Samahani jaman mi nimejenga tank la juu aitaji kupele 450mt naomba ushauli nitumie Bomba gn
@roseurio9600 Жыл бұрын
Uko makini kiongozi wangu
@mch74342 жыл бұрын
Naomba no zenu
@musettijackson11433 жыл бұрын
Nice
@mch74342 жыл бұрын
Hi fundi
@lameckrichard81824 жыл бұрын
Mi ni fundi bomba ko jamaa wanachokiongea nakijua vizuri hawa jamaa wako vizuri wanaijua kazi yao
@TheBuildersHomeTz4 жыл бұрын
asante sana kwa support yako
@Ap-of5zs5 жыл бұрын
Building hongereni sana tunawapongeza kwa kutupa ufundi, bora na kufahamu ubora wa majengo kwa ubora wa cement yenu twigger n,k tupo pamoja Tanzania isonge mbele maendeleo hapa ni kazi tu.
@TheBuildersHomeTz5 жыл бұрын
Asante sana. Tupo pamoja. Tuendele kuwa pamoja kwaajili ya msimu wa pili
@consoafrica13506 жыл бұрын
Labda ni mimi peke yangu..lakini kipindi hiki kinatufundisha mambo mengi ya msingi....mfano: nyumba ninayoishi haikujenhwa na msingi imara kiasi mizizi ya miti iliyozunguka nyumba ilianza kuchochoza ufa za ukuta. Hii yote ni sababu ya kukosa washauri na kutojifunza juu ya mambo. Mwambie jirani juu ya usaidizi mzuri wa builders home.... Karibu.. Usipite bure... Jifunze....
@TheBuildersHomeTz6 жыл бұрын
conso Africa asante sana. Tunaendelea kuisogeza jamii karibu zaidi na ujenzi
@boanergesd28583 жыл бұрын
Channel nzur
@alinyange43533 жыл бұрын
technology of bulding house
@nasri.27jr256 жыл бұрын
Good job Arch.
@TheBuildersHomeTz6 жыл бұрын
nasri.27 Jr thanks alot Arch
@stevew.mutasa23857 жыл бұрын
good mr.
@TheBuildersHomeTz7 жыл бұрын
steve W. Mutasa asante sana
@rashidiasantemwalimngandil48905 жыл бұрын
napata elim bure asanteni
@piusdavidmuzzazzi7966 жыл бұрын
Thanks Kwa Somo
@TheBuildersHomeTz6 жыл бұрын
David Pius Muzzazzi nashukuru pia kwakufwatilia
@TheBuildersHomeTz6 жыл бұрын
David Pius Muzzazzi nashukuru pia kwakufwatilia
@sham17184 жыл бұрын
Asanten san kwa somo naomba namba ya fund maj saf na taka
@TheBuildersHomeTz4 жыл бұрын
0716573079 karibu sana mdau
@boniphaceandrew36853 жыл бұрын
Bado mnatoa huduma mbona hampatikan?
@saidsuleiman17535 жыл бұрын
Naomba contact zenu
@TheBuildersHomeTz5 жыл бұрын
Said Suleiman 0716573079
@stevenmasawe4544 жыл бұрын
Namba jamani tutapataje?
@muhammedwakif62165 жыл бұрын
How much hy biodigester ?? Kwa nyumba ya chini??
@TheBuildersHomeTz5 жыл бұрын
Muhammed Wakif please tuwasiliane kwa 0753536500
@nassorohassan4394 жыл бұрын
Kwa wastan chember inayochukua bomba nne inatakiwa iwe na ukubwa kiasi gani fundi wng
@TheBuildersHomeTz4 жыл бұрын
Tuwasiliane kwa namba +255788860048
@mwangimomsigahute57174 жыл бұрын
Hizi ndio channel zenye akili
@TheBuildersHomeTz4 жыл бұрын
Asante sana... tutaendelea kujitaidi..
@kelvinjohn68514 жыл бұрын
Je mnachora ramani? Kama ndio weka No. Zako hapa.
@TheBuildersHomeTz4 жыл бұрын
Karibu sana... 0753536500 ( call or WhatsApp )
@erastosolomon45545 жыл бұрын
Safi sana mtaalam nimekuelewa hata mimi ndizo kazi zangu kutoka mwanza naomba namba yako kuna vitu muhimu nataka kama ushauri kutoka kwako na kibiashara zaidi hasa upande wa Rodding eye, Air vent valve 50mm kwa geita na mwanza ni changamoto sana kupatikana mara nyingi naagiza Dar es salaam. My contact +255(0)765495073
@TheBuildersHomeTz5 жыл бұрын
Karibu builders shop unaweza pata hayo material yote ndugu mtaalamu...asante sana kwa kuangalia kipindi chetu. karibu sana..
@erastosolomon45545 жыл бұрын
Namba zangu zipo hapo naomba tuwasiliane
@ramsonkunambi69875 жыл бұрын
Namba namba ya fundi kwaajir ya kuniwekea mfumo wa maj saf na maji taka namba yangu ya simu ni 0784485858 kazi ipo tayari bado fundi tu