HOUSE GIRL EP 41 | S3 | LOVE STORY 💞💕

  Рет қаралды 21,446

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

#bongomovie #mymother #housegirl

Пікірлер: 367
@Fatuma-e7k
@Fatuma-e7k 3 сағат бұрын
Zatiti wallah umeniboo yani ukirudi kwa chiko sifatili tena house girl kama muko na mm like plz
@JaphetNoah
@JaphetNoah 2 сағат бұрын
Hayo n maigizo tu dingiii kwan unazan chikko n mbaya kweli jaman???
@LisaLemi
@LisaLemi Сағат бұрын
Hawezi kurudi jamani angekuwa wa kurudi kwa Chiko asingeenda kusema kule kuwa aliemteka Kay ni shiko
@Hapygideon
@Hapygideon 3 сағат бұрын
Kwa hiyo zatiti unamaanisha nini baada ya hayo masaa,na kwa huyu mpuuzi ulienda kutafuta nini,,ambao hatujapenda zatiti kwenda kwa chiko like zenu
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 3 сағат бұрын
Ameanxa kukera😢
@RukiaJaji
@RukiaJaji 2 сағат бұрын
mm hata ashaniboo najisikia kuacha kuangalia hii house girl
@AgnesMINANI
@AgnesMINANI 2 сағат бұрын
Nikweli anakelaa
@PillyDaniel
@PillyDaniel 2 сағат бұрын
Zatiti anakela mpaka anakela tena ntaanza kukuchukia sasa kama utarudi Kwa chiko
@Aminah-r4s
@Aminah-r4s 2 сағат бұрын
Kabisa Yani mpaka basi😢😢
@YusraSiyaleo-yk2fz
@YusraSiyaleo-yk2fz Сағат бұрын
Kwa wale tulokuwa.tukiichungulia jana kutwa nzima gonga like hapa 😂😂😂😂😂😂
@DianaMkembelwa
@DianaMkembelwa 20 минут бұрын
346,,,Zatiti umefeli sana.,pili Tasha umekosea kumruhusu Zatiti kwenda kwa chiko.namchukia chiko😂😂😂😂
@thommasemanuell4320
@thommasemanuell4320 2 сағат бұрын
Habari wapendwa leo mimi kutoka kenya nimekua wa 157 hatakama nimechelewa jaman nipen like zangu namungu hawabariki
@JumaMsiri
@JumaMsiri Сағат бұрын
Wangap wamemic kumuona rahma na mke mwenza masoz like hapa😂😂😂
@esthermabuga1259
@esthermabuga1259 11 минут бұрын
Mm hapa walaaah nimewamisna bwana yao chisa😂😂
@Thekingofgodmmm
@Thekingofgodmmm 3 сағат бұрын
Nawao omba sania azae mtoto atakaye zaliwa amefanana na ngonde like tijuane
@rehemalimonga9058
@rehemalimonga9058 33 минут бұрын
Move tamu lkn mjitaidi kutoa vipande viwili2 hili twende faster2
@AsmaKhamis-y8r
@AsmaKhamis-y8r Сағат бұрын
Jamn na mm naomba like jpo 2 t
@GilbertEdson-mh1ti
@GilbertEdson-mh1ti 4 сағат бұрын
Tujuane tunaongaria movie hii tukiwa na stress kidogo
@esthermabuga1259
@esthermabuga1259 10 минут бұрын
Mm stress za pesaa eeei😂😂😂😂😂😂
@GloriaNahimana-x8p
@GloriaNahimana-x8p 3 сағат бұрын
Kweri kama unapenda zatiti na Tacha tujuane🎉🎉🎉
@DamarisMoraa-y5d
@DamarisMoraa-y5d 3 сағат бұрын
Sijajelewa team gulf tunaopenda tasha na zatiti ebu tujuane wale tulipigia chiko simu kuwa anadhulumiwa ktk saudi arabia
@SdFft-j5g
@SdFft-j5g 2 сағат бұрын
Kwni papa tatizo lao nn, washafanya njia ya mkato wamepata card ya Kendi, mbna hawamwachii kai, alfu zatiti kama ungetaka kusaidia ktka hili swala la kai mbna haunge record anavyojigamba hyu Chiko, ila si kweli ila afadhali hangeenda kituo cha polisi labda angetambua hao kina papaa, alfu kitu kingne zatiti ukijrbu kurudi kwa Chiko naacha kuangalia hii movie
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 сағат бұрын
Zatiti acha ujinga ww San km utarudia na chico mm siagali ten wallah sijapenda mm zatiti Kwa hili
@deboradeo-o2k
@deboradeo-o2k 4 сағат бұрын
Naipenda jmn mpk naumw zatiti love you Tammy pia leo nmewah naomben like❤
@BrendaMogambi
@BrendaMogambi 3 сағат бұрын
Wanao jungulia kila wakati Tukisubilia chiko arudi vile kitamramba😅😅😅😅
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 7 минут бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu
@QweenNickson
@QweenNickson 4 сағат бұрын
I can't believe kama nimekuwa wa kwanza jamani. Nawapendaa sanaaa watazamaji wenzagu pamoja na Wana Busati TV.❤❤❤ Like zenu please 🥰🥰🥰
@busatitv
@busatitv 3 сағат бұрын
❤❤❤
@godfreychambo1040
@godfreychambo1040 52 минут бұрын
Zatiti kazingua
@QweenNickson
@QweenNickson 42 минут бұрын
@@godfreychambo1040 sanaaaaaaaaa.
