HOUSE GIRL EP 04 | S3 | Love Story 💕💞

  Рет қаралды 114,385

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 413
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 2 ай бұрын
Ndug zanguni Amani ya Mungu iwe juu yenu, nimefurah tena kukutana tena nanyie mkiwa wazima wa Afya, Ninawapenda saan 😘 😘 😘
@Aishavumbi
@Aishavumbi 2 ай бұрын
Inshallah shkran ❤
@happybalence
@happybalence 2 ай бұрын
Amen na kwako pia🙏
@shelyboyshely2928
@shelyboyshely2928 2 ай бұрын
Ameen
@buru1235
@buru1235 2 ай бұрын
Amen and Amen and kwako pia
@AishaAisha-ji6ui
@AishaAisha-ji6ui 2 ай бұрын
Amiin insha Allah kwako pia
@كامليا-ر7ز
@كامليا-ر7ز 2 ай бұрын
Kiukwel kiramba unatia huruma😥😥pole Sana mpambavu mwenzangu weka like kwa kiramba mpe tu pole
@AlinaNizigama
@AlinaNizigama 2 ай бұрын
Umeona anatia uruma sana jamani😂😂
@marymele9714
@marymele9714 2 ай бұрын
We kuweza mpumbavu mwedzake uyo😂
@SabrahNibuka
@SabrahNibuka 2 ай бұрын
Pole kilamba ukwaju😢
@BettyShabbyWey-to6cf
@BettyShabbyWey-to6cf Ай бұрын
Jmn 😢😢pole
@MawazoJustin-fw2ws
@MawazoJustin-fw2ws 2 ай бұрын
Kiramba jamani unatiya uruma Pole sana, wakwanza mm toka sauth africa naombeni like wanao muoneya Kiramba uruma
@UmmiGanja
@UmmiGanja 2 ай бұрын
Candy kitakuramba
@SwaidathThabith
@SwaidathThabith 2 ай бұрын
Ambao atumalizi move tushaenda kwenye comment dondosha like hapa🤭
@levinaernest4364
@levinaernest4364 2 ай бұрын
😄😄😄
@CatherineBenedict-os1gs
@CatherineBenedict-os1gs 2 ай бұрын
😂😂
@phelistusnamakhabwa951
@phelistusnamakhabwa951 2 ай бұрын
😂😂😂
@mesamesa3698
@mesamesa3698 2 ай бұрын
Jamani hivi mm cna damu ya kupewa like 😂😂😂 much love 💕 team busati tv
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna 2 ай бұрын
😂😂😂😂c bc
@AyshaSalumu
@AyshaSalumu 2 ай бұрын
Mnanywea chai izo like jamn
@hamidasaid-oh8fs
@hamidasaid-oh8fs 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@PaulinaFrancis-l6p
@PaulinaFrancis-l6p 2 ай бұрын
Atakae like hii comment mung ampe maisha maref❤❤
@FloraMuro
@FloraMuro Ай бұрын
Amina
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 2 ай бұрын
Zuu,Tasha, Zatiti, Kai Mungu yupo karibu yenu napia ndio mtetezi wenu, mwisho wa njia ni Ndani.
@RajabRadhid
@RajabRadhid 2 ай бұрын
Kilamba na mpumbavu mwenzake nawapenda
@WardaSuleimn
@WardaSuleimn 2 ай бұрын
Àsalam aleykum ijumaa Karim kila anayesoma koment hi Allah amfanyie wepesi kwa kila kitu
@zainabzain3434
@zainabzain3434 2 ай бұрын
Allahumma Amiin 🤲
@FatmaMwinjuma-p5u
@FatmaMwinjuma-p5u 2 ай бұрын
Amin
@BAKARIHUSSEIN-rh4go
@BAKARIHUSSEIN-rh4go 2 ай бұрын
Amiin ya raab
@SadaDjuma-e9b
@SadaDjuma-e9b 2 ай бұрын
@@WardaSuleimn Walaykumussalam warahmatullah wabarakatuh ndug yang kipenzi 😘😘😘, Aaaaameeeen kwa sote 🤲🤲
@kamarhelo
@kamarhelo 2 ай бұрын
Amiin yarraby la araamin shukrani kipenz
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk 2 ай бұрын
Kai Mchukue Wewe Uyo Kilamba Ukakaenae After that Yule Fanya Kazi, Wako Unamwambia Ake Karibu Sana n Kilamba Hili Amfariji Kwaiki Kipindi Wapitia Napia Utakua Umemzuiwiya Uyo Mfanya Kazi wako Kwa Mambo Anayo Takakuyapanga Au Kuya fanya.. Hila Shukrani Zangu Kwa, that Kwenu Nyote One love
@AnnaAmanda-v4q
@AnnaAmanda-v4q 2 ай бұрын
Ambao tunawaza kendi atakuwa amehusika kumteka mpumbavu mwenzangu like kidogo tujuane 😂😢😢😢
@sifamaureen2792
@sifamaureen2792 2 ай бұрын
Mwenye ataoa zatiti,atakuwa amepata Bibi WA hekima🎉🎉🎉kama unaamini fanya ile kitu
@kamarhelo
@kamarhelo 2 ай бұрын
Kitu ipo hio 😂😂😂😂😂
@joharithabiti334
@joharithabiti334 2 ай бұрын
😅😅😅
@joharithabiti334
@joharithabiti334 2 ай бұрын
@sifamaureen2792+21😅😅
@merinazyd0532
@merinazyd0532 2 ай бұрын
Huyu mke wa kiramba ametekwa na kina cendy 😢lnshallah atapatikana Na hili lidada la chiko nalo lishilikina hatari
@SnicthGoma
@SnicthGoma 2 ай бұрын
Mimi wa kwaza leo naomba like jamani much love from Kenya 🇰🇪 to congo
@hinakhan3562
@hinakhan3562 2 ай бұрын
much love from Kenya to Saudi Arabia.Tuko dni kama bacteria😂😂
@user-Ambani
@user-Ambani 2 ай бұрын
​@@hinakhan3562😂😂😂😂
@levinalitanda8166
@levinalitanda8166 2 ай бұрын
Jaman bb zuli yuko wapi? Binafsi ningeomba bb zuli awasaidie kai na zuli, kilamba na mkewe na tasha na zatt please bb awasaidie
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 2 ай бұрын
Kabisa
@نيجي-ن1د
@نيجي-ن1د 2 ай бұрын
Nakuunga mkono wakomeshwe hawa vinyangarika
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r 2 ай бұрын
Busati tv nawakubali Sana nyie ni Wamoto co mchezo...big up wote...
@PhilbertHabonimana-o1z
@PhilbertHabonimana-o1z 2 ай бұрын
Jamani kilamba atiahuruma mpumbafumwenzangu jamani naomba like
@HalimaMuyonga
@HalimaMuyonga 2 ай бұрын
Wameanza kuingiza mambo mengi.... Pia malizeni . Imekuwa ndefu mpaka imeanza kuboa
@PendoStivini-i6y
@PendoStivini-i6y 2 ай бұрын
Waooo leo mapemaaa sana adi raha mambo ndo haya ss
@MwajumaMohammad
@MwajumaMohammad 2 ай бұрын
Bibi Zuu huwe msaada kwa kiramba, Kai Tasha , Zatiti na mke wa kiramba
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 2 ай бұрын
Jamani kilamba pole sana kakangu mpumbavu mwenzako atarudi tue naiman 😢😢😢😢😢
@happybalence
@happybalence 2 ай бұрын
Kazi mzuriii mno mungu habariki snaa 🙏
@denismshanga2201
@denismshanga2201 2 ай бұрын
We papa na tim yako ata siwaelew😂😂😂😂😂😂
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 ай бұрын
Mpumbafu mwenzangu hv kwl kapotea, daah
@WinnieNtoiti
@WinnieNtoiti 2 ай бұрын
Namuonea sana huruma ndugu yangu kiramba pole sana Mungu akuonekanie upate mpumbavu mwenzio
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 2 ай бұрын
Ambao tupo macho mbaka mda huu tujuane hapa kwa like ❤❤❤❤🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
@VanessaZumbe
@VanessaZumbe 2 ай бұрын
Lala😂😂😂
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 2 ай бұрын
😮sina usingiz
@JosephaSulle-yi4zr
@JosephaSulle-yi4zr 2 ай бұрын
Rahma sikupendii san we man MWANAMKE MSHIRIKINAA
@MwanaishaChileta
@MwanaishaChileta 2 ай бұрын
Leo nimerauka mashaa Allah team zuu nawakubali wanangu munaweza 🎉🎉🎉🎉❤❤
@tigejuma9865
@tigejuma9865 2 ай бұрын
Mbn n kama na muhofia kai..!! N kama ako na Siri kubwa xna kuhusu matekaji ya mke wa kilamba...juu picha alio mfanyia tasha..kumkaba..it's a red flag..😢😢
@Onepiecefamily-v1c
@Onepiecefamily-v1c 2 ай бұрын
Hapana kai alikuwa anampima tasha kama anaweza kupambana
@RahimaAa-g2v
@RahimaAa-g2v 2 ай бұрын
Busat❤❤❤ nawapenda sn🎉🎉🎉🎉chukuen maua yenu tunaerimika sn kupitia house,girl
@Soone123
@Soone123 2 ай бұрын
Pole sana kilamba atapatikan kwauwezo wa Allah ❤❤
@SalomeSumbizi-ll9wc
@SalomeSumbizi-ll9wc 2 ай бұрын
Kilamba jmn pole Mpumbav mwenzio atapatikan tu
@PurityMwongeli-p9f
@PurityMwongeli-p9f 2 ай бұрын
We kiraba chukua batuli wa mchogo na maishaa iedelee. Sababu ulimtamani mwazoni
@ElizabethNanjala-lm5ec
@ElizabethNanjala-lm5ec 2 ай бұрын
Tasha una akili nyingi sana duuh ❤❤
@SomyaS-q9t
@SomyaS-q9t 2 ай бұрын
Huyu chiko anashida gani asotuliza hizondevu zake ka brashi ya kuoshea hamamm😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 2 ай бұрын
Subhanallah😂😂😂
@Thuma-g8o
@Thuma-g8o 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂patamu hapo
@JoselineJuma-r7o
@JoselineJuma-r7o 2 ай бұрын
House girl inafanya tunakesha kama wachawi😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Wasema polepole😊
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 2 ай бұрын
😢😢😢namuonea huruma tasha na zatiti Maana naona maadui niwengi sana bibi zuu yupo wapi tena
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 2 ай бұрын
Tasha Yuko imala Sana hujaona alivyomkunja khai
@TwaibaRobati
@TwaibaRobati 2 ай бұрын
Bibi zuu yupo jiya series
@jacklinemwikali5045lina
@jacklinemwikali5045lina 2 ай бұрын
Kiramba pole sana pia mm naumia kuona mpumbavu mwenzako ametekwa
@ElizabethMumbi-c6x
@ElizabethMumbi-c6x 2 ай бұрын
Nimewah leo Kwa Mara ya kwanza kazi nzur 🎉🎉
@MrsHamadi
@MrsHamadi 2 ай бұрын
Duuh hadi natoa machozi kiramba jamanii 😢😢🥺
@henryhabadju-xr6qk
@henryhabadju-xr6qk 2 ай бұрын
CD5 mina muongezea jina lingine NDOMBOLO YASOLO😂😂😂
@JoyceJackson-sk7lu
@JoyceJackson-sk7lu 2 ай бұрын
Wow hatimaye namimi nimewahi Sasa wanaoboreka na tabia za candy na group lake tujuane.✋✋✋
@VioletMusundi
@VioletMusundi 2 ай бұрын
Boeka ama boreka
@LucyAgamu
@LucyAgamu 2 ай бұрын
Mr kilamba una chekesha sana ❤❤ good job
@AdijaRumonge
@AdijaRumonge 2 ай бұрын
Like jamanii naomba
@QueenStecy
@QueenStecy 2 ай бұрын
U r not in hospital, not in jail ,not dead not sick why not thank him for everything i will praise him until my last breath
@MercySilvester
@MercySilvester 2 ай бұрын
Kwani papaaa mipango yake atakayo kumfanyia candy haitimii😂😂 Kila siku na akuna lolote ana fanya
@SandrineIngabire-j7c
@SandrineIngabire-j7c 2 ай бұрын
5min leo nimewahi.kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮wpi like zenu
@Joy-k4t8y
@Joy-k4t8y 2 ай бұрын
nawapenda sana much love from 🇦🇪🇦🇪🇰🇪🇰🇪
@pascalkomba8574
@pascalkomba8574 2 ай бұрын
Daaaaaa kumbe mpumbavu mwenzangu ni mpole kiasi hiki jamani pole et 😂😂😂😂😂😂
@Onepiecefamily-v1c
@Onepiecefamily-v1c 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂sana
@mwanaakidaomar4663
@mwanaakidaomar4663 2 ай бұрын
Huyo Rahma hayo macho utadhan kapaka mavi ya ng'ombe😏😏
@Mwanajumahassan-tg3zg
@Mwanajumahassan-tg3zg 2 ай бұрын
Pole sana kilamba ...amakweli umoja n8 nguvu❤❤❤❤❤❤
@BeatriceMvaty
@BeatriceMvaty 2 ай бұрын
Wat ad satisa hamlali duh busati nyie mnatuponza atulali sis nipen like bas 😂😂😂
@Vee_5ji
@Vee_5ji 2 ай бұрын
Mipango ya Sania mpumbavu katekwa nyara hiyo,,,, ndivyo asikamsumbue batuli ama kufichua siri zao
@RebeccaPIUS-cw7xr
@RebeccaPIUS-cw7xr 2 ай бұрын
Duuh ndugu zangu ufanye male mwee khaaa😂😂
@PaulineNasoro
@PaulineNasoro 2 ай бұрын
Pole sana kilamba 😢😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@DidaAlly-iz1it
@DidaAlly-iz1it 2 ай бұрын
Munaiyaribu sasa hii move mnajaza watu wengi
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 2 ай бұрын
Chiko na dada msitake kutukera,,,na msijisahaulishe kuwa mlipa talaka zatiti wetu,,tena kwa matusi, kashfa na kejeli nyingi,,,,muacheni tafadhali na mtukome kutusumbua sisi tunataka ndoa mpya😂😂😂
@MalkaNinik
@MalkaNinik 2 ай бұрын
Tena yuwajifanya kama aelewi kama alimkashifu nakumfukuza.kama.mbwa anasahau msemo. Wakusema ukipiga kwateke kinangojwa kwa mikono zatiti ashapatwa namikono
@KageneMireille-zz7qc
@KageneMireille-zz7qc 2 ай бұрын
Wakwanza kutoka Burundi🎉🎉🎉🎉
@UmaziMdzomba
@UmaziMdzomba 2 ай бұрын
Congratulations for good work
@فراحهكينيا
@فراحهكينيا 2 ай бұрын
Leo nimewai team strong piteni hapa n like tukisonga❤😊😊😊😊😊
@Haw3-v4y
@Haw3-v4y 2 ай бұрын
Zuu neda bibi awatabirie kutekwa rafiki yko
@latifakijuba3874
@latifakijuba3874 2 ай бұрын
Mnajaza watu wengi kila siku saiv imekuwa mbaya sana
@HamidaBadary
@HamidaBadary 2 ай бұрын
Bwana kilamba pole sana
@rahelcharles7861
@rahelcharles7861 2 ай бұрын
Mpo fasta
@SdFft-j5g
@SdFft-j5g 2 ай бұрын
Nani yuawa hisi kama mm kua ni Kendi alieko nyuma ya utekaji wa mke wa kilamba ukwaju,, jamani mpumbavu anamumiss mpumbavu mwenzie😢😢
@Onepiecefamily-v1c
@Onepiecefamily-v1c 2 ай бұрын
Huyo mcharuko ashindwi chochote
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf 2 ай бұрын
Kwa kweli mpo 🔥🔥 nawapenda san ❤❤
@EviathaEdistedius
@EviathaEdistedius 2 ай бұрын
Jaman msifike Epsod ya 50 ujue mkiirefusha inaanz kuboaaa
@MariamMchomvu-q3s
@MariamMchomvu-q3s 2 ай бұрын
Kilamba mpumbavu mwenzangu pole
@AshaWato
@AshaWato 2 ай бұрын
Leo nmewahi watching from 🇰🇪🇸🇦
@bayubaheallydelly-rn2zv
@bayubaheallydelly-rn2zv 2 ай бұрын
Kama unamuonea huluma kilamba naomba like zangu
@Onepiecefamily-v1c
@Onepiecefamily-v1c 2 ай бұрын
😢😢😢
@AngeArakaza-i1s
@AngeArakaza-i1s 2 ай бұрын
Leo wa ine lake zangi jameni
@umentco9600
@umentco9600 2 ай бұрын
Wanaume wagependa wake sao kama kilamba
@MerryKisunga-pb3uj
@MerryKisunga-pb3uj 2 ай бұрын
Ingekuwa powa sawa
@JanetKamene-i4y
@JanetKamene-i4y 2 ай бұрын
Team keddy mnajua mahali mpumbavu yuko
@FarhhFarhh
@FarhhFarhh 2 ай бұрын
Zoo pole bibizoo ukowapi zoo ananza kunyanya sika bibi ukuowapi umuteteye zatiti mr tasha, kayi kilamba polenisana chiko ibiobimandevu acha, ubaya, zatiti, sio,wako nuwa mr tasha ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@NgalamnyaziScolasticah
@NgalamnyaziScolasticah 2 ай бұрын
Nani kateka Jasmin lkn 😢 kiramba anayia huruma jamani, mungu mlinde jasmine mahali alipo inshallah
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 2 ай бұрын
Vipi kama candy anahusika na utekeaji
@SbahHiai
@SbahHiai 2 ай бұрын
Mazoea ya na tabu kiramba mpambavu mwenzangu ❤❤❤❤
@ShamsaMussa-f3g
@ShamsaMussa-f3g 2 ай бұрын
Me ikifika sin ya tasha naboeka simpend uyu kaka jamani ana sifa sana apunguze sifa
@LovenessLucas-r2x
@LovenessLucas-r2x 2 ай бұрын
😂Tena anamaneno mengi
@SaumBakari-po7re
@SaumBakari-po7re 2 ай бұрын
Mimi napenda Mr Tasha na zatiti
@zanishaikhonge7296
@zanishaikhonge7296 2 ай бұрын
Wa 29 kazi nzuri ❤❤❤
@coolboymicky3651
@coolboymicky3651 2 ай бұрын
Candy chukua maua yako 🎉🌹💞🎉🌹
@jubaidamiss2409
@jubaidamiss2409 2 ай бұрын
Next ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@MagiMagi-zk3es
@MagiMagi-zk3es 2 ай бұрын
Wanao amini batuli hatajulikana na mipango yake tujuane kwa like tukisonga
@QueenStecy
@QueenStecy 2 ай бұрын
Usisahau kuna bi zuuh dada
@zeynabuhussen8740
@zeynabuhussen8740 2 ай бұрын
​@@QueenStecy 😂😂😂😂 𝐦𝐞 𝐩𝐢𝐚 𝐢𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐧𝐚𝐭𝐚𝐤 𝐤𝐮𝐬𝐞𝐦𝐚 😂😂😂
@MaryBosibori-xm7us
@MaryBosibori-xm7us 2 ай бұрын
Jamani mpumbavu wangu pole sana
@aishaomar2287
@aishaomar2287 2 ай бұрын
Sania leo hataki mipango😂😂😂
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg 2 ай бұрын
Huyo afande Kuna sehemu kafeli, mm n afande( Kiufupi ajakaza kwny nafas yake)
@Onepiecefamily-v1c
@Onepiecefamily-v1c 2 ай бұрын
Hata mm nahisi hvyo
@mumfaraji5034
@mumfaraji5034 2 ай бұрын
Huyu Rahma simpendi maana niking'ang'a na story za waganga,mdomo anavyoukenua sasa
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o 2 ай бұрын
Jaman nan kamteka mpumbavu wa kilamba ukwaju
@JacintaMaloba
@JacintaMaloba 2 ай бұрын
Leo mm nipo among top 10
@B.M-ix4rz
@B.M-ix4rz 2 ай бұрын
Watu hamlalii
@ShamsaMussa-f3g
@ShamsaMussa-f3g 2 ай бұрын
Move nzuri sana❤❤❤❤
@MaziamJororo
@MaziamJororo 2 ай бұрын
Timu kiramba❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 like hapa😢😢😢
@MrsMariam-x2s
@MrsMariam-x2s 2 ай бұрын
Safi sana Tasha una akili sana umeweza kabisa mtoweni hapo
@JamesJimmy-p7p
@JamesJimmy-p7p 2 ай бұрын
Huy sania kila sehemu chambo yeye 😂😂
@ANDREWCOMEDIAN
@ANDREWCOMEDIAN 2 ай бұрын
Tunaifatilia sana hii movie
@SbsBts-g3v
@SbsBts-g3v 2 ай бұрын
Next plz 😂😂😂😂
@HappynessMbasha
@HappynessMbasha 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@ANNASEBASTIANIKISAKA
@ANNASEBASTIANIKISAKA 2 ай бұрын
The first one more like❤❤❤❤❤
@SiaGervas
@SiaGervas 2 ай бұрын
Mpumbav mwenzangu kachoka ple San utampata mpumbav wetu usijl😂😂😂😂😂😂 wana familia tunaandmn lin..?
@SnicthGoma
@SnicthGoma 2 ай бұрын
Naomba subscribe tu familia na ngoma kali sana
@aishaallyaishaally3220
@aishaallyaishaally3220 2 ай бұрын
Nice
@Nassrah737
@Nassrah737 2 ай бұрын
Jamani mambo ni 🔥
@umentco9600
@umentco9600 2 ай бұрын
Na wanawake wote wagewa kama suu na satiti kwa ndoa kuti wanaume sao ndoa zigedumu
@SamiaKalela
@SamiaKalela 2 ай бұрын
Aujui kuandika
@SemeniJuma-vm9jd
@SemeniJuma-vm9jd 2 ай бұрын
Simu yako Haina Z??
@PurityMwongeli-p9f
@PurityMwongeli-p9f 2 ай бұрын
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😅
HOUSE GIRL EP 05  | S3 | Love Story 💕💞
21:14
BUSATI TV
Рет қаралды 122 М.
HOUSE GIRL EP 69 | S3 | LOVE STORY 💞💕
20:25
BUSATI TV
Рет қаралды 67 М.
I thought one thing and the truth is something else 😂
00:34
عائلة ابو رعد Abo Raad family
Рет қаралды 12 МЛН
SIZE DOESN’T MATTER @benjaminjiujitsu
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 7 МЛН
DUBWI MASTER 01
32:49
MPAYU FILM
Рет қаралды 58 М.
WAKE WENZA S01 EP 01
14:13
Juma Zomboko
Рет қаралды 28 М.
HOUSE GIRL EP 70 | SEASON FINALE | S3 | LOVE STORY 💞💕
30:20
HOUSE GIRL EP 07  | S3 | Love Story 💕💞
22:41
BUSATI TV
Рет қаралды 113 М.
HOUSE GIRL EP 06  | S3 | Love Story 💕💞
22:50
BUSATI TV
Рет қаралды 120 М.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
CLAM VEVO
Рет қаралды 1 МЛН
HOUSE GIRL EP 67 | S3 | LOVE STORY 💞💕
26:14
BUSATI TV
Рет қаралды 80 М.