Waooo nimewahi leo wale wanaomkubali ZARIT🎉🎉🎉❤I..Dogosha like apa.
@rahemh12342 күн бұрын
😅😂😅😂😅😂😂😅😅wewe
@JanetRiziki-ut2is2 күн бұрын
Zatiti nakupenda sana dadangu ❤❤❤❤
@SaumuJumwa-u4v2 күн бұрын
Yeyote Atakaye soma ujumbe huu Mungu Akuinue pamoja na nyumba yako 🙏🙏🙏🙏🙏halafu tamaa mbya vijana turidhike na kidogo tupatacho
@floramacheva58552 күн бұрын
Jamani jamani, tangu nianze kufuatilia hii series sijawai pewa like hata moja 😢😢😢leo hii naomba
@user-yr4dn7sv8i2 күн бұрын
Jamen mama kila kitu much love to all mothers❤❤❤❤
@Johar9032 күн бұрын
❤❤❤❤❤kazi nzuri zatiti mke wa kipekee kabisa
@sayunimnguruta982 күн бұрын
Mchepuko wa Yolanda yuko Sawa kabisaa 😂😂😂
@ruthyohanesy37392 күн бұрын
Ndan ya dakika kumi na Tano mmeshajaa aisee NAWAPENDENI SANA ndugu zangun❤
@SaumuJumwa-u4v2 күн бұрын
Kutoka kenya 🇰🇪 Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu 🙏🙏move hii ina mafunzo mengi San tuwe tunaridhika na kidogo tupatacho 😢ndo kuna ule msemo heri ugali dangaa kwa amani kuliko ugali nyama vitani 😢chiko na kai tamaa ya pesa ni mbya sana …..
@SalamaRajabu-c6h2 күн бұрын
Hakika zatiti inapendeza kua na moyo km huo nisiwe mchoy chukua maua yako🎉🎉🎉
@aishaally66022 күн бұрын
Jamani mchezo mzuri ila heee nyoka ananinyima amani
@FaudhiaMchunga2 күн бұрын
Tuko wengi
@Mail-z5q2 күн бұрын
nyoka kitu kingine pana chezea
@lutfiyahsaidi6666Күн бұрын
😂😂😂😂 pole
@elizabethobaigwa95212 күн бұрын
Chiko kitakuramba kama uoni madharau ndogondog waja
@CarolyneNyanchama-yk1gf2 күн бұрын
Director hapa umenichanganya wakati Yolanda alitoka chiko alimwona jinsi alivyo Vaa vipi chiko anachukulia kirahisi kudanganywa aty kuna pacha wake anyway show Iko lit 🔥 feel blessed ❤
@JescahEddah2 күн бұрын
Umeonae❤
@FaudhiaMchunga2 күн бұрын
Alafu kamkuta nyumbani
@CarolyneNyanchama-yk1gf2 күн бұрын
@@FaudhiaMchunga bana
@CarolyneNyanchama-yk1gf2 күн бұрын
@@JescahEddah jamani 🤭 lazima niwe Keen kutizama ju inafunza
@EvaluluMpandagoya2 күн бұрын
Apo director han koxa chiko amechanganyikiwa na mizimu yake ko huenda hakumfatilia yolanda wakat anatoka ndo maan hajjaua
@Priscillakagendo72 күн бұрын
Zatiti kwa nakupenda kwa upole wako, maua 🎉🎉🎉🎉yako dada mungu anipe mwoyo kaa wako
@ZawadiThebossladyКүн бұрын
Da zatiti nakupend mnoo kipenzi Cha moyo wangu ❤❤
@NoorEesa2 күн бұрын
Wakwanza leo mnipee likes 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EstherMutisya-rf4qq2 күн бұрын
Wa kumi na moja leo ,,nimejaribu sana
@buru12352 күн бұрын
Wow top 10 Leo Mashallah bt mm nimeona jinyoka Karibu n mum woyii isimfanyia kitu mya😢
@johactor2 күн бұрын
Kazi poa sana cjui itakuaje kama nikweli pacha wa Yoranda yupo cjui jaman naona kizungu zungu
@Phoebenafula2 күн бұрын
Zatiti maua kwako🎉🎉🎉🎉🎉🎉position Yako iko 👌👌❤❤❤❤
@BrendaMogambi2 күн бұрын
