. Mbona wengine hawakupigwa? ina maana Mdude ameenelea kutukana Polisi akiwa Cello ndio akapatiwa kipigo.
@pastorzakariatv1786
@pastorzakariatv1786 Сағат бұрын
Kaka kuna mtu nilimuonya wakati wa magu alishabikia sana nika mwambia leo kwa yule kesho kwako hatimaye baada ya utawala kubadilika ameteswa sana akidai kuuliawa mwanae kupolwa Mali yeye mwenyewe kusota gerezani na kutoka kwa faini nzito ndugu niseme tu hivi dunia hii inazunguka alafu lamwisho waswahili husema hujui kufa kachungulie kabuli 😭😭😭😭
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Сағат бұрын
Kwani kulipa visasi imeandikwa wapi? Labda kwa asiyejua ndo maana tunazo mahakama za kutoa haki unapotenda kosa unapelekwa huko na si kujitwalia mamlaka ya chombo kingine. Kazi ya Polisi ni usalama wa raia na mali zao, kazi ya JWT ni kulinda mipaka ya nchi!! Tujifunze majukumu ya hivi vyombo itusaidie ktk kutekeleza majukumu yetu. Aidha, mtu kama huna hoja kaa kimya halijakutokea usiombe na laja kwako, ole!😮
@MoEd-k8w
@MoEd-k8w Сағат бұрын
Naamini angewatukana police wangempeleka mahakani, itakuwa anasema ukweli tu kuhusu wao, CCM na polis wanaona matusi
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 4 сағат бұрын
Mbw sio wote unaweza kutudanganya kila mara huna chochote wewe zaidi ya Ruzuku ya Chama unaipambania ukishaipata unatulia unasubiria chaguzi zingine
@AmedeusShiyo
@AmedeusShiyo 3 сағат бұрын
Kuma weww shogga
@abuumuhammad7133
@abuumuhammad7133 3 сағат бұрын
@AmedeusShiyo sawa ila wewe ni ji K zaidi maana hutambui na hujitambui wenzako.wanakula.maisha wewe unateseka
@yassinnabwera4273
@yassinnabwera4273 3 сағат бұрын
Wewe ni nguruwe pori unaejipendekeza kwa Watawala,huna faida yoyote,huwezi kumwita Mbowe mbwa,pumbavu kabisa,watu kama wewe ndio mzigo wa nchi hii
@CharlesMwakajinga-r5d
@CharlesMwakajinga-r5d 3 сағат бұрын
Hayo mawazo kamwambie mamayako
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 3 сағат бұрын
Mbona nyie wenye majina ya kiyemeni siku hiz mnajiona nchi ya kwenu pumbavu zenu​@@abuumuhammad7133
How China Uses Mexico To Avoid U.S. Tariffs
19:09
CNBC
Рет қаралды 2 МЛН
Новости дня | 23 ноября - утренний выпуск
4:49
Euronews по-русски
Рет қаралды 9 М.
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
Real Man relocate to Remote Controlled Car 👨🏻➡️🚙🕹️ #builderc
00:24
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 30 МЛН
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 10 МЛН
Trump Is Facing a Losing Tariff War With China
9:20
Bloomberg Originals
Рет қаралды 823 М.
Perang Akhir Zaman Dah Hampir - Ustaz Auni
39:21
Meet My Malaysians
Рет қаралды 576 М.
LISSU AWA MBOGO ‘Polisi mwachieni Mbowe’, ADC yajipanga Kiseke…
7:52
POLISI YATAJA SABABU KUMSHIKILIA MDUDE WA CHADEMA, WENGINE WAKIACHIWA
2:54
Йоурова: "Венгрия должна уважать решения МУС"
1:46
The long game: how will US missiles help Ukraine?
24:46
The Economist
Рет қаралды 9 М.
TUNDU LISSU ALIZA WATU KWENYE KAMPENI ZA CHADEMA MAMA ANA TOFAUTI NA MAGUFULI
2:06
NTANTA EMPIRE ONLINE MEDIA
Рет қаралды 1,5 М.
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31