Watu wa kigoma nipeni like hap sis wahangaikaji chooo cha urisi hatal😅😅😅😅😅
@jemuswaryoba82665 жыл бұрын
jams
@shabanilwei84165 жыл бұрын
Braza K we ni noma sanaaaa eti mbinguni ukizimia ukizimuka kofi chalii ngwalaa 😂😂😂😂😂😁
@dalalichapuchapu11246 жыл бұрын
Big up brother k nimekuelewa sanaaaaa
@karimramadhani90525 жыл бұрын
Sana
@zaharanihassan90136 жыл бұрын
as an intellectual one, I always follow you, I get the big lesson, full respect to u
@micamathew64335 жыл бұрын
Ahsante sana bro. K tuko pamoja sana kutoka huku pande za Haydom Manyara. Ila kuna kitu nimekijifunza hapo..Bwana samaki alikuwa anapenda sana kulalamika. Kitu ambacho ni hatari sana kwa maisha ya kiroho. Wana wa Israel walilalamika wakaishia kuangamizwa na Mungu. Katika kitabu cha wafilipi2:14...inasema Yatendeni mambo yote pasipo manung'uniko wala mashindano. Sasa tuepuke hiyo tabia ya kulalamika. Ahsante sana.
@malkiawafizi23945 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂urithi wa chooo mimi jamani.
@alfanijuma29095 жыл бұрын
Ukoap
@chikondotv65306 жыл бұрын
Bonge ya urithi duuuuh nimecheka mpka wafanyakazi wenzangu wakanibeba nilikuwa ofsni duuuuuuuhh noma sana
@balakamwangwale85516 жыл бұрын
Kamui legends
@jolemerci21553 жыл бұрын
Umeongea kweli ndugu wangu hâta kaki kazi ila analia maisha sana wewe ni elimu yakujifunza kwa mwenye akili
@mwisesamwel6995 жыл бұрын
Eti kwa nin mimi na huyu tufanye changizo😂😂😂
@yassinjoho42765 жыл бұрын
Walikuwa wanamcheka kumbe anaakili yake bro K wewe noma