@TimotheoNdonde
@TimotheoNdonde 2 сағат бұрын
Tunao amini kuwa Kai atatoka kweny mikono ya papaa, na candy atafer mipango yake gonga like❤❤
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 4 сағат бұрын
Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote tunaofuatiliya hii movies House girl,Ninawapenda saaan,Amani ya Mungu iwe juu yetu sisi ote 😘😘
@deboradeo-o2k
@deboradeo-o2k 4 сағат бұрын
Jmn jmn zatiti Nakupenda mno wakwanza Leo naombeni like zn
@RoseNanzu
@RoseNanzu 12 минут бұрын
Huyu zatiti akirudi huku siangalii tena hii house girl
@marykadzo5672
@marykadzo5672 2 сағат бұрын
Nyanyake zuu alikua mrembo sana enzi zake ......nampenda sana
@JaneMhango-yl7xo
@JaneMhango-yl7xo 3 сағат бұрын
Wooooh kazi mzuri dada zatiti kwakujua ukweli kuhusu sania
@etsareliza6687
@etsareliza6687 6 минут бұрын
Zatit umenikela sana kwenda kwa chiko alafu umekaa mwenyewe umejituliza umebowa sanaaa
@SofiaAliAli
@SofiaAliAli 3 сағат бұрын
Zatiti kama wewe umefundwa ukafundika uwezi kumuwacha mumeo tacha na kurudi kwa chiko,wadau like hapo
@TzSweetheart
@TzSweetheart 29 минут бұрын
Uyo Sania kisura chake😂😂
@Saumu-vr4bc
@Saumu-vr4bc 3 сағат бұрын
Chiko Chiko Choliko unasema Zatiti n malkia wa moyo wako baada ya kujua kua ww huna kizazi, Pole yako
@doroblessing3779
@doroblessing3779 Сағат бұрын
Zatiti anajua kucheza na akili za chiko,zatiti anampeleleza vizuri chiko
@Hailshhasibu-xx2kd
@Hailshhasibu-xx2kd 4 сағат бұрын
Aslamualeikum warahmatullah nipewe
@deboradeo-o2k
@deboradeo-o2k 4 сағат бұрын
Naipenda jmn mpk naumw zatiti love you Tammy pia leo nmewah naomben like
@SalmaYusuph-y8o
@SalmaYusuph-y8o 4 сағат бұрын
Jaman leo mie wa kwanza kutoka gulf naomben like
@KhadijaMwinjuma
@KhadijaMwinjuma 37 минут бұрын
Kigogo wa konekshen au baba kai😊
@HappyDickson-d2g
@HappyDickson-d2g 3 сағат бұрын
Wangapi walikuwa wamemisi house gro jaman❤❤❤
@egnusmhesi5444
@egnusmhesi5444 11 минут бұрын
Sasa hii movie malizeni mnakoelekea mnaharibu.
