Brother Nassir - Ntakuona Vipi (Official Music Video)

  Рет қаралды 573,979

Brother Nassir

Brother Nassir

Күн бұрын

Song: Ntakuona Vipi
Artist: Brother Nassir (BN) East Africa Nasheed Artist
Audio Studio: Shirkomedia/Shirko
Video Production:Ace Pix International
Director: Mac Choka The Last Omaris Son
D.O.P: Khalfan Hoka
Creative Consultant: Ignacio Hennigs
Dressed by : Promode Mombasa - Mohammed Mahrous
Venue : Travellers Beach Hotel Mombasa
.
.
Follow Brother Nassir On Instagram
...

Пікірлер: 729
@BrotherNassir
@BrotherNassir 5 жыл бұрын
Salaams Thanks For Watching, Commenting, And Please Don't Forget Subacribe And To Share. #NtakuonaVipi #TeamLaazimTartiib . . You Can Follow Brother Nassir On His Official Instagram Account Through This Link instagram.com/brothernassirofficial?igshid=14g5e0ozq963x
@adanmohamud7425
@adanmohamud7425 5 жыл бұрын
Always bro 🤗
@mahmoudraudha7357
@mahmoudraudha7357 5 жыл бұрын
Brother Nassir nice mashaa allah
@goldenheart8738
@goldenheart8738 5 жыл бұрын
Brother Nassir . MashaAllah,😍
@feyally9549
@feyally9549 5 жыл бұрын
Subhana'Allah ulianza nasheed nzuri ila sasa imekuwa music
@fauziakassim323
@fauziakassim323 5 жыл бұрын
Brother nassir mbna watubwaga na miziki mashallah sauti yako ni mziki tosha mungu kakujalia
@sabryrinho2046
@sabryrinho2046 5 жыл бұрын
Brother umesahau aliwahi kukuasa sheikh juma ameir usijeingia ktk shubha za miziki ila naona umeghafilika! Allah akuongoze cc wengne tunapendelea zaidi nasheedz to bila ya miziki
@muhammadmbinda1623
@muhammadmbinda1623 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jpStgoh_fbWseJo. Hii ni nasheed mpya inayoitwa tabassam .bofya hiyo link kuipata nasheed hiyo.usisahau kulike kushare na kusubscribe for more beautiful nasheeds . shukraan
@officialmrflavour..1386
@officialmrflavour..1386 5 жыл бұрын
Hvyo Hvyo brother Muslim kila kitu ndanyy
@mudyzzube1204
@mudyzzube1204 5 жыл бұрын
pale utapo amua kusafisha nafsi yako kwa mola wako bac hakuna litakalo shindikana llte kwako . bro balika
@husseinshamte7129
@husseinshamte7129 5 жыл бұрын
Kumbe unazungumzia kupendelea na sisi tunapendelea hizi pia
@musaali2385
@musaali2385 5 жыл бұрын
brother u the best maashaa'Allah usimsikilize mtu ww fanya mpaka umuone rasuli, thnx kwa qaswida nzuri mno.
@mwinshehenassib4853
@mwinshehenassib4853 5 жыл бұрын
Ili umuone tumwa wako. Acha kuimba muziki ishia kwenye nasheed. Na ufanye ibada nyengine. Allah atakukutanisha na tumwa wako in sha Allah
@halimamariri5699
@halimamariri5699 5 жыл бұрын
Wallah nakupenda kaka nasir lakini siku hizi unaimba nashid kama mziki ,,,nakupendanda kwa ajili ya Allah na nakuusia kaka nasir acha kutumia instrument zitakazokufanya nashid ionekane kama muzik wabilah tawfik ,,Allah atuambia kumbusha hakika yaukumbusho huwafaa waumin
@حليمهال-غ1ظ
@حليمهال-غ1ظ 5 жыл бұрын
Hata mondi anamtajaga mungu. Ndoivo tumuachie Allah akuzindue. Watoto wangu huwa nawapatia simu wakisikiliza nashiid zako ila sasa KWAHERI!
@amtafali6747
@amtafali6747 5 жыл бұрын
Poozooo wa moyo wangu twabibu wa maradhi yanguu....... Yarabbi tuonyeshe tumwa amini amiiin yaa rabb.... Atuongoze njia ya hakki
@mustafaissa1921
@mustafaissa1921 5 жыл бұрын
Ulichotunga Niki kitu safi sana siishiwi hamu ya kusikiliza Ila nafilkria juu ya biti kwa Allah na tumwa wetu Muhammad(s.a.w.w)li mustwafa.
