Kujiunga Group Busati tv WhatsApp bonyeza link 👇👇 chat.whatsapp.com/EXedjPddrA9C1XIkEg36JP
@RahmaMbeyu5 ай бұрын
Nataka jiunga
@Princescynth5 ай бұрын
Hapo ndipo wanaume hukosea babako n mhimu kuliko kila kitu duniani
@busatitv5 ай бұрын
Umeona eeeh
@NeemaJumanne-h5d5 ай бұрын
Kabisa yani
@zulfajamal31665 ай бұрын
Kwa tabia za huyo dada unafikiri huyo kaka atakaa sehemu gani
@omarsaid_16075 ай бұрын
Ndo hivyo tunapendaa wake zetu sana kuliko wazee wetu... Allah atuongozee
@salumsalum29015 ай бұрын
ningelikuwa ashakula makofi mengi sana apo
@Jajakanjaniri5 ай бұрын
Muko Vizuli Sana ❤❤❤ Nawapenda Gutoka Burund 🇧🇮♥️♥️♥️♥️👌👌
@busatitv5 ай бұрын
Tunawapenda sana Watu kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 aslimia sana Burundi
@SubraBweta5 ай бұрын
Jmn dada wakazi anunuliwe nguo.anyway unawatch house girl ukiwa wp mpnz kujeni uku team fulus
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana Dada wa Kazi nguo anazo ni Bado tu yupo Day hiyo hiyo
@mwanaakidaomar46635 ай бұрын
Tupo hpa💃💃💃
@BabyeSaumu5 ай бұрын
Mbona wengine wanabadiliha ma nguo ila yeye ni hiyo moja tuu@@busatitv
@everlinekenga4375 ай бұрын
Nikiwa Dubai ❤❤❤
@Oamn-b6q5 ай бұрын
Oman😂😂😂😂
@elisanteKombe5 ай бұрын
Hongera sana kwa movie nzur yenye mafundisho mazur. Nawapenda na tuko pamoja mpaka tamati maua kwenu🎉🎉 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@busatitv5 ай бұрын
Tunakupenda sanaa 🥰🥰❤❤
@barakahsylvester79115 ай бұрын
Muwe Mnjitahid kutuletea mwendelezo mapem a..❤
@busatitv5 ай бұрын
Tunapost kila siku saa 1 Usiku bonyeza kengele 🔔 usiwe unapitwa
@AisherJuma-d2q5 ай бұрын
𝐒𝐢𝐭𝐨𝐚𝐜𝐡𝐰𝐚 𝐧𝐲𝐮𝐦𝐚 𝐧𝐚𝐰𝐚𝐩𝐧𝐝𝐫𝐚 𝐜𝐧
@najmajoneke-sk7ld5 ай бұрын
Mashaallah bonge Moja La Move Daah Yaani Nimeikubali sana
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana🙏🙏
@najmajoneke-sk7ld5 ай бұрын
Afwan ❤❤❤
@SophiaIssa-n6t5 ай бұрын
Sisi wanawake tuliyo ndani ya ndoa tuache zalau wadada wakazi nibola sana kuliko sisi mwanamke mwenye akili atajua mimi nini namanisha
@busatitv5 ай бұрын
Balaa
@Frola-r9z2 ай бұрын
Kabisa 🙏
@RizikiZiki5 ай бұрын
Kayi baba anaongea pwenti zuu ndo mwanamke sahihi kwako uyo mkeo sio mke nimtihani kwakweli hadi asira kiukweli 😢
@busatitv5 ай бұрын
Umeona eeeh
@pur-ple-girll-3045 ай бұрын
Kumbe point inaandikwa pwenti😅😅😅
@DIANAUCHINGA5 ай бұрын
Wew syo pwenti ni point
@pur-ple-girll-3045 ай бұрын
@@DIANAUCHINGA 😂😂😂naelewa dr
@RechoJuma-wk9yt5 ай бұрын
Kweli kambisa uyu mke afai
@SumarryGoodluck5 ай бұрын
Brother msikilize mzee anakuambia kweli aiseeh
@Marem-xu5xx5 ай бұрын
Naipenda kbx nimeiyo tik tok nikaipenda kbx From🇸🇦🇧🇮🇧🇮✌️✌️
@Tunusugar5 ай бұрын
Baba mkwe jaman anampenda zuu 🎉
@busatitv5 ай бұрын
Baba Mkwe ana Shida 🤣🤣🤣
@danielkayun5 ай бұрын
Uyo mze alud to hom mana anazalilishwa san atakam ndounapenda mwanamke hauwezi fanana nawamzazi niushauli tu❤
@busatitv5 ай бұрын
Mzeee anakutana na mazito
@betymgaya-p9l5 ай бұрын
Umeonaee 🎉🎉🎉
@EstherIndiana-sn9zg5 ай бұрын
Here we are following ❤🎉Kenyan's watching 🔥
@deempress96985 ай бұрын
