HOUSE GIRL EP 37 | S3 | LOVE STORY 💞💕

  Рет қаралды 95,635

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 778
@NeemambagaEneza
@NeemambagaEneza 3 күн бұрын
Zatiti gooooood Leo umenifurahisha sanaaaa❤❤❤❤❤❤ nakupenda sana
@saidaathuman1209
@saidaathuman1209 3 күн бұрын
Sanaaa
@DenmarkOngera
@DenmarkOngera 3 күн бұрын
Wale tunapenda house girl kuliko my mother tujuane kwa like
@WinnieSanga-r6y
@WinnieSanga-r6y 3 күн бұрын
Sijawahi hata kuangalia
@hotlinechebet6051
@hotlinechebet6051 3 күн бұрын
Sijawahi hata penda
@EliasGwaya
@EliasGwaya 3 күн бұрын
Sijaiangalia kabisaaa
@Madam255
@Madam255 3 күн бұрын
Siiangaliii kabisaa
@shebaarita4102
@shebaarita4102 3 күн бұрын
Mwanzo hiyo my mother sijahi kabisa
@MadamOrida
@MadamOrida 3 күн бұрын
Aliee kasiloshwa na mama Tasha kumkaribisha Sania nyumbani kwa Tasha goga leks
@Leilajepmtu
@Leilajepmtu 3 күн бұрын
Zatiti umechesa kama wewe dada usirudi tena saniya dada 🙏🙏🙏🙏plz zatiti
@Leilajepmtu
@Leilajepmtu 3 күн бұрын
Mama Tasha pokeya Maua yako mama 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mama
@NuraMunyasia
@NuraMunyasia 3 күн бұрын
Mamake Tasha alipotoshwa na chiko kumbuka maanake hamjui chiko
@MajidMau
@MajidMau 3 күн бұрын
Nmeacha kutizama my mother kitambo tu
@MariamJaberi-g5y
@MariamJaberi-g5y 3 күн бұрын
Zatiti na Mr Tasha mungu akupe umri mrefu nawapenda San jaman ❤❤❤
@AgnessDama
@AgnessDama 3 күн бұрын
Michambo y Zatiti kw sania iko kw stile yke😂😂, aliefurahishw na Zatiti kuvunja ukimya mueke like zake apa pls
@joyrami
@joyrami 3 күн бұрын
Wakwanza Kwa team strong wenye wako Riyadh.. like ata moja😊
@ceciliawilly8573
@ceciliawilly8573 3 күн бұрын
Much love shangala mwezagu ❤
@christinewanga7385
@christinewanga7385 3 күн бұрын
​@@ceciliawilly8573Riyadh❤️❤️❤️
@SofiaMwashasha
@SofiaMwashasha 3 күн бұрын
Kiukwel mam tasha umemkosea San Tasha HV unajuw deal yenye iko Kwa life Yako km umeudhka n na mam tasha dondosha like
@EmelyneNzoyikorera
@EmelyneNzoyikorera 3 күн бұрын
zatiti nakupenda San kwamajibu yako kwa sania❤
@BornfaceMenza
@BornfaceMenza 3 күн бұрын
Kabisa zatiti leo amecheza poa sana kumbe unaujasiri hivyo good nimependa majibu yako ulivo mjibu sania waauu!!!