@kareemmucky7257
@kareemmucky7257 4 жыл бұрын
Kazi nzur Wanoona Hii Haifai wao hufanya Ambayo hayafai mbele za mungu Kbsaa Tumswifu mtumiiiii
@ahmadal_muhaajir8091
@ahmadal_muhaajir8091 5 жыл бұрын
sote twatamani tuwe na yeye peponi na in sha Allah tuwe katika bishara ya mtumi alio mpa mbedwi kua أنت مع من أحببت twakutamani ya rasullahi na tukilia kwa ajili yako tuna haki brother nassir masha Allah mola akuzidishie nikatika qasida zenye maana makubwa na athari kubwa katika nyoyo za wanao mpenda mtumi Allah barik
@habibhamad5093
@habibhamad5093 5 жыл бұрын
Brother Mwanzo nilikuwa nakukubaliiii sanaaa.....But kwa sasa Wallah mapenzi yale yanapungua taratibu... INSTRUMENTS na MIZIKI na MINANDA yote haraaamm....a Allah akuongozee yote uya2qche hayooo
@umma6654
@umma6654 3 жыл бұрын
@@neemayauislamutv8547 ww una akili kweli
@zahertanzanian8583
@zahertanzanian8583 4 жыл бұрын
Jaman Tuepuke kutoa fatwa pasi na elimu ni hatari. Huona mmoja wenu unyasi kweny jicho la nduguye na Anasahau gogo kweny jicho lake kama ilivykuja ktk hadith...
@zobidaal4423
@zobidaal4423 5 жыл бұрын
Nibora zaidi brother Nassir ukatutolea nasheed bilaya kuweka mziki nahisi itakuwa nibora zaid
@dijeiyaa8025
@dijeiyaa8025 5 жыл бұрын
Nakuonea huruma kaka tunakoenda kuna Moto mkaliiii sanaaaa na ataingia kila aliekeuka Amri ya Mola watu nakukumbush tu kaka Acha kuimba Acha kuimba Acha kuimba Nakupenda Kk stak upoteee dunia ni njia tu Akhera ndokuna makaz usisahau ilo neno kk
@mizbahabdallah7171
@mizbahabdallah7171 5 жыл бұрын
Yarabbi akuhifadhi ndugu yangu naona wengi wana sema muziki twawaombea muone njia ya sawa
@neemayauislamutv8547
@neemayauislamutv8547 5 жыл бұрын
Hahahahaha😅😅 Kinacho Kinachonichekesha ni kwamba Leo mawahabi mume kuwa wapole tena na kulalamika na kujitia mwatoa Nasaha kisa Alie fanya Shubuha hiyo ni muwahabi mwenzenu ila wange kuwa wale wengine Subhanallah!! Maneno machafu yote munge yamaliza na mwisho munge muingiza motoni Lakini leo yame mikuta nyie sasa mumekuwa wanyongeee Hahahahaha😅😅 munalo hilo ila tuache maskhara NGOMA IMETULIA😅😅
@fatomajuma1578
@fatomajuma1578 5 жыл бұрын
Maashaallah hongera kwakweli nashed zako hujawahi kukosea kwanza zinautulivu fulan
@SalimAlly
@SalimAlly 5 жыл бұрын
Nasheed ni nzury mashallah ila tatizo ina mziki jambo ambalo limeifanya ipungue utamu wake. Tuletee isio na muziki kwa video hii hii itakuwa tamu zaidi.