English is refusing...😂😂😂😂😂
@MariamNshimirimana-uk2hu5 ай бұрын
Jamani msiwi manakawiza kweli namba tano fasta daaah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mauwa yenu ni muhimu sana Poke yeni 🎉🎉🎉
@busatitv5 ай бұрын
🥰🥰🥰🥰😍😍😍😍😍❤❤❤❤🙏🙏🙏
@busatitv5 ай бұрын
Subscribe Channel yetu... Tunapost episode 1 kila siku saa moja usiku, bonyeza 🔔 ili usiwe unapitwa. Au join kwenye group letu la WhatsApp upate link zaidi
@farajapatison91295 ай бұрын
Kweli kizungu ni lugha ya mapenzi... Ila wewe achana nacho tu 😂😂
@busatitv5 ай бұрын
🤣🤣🤣🙏
@MWANAKOMBONGANGAKARISA5 ай бұрын
Safi xan Wana busati Kaz inabamba xan ak endeeni kutufunza 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@SalumMpwagi5 ай бұрын
Daaaah ambao hatujaoa tuna Kazi kubwa mno tujifunze kwa hii filam wanawake tuwachague lakin tuwe makini
@busatitv5 ай бұрын
Kabisaaa kaka ujakosea 🙏🙏
@doroblessing37795 ай бұрын
Chagueni mke mwema Kama Yule wa rafikiye kai
@pilicharo41235 ай бұрын
😅😅😅😅 mke wa kai wasikia gudu😂😂 hongereni sana.kwakutuelimisha
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana🙏
@JumaAdamo-rz4ye5 ай бұрын
Hii movies nimeyanza kuwangalia Leo no muvi nzuri sana,ninangalia uku mozambique,bom trabalho jovens muito amor para vocês todos 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@busatitv5 ай бұрын
Muito obrigado Povo de Moçambique. Te amamos muito ❤❤
@JumaAdamo-rz4ye5 ай бұрын
@@busatitv obrigado meus queridos Artistas!
@cherishgal5 ай бұрын
Kazi nzuri ❤ congratulations 👏👏🎉 msichelewe kutuletea plz
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana🙏🙏
@Ronah-z7i5 ай бұрын
Napenda hii filam ❤nikiwa USA🇱🇷❤❤❤
@busatitv5 ай бұрын
Oooh Asante sana 🙏🙏
@ghaniaghalib11365 ай бұрын
Nice kaz mzur mnoo busat allah awafikishe mbali Inshallah ❤
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana🙏
@ChristopherLucky-m5h5 ай бұрын
Next plus watching from DRC 🇨🇩🇨🇩🇿🇦🤗
@busatitv5 ай бұрын
Karibu sana
@busatitv5 ай бұрын
Karibu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Yangabingwaofficial5 ай бұрын
Sema house girl ana hatar iyo shepu🔥
@OfficialZuli-ve5kh5 ай бұрын
🎉🎉🎉
@busatitv5 ай бұрын
Vipi kuna sehemu anataka kusajiliwa? 🤣🤣🤣
@EvaKariuki-q7i5 ай бұрын
Hamna tofauti na yeye mwanzo ni mzuri na tabia nzuri
@RehemaJuma-pj4eh5 ай бұрын
Oa zuu bna hyo mwanamke au shetan Bora hta Jin linaafadhali
@busatitv5 ай бұрын
Daaah 😭😭
@OfficialZuli-ve5kh5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 ай бұрын
Kumekucha tena zuu tafuta ndoa zuu wangu np hap wif yako. kutoma oman ndao tunayo hatuna kwa zuu b mkwe kazi unayo kwa mkwe busat leo nimechoka n kazi za warabu nitaimalizia kesho nalala nimechoka mm mpka macho yananiwasha 🇴🇲🇴🇲 kazi kazi tu
@busatitv5 ай бұрын
Aiseee pole sana kipenzi chetu
@Mwana85Mwana85-wz1ol5 ай бұрын
@@busatitv asnt San Leo sas hap ndyo nataka nimalize warabu muda mwengine wanizigua sehem ndyo hvyoo kazi kazini
@MaryPaschal-mm2zb5 ай бұрын
Filamu nzuri acha nikazane kutafuta GB
@busatitv5 ай бұрын
Hahaha sawaaa
@Shakila-pq2gv5 ай бұрын
😂😂😂😂
