MY MOTHER EP 18 | Sad Story 💔💔

  Рет қаралды 18,390

BUSATI TV

BUSATI TV

Күн бұрын

#bongomovie #mymother #housegirl

Пікірлер: 331
@Bintnailah
@Bintnailah 9 сағат бұрын
Kai ushapoteza toa macho huko kwa zatiti😂😂😂😂😂😂😂😂wangapi wamefura kai kujutia ngonga hapa😂🎉🎉🎉
@ZZawadi-s5v
@ZZawadi-s5v 8 сағат бұрын
Zatiti umetumia akili yako vizur sana good job🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 8 сағат бұрын
Tulio furah zatit kuwa na furah tujuane hap kweny comment🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Zatit na mwash 🎉🎉🎉🎉
@DanielMwasha
@DanielMwasha 8 сағат бұрын
@@salhaissa-xq9ov Zatty Binti mzuri sana, Kay Hajui mwanamke mwenye upendo wa kweli.
@NashSeleina
@NashSeleina 6 сағат бұрын
ILike it❤❤❤
@شاميمشاميم-ر9ت
@شاميمشاميم-ر9ت 8 сағат бұрын
Umeona kai huo ni mwanzo tu zatiti usirudi nyuma ,ubaya ubwela tu kama mbwai naiwe mbwai pete unayo nautambe nayo mi nakupa hongera kwa hilo ❤❤❤❤❤
@SabrahNibuka
@SabrahNibuka 8 сағат бұрын
😂😂 ubwelaa ubaya
@mejubagu6825
@mejubagu6825 8 сағат бұрын
Zatiti umefanya vizuri sana 😂😂😂😂😂 Kai amebaki kukodoa macho
@KuvunaGonda
@KuvunaGonda 9 сағат бұрын
Jamani zatiti umenifurahisha sana kwakumukomoa Kai hakika Kai umetupa mwenzako aneokota dodo 😂😂😂
@JojoSrena
@JojoSrena 9 сағат бұрын
Nimependa
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 8 сағат бұрын
😂😂😂𝘶𝘮𝘦𝘱𝘦𝘯𝘥𝘢 𝘬𝘮𝘢 𝘮𝘮😂😂𝘫𝘮𝘯 𝘩𝘵𝘢 𝘣𝘢𝘵𝘶𝘭𝘪 𝘮𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘭𝘪𝘯𝘢𝘬𝘢𝘢 𝘬𝘮𝘢 𝘭𝘪𝘬𝘰𝘱𝘰 𝘭𝘢 𝘤𝘩𝘰𝘰𝘯𝘪😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 8 сағат бұрын
Jamani😂😂😂😂​@@priscahmahenzo642
@mwanaakidaomar4663
@mwanaakidaomar4663 8 сағат бұрын
​@@priscahmahenzo642wee isntanie😂😂😂jmn huy dada mm simpend mungu anisameh
@MustyNgongo
@MustyNgongo 7 сағат бұрын
Yan nmefurai xna zatiti umemkomesha kai anatoka udenda2
@MwanajumaMwinzi
@MwanajumaMwinzi 7 сағат бұрын
Kai umetoa mimacho ulikua waona hatapata mwengine zaidi yko 😂😂😂😂😂😂
@jamilamwarabu3890
@jamilamwarabu3890 9 сағат бұрын
Busat msiongezee movie nyingne zaidi ya house girl na hii my mother mnatuchanganya dili na hiz mbil please
@fatmatuma6631
@fatmatuma6631 8 сағат бұрын
Weee tuache tupokee burudani bila kikomo kuchanganyikiwa unachanganyikiwa peke yako
@Mariam-u6z6f
@Mariam-u6z6f 8 сағат бұрын
Kabisa
@Kimwana255
@Kimwana255 7 сағат бұрын
Ndio wanachanganya ni 😅
@priscahmahenzo642
@priscahmahenzo642 7 сағат бұрын
@@fatmatuma6631 😂😂😂😂𝘴𝘩𝘬𝘢𝘢𝘢
@Asiamohammed1317
@Asiamohammed1317 6 сағат бұрын
Kuna my destiny na play boy msisahau twendeni nalo tukasaport​@@fatmatuma6631
@ShamieWise
@ShamieWise 9 сағат бұрын
Where are u guys mimi sitaki any like😂😂😂
@PeninahOdongo
@PeninahOdongo 8 сағат бұрын
Tuko hapa 😂😂😂😂
@ShamieWise
@ShamieWise 8 сағат бұрын
@@PeninahOdongo 😂😂😂😂nimeona
@PeninahOdongo
@PeninahOdongo 8 сағат бұрын
😅😅😅
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o 9 сағат бұрын
Kai umeakasirika nn xx culimkataa ukamfata batuli mwenyepesa tuliza mtori nyama zipo chin
@aishaomar2287
@aishaomar2287 9 сағат бұрын
😂😂😂 atilize nn eti,aki ww nmecheka mie😊
@DanielMwasha
@DanielMwasha 8 сағат бұрын
Zatty Binti mzuri sana, Kay Hajui mwanamke mwenye upendo wa kweli.
@Mail-z5q
@Mail-z5q 6 сағат бұрын
😂😂😂😂😂
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 9 сағат бұрын
Daa mtuhani kwakweli zatiti nakuhurumia ndugu daa ila tusongeshe frim Oman 🇴🇲
@MaziamJororo
@MaziamJororo 9 сағат бұрын
❤❤🎉🎉🎉
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 9 сағат бұрын
@@MaziamJororo❤❤❤
@SabrahNibuka
@SabrahNibuka 8 сағат бұрын
Pamoja 🇴🇲 ❤
@EvonaMartine
@EvonaMartine 8 сағат бұрын
Kai bado ujasema umemkimbilia uyo mwenye mapengo juu na chini😅😅
@SarahWanyonyi-nu5zc
@SarahWanyonyi-nu5zc 7