@alimusa9240
@alimusa9240 5 жыл бұрын
Salim ally uko kimya dondosha vitu
@SalimAlly
@SalimAlly 5 жыл бұрын
@@alimusa9240 Nimetoa mwezi mmoja uliopita kwenye channel ya noorzania na nategemea kutoa nyengine soon inshallah hebu cheki hii kwanza kzbin.info/www/bejne/oWXSYqemZ7ueaK8
@bahariyaiil5136
@bahariyaiil5136 5 жыл бұрын
Mwambie yatampelek moton we Salim ally
@hishamabrar3045
@hishamabrar3045 5 жыл бұрын
Kusemwa ni mila hata kama huna ila brother naseer endelea na kazi yako achana na maneno ya watu hayaishi
@shaabansungura3205
@shaabansungura3205 5 жыл бұрын
Kaka Qaswida yako mzur na inamafundusho mazuri ndanimo Masha alla lakn tatizo umetumia ala za music (biti na kinanda) na Kwa mafundsho ya din ytu hairuhusu ndugu (haram). Tafadhali kaka rudi kama zaman itakua inapendeza insha Alla🙏🙏
@neemayauislamutv8547
@neemayauislamutv8547 5 жыл бұрын
Leila Munisi Hahahahaha😅😅 Kinacho Kinachonichekesha ni kwamba Leo mawahabi mume kuwa wapole tena na kulalamika na kujitia mwatoa Nasaha kisa Alie fanya Shubuha hiyo ni muwahabi mwenzenu ila wange kuwa wale wengine Subhanallah!! Maneno machafu yote munge yamaliza na mwisho munge muingiza motoni Lakini leo yame mikuta nyie sasa mumekuwa wanyongeee Hahahahaha😅😅 munalo hilo ila tuache maskhara NGOMA IMETULIA😅😅
@fatmaabaraka698
@fatmaabaraka698 5 жыл бұрын
Hapana hapana hapana hyo ni bongo fleva kabisa yaan unazid kuharibu hyo siyo din subhanallah Allah atuongoze tunafanya mambo kuridhisha nafs zetu na siyo Allah,ulianzavzr
@Lifewithmumti
@Lifewithmumti 5 жыл бұрын
Mbona umeanza kuongeza mziki...wallah khalaas subhanallah .....Mungu atupe thabaat hadi mwisho
@adbellar338
@adbellar338 5 жыл бұрын
I'm Christian but your music brings peace to my soul. Asante sanaa kaka yangu.
@OmarAli-wr1ti
@OmarAli-wr1ti 5 жыл бұрын
Nakumbuka Enzi zile Nikifikir Mauti wallah Hua naskiliza mpaka leo Nahisi Mawaidha tosha natokwa na Machoz lkn bro hizi Achana nazo Allah barik my brother in deen
@derevawabajaji7122
@derevawabajaji7122 5 жыл бұрын
Music haram brother nasser
@neemayauislamutv8547
@neemayauislamutv8547 5 жыл бұрын
Leila Munisi Hahahahaha😅😅 Kinacho Kinachonichekesha ni kwamba Leo mawahabi mume kuwa wapole tena na kulalamika na kujitia mwatoa Nasaha kisa Alie fanya Shubuha hiyo ni muwahabi mwenzenu ila wange kuwa wale wengine Subhanallah!! Maneno machafu yote munge yamaliza na mwisho munge muingiza motoni Lakini leo yame mikuta nyie sasa mumekuwa wanyongeee Hahahahaha😅😅 munalo hilo ila tuache maskhara NGOMA IMETULIA😅😅
@azzamaruzuku3052
@azzamaruzuku3052 5 жыл бұрын
Brother nasir pls rud ktk nashid na achan na hiz ambaz waimba saiv nisameh kama nitakuw nimekuingilia ktk maamuz yako ya maish yako sorry
@s.h.n5623
@s.h.n5623 5 жыл бұрын
Assalamu Alaykum brother Nassir. Usitie msiziki brother, zinakua nyimbo tena co nasheed
@swafaasalim9802
@swafaasalim9802 5 жыл бұрын
MashaAllah! I really love my beloved prophet (s.a.w) Thank you brother Nassir may The Almighty bless you brother, you touched me with this song❤
@saidmohamed7276
@saidmohamed7276 5 жыл бұрын
ماشاءاللہ ماشاءاللہ ﴿لیته خصنی برٸیة وجه زال عن کل من رآه الشقاء ﷺ﴾: بارك الله فیك یاابن أختی.