@salumsalum29015 ай бұрын
tunao wifi za bure tunazid kupeta
@FatumaAthuman-t9l5 ай бұрын
Huyu kai vp jamani mbna mwanamke akupande kichwani sijapenda kwa kweli😅😅😅😅ni movie yenye mafunzo lakini big up
@Anna-li9by5 ай бұрын
Mmmhhh
@hlimaa51825 ай бұрын
Hii movie 🎥 nimeipenda sana wenye mko kwa ndoa hebu jifunzeni kitu kupia hii movie yaani huyu babake kai ameni kumbusha mbali sana 😢😢😢😢😢mungu amrehemu baba mkwe wangu alinipenda mpaka mwisho 😢😢😢😢wa uhai wake Allihamdulilah 🤲🏼
@busatitv5 ай бұрын
Pole sana jamani nimeumia
@omarsaid_16075 ай бұрын
Allah amrahamu... Hiii inaoneshaa ulikuwa unaishii na yeye kwa wema na kwa uzuri Allah akuzidishie na atakulipaa kwa wema wako
@SalmaRashid-g1z5 ай бұрын
Busati hebu leteni vipande viwili kwa siku mana mm uvumilivu wanishinda😂😂😂 hii n tamu sana😊😊😊❤❤❤
@busatitv5 ай бұрын
Tutajitahidi inshaallah
@TantineZuzu5 ай бұрын
Aki veny nakuwa napenda iyi BUSATI TV we acha tu niko 🇧🇮🇧🇮🇧🇮👌👌❤️❤️❤️
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana tunakupenda mnooooo 🥰🥰🥰 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@AssoudroJuniorDjibril5 ай бұрын
Filam nzuri tunaipenda🇧🇮🇧🇮
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana 🙏
@DidaAlly-iz1it5 ай бұрын
Daaah nimecherewa jmn kuangaria maisha ya ndoa ya banaba na raya😅😅😂😂
@busatitv5 ай бұрын
Pole sanaaa
@cristaezekiel10364 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MrsMariam-x2s5 ай бұрын
Ukifanya heshima wada wakazi eti tunajipendekeza kwawaume zao jamani ndio malezi yake alio lelewa nawazazi wake mh Yani hii umenifurahisha sana sana
@busatitv5 ай бұрын
Umeona eeeh
@OfficialZuli-ve5kh5 ай бұрын
Congratulations
@raineryponera32785 ай бұрын
Jmn busat mnajua kwakeeli mnastahili 💐💐💐💐💐
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana tunawapenda mnooo
@sarahjidiku5 ай бұрын
Acha roho mbaya mnunulie nguo dd wa kazi episode 1to4 nguo 1 sio poa
@busatitv5 ай бұрын
Umeona eeeh
@Shakila-pq2gv5 ай бұрын
😂😂😂😂
@Marandomedia5 ай бұрын
Aseh story nzuri lkn acheni kutumia kingereza mnaharibu maana inaonekana so mzoefu wa kutumia hiyo lugha😢
@busatitv5 ай бұрын
🙏🙏🙏
@BabyeSaumu5 ай бұрын
Jamani KAI ongea tuu kiswahili usije ukakikosea bure hicho kimombo😂😂😂
@NeemaJumanne-h5d5 ай бұрын
😂😂😂 kwakweli
@busatitv5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@sommohd79035 ай бұрын
Naona kama mmepoa Sana Ila sijui tatizo..TM strong 💪🏼 Tz 2Omani
@busatitv5 ай бұрын
Tutachangamka usijari
@aimanmuhammed54865 ай бұрын
House girl anaburura msketi tuu c abadilishe nguo tena jmny
@MarionKatana5 ай бұрын
😂😂mie ananikera
@busatitv5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@safiahilali33525 ай бұрын
😂😂😂
@SusanJulius-cu8xp4vx4m5 ай бұрын
Mm hii series nimeipenda sana yaan huyu dada wa kazi anaheshima sana but huyu kijana haelewi lulu hio
@busatitv5 ай бұрын
Umeona eeeh
@SusanJulius-cu8xp4vx4m5 ай бұрын
@@busatitv eeeeh huyo Dem cheupe anachezea ndoa wengine wakitamani ndoa, hii Dunia vise versa,Kuna mm nlilia ndoa halafu Kuna mwingine analilia talaka