@DominPallangyo
@DominPallangyo 3 күн бұрын
Asante Mungu kwa siku nzuri ya leo uliyotupa Nguvu ya kuamka salama mpaka kutembea maana sio kwamba sisi ni wakamilifu kuliko wengine ila Ni kwa neema tyu ...🙏🙏🙏🙏 muwe na Jumatatu yenye neema na Baraka kila mpitapo na mkajazwe zaidi ya mliyokuwa mnatarajia mkaandamane na kibali Cha Kimungu ...Amen 🙏🙏🙏
@JescaYusuph-m4y
@JescaYusuph-m4y 3 күн бұрын
Amen🙏
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 3 күн бұрын
Amen
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 3 күн бұрын
Mfukuze mbwa huyomama hajui kinachowndelea
@AminaSalim-u6c
@AminaSalim-u6c 3 күн бұрын
Aamin Yaa Rabbi
@AminaKavuo-gj3oc
@AminaKavuo-gj3oc 3 күн бұрын
Amen Amen Amen
@rabiambaga8356
@rabiambaga8356 3 күн бұрын
Wangapi wamefurahi Kama mm jmn naipenda sana story hii
@HamzaMihosho
@HamzaMihosho 3 күн бұрын
Yani Iko moto mpaka sitamani iisheee wanaoungana na mm like bas
@DomitilaEmily
@DomitilaEmily 3 күн бұрын
Zatiti hongera sana maana Sania katumwa na chiko avuruge, hongera kwa kumpa Sania makavu🎉❤
@CarolineBosibori-r7r
@CarolineBosibori-r7r 3 күн бұрын
Jamani wangapi tumekesha KZbin kungoja laana kumfuata candy
@phibySeleli
@phibySeleli 3 күн бұрын
From Dodoma naomba like yangy na mm
@MaggySemkande
@MaggySemkande 3 күн бұрын
Mbukwenyi
@benedetamutua1276
@benedetamutua1276 3 күн бұрын
Wakwanza from Kenya,,likes tukisonga❤❤
@كامليا-ر7ز
@كامليا-ر7ز 3 күн бұрын
Mr tasha asante sana kwa msimamo wako . Km unapenda dakika ziongezwe kwa like
@LuciaBukula
@LuciaBukula 3 күн бұрын
DK 1 me nakuwa view wa 50 comment 20 😂😂😂🎉🎉🎉🎉 watazamaji wa busati tv mnaolala humu kuigijea house girl 🙌🙌🙌
@JescaDenis-d2r
@JescaDenis-d2r 3 күн бұрын
Sania nenda Kwa mume wako mganga ngonde ukapige manyanga tuachie Tasha wetu anaeungana na mm tujuane Kwa like 😂😂😂😂
@ginafaruque5335
@ginafaruque5335 3 күн бұрын
Zatiti nakupenda sana kumbe unaweza duuuh du sania kuishah
@NulhatihusseinMaarifa
@NulhatihusseinMaarifa 3 күн бұрын
😂😂😂😂
@PillyYusuph
@PillyYusuph 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 3 күн бұрын
Safi zatit leo umempa makavu sania 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@finedichengula6816
@finedichengula6816 3 күн бұрын
Jamani waliofulahishwa na majibu ya kikatili ya zatiti kwa sania gonga like hapo🤣🤣🤣
@TimotheoNdonde
@TimotheoNdonde 3 күн бұрын
Jamani tunaochukizwa na tabia za candy gonga like.
@abidandastanmaliyatabu1373
@abidandastanmaliyatabu1373 3 күн бұрын
Kendy kiyama yake inafika si mda
@YunucKhalid
@YunucKhalid 3 күн бұрын
Tena namchukia candy
@VicentPaschal-w7x
@VicentPaschal-w7x 3 күн бұрын
Safi sana Mr. Tasha Fukuza, timua hilo li Sania hali fai kabisaa. Pokea maua yako Mr. Tasha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 3 күн бұрын
Uyo sania kama anajijua hana wazazi angekuwa natabia nzur mbwa sana😂😂😂😂😂😂😂😂
@Asiamohammed1317
@Asiamohammed1317 3 күн бұрын
Asante sana busati ombi langu kulifanyia kazi aliyegundua matepeli leo wamepewa muda kidogo tupitiane,pamoja hadi busati lichanike😂
@AminaSuleiman-sr4oo
@AminaSuleiman-sr4oo 3 күн бұрын
Hee jaman nimekua wa kumi na sita baas nikajua nimewah kumbe nimechelewa ivyooo Ila siyo mbaya hongeren kwa Kaz nzur san