@khadijabayagax7176
@khadijabayagax7176 5 жыл бұрын
Duuuh yaan cku hz cjui umepatwa na nn ndg yangu, Nasheed ndo zinanoga na co kutumia beet za mzik.Kwa hv ss hauna tofaut za wasanii wa muzik. Allah akuongoze utoke huko uliko sasa
@neemayauislamutv8547
@neemayauislamutv8547 5 жыл бұрын
Leila Munisi Hahahahaha😅😅 Kinacho Kinachonichekesha ni kwamba Leo mawahabi mume kuwa wapole tena na kulalamika na kujitia mwatoa Nasaha kisa Alie fanya Shubuha hiyo ni muwahabi mwenzenu ila wange kuwa wale wengine Subhanallah!! Maneno machafu yote munge yamaliza na mwisho munge muingiza motoni Lakini leo yame mikuta nyie sasa mumekuwa wanyongeee Hahahahaha😅😅 munalo hilo ila tuache maskhara NGOMA IMETULIA😅😅
@lydiahneriss6183
@lydiahneriss6183 5 жыл бұрын
Sioni ubaya na wimbo huu, system katumia kama waarabu middle East ,nimeipenda
@SultanDean
@SultanDean 5 жыл бұрын
Kongole Nassir. Wimbo mzuuuri tu. Usiwaskize mahasidi
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 жыл бұрын
Tunakupenda kwa ajili ya Allah ndio maana ukifanya makosa tunakuambia
@spaice995
@spaice995 5 жыл бұрын
Binadamu sisi ni viumbe tusio na jema kabisa wala Shukran. Kila mtu naona anazungumzia uharamu wa hii nyimbo utazani wao wanaondika hizo comment ni malaika........... Live long brothers Nassir Allah ndo ajuae kipi haramu na kipi halali
@swafaasalim9802
@swafaasalim9802 5 жыл бұрын
يا ملء روحي وهج حبل في دمي .....قبس يضيء سريرتي وزمام أنت الحبيب وأنت من أروي لنا ....حتى اناء قلوبنا الإسلام
@athamanathman6950
@athamanathman6950 3 жыл бұрын
Brother umemaliza mungu akulinde na mahasidi wa duniani Ameen yarabi
@allythabit5175
@allythabit5175 5 жыл бұрын
umeanzaaa vizurii sasaaa unazinguaa instrumental unawekaaa za nn unatuwekeaaaa mzikii sisss zkilizaaa peke ako
@hakikamuhammad8887
@hakikamuhammad8887 5 жыл бұрын
Mimi na wanangu tulikuwa tunakupenda na nashiid zako za nyuma but now tushakuhama mpaka utaporejea ktk mstari nashiid umexigeuza mziki, hata km kuna maneno ya qur'aan utayasoma lkn umetia ala tutaendelea kuwa mbali na hilo kwani haki na baatwil vikikutana basi huwa kihukumu hiyo ni haraam Badilika kabla ya kujiliwa na mjumbe wa umaut Sote ni wa Allah na kwake marejeo then tukayakabidhishe yale tuliyoyachuma Itakuwaje mtu unarudi kwa Allah unaenda kumpa ripot ulikuaa unalingania kwa kupitia ala km kanisani
@nyebukahaji1405
@nyebukahaji1405 5 жыл бұрын
......
@neemayauislamutv8547
@neemayauislamutv8547 5 жыл бұрын
usha skiza halafu wa mwambia askize peke yake Hahahahaha😅😅 Kinacho Kinachonichekesha ni kwamba Leo mawahabi mume kuwa wapole tena na kulalamika na kujitia mwatoa Nasaha kisa Alie fanya Shubuha hiyo ni muwahabi mwenzenu ila wange kuwa wale wengine Subhanallah!! Maneno machafu yote munge yamaliza na mwisho munge muingiza motoni Lakini leo yame mikuta nyie sasa mumekuwa wanyongeee Hahahahaha😅😅 munalo hilo ila tuache maskhara NGOMA IMETULIA😅😅
@mohamedbadru8005
@mohamedbadru8005 5 жыл бұрын
Mpaka Leo sijafahamu definition ya neno Mziki
@zenakhamis4002
@zenakhamis4002 3 жыл бұрын
Nmeipenda hii big up brother. N
@SK-gj3jb
@SK-gj3jb 5 жыл бұрын
Yaani Mzee Gharib Khamis kafanyafanya mpaka akaingia kwa hii Video. 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁tena kama special appearance 😁😁😁😁 sijui next Nashid ni ww utaitoa.