Yaani pia naomba hata 10 jamani namtabarikiwa ❤❤❤❤
@Marlenapilikitsao-gk9je2 күн бұрын
Kai tafuta kazi ufanye kitakuramba kulishwa Na mwanamke dhiki utakuja umbuka
@mejumaabaraza39892 күн бұрын
Zatiti ni mrembo jamani masha Allah ❤❤
@MrsMariam-x2s2 күн бұрын
Eti Mme zaliwa mapacha jamani chiku karogwa na uyo ke Ndio
@Dayana-o4z2 күн бұрын
Sema kurauka leo 🎉🎉🎉🎉🎉
@PeninahOdongo2 күн бұрын
Samahani kaka jamani 😂😂😂😂 wanawake bana
@JohnThomas-mq5fw2 күн бұрын
Zatiti nakukubali saaana 🎉❤
@PendoStivini-i6y2 күн бұрын
Waaoo nzuriii adi raha
@medytrueboytz8450Күн бұрын
Kay unanikosha nahuwo wimboo jamani🎉🎉🎉
@Rahma20-m6u2 күн бұрын
Zatiti nakupenda sana dad angu unapendeza sana kuigiza naroh nzur Yan kama vile kweli❤❤
Zatiti Mungu akubariki sana unaonekana jinsi Gani unaroho nzuri
@sakina55502 күн бұрын
Ila candy siku yako haja maisha yako ni yauwogo tu chiko na kai mnakera sana bhn
@everlinenjuguna22812 күн бұрын
Leo nimewai jamani❤❤❤
@ZeinabBakar-je4nr2 күн бұрын
Please Jamanj watu wapatiyaneni lke
@SarahCharls2 күн бұрын
Kweli chiko ni zumbukuku Hadi inakeraa, na we Kai haufai kuwa dhaifu hvo unaboa sana
@GalaxyA-ve8tu2 күн бұрын
Zatiti utapata baraka kucheza na uyo mama
@tabithanzisa97552 күн бұрын
Candy aise muongo kweli kweli😂😂😂😂😂
@ZubedaShaban-fb2dl2 күн бұрын
Zatiti na kukubali sana
@honoremigos82092 күн бұрын
Wa kwanza 🇨🇩
@busatitv2 күн бұрын
💪
@user-oy7rl3ql2q2 күн бұрын
Jamani tuwapende mama zetu tuwacheni tamaa ya pesa dunia ni starehe tukumbukeni kesho kaburini
@Mwanajumahassan-tg3zg2 күн бұрын
Waooo kazi nzuri maskini chiko
@SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xl2 күн бұрын
Kai achana na batuli bhana.
@Jenniffer-m9k2 күн бұрын
🎉🎉🎉jaman toka nianze kutzama sijawahi kupata like jaman naombeni like zenu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EvethaSimba-i1c2 күн бұрын
Nimempenda sana mchepuko wa yolanda hasa kwa majibu yake,halafu chiko leo ni kaka mbele ya mchepuko bila aibu uso mkavuuuuu
@ZuhuraAbdallah-u9o2 күн бұрын
Yani kendi akili zako unazijua mwenyewe, kutoka oman like jmn😅
@LightnessMunuo2 күн бұрын
Yan mnatoa vitu on time htr mmbarikiwe😅😅❤❤
@MohamedMd-q3f2 күн бұрын
Kazi nzuri
@sayunimnguruta982 күн бұрын
Zatiti Na mama ake kai mnanikosha sana❤
@JamilaJumanne-rc8hk2 күн бұрын
Wee watu hamchelewi jamn
@aminahhuawei11332 күн бұрын
Zatiti nakupenda habbty wangu mungu akubariki sanaa❤❤❤❤❤❤❤
@neemaliweli50402 күн бұрын
Jaman huyo nyoka natamani ammalize kend
@priverpriva41442 күн бұрын
❤❤❤ 😊
@FatmaAlly-d5v2 күн бұрын
Sijachelewa jamn dakika ya 55 much love wanabusat❤❤❤
@RizikiZiki2 күн бұрын
Kai asiye sikiya la mku uvunjika guu Batuli sio mwanamke sahihi ni mwanamke gani uyo anae zarau mm yako ,Ila yoranda umenishinda tabiya yani unamugeuza Ciko kama cenga za mucele 😅