@mercyassy5469
@mercyassy5469 3 күн бұрын
Sania anapata wapi nguvu ya kumtukana maza house wakati.....😢
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 3 күн бұрын
Hafadhiliki huyu shetani wa mguu mmoja ngoja akaishi majalalani mwanzo mpuuzi huyu
@MauaMbarouk
@MauaMbarouk 3 күн бұрын
Ztt njoo uchukuwe zawd zanzbar🎉
@NestorySanga-y2j
@NestorySanga-y2j 3 күн бұрын
Tasha naomba uwe na msimamo huo huo
@everlynemwame7427
@everlynemwame7427 3 күн бұрын
Kweli kabisa asiwe kama zuzu kai
@HillarySendeu-ht3lj
@HillarySendeu-ht3lj 3 күн бұрын
Jamani ma kibendu anapitia wakati mgumu hapa tunajifunza tuwatii wazazi wetu haijalishi umekuwa namna gani au waweza kujitegemea kumbuka kuwa yule ni mzazi haijalishi vipi🤲🤲🙏
@AshaHamisi-tf3kk
@AshaHamisi-tf3kk Күн бұрын
Leo bubu kasema aiseee nimekupenda bule zatiti pambania ndoa yako vibelenge wapo wengi mitaani❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@JullietiVictor
@JullietiVictor 3 күн бұрын
Sasa kisania kinganizi kama kupe kinangania kanakwamba nyumba iyo Yako Jenga Yako ujue uchungu wa nyumba
@hawaali8371
@hawaali8371 3 күн бұрын
Kibendu Na Mama Yake Mashaallah
@MauaMbarouk
@MauaMbarouk 3 күн бұрын
Tash dram umeijua kuicheza ilove🎉
@Saumu-vr4bc
@Saumu-vr4bc 3 күн бұрын
Watu wanafungua kinywa na house girl 🥰🥰🥰
@JemimahNzai
@JemimahNzai 3 күн бұрын
Kwa kwel tasha ana msimamo sana kuliko kai,tasha mob love kababaaaaaaa❤
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 3 күн бұрын
Kwaiyo ndo mkaamua kuvaa sare sania na zatiti😏😏😂😂
@Jasweety
@Jasweety 3 күн бұрын
Iishe tu maan story haiishi khaaaa
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 3 күн бұрын
@@Jasweety mpaka himeisha makari yaani imepoa😂😂😂
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 3 күн бұрын
Hii yaleo mumeicheza sawa saana team busat TV,pongezi kwenu,🎉🎉🎉🎉
@RosemaryMurefu
@RosemaryMurefu 3 күн бұрын
Leo nimekuwa wa kwnza jamaniii like zenu😂😂
@Fettysaid-u8f
@Fettysaid-u8f Күн бұрын
jqmani tunaobwai kukopa bando kwa ajir ya house girl tujuaneee😂😂😂
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol Күн бұрын
Tasha Tasha Tasha mashallah mtowe hyoo kidagaji tu anenda Kwa ngode ngode
@ceciliawilly8573
@ceciliawilly8573 3 күн бұрын
😂😂😂😂 jamani kamkonde leo umenifurahisha sana,ebu harakisheni next expose plz tunaiwait kwa hamu na ghamu,inakaa kuwa tamu zaidi ....😂
@NeemaDenja
@NeemaDenja 3 күн бұрын
Jaman na mmi nimewahi naombeni laiki zangu nawapenda sana malafiki zangu🙏🙏🙏🫶🫶🫶🫶❤️❤️♥️♥️♥️
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 3 күн бұрын
Kai na candy mnaturudisha nyumaa bana😢😢😢😢Kai ungemsikiliza zuuu hii tatizo ingetokelezea
@UmayyaMunisi
@UmayyaMunisi 3 күн бұрын
C ndo hapo😢😢wanaume hawa
@ZahraFakihi-d4q
@ZahraFakihi-d4q 3 күн бұрын
Atimuliwe huyo shetani
@LillianKathini
@LillianKathini 3 күн бұрын
Akwede nauko huyo sheitani
@DorineWanyama-cp5et
@DorineWanyama-cp5et 3 күн бұрын
Kanaitaji kufa kawache kukusumbua mimba kapeleke kwa konde wake
@ZahraFakihi-d4q
@ZahraFakihi-d4q 3 күн бұрын
@@DorineWanyama-cp5et hahaha umeona eee
@ZulphaSaid
@ZulphaSaid 3 күн бұрын
Nimeipenda hiyo kuteka mabwana tuuh kumuhudumia mama aaaah.