@salimhabib2177
@salimhabib2177 5 жыл бұрын
A.s.alykum bro nasser jitahid kuepukana namiziki ishalllah
@hamidabduhamid9158
@hamidabduhamid9158 5 жыл бұрын
hii si music broo
@salimhabib2177
@salimhabib2177 5 жыл бұрын
Hamid Abduhamid ok ishallah
@salumkarim69
@salumkarim69 5 жыл бұрын
By zenjibar-bro mimi ni no1 miongoni mwa shabic wako lkn naona ndo yale yale naruka makojo nakuja angukia katika kinyesi ... ittaq llah
@helmyabdallah7171
@helmyabdallah7171 5 жыл бұрын
wallah unajuaa kaka munguu akulindee na akuongezeee
@deed1134
@deed1134 5 жыл бұрын
Khaaaa babangu mzee gharib nimekuona 😘😘😘😘😍😍😍😍💕💖💖🌹msalimie fauzia sana
@djuninhoramisos2453
@djuninhoramisos2453 5 жыл бұрын
Nasheed izi si mziki faidikeni kwa mafunzo hata kwa hivyo asnte brother Nassir be blessed
@yusufyusuf7815
@yusufyusuf7815 5 жыл бұрын
To every single one of you guys here with the negative comments all I’m going to say is don’t judge him y’all will have to leave that to “Allah”, if you are going to support him go ahead Support him and if you not going to support him then don’t there’s no need with the negative comments because they won’t harm him or anything, y’all are acting like none of you guys listen to music when it haram too all of us in this world do a lot of things that are not allowed in our Deen but only God can Judge us, so to all the haters y’all let him do whatever he wants to do it his life if you don’t like his work then beat it don’t come here with your negative comments because I’m sure they won’t stop him or anything, Nassir Great Job on this one 10/10 Ma Shaa Allah the wait was worth it My blood ❤️❤️ don’t let any one this people with hate put you down. #NTAKUONAVIPI 2019 all time favorite ❤️
@BrotherNassir
@BrotherNassir 5 жыл бұрын
Thanks My Blood ❤✔✔✔
@abuuuruwatally3902
@abuuuruwatally3902 5 жыл бұрын
Sub han llah , kwa stail hii kweli hautamuona kabisa , hata nami ninae sikiliz lia nnamashaka kumuona..😢
@asiaa5196
@asiaa5196 5 жыл бұрын
Ukisikia kufeli ndio huku tulipenda nasheed zako bila nanda izo na kwahali hii huyo mtume ataenda kuonwa na wachache sana
@Noname-gg6bx
@Noname-gg6bx 5 жыл бұрын
Nyimbo nzuri ningependa kukushauri nyimbo itakayofuata umshirikishe Alikiba au Diamond itakuwa nzuri kuliko hii
@AlmaraamTv
@AlmaraamTv 5 жыл бұрын
Usijali tutamwambia hata babako atashirikishwa pia. Sawa.
@zukhaannassor6149
@zukhaannassor6149 5 жыл бұрын
Allah atuongoze kulipo kua sahihi in shaa Allah
@Prankchan1
@Prankchan1 5 жыл бұрын
brother nassir nataka kufanya kazi na wewe vipi nianzeje
@omartv2138
@omartv2138 5 жыл бұрын
Mm napenda sana bila ya miziki toa hyo bro nasir sw
@mammbwana1285
@mammbwana1285 5 жыл бұрын
Brother unavuk mipka sasa imba nyimb tujue hii sio nashid jmnii
@halimasaid4977
@halimasaid4977 5 жыл бұрын
Kabisa walah
@ashasleman3816
@ashasleman3816 5 жыл бұрын
yaaani ilikua napenda nashidi zako lkn unaharibu kwa 7bu ya music so rudi kwa allah unajiharibia brother aah dhabi kwel izo
@halimasaid4977
@halimasaid4977 5 жыл бұрын
Sahihi ujue chumvi ikizid inaharibu unajua inakolea watapenda chakula kumbe watakiona kibaya
@muhammadmbinda1623
@muhammadmbinda1623 5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/jpStgoh_fbWseJo. Hii ni nasheed mpya inayoitwa tabassam .bofya hiyo link kuipata nasheed hiyo.usisahau kulike kushare na kusubscribe for more beautiful nasheeds . shukraan
@binshebimotv2157
@binshebimotv2157 5 жыл бұрын
🙄🙄🙏 mziki ni haramu mashairi ni halali kwa kumsifu tumwa ,toa ala na flavour za mziki ujumbe utafika kwa uwezo wa Allah inshaallah
@salimmwendo5998
@salimmwendo5998 5 жыл бұрын
Mungu akuongoze...maana wendako ..mwisho utaimba colabo na lava lava...madilika kabla mauti hayaja kufika
@mwashambamakame4435
@mwashambamakame4435 5 жыл бұрын
Kaka mambo yamebadilika, ala za mziki za nn tena, nakushaur na hili la kuimba uombe radh kwa allah
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 жыл бұрын
As alykm bro tunapenda qaswda zako sana na unapo imba bila ya ala za music zinapendeza sana hii qaswda umeweka ala za music imekua haina tofauti na nyimbo zakina diamond inaondoa murua yakuskiliza inatia ibilisi na ni haram qaswda zako usiziweke kundi labongo flavour mfano qaswda uliyo imba amina kapewa imekua nzur na inahisia kali nainatia huzuni kutokana haina ala zamziki sisi hatuhitaji music tunahitaji voice tu bro
@AminaAmina-jf6sm
@AminaAmina-jf6sm 5 жыл бұрын
Eee jamaa munzidi sasa,alpomuimbia mkewe munsema ni mbosso ameimba hii qaswida pia mwamfananisha na mbosso.si vizuri hvo.mwamfananisha muislamu na kafiri?km hamuezi comment vizuri na vibaya musicomment.