@ZabibusuphianialisuphianiAlly
@ZabibusuphianialisuphianiAlly 4 сағат бұрын
Nimewahi kiasi mnipee like sijui nitazipeleka wapi 😂😂😂😂😂 team busati tv twende nalo guys tap tap screen 🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂
@petromgaya1746
@petromgaya1746 44 минут бұрын
Zatit ushaaanza kuzinguaaa kwann huna msimamo wew kwa chicko umefata nn wew😢😢
@buru1235
@buru1235 3 сағат бұрын
Mashallah n vile nimegojea Sana wow thanks for the update
@CharlesSebunga
@CharlesSebunga 7 минут бұрын
Hili movie kama mlevi linaenda hatua moja mbele na kurudi hatua kumi nyuma ni ujinga tyuu
@haythammohd5599
@haythammohd5599 4 сағат бұрын
Nimekua wa kwanza leo weeeeee amkeni jamanii sania anakichambo chake ukuuuuuu
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 15 минут бұрын
Zatiti cheza na akili ya Chiko 😂😂😂 Tumia Akili kichwani hapoo Nakuaminia hujawahi kuniangusha
@TahiyaSaleh
@TahiyaSaleh 3 сағат бұрын
Waojuwa kuwa zatiti atacheza na chiko kumtowa Kai gonga like apa 😊
@MargaretKilongi
@MargaretKilongi 4 сағат бұрын
🎉🎉 tulikua tukiongoja kwa hamu weka tick
@kelvingosbert69
@kelvingosbert69 3 сағат бұрын
Now days naangalia hii movie uku napeleka mbele imekuw ndefu sana inapoteza radha😥
@goodluckjohn
@goodluckjohn 2 сағат бұрын
Yani wameifanya ndefu mpaka inakera
@GladyJackson-ub5qf
@GladyJackson-ub5qf 2 сағат бұрын
Upo kma mimi
@GladyJackson-ub5qf
@GladyJackson-ub5qf 2 сағат бұрын
Masuala mengine hayana umuhimu kma kutekana ya nini,,
@goodluckjohn
@goodluckjohn 2 сағат бұрын
@@GladyJackson-ub5qf sio pw
@AzizahMustafa-j9n
@AzizahMustafa-j9n Сағат бұрын
​@@GladyJackson-ub5qfile maana halisi ya house girl imepotea kabisa
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o 3 сағат бұрын
Kama zatiti akirudiana na chiko naomba tu mmalize move coz naona kabixaa ladha inaisha
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 2 сағат бұрын
Mm ndyo siagali kabisa
@MaggySemkande
@MaggySemkande 37 минут бұрын
Umekoment ukiwa wapi😅​@@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Lornagari
@Lornagari 33 минут бұрын
Baba kai anakaa ako na homa hiyo sauti mbona kama ya mchina
@Tynamnyilis9824
@Tynamnyilis9824 4 сағат бұрын
Wa tatu like zote kwangu
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 сағат бұрын
Tatizo lenu mutu akitekwa kusema arudiye mpaka mutukaushe roho jamani iishe basi tusije tukaumwe maugonjwa ya moyo kisa nyiye Zatiti ndouyo kaisha jipeleka kwa Ciko munategemeya nini sasa ebu tuaceni siye imalizeni mutuleteye nyengine iyi tumeishiba sasa
@bintijumachongoa892
@bintijumachongoa892 2 сағат бұрын
Kbsa ishasinyaa yaan atutamani kuona mbele
@RehemaMwakisyala-k9u
@RehemaMwakisyala-k9u 2 сағат бұрын
Zatt anaakili nying sana munaoona kawakwaza subilien ni gem ilo anacheza Tena kwa akili mutamuelewa tu
@Amal-iq1wg
@Amal-iq1wg Сағат бұрын
Yeah nimchezo Ana chezaa
@FaustaLutugely
@FaustaLutugely 20 минут бұрын
Jamani mm zatiti ameniboa sana Kama mnakubaliana na mm like jaman
@NeemaEli-wl1dz
@NeemaEli-wl1dz Сағат бұрын
Tumehipenda sana himuvi nizuri sana mungu hawahinuwe juu sana
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 3 сағат бұрын
Kazi nzuri sana ❤❤❤❤❤❤nawapenda bure watazamaji wenzangu na busati Tv 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AminaKidare