@FunnyBanjo-xm8cz
@FunnyBanjo-xm8cz 3 күн бұрын
Zatiti Leo umenifurahisha yani nimependa sana Acha kuwa mnatutia uroho
@umfahad2609
@umfahad2609 3 күн бұрын
Leo namimi nimewahi jamani. Hamjambo wote humu? Nakutakieni cku njema.💕🌹
@abdallahhalifa5860
@abdallahhalifa5860 3 күн бұрын
Siku Zatiti amenifurahisha ni leo kwenye hii clip amevunja Ukimnya wake Pongezi kwako Zatiti
@watisonywatisony7659
@watisonywatisony7659 3 күн бұрын
Hakika
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 3 күн бұрын
Ambao tunaomba candy kimrambe na kuomba mama ake msamaha please like hapa tujuane,,,,,❤😅😅❤😂😂❤😂❤😂
@LillianKathini
@LillianKathini 3 күн бұрын
Kimrambe kabisa haishiwe na pesa
@JoyceJoseph-te6go
@JoyceJoseph-te6go 3 күн бұрын
Wanaotamani house girl iishe weka like zenu hapa❤❤❤
@LinasMwenda
@LinasMwenda 3 күн бұрын
Hakuna 😢
@RachelEmid-jq6eo
@RachelEmid-jq6eo 3 күн бұрын
Kwendraaaa yaan sisi bdo tunaipenda house girl yetu😍😍😍😍😍
@lutfiyahsaidi6666
@lutfiyahsaidi6666 3 күн бұрын
😂😂😂 iishe iende wap tena iyache itumalizie MB
@salehHassan-rl8bd
@salehHassan-rl8bd 3 күн бұрын
Ady kimrambe candy
@fatumazakalia-yx4kg
@fatumazakalia-yx4kg 3 күн бұрын
Hatutaki iishee 😂😂😂😂😂
@RadhiaChibwana
@RadhiaChibwana 3 күн бұрын
zatiti safi sanaaaa tetea ndoa yako
@GRACEKAPONGWA
@GRACEKAPONGWA 3 күн бұрын
Zatity leo umenifurahisha sana big up umejitutumua
@JaneChaula
@JaneChaula 3 күн бұрын
Sania na kimdomo chake kmy yaan atakuwa mama kirikuu kama candy alivyosema mke wa ngonde😅😅😅😅
@NonoNoella-f1h
@NonoNoella-f1h 3 күн бұрын
😂😂😂
@AsmaJuma-rd9xl
@AsmaJuma-rd9xl 3 күн бұрын
Weeh ❤❤❤ mambo ni 🔥 jamani like zenu 😅😅😅😅
@Amal-iq1wg
@Amal-iq1wg 3 күн бұрын
Nakuambiaa halafu napendezwaa na zatiti na tasha na majibuu yasaniaa kikorofi kama mshipa wa shingo😂😂😂😂😂😂😂
@AsmaJuma-rd9xl
@AsmaJuma-rd9xl 3 күн бұрын
❤❤❤
@Tynamnyilis9824
@Tynamnyilis9824 3 күн бұрын
Wa nne si haba nipen like basi hata moja😂😂
@RosemaryMurefu
@RosemaryMurefu 3 күн бұрын
Jamani sania si aende kwa ngonde akaleee kirikuuu wake 😂😂😂😂
@JessicaJennifer-l6m
@JessicaJennifer-l6m 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@SmilingRockBand-ju2cy
@SmilingRockBand-ju2cy 3 күн бұрын
😂😂😂
@JescaYusuph-m4y
@JescaYusuph-m4y 3 күн бұрын
Ma kirikuu
@AgnesMINANI
@AgnesMINANI 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@JaneChaula
@JaneChaula 3 күн бұрын
Hahah ngonde ana mpaa mpk kuku
@sweetgirl2209
@sweetgirl2209 3 күн бұрын
Tuko home Leo ni mashujaa day tuleteeni vipindi via house girl mingi
@FalidaIssa
@FalidaIssa 3 күн бұрын
Mama tasha mama mstarabu Leo Sania anakufunjjia hashia kawamanao
@hutahuta1170
@hutahuta1170 3 күн бұрын
Mm namkubali tasha anamsimamo sio.kamahuyo kai kamazuzu ndomana yamemkuta.makubwa🎉🎉🎉tasha
@RoseCharles-e5y
@RoseCharles-e5y 12 сағат бұрын
Kwl 6:30
@IldaRafaelElias
@IldaRafaelElias 3 күн бұрын
Kazi zuri sana 🇲🇿🇲🇿
@GianMwangomale
@GianMwangomale 3 күн бұрын
😂😅😅 bintiii wa kifilipimoo 😅😅 mtu mwenyew nyama zake mjiniiiii ila saniaaa linazd kukurambaa
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 3 күн бұрын