@kassimsidiq8594
@kassimsidiq8594 5 жыл бұрын
Nani alokwambia mbosso ni kafiri..Yule naye ni mwislam acha kufru jomba..Acha kosa lisemwe..
@Yaskaonfleekofficial
@Yaskaonfleekofficial 5 жыл бұрын
😁😁😁😁napita tu
@AminaAmina-jf6sm
@AminaAmina-jf6sm 5 жыл бұрын
Brother nasser ako tofauti sanaaa na waimbaji wengine so please.watu wengine wantumwa kuchunguza tu kinachoendelea nkt
@japhariydhwahi2255
@japhariydhwahi2255 5 жыл бұрын
its good twbibu w moyo wangu pozo la maradhi yangu doh hatareeee
@najmaalzaabi8385
@najmaalzaabi8385 5 жыл бұрын
Sijui umepatwa na nn angalia hata video zako za sasa zinaandikwa music video sio nasheed tena daaaah pole mm umeniboa
@marwatawfiqabdalla16
@marwatawfiqabdalla16 3 жыл бұрын
Tutamuona inshaallah kipenzi chetu rasula Allah Mohammad
@malinaalinassor6538
@malinaalinassor6538 5 жыл бұрын
Brother sijakuzowea ukiwa unasoma hivi subhannah wallah kaz nnzur ila umeharibu mziki jamani iyo tarabu asili kabisa 😢😢
@shaibuselemani2135
@shaibuselemani2135 4 жыл бұрын
Hiyo ni miziki halafu anatajwa mungu hivi hujui kuwa hayo mabiti hayafai
@BrotherNassir
@BrotherNassir 4 жыл бұрын
asante kwa kuchukua mda wako ku comment
@mamafatuma138
@mamafatuma138 5 жыл бұрын
MashaAllah nakupenda kwa ajili ya Allah bro
@hamidabduhamid9158
@hamidabduhamid9158 5 жыл бұрын
Santa Santa .......Allahuma swalli aleihi wasalim
@ommytamir2783
@ommytamir2783 5 жыл бұрын
mashallah kazi nzuri sana brother N
@luqmanmahir78
@luqmanmahir78 5 жыл бұрын
Wllhy Cmalizi utamu wa hii nasheed ma favorite👌👌👌👌
@biommy9472
@biommy9472 5 жыл бұрын
Ma shaa llah tabbaraka llah..Ameen ya Rabb Allah atuongoze swiratul mustaqim tuqawe wote peponi Bihdhinllah
@hassankhalid2753
@hassankhalid2753 5 жыл бұрын
MashaAllah comments zote hapo naona BN anawatupia kopa(love). I LIKE THAT. One one love Brother Nassir . Hakuna chuki.. #ikolove
@firdausmakupula9144
@firdausmakupula9144 3 жыл бұрын
Allah atujaalie mwisho mwemaaaaaa...!!
@ustaadhabuakthamjamallali7068
@ustaadhabuakthamjamallali7068 5 жыл бұрын
MashaLlah kaka next tym isiwe na ngoma ingevutia sana
@fathiyaalfalahi5062
@fathiyaalfalahi5062 5 жыл бұрын
Bila ya music ingependeza zaidi 😇
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 5 жыл бұрын
InshAllah heri sote na nabii Mohamed
@rahmahabibu1432
@rahmahabibu1432 5 жыл бұрын
Very nice bro , ila ili kumuona rasuulallah , muhim kudumu ktika ibada ,na kumswalia angalau Mara 1000 kilasiku
@hawamohamed4281
@hawamohamed4281 5 жыл бұрын
MashaAllah x3 Akhy Allah akujaalie kwakutupa Nashid nzuri
@mwanamisaomar346
@mwanamisaomar346 5 жыл бұрын
Mashaallah nasheed yako ingekuwa vizuri zaidi bila mdundo.