@aishaomar96212 күн бұрын
Chiko hizi una shida Gani wewe uwache kumtetea mmko wakinbua jmni we ni dume ama n vipi umenisikitisha😢zatiti nkupnda mno mpende huyo mama mjalie mthamini❤❤😢
@Marlenapilikitsao-gk9je2 күн бұрын
Bac chiko Hata nywele huoni umerogwa kweli cbure
@OffKidd-p3s2 күн бұрын
Jamani sijawahi kuwahi Wala kuomba like nifanyieni mpango
@StellaDaniel-me6jq2 күн бұрын
Zinasaidia nn
@OffKidd-p3s2 күн бұрын
@@StellaDaniel-me6jq ety eeh
@OmarAlyHamadi2 күн бұрын
Very good
@OmarAlyHamadi2 күн бұрын
Nakupenda San zatit
@OmarAlyHamadi2 күн бұрын
Lakini nakupenda wimbo my mother
@MgaluKumbu2 күн бұрын
Zatiti nakupenda San una upendo wa dhati na hekima pia🌹🌹🌹🌹
@Teresia-bg9dt2 күн бұрын
Leo stima zilipotea so Nimechelewa kidogo watu wangu lakini nawaomba like hata 5 tafathari ❤
@JamilaJumanne-rc8hk2 күн бұрын
Candy akili zako unazijua mwenyewe duuh!!!
@salmamohammed84162 күн бұрын
Leo wa kwanza😂🎉🎉🎉🎉
@carolinesidi-od4ni2 күн бұрын
Yaan Cady ywajizima data
@Joycejohn19912 күн бұрын
Wakwanza leo like kwangu 😂😂
@RosebellahNambiro-gf5ot2 күн бұрын
Nipo mmoja wa top 500 viewers 😂😂❤❤❤❤❤❤am happy 🎉🎉🎉🎉
@ZamzamMusa-ve5tc2 күн бұрын
😂😂😂😂
@MangalaTv-bx9uq2 күн бұрын
Kazi kazi
@fatumaselemani38072 күн бұрын
Mashallah ❤❤mungu abaliki sana kazi zenu mbona amtumi linki jamani
@AminaKavuo-gj3ocКүн бұрын
Namupenda San zatiti huko na roho nzuri tu San 🎉🎉🎉🎉pokeya ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@user-rg5im1ls4j2 күн бұрын
Ni heri kuishi maisha ya umasikini yenye furaha kuliko utajiri wenye sarakasi kila siku
@zawadismaili1442 күн бұрын
❤❤❤❤🎉
@KhadijakassimMwaipaya2 күн бұрын
Zatito ndio mke mwema
@EvethaSimba-i1c2 күн бұрын
Mwanaume akipata ji shangazi la kumlea mjini liko radhi kufanya lolote ili kumfurahisha tu lakini bila kujali familia yake kai muheshimu mama yako acha na huyi binti hakufai
@AISHAFAAB2 күн бұрын
❤
@AsminKache2 күн бұрын
❤❤❤
@WardaSuleimn2 күн бұрын
Waooo jmn namim Leo nimewai like bc 🎉🎉🎉🎉🎉
@ZitocrisantoMakabaКүн бұрын
Napenda sana zatiti mwezeno jamani mungu amjaliye pokeya mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Milcah-hb5uw2 күн бұрын
Namupenda sana huyu mama jiko asindolewe kafara jamani😢😢😢
@HidayaMbodze2 күн бұрын
Candy atakufa vibaya sana kwa hii movie
@ZawadfredyLaurence-qh5pd2 күн бұрын
Chiko anatia uruma
@user-gx4ci6gf8h2 күн бұрын
Zatiti ako vizuri Kwa part yake
@SuzyAna-vu9li2 күн бұрын
Nakupenda sana zatiti
@Lucy-v3y2 күн бұрын
Zatiti hungera kwa kumpenda mama lkn candy pole ak
@EvaHagu-du7fo2 күн бұрын
Ase zatiti ananifurahisha kilà sehemu❤❤❤❤
@AnnethLonas-jh9go2 күн бұрын
Chino hangaika na mamako achana na mlokutana ukubwani ww😢
@JudithJudy-hz6wr2 күн бұрын
Guys please nawaomba kwa kupenda kwenu mnifikishe hata 10 subscribers only tafadhali