@AminaKidare 2 сағат бұрын
Mi nmemuelewa sana zatiti ,hapo anaweka kamtego tu anajua chiko ni dhaifu kwake
@ElizabethMumbi-c6x
@ElizabethMumbi-c6x 4 сағат бұрын
Leo nimewah jamna mauwa yenu busati Tv🎉🎉
@AngelMayani
@AngelMayani 3 сағат бұрын
Mbona mnachelewa sana kuhusu kutuma hizi sio kama zamani
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 2 сағат бұрын
Yaani da zatiti ukirudi tena kwa chiko utatuangushaa sana ndugu yetu 😢😢😢😢
@SalomeSumbizi-ll9wc
@SalomeSumbizi-ll9wc Сағат бұрын
Zatiti anacheza na akili ya Chiko nyie hamjui tu
@ElinahChama
@ElinahChama 2 сағат бұрын
Jamani movie zuri ila dakika ni chache sn jaribuni kuongeza dakika
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 3 сағат бұрын
Malizeni movei yenu bhana,,sielewi inakoelekea,,,,mioyo yetu inataka kutulia sasa tumechoka vita ya chiko
@YunucKhalid
@YunucKhalid 3 сағат бұрын
Muhusika mmoja hawez kuharibu movie Bora iendelee tuone khatma ya mtu kuwa na majigambo kma chiko
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 2 сағат бұрын
@@YunucKhalid sawa basi
@JentrixSungu
@JentrixSungu 2 сағат бұрын
Chiko unaongea vizuri sania ananyonga malkia wa chiko😅😅😅😅😅😅
@meshackdyanka7826
@meshackdyanka7826 39 минут бұрын
Busti hamjui kutunga story
@Salmasaidi-h5p
@Salmasaidi-h5p 34 минут бұрын
Chiko utapigwa na kitu kizito wew zatiti sio mjinga 😂😂
@yktitho6493
@yktitho6493 47 минут бұрын
Kweli kuvaa kiatu cha mtu kazi Jasmin ilitakiwa ndio awe anamfariji zuri yeye hayupo
@LucyLumwecha
@LucyLumwecha 24 минут бұрын
Namwamini zatiti uo nimtego kamtega chiko wanao kubali tujuane
@ShufaaUbwa
@ShufaaUbwa Сағат бұрын
Mwezenu zatiti amenitibua balaaa natamani nisiangalie tena muvi yenyewe aaah
@husnababe
@husnababe 2 сағат бұрын
Zatiti leo umenikasir8sha sana
@AnnethEfrahim
@AnnethEfrahim Сағат бұрын
Yani zatiti akiludi Kwa chiko sifatilii Tena house girl
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 3 сағат бұрын
Wakwanza na wamwisho mama kiriku mbona umekua ruba kwenye laif za watu😅😅
@VivianSimidi
@VivianSimidi Сағат бұрын
Aky sijapenda zatiti kwenda kwa chiko 11:58😢😢😢
@JoselineJuma-r7o
@JoselineJuma-r7o 9 минут бұрын
Kila mtu anamlaumu Zatiti lakini hamuoni kuwa Zatiti anacheza kama undercover mwenye anakubaliana na mm anipe like
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 3 сағат бұрын
Jmn nimewahi kidg🎉😂
@MercyMercy-lm8nq
@MercyMercy-lm8nq 58 секунд бұрын
Mm cjapenda zatiti kwenda Kwa chiko
@SamiHamood-x3b
@SamiHamood-x3b 33 минут бұрын
Zatiti ulikuwaumefata nin kwa mjinga huyo chiko wala simupendi kabisa maana kila sehemu et aingie chiko ni mjinga hata hana kizazi
@StulidaNgombe-k3k
@StulidaNgombe-k3k 3 сағат бұрын
Leo nimewah jaman naomba like
@JacintaMaloba
@JacintaMaloba 4 сағат бұрын
Mie wa mwisho 😂 sitaki like zenu
@Fatuma-e7k
@Fatuma-e7k 3 сағат бұрын
Pia ss atukupi😂😂😂
@AnnaBura-p2g
@AnnaBura-p2g Сағат бұрын
Bwana tupe faraja 🤔🤔🤔 hii mbn vita
@fatfat9093
@fatfat9093 2 сағат бұрын
Najua.zatiti ametaka kupewa masaa 24 kufikiria hili.akatoe taarifa kwa.familia zote 2 chiko nahakika kitakuramba tu Asante bibi kutegua kitendewili hila alomteka kai c chiko anajifanya tu apte zatiti hila ni papaa naatajulikana pia