@amandakayitesi4447
@amandakayitesi4447 5 жыл бұрын
Mashallah.....Allah akuongezee
@amandakayitesi4447
@amandakayitesi4447 5 жыл бұрын
Asante sana kaka ...barka tele
@amandakayitesi4447
@amandakayitesi4447 5 жыл бұрын
Kakangu...alafu mimi msichana
@swalehsaidabdalla3037
@swalehsaidabdalla3037 5 жыл бұрын
Ma sha Allah nzuri sana In sha Allah utamuona na utaokoka hapa duniani na kesho qiama utakua naye صلى الله عليه وسلم
@سالمهزنجبار
@سالمهزنجبار 5 жыл бұрын
Shukran kwa maneno mazuri ila vinanda ondoa sauti yako yatosha
@hajielmi7518
@hajielmi7518 5 жыл бұрын
bora usome nasheed tu sio mziki kama ivyo au unataka kuingia katika dunia kidogo kidogo
@naimaali6452
@naimaali6452 5 жыл бұрын
Mm binafsi sijapenda kuwa seiv.unaweka mziki.kaka
@islamjarwan2895
@islamjarwan2895 5 жыл бұрын
asalam alaykum bro hii sio qasida hii ni nyimbo kama daimond nasaha yangu kwako rudi kwenye mstari na usiwasikilize wanao kusifia kwa hili wanataka uangamie.shukran.
@MuhammadAwadh-b7y
@MuhammadAwadh-b7y 24 күн бұрын
Hizi sio nyimbo zinaitwa naashed
@iptysamadam4354
@iptysamadam4354 5 жыл бұрын
MashaAllah da qaswida is very nyc👍keep it up ❤
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 5 жыл бұрын
Brother Nasir tafadhal soma comments na ujipime. Haiwezekani wengi wakafanana kwa mtazamo katika kukuonya matumizi ya "Ala" za muziki. Na kama umetumia Ala hizo ukijua kuwa wengi watakukanya basi ALLAH akuongoze
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 5 жыл бұрын
👆 Point
@AlmaraamTv
@AlmaraamTv 5 жыл бұрын
Acha uongo , comments za wengi wamependa, wachache ndio mahasidi, pambana na hali yako, brother nassir lete vitu bro
@kibongobongo4608
@kibongobongo4608 5 жыл бұрын
@@AlmaraamTv Labda kakosea katika mahesabu ya comments lakini ukirudi katika sheria ya Dini kwa asilimia 💯 yupo sahihi na ndio muhimu kwa kaka yetu na kwetu sote. Na huu ndio Uisilamu kukatazana mabaya na kukumbushana yaliyo mema ambayo yanatuongoza katika njia iliyo sahihi ili kuingia Peponi na ndiyo kila mtu anaihitajia. Sasa usikasirike kwa kukumbushwa ndugi yetu kwani hata kina Diamond na Ali Kiba na waisilamu wengine kama Hao wanastahili kuombewa ili waondokane na kazi walioichagua. Anaekuambia yenye ukweli na yenye faida basi jua mtu huyo ni mwenye mapenzi ya dhati na ndugu yake na hakuwa mchoyo wa kumnasihi. Tusiwe wachoyo wa kuongozana Peponi kuliko kumuacha ndugu yako anapotea alafu unamsapoti au kumnyamazia hata Allah hapendi watu wachoyo. Dini ni Nasaha hivo maneno mazuri ni bora zaidi na yananguvu kuliko Kibri
@blacknature7637
@blacknature7637 5 жыл бұрын
Hahahaaaaaa qasuda imekuwa taarabu 😁😁😁 balaaaaaa umekuwa mrithi wa mzee yousuf
@maxamedqays1631
@maxamedqays1631 5 жыл бұрын
MashaAllh Bro wangu sonka mpele
@fatmahmwinyi4061
@fatmahmwinyi4061 5 жыл бұрын
MashaAllah nasheed nzurii....imenitoa machoz haswa mabrook al habib 😭😭😭😭
@fatmahmwinyi4061
@fatmahmwinyi4061 5 жыл бұрын
@@mustaphahassan589 w,alykm slm inshaAllah biidhinllah habib
@youngdino847
@youngdino847 5 жыл бұрын
Bro nassir hawakueziii💯💯
@khadijaally5233
@khadijaally5233 5 жыл бұрын
Mashaallah shukran brother