Zatiti umenifurahisha sana dadangu love you so much ❤❤❤❤❤
@MustyNgongo
@MustyNgongo 3 күн бұрын
Wakwanza leo😂😂 naomba ata like kumi wajamen
@HabibaAthumanMwaboko-vq4qk
@HabibaAthumanMwaboko-vq4qk 3 күн бұрын
Yani namuamini Tasha sana nimume jasiri sana amesimama kama wanaume 100🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
@ThaBroski
@ThaBroski 3 күн бұрын
Kweli
@afridat
@afridat Күн бұрын
Shida ni shape hata mende anayo😂dah zatiti kampata sania kwa kweli😂😂😂
@Simstar7kn
@Simstar7kn 3 күн бұрын
Sania inafaa uje kwangu nakaa mbezi kam huna pakukaa usiwalibie wengn ❤❤
@RaymonTz746
@RaymonTz746 3 күн бұрын
Hapa mnako elekea ni pazuri sana❤❤
@ThaBroski
@ThaBroski 3 күн бұрын
Mama tasha kiboko ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂
@genz1stqualityfilmproducti140
@genz1stqualityfilmproducti140 3 күн бұрын
Sania analazimisha sana i say bna hatakiwi angojee tu tasha amtimue
@ThaBroski
@ThaBroski 3 күн бұрын
Mama tasha kiboko ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@BoboEliphazstephan
@BoboEliphazstephan 3 күн бұрын
Nimekua wakwanza nipe commentaires
@cairolucas3876
@cairolucas3876 3 күн бұрын
Nimewai leoo nipe like zangu
@AshaCharo
@AshaCharo 3 күн бұрын
Wapi likes za mother house wa Tasha
@ASHANDEGWA
@ASHANDEGWA 3 күн бұрын
Maua yko Tasha🎉🎉🎉🎉
@aishajuma7128
@aishajuma7128 3 күн бұрын
Tasha ana musamo c kama Kai anakaa kama ameshutiwa hana msimamo zu atalia sana
@REUBENIAGUSTINO
@REUBENIAGUSTINO 3 күн бұрын
Leteni epsod nyingine fasta😂😂😂
@ThaBroski
@ThaBroski 3 күн бұрын
Patamu hapo😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉😊😊😊
@REUBENIAGUSTINO
@REUBENIAGUSTINO 3 күн бұрын
@@ThaBroski sana Yan patamu hapo😂😂😂
@SanuraNamlola
@SanuraNamlola 3 күн бұрын
Uja uzito upeleke Kwa ngonde chimamula sania😂😂😂😂haki tabia Ni ngozi Sania ubadiliki ,,🥹🥹🥹🥹
@UmmulkheirHassan
@UmmulkheirHassan 3 күн бұрын
Jamanniii ata kama nimechelewa naombeni likes
@SanuraNamlola
@SanuraNamlola 3 күн бұрын
Hii movie haki wife material Ni zatiti na zuunlkn ndio wanapata vikwazo sana katika maisha yao na Hawa mishangazi wawili candy na Sania kudanga tu ukarimu aaah
@VicentJonh-b7o
@VicentJonh-b7o 3 күн бұрын
Kai kimemlamba🎉🎉🎉🎉🎉
@FaithJoshua-n8n
@FaithJoshua-n8n 17 сағат бұрын
Wao zatiti ushaanza kujiamini sasa
@Mabuga72
@Mabuga72 3 күн бұрын
Hongera kwa Kaz nzur
@GloriaIrabaruta
@GloriaIrabaruta 3 күн бұрын
Hongera sana zatity leo umekomaa,pole sana mama tasha ulimkogota shetani na kumkaribisha nyumbani
@moodylenovo100
@moodylenovo100 3 күн бұрын
Kimbeleke arudi kwa ngonde please
@PetronilaMtewa-g3h
@PetronilaMtewa-g3h Күн бұрын
Patamuuu apoo saniaa kinakulambaa😢😮😮😅😅😊soon
@MeshaLeckison
@MeshaLeckison 3 күн бұрын
Wakwanza naombeni like
@KhadijaKhadija-mj5ub
@KhadijaKhadija-mj5ub 3 күн бұрын
Sijawahi kuichoka hii movi kila nikiiangalia nikama picha linaanza nawapenda wote mlio shiliki 🎉🎉
@Saumu-dq9lj
@Saumu-dq9lj 3 күн бұрын
Leo nimekuwa wa mia nne hamsini 55 nimewahi
@Giftbugalama
@Giftbugalama 3 күн бұрын
House girl ya busati tv itakuwa series bora ya mwaka, na tuzo tunayo 🎉🎉, nani anabisha?