@PurityDida
@PurityDida 2 сағат бұрын
❤❤❤❤🎉🎉 house girl pambe🎉🎉🎉
@ChimammyMummy
@ChimammyMummy 2 сағат бұрын
🤣🤣🤣chiko na bidii zako zote afu end of the day zikuponzee ndio nitajua mandevu zako n Bure bilash hata beberu anazo
@MtumishiEstonFidelMtumishiEsto
@MtumishiEstonFidelMtumishiEsto 2 сағат бұрын
Hiiii move kuna mda ina boa kishenz
@JulieMisana
@JulieMisana Сағат бұрын
Dah!!! Mambo msongamano
@SusanNthenya-s6j
@SusanNthenya-s6j 38 минут бұрын
Hiyo maneno ya chiko n kelele tu ana lolote kwa mr tasha 😂😂
@Mariahkahind
@Mariahkahind 50 минут бұрын
Zatity hujamtendea haky tasha....kilicho kufanya uende kwa chiko ni nn...umetuangusha 😢😢😢😢😢😢😢
@FatumaChindoro-p8o
@FatumaChindoro-p8o 2 сағат бұрын
Siku hiz mwachelewesha house girl kweli mwatuboo
@husseinbaraza3194
@husseinbaraza3194 37 минут бұрын
Hii mov mimi naona inaendea kunchosha zatty kafwata nini kule
@happysamson915
@happysamson915 Сағат бұрын
Duuuuuuh zatiti anazingua kinoma mmmmmmh na hii move tena basi tena
@DanMark-jy2hk
@DanMark-jy2hk 3 сағат бұрын
Wale tulikuwa tunangojea tuko wapi?👍👍👍
@PriscaBenjamin-ub7lu
@PriscaBenjamin-ub7lu 3 сағат бұрын
Mnatucheleweshea Sana jaman
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 3 сағат бұрын
Wapi Mauwa ya mama tasha❤❤❤❤❤❤❤
@NeemambagaEneza
@NeemambagaEneza 3 сағат бұрын
Mnatucheleweshea sana busati leteni mambo
@افااقع
@افااقع 40 минут бұрын
Mimi acheni niwambie ukweli zatiti akirudiana na chiko hamnioni tena hapa
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 2 сағат бұрын
Chico ni mdhaifu Kwa zatiti ndo maana kaja huku kuperereza
@EasterSimiyu
@EasterSimiyu 2 сағат бұрын
Mbona mnaleta movie Haina picha tena mwaleta mojamoja
@AisherJuma-d2q
@AisherJuma-d2q Сағат бұрын
😂😂😂😂ety chiko amekuwa Gen z aaaaah wpi
@FloraMkumbo
@FloraMkumbo 3 сағат бұрын
Kasiriii ilo kwiooo chiko bhan😂😂😂😂
@MartinNiyukuri-n2t
@MartinNiyukuri-n2t 2 сағат бұрын
MV tayari tumeichoka
@EzekiaMsemwa-sk7ow
@EzekiaMsemwa-sk7ow 3 сағат бұрын
Hapo chiko ilitakiwa achukuliwe sheria kwasababu kakili yy mwenyewe kuwa kamteka kai
@EstherMwalukasa-i7r
@EstherMwalukasa-i7r 57 минут бұрын
Zatity utafanya watu waache kufuatilia hii movie achaujinga ww Mdada utaharb movie
@mapesaomary-ip3vf
@mapesaomary-ip3vf Сағат бұрын
Sania anafaa sana kuwa kiongoz wa vikoba vya marejesho
@Agacouture
@Agacouture 4 сағат бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 sisi wa kwanza ku commentaires, aime, na ku partager 🎉🎉🎉🎉🎉
BABA YANGU KIPOFU Full  episode /53/ #love
20:30
BabaJoan
Рет қаралды 19 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 52 МЛН
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
NAIROBI'S BEST KEPT SECRET for a PERFECT MUSEUM DATE
12:53
VIBES WITH CIKU & ALMA
Рет қаралды 92
MAUMIVU [8]
14:13
CHADO MASTA TV
Рет қаралды 6 М.
LOVE AND PAIN EPISODE 5
16:18
KIM VEVO
Рет қаралды 1,6 М.
I LOVE MY TEACHER | 2 |
24:47
CLAM VEVO
Рет қаралды 277 М.
SHETANI |Ep 6| SEASON TWO
22:10
Comedy Plus
Рет қаралды 20 М.
'MZIGO" Movie sehem ya 1 / Starling Tinwhite Ringo Masantula
25:59
WHITE FILMS
Рет қаралды 143 М.
HOUSE GIRL EP 40  | S3 | LOVE STORY 💞💕
21:41
BUSATI TV
Рет қаралды 93 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 52 МЛН