@eshacgirl3207
@eshacgirl3207 5 жыл бұрын
all songs are mashallah😚 napendelea kwa san song zako na unavyojisitir
@salmambarak7265
@salmambarak7265 5 жыл бұрын
In Shaa Allah utakua pamoja nae tumwa 🙌
@batulibakari8104
@batulibakari8104 5 жыл бұрын
Mashallah napenda mashairi yako kaza buti maneno hayeshi kila mwanadamu na amali zake
@zubeiriddi4676
@zubeiriddi4676 5 жыл бұрын
Wakwanza ku like na kucomment nice one brother nassir wapi likes zangu
@fadhilimuhammad1556
@fadhilimuhammad1556 5 жыл бұрын
Hii mziki sasa itaq Allah iwe ndugu yangu unapotea,
@Trivela1000
@Trivela1000 5 жыл бұрын
Hakuna tofauti yako na diamond bratha bado kuweka videmu hapo uimbe nao kisha hivi ndo wadhani umeendelea zinduka kaka
@rahmasaid62
@rahmasaid62 3 жыл бұрын
Hakika uko vizuli Sana Kaka napia huwenzi wakamilishia wanadam watakacho kwasababu kila mwanadam anamapungufu yake so piga kazi sofa mbele
@ibrahimbwana138
@ibrahimbwana138 5 жыл бұрын
Maashallah. Qaswida nzuri xana ❤
@damaahamis2046
@damaahamis2046 5 жыл бұрын
Nzur but I think bila y mnanda ingependez zaidi
@mtupeace5126
@mtupeace5126 5 жыл бұрын
nassir brother imba ukisema ufwate maneno ya watu kila kitu wamefanya ni bidaa tu
@shaibumrisho162
@shaibumrisho162 5 жыл бұрын
Kaka nassir nakukubar sana mungu akubariki sana amiiin kk
@shaibumrisho162
@shaibumrisho162 5 жыл бұрын
Mustapha Zain Official tuma link
@jamalj.mulley3994
@jamalj.mulley3994 5 жыл бұрын
MashaAllah this is an International Work Big Up To Everyone who participated in This.....Cc...Brother Nassir,PROMODE And SHIRKOMEDIA
@exsaverymachaninga6138
@exsaverymachaninga6138 5 жыл бұрын
vizuri sana mwanangu bonge la idea sio kila mtu aimbe nyimbo za dunia,Pambana kaka Uko vzur
@digekedi
@digekedi 5 жыл бұрын
Mashallah nilikua nikisubiria kwa mdaa mreefu hini nasheed nice one #brotherNasir
Brother Nassir - Wangu Wa Halali (Official Wedding Song) With Lyrics
3:15
Brother Nassir
Рет қаралды 3,8 МЛН
Brother Nassir - Kidamani Kishtuluna (Official Video)
4:24
Brother Nassir
Рет қаралды 329 М.
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН
Я сделала самое маленькое в мире мороженое!
00:43
Кушать Хочу
Рет қаралды 4,3 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 30 МЛН
Brother Nassir | Umpende Mke Wako | Best Swahili Nasheed
4:42
Brother Nassir
Рет қаралды 1 МЛН
Buki - Jana (Official Music Video)
3:27
Buki tz
Рет қаралды 342 М.
Isha Mashauzi - Sio Levo Yako (Official Music Video)
4:11
Isha Mashauzi
Рет қаралды 583 М.
Brother Nassir - HULIA MWANA HULIA | NCHU NKWAVO
8:18
Brother Nassir
Рет қаралды 227 М.
Burda (yarabibi)
5:16
mtumeniwewe
Рет қаралды 713 М.
MB DOGG /DADYMASTER- NATAMANI
3:53
MBDOGG
Рет қаралды 39 М.
madrasatul nah dhat salaam bwana kharousi
6:36
jelani ali
Рет қаралды 1,9 МЛН
NASHEED (HUZUNI MOYONI MWANGU) SH. YUSUF
6:13
mzee masuo
Рет қаралды 436 М.
ARASH AJAMY RASHID MUHAMMAD-MWENDA MADINA NI NANI (OFICIAL)
12:20
Yahya MohammedYAHYAFILMS
Рет қаралды 570 М.
Brother Nassir - Amina Kalea Swahili OFFICIAL Nasheed Video
5:21
Brother Nassir
Рет қаралды 1,6 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 7 МЛН