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna 3 күн бұрын
Doo mumekawia lkn kzi iko swa sna big up sna ss tuleteeni part nyengin n kwa Mr Genius kumewaka moto
@ShamimShamy
@ShamimShamy 3 күн бұрын
Tasha amirijeshi mkuu big up kazi nzur Sana Allah akujaalie MToto haraka tuwafunge watu midomo zatiti ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@SakoSaka-kc2mt
@SakoSaka-kc2mt 3 күн бұрын
Wangapi wanachukizwa na tabia za sania 😂 mama tasha ziba sania slap moja atoke hapo 😅😅
@ThaBroski
@ThaBroski 3 күн бұрын
😂😂😂😂😅😅😅 mama afanye nini😂😂
@SakoSaka-kc2mt
@SakoSaka-kc2mt 3 күн бұрын
@@ThaBroski 😂😂🫢
@AdvelajosephMtinya
@AdvelajosephMtinya 3 күн бұрын
Ubora wa movie unaisha fanyen iishe
@Liliankerubo-ye1le
@Liliankerubo-ye1le 3 күн бұрын
Sania anataka kuongeza machoraa kwa hii dunia😂😂😂 ni kama mama tasha ajui uyo mtoi wa sania Ngonde junior 😂😂😂
@familyvibesonly3419
@familyvibesonly3419 3 күн бұрын
Wanahopenda house girl isiishe gonga apa ❤
@busatitv
@busatitv 3 күн бұрын
😍😍😍😍 Kumbe Mpo vipenzi vyetu ambao mnataka tuwe isidingo 🤣🤣
@SHARONMBONE-u5t
@SHARONMBONE-u5t 3 күн бұрын
😊hii kipindi imenifunza sana
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu 3 күн бұрын
Sania kweli chizi jamani mimba ukapewe na mganga ukambambikizie tasha jaman😂😂 pole unalo limekuganda
@MpashiKennedy
@MpashiKennedy 3 күн бұрын
❤❤❤❤ film zenu kila siku zinanipa furaha good lucky guys
@JoyceKayombo-y3g
@JoyceKayombo-y3g 3 күн бұрын
Ila Sania umechekesha ngonde kule anahangaika kuleta supu ya kuku hutaki....kulazimisha tu ka damu ka ngonde kimamla 😂 kwa Tasha kumtia minuksi ya mganga 😂😂😂....naenda tu mwaya kwa ngonde mkasaidiane kurogaaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
@shamusathebeautifully5945
@shamusathebeautifully5945 3 күн бұрын
Nzuri sana sana ❤lakini tunawaomba mutuletee episode 2 kwa siku
@Frola-r9z
@Frola-r9z 3 күн бұрын
Hongereni sana❤❤❤
@SophieMogiti
@SophieMogiti 3 күн бұрын
Watatu mimi kutoka kenya Maua yangu 🎉🎉🎉🎉
@SarahCharls
@SarahCharls 3 күн бұрын
Mama tasha nilikiamin sana ata kama ndo mlivozipanga scn zenu lkn kitendo cha kumpokea sania umeharib najua wengi hatujapenda 😏😏
HOUSE GIRL EP 38 | S2 | love story💞💕
20:06
BUSATI TV
Рет қаралды 141 М.
HOUSE GIRL EP 38  | S3 | LOVE STORY 💞💕
23:20
BUSATI TV
Рет қаралды 100 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 27 МЛН
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Mark Rober
Рет қаралды 59 МЛН
Ouch.. 🤕⚽️
00:25
Celine Dept
Рет қаралды 25 МЛН
DUNIA (Ep 11)
23:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 131 М.
HOUSE GIRL EP 39  | S3 | LOVE STORY 💞💕
21:28
BUSATI TV
Рет қаралды 85 М.
WAKE WENZA S01 EP 01
14:13
Juma Zomboko
Рет қаралды 25 М.
Premier Full Episode -  Pete S1 Episode 1 | Maisha Magic East
27:21
Maisha Magic East
Рет қаралды 2,4 МЛН
STEP FATHER | 04 | Love Story ❤️
27:48
DONTA FAMILY
Рет қаралды 130 М.
Zaara Ep 02 SWAHILI Real @djsmart99
29:36
Real Djsmart
Рет қаралды 65 М.
UKE WENZA   [1]           [HP]       LOVE STORY
25:38
Mzee Yussuf Media film
Рет қаралды 25 М.
MAPENZI NI GAME | EPISODE 13 | Love story 💞
25:52
KING_NOELY1
Рет қаралды 119 М.
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 27 МЛН