@OfficialZuli-ve5kh5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@MwanajumaMbwana5 ай бұрын
Ama kwel mtu sio rahs kutambua dhahabu ilo ndani ya nyumba yake zuu n kama dhahabu n huyu kaka anashindwa kutambua anachagua dhabu feki n isiyo n thaman
@busatitv5 ай бұрын
Tena kaana kuishi nae kabla hata ya kumuoa Candy
@MrsMariam-x2s5 ай бұрын
Wafanya kazi wandani tupo gado kwani mfanya kazi wandani akuakuaje Yani kwenye hawezi kufanana na mwanamke kama madam hhhhhhh nicheke mie
@busatitv5 ай бұрын
Hahaha usicheke
@FausterMyphone5 ай бұрын
Jamaa kampenda San kendy ndomana habnduk
@busatitv5 ай бұрын
Umeona eeeh
@user-Ambani5 ай бұрын
Nice movie i enjoy it 🎉🎉🎉🎉 from🇰🇪🇰🇪
@busatitv5 ай бұрын
Oooh Asante sana
@gracenyambura12745 ай бұрын
Mkenya mwenzangu Sasa
@JeshiSaidoh5 ай бұрын
@@gracenyambura1274poa mambo
@aisharajimbo67845 ай бұрын
Baba mkwe is very very hondsome
@busatitv5 ай бұрын
🥰🥰
@MwanashaHemed-w3r5 ай бұрын
Kwel kabisa is very cute❤
@MwanashaHemed-w3r5 ай бұрын
Kwel kabisa is very cute❤
@MwanashaHemed-w3r5 ай бұрын
❤
@MwanashaHemed-w3r5 ай бұрын
❤
@marthanassari35245 ай бұрын
Cjawai penda movie ya kiswahili but hii imenibamba . Nahisi ni the best kutoka busati.
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana 🙏🙏
@Shakila-pq2gv5 ай бұрын
Wewe kila move huandikaga hivi😂😂😂
@marthanassari35245 ай бұрын
@@Shakila-pq2gv mh! Umetokea wapi kama mzizi wa fitina. 🤣🤣🤣 Nenda kareply comment yangu nyingine basi muheshimiwa.
@MealiMwarundu5 ай бұрын
Kayi fungua macho uone wanawake bora wanjulikn bwana wansnyaje mm😢😂😂
@busatitv5 ай бұрын
Oyooo
@davidnjiru7215 ай бұрын
Kingereza mihimu continue like that bro
@busatitv5 ай бұрын
🙏🙏🙏
@imanimwashambwa64325 ай бұрын
Candy umevaa uhalisia unajitahidi Sana . Pambana zaidi ya hapo
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana🙏🙏🙏
@lameckelasto-ih9jk5 ай бұрын
bro unakosea sanaaa mkeo ndo tatizo hawez kutoka ivo mbele ya baba mkwe
@busatitv5 ай бұрын
🙌🙌
@chemsahakizimana5 ай бұрын
Baba mkwe nomaa sanaa 😂😂😂❤❤❤
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana
@SaeedhSaeedh-f6i5 ай бұрын
Basi huyo mamamjego uziri unabebwa na mukorogo😂😂😂😂
@busatitv5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@AishaUthman-pm8rh5 ай бұрын
Kayi ww ni mjinga sana tena mpuzi wamwisho
@busatitv5 ай бұрын
😭😭
@Wini-zx4im5 ай бұрын
Mhhhhh wadd wasaivi wengine n magume gume hayafai kuweka ndani mana usipo mheshim mkweo unategemea nn nahayo mavazi je😅😅😅😅😅
@busatitv5 ай бұрын
Hapo sasa
@nancyg86645 ай бұрын
😂kingereza kizuri lakini kiweke kwenye lafudhi ya kiingereza mahidiya😅
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana🙏
@joyceelisante5 ай бұрын
Umeonaaa😊
@SofiaKazungu5 ай бұрын
Mashallah congratulations ❤❤❤🎉🎉🎉
@busatitv5 ай бұрын
🙏🙏❤❤
@RehemaMwarami5 ай бұрын
Kingereza kipungue waswahili cc jmn
@busatitv5 ай бұрын
Kabisaaaa
@Abuuuyaynah-dg4xn5 ай бұрын
Huyu mwanamkee hajui kingereza maana anajibu kiswahili tuuuuuu
@busatitv5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@CarolyneNyanchama-yk1gf5 ай бұрын
Nadai maua kutoka kwa kai ❤❤ alf hyu binti wa kazi ana heshima jamani
@marykiduda74665 ай бұрын
Nakupongeza sana busati TV maua yenu🎉🎉🎉🎉
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana Kipenzi 🥰🥰🥰
@Sofiashabani7805 ай бұрын
Wamubembeleza nn mpe talaka aende tu hata mm nimemchoka hayo madharau yake 😂😂😂😂😂
@busatitv5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@suzan29295 ай бұрын
Ata mm nimechoka na huyo mwanamke
@Sofiashabani7805 ай бұрын
@@suzan2929 kumbe hata ww wamuona eeh
@NaahZephania5 ай бұрын
😂😂😂😂
@ChamaYunus5 ай бұрын
Kwn mpka kizungu mv mzur ila munahrb
@busatitv5 ай бұрын
Asante
@OfficialZuli-ve5kh5 ай бұрын
Jamaniiii nilijua nitawahi
@busatitv5 ай бұрын
🤣🤣
@AggyMsoo5 ай бұрын
Karibu nichelewe😂 💖🇰🇪🇰🇪
@busatitv5 ай бұрын
Poleee
@NgomaNdodo5 ай бұрын
Ni nzuri xn hongereni n mov ambayo inaendana n uharisia wa maisha wa watu mblimbali ktk ndoa so nice
@Mathias-yi5bo5 ай бұрын
Uyu zuu ni wakuachika tu hana lolote kaz anatamka maneno machafu tu kwa watu wa maana🤣🤣🤣
@busatitv5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@ggfwtgg16525 ай бұрын
Kai punguza kingeleza bwana ila kazi nzuri sana ❤❤😂
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana 🙏🙏🙏
@RwachiryoraWema5 ай бұрын
Na watu wasioelewa kiswahili vizuri wafanyeje. Wacha uchoyo
@fadhiliezekia5 ай бұрын
In shot wote kuigiza wanajua humu ila Candy amenikosha san ❤❤❤❤
@busatitv5 ай бұрын
Asante sanaaa
@RachealMashamba5 ай бұрын
Cjaona mwanamme boya kama Kai.....kukaliwa chapati na mke nayooo....,
@busatitv5 ай бұрын
Kashikwa
@SalomeSimbuta5 ай бұрын
Nzr ila mnakera wakianza kuongea lisaa lizima kitu kimoja mwak mzima kukiongelea hebu jarbun kufupisha maneno
@busatitv5 ай бұрын
Pole sana
@MwanaishaChileta5 ай бұрын
Move yenu nimeipenda sana pia inamafunzo
@SkolaRichard5 ай бұрын
Mwsnaume na ww acha iboya changamka nfyuuuu unananiuzi mm chukua maamuz ya uawanaume😅😅
@busatitv5 ай бұрын
Hahaha amtimue au?
@MariamNshimirimana-uk2hu5 ай бұрын
❤❤❤mauwa yeni jamani ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ poke yeni 🎉🎉🎉🎉🎉 namba tano fasta
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana🙏🙏🙏
@Aminah-r4s5 ай бұрын
Asante baba uko vzr maashallah ❤❤
@busatitv5 ай бұрын
🙏🙏❤❤
@Lomilocs5 ай бұрын
Nimejifunza kitu kwenye hii movie,❤❤ nimeipenda ✨✨
@JenipherSamwel-wh7ux5 ай бұрын
Kweli kuna k2 cha kijifunza hap
@nahyatsaid5 ай бұрын
Jamani nasikia rahaaaa 😅 sio kwa utamu huu 😊❤
@busatitv5 ай бұрын
❤❤🥰🥰🥰
@marykiduda74665 ай бұрын
Jamani brother nakuomba uwe unaweka vipande hata viwili🥲🥲🥲
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana tunalifanyia kazi soon tutaenda mara mbili
@Cynthia-p1b4 ай бұрын
Dada wa kazi na kaka wanaenda sawa,,Yani wakioana mmmm mambo sawa🎉🎉
@EvethaSimba5 ай бұрын
Nami nimekimbilia huku jamani ❤
@NaahZephania5 ай бұрын
😂😂😂😂jamn kingerez hich brooooh!!kuna raia ha2elewi huku half hyo mwanamke uxijixhuxhe hivo toa talaka Zuu aingie uringoni 😅
@busatitv5 ай бұрын
🤣🤣🤣 sawaaa
@hutahuta11705 ай бұрын
Pore.sana zuu mungu atakujalia naww.
@AngelinaKinuthia5 ай бұрын
Wee mwanamke ukianza kuambia mume wako anatoka Na mufanyi kazi atatenda Hao
@busatitv5 ай бұрын
Hapo sasa
@esterester36285 ай бұрын
Make mpumbavu huivunja ndoa yake Kwa mikono yake miwili😢😢.Tujifunzeni
@busatitv5 ай бұрын
Kabisaaa
@gedariamandele53345 ай бұрын
Zuu jiondokee tuone nani atapasi nguo na kupika
@busatitv5 ай бұрын
🙏🙏🙏
@OfficialZuli-ve5kh5 ай бұрын
Nasubir mwisho wa mwezi nipokee ela
@JullyanaMathiasy-nt8op5 ай бұрын
Au kay kapewa love potion jamaniiii maaan😮😮😮
@busatitv5 ай бұрын
Daah
@SakalaAbdilahi5 ай бұрын
Dem wang wa sasa awe hivi na nilivo mchoka mapema sana nampiga chini
@Shakila-pq2gv5 ай бұрын
😂😂😂😂jamn yaan ni demu sio mke
@LucknessPeter5 ай бұрын
Mungu anakuona kaka
@Mary-ug6oc5 ай бұрын
Jamani wewe kaka kuwa na Huma basi unamchoka je? Mwanamke fikria angekuwa dada Ako anafanyiwa ivo ungejisikia je?
@JeannetteManirambona-o6m5 ай бұрын
😂😂😂mapema san
@AminaIbrahim-nt5zz5 ай бұрын
mwanaume mwenyew anakel sana yan unalinganish uyo mwan mke na bab yako
@busatitv5 ай бұрын
🤣🤣🤣
@vellah-op4ut5 ай бұрын
Nimesha wai kua kwa kazi na situation kama hii huko tz waaah ilibidi nirudi zangu kenya baada ya miezi 2
@busatitv5 ай бұрын
Daaah pole sana aisee
@MarieOlepa5 ай бұрын
Huyo Dada wa kazi naye iko Na kimberembere mpaka anakera🤣🤣 Ooh Kaka pole Na kazi, Mala amuandalie jus..... heeeh jamani Mama wa nyumba haana kipya kbsaa🌚🌚
@busatitv5 ай бұрын
Jamani anajali
@doroblessing37795 ай бұрын
Zuu yupo Sawa Kwa Sababu anamjali Sana kai Ila mkewe kai hamjali kai
@zulfajamal31665 ай бұрын
Kweli huyu kaka jinga aiseeeeeeee mwanamke hana adabu
@busatitv5 ай бұрын
Umeona eeh
@Asmachima-dx5gb5 ай бұрын
Ndo ulivopangw2
@nahyatsaid5 ай бұрын
Kai apunguze kingereza 😢 wengine tumekimbia shule 😅
@busatitv5 ай бұрын
Sawaaaa
@MohammedyJuma-wf3jc5 ай бұрын
Kazi nzur kaka ❤
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana
@SarahAimedy-us7if5 ай бұрын
Naifuraiya njamani ❤❤😂😂😂🎉🎉🎉 musinjeleweshe part6
@busatitv5 ай бұрын
Karibu sana na tazama episode ya 5
@asmamohd57695 ай бұрын
Mume machache sasa kwa baba ake 😂😂😂😂
@busatitv5 ай бұрын
Daaah
@Tatufadhili-ud6se5 ай бұрын
Waooow tamu sn❤❤❤
@busatitv5 ай бұрын
Asante sana🙏
@NeemaMzuri5 ай бұрын
Hv inatoka Kila siku jion jaman maaan hua naisubil Kwa ham sanaaa
@busatitv5 ай бұрын
Kila siku saa moja kamili usiku subscribe channel yetu, bonyeza 🔔
@NeemaMzuri5 ай бұрын
Sawa sawa na enjoy sana yaan sita acha kufatilia
@NeemaMzuri5 ай бұрын
Kaka mwendelezo jaman
@SullePhilipo5 ай бұрын
Unadanganya we hujatumwa na mkeo kumwomba baba radhi make sahihi ni huyo dada WA kazi usiangalia sura muheshimi na baba Yako anachosema
@busatitv5 ай бұрын
Point📍
@Realme-xm3sh5 ай бұрын
Poda nyingi kaka bos😂😂jmn naivo vingerez jmn mimi mmmmm😂😂😂😂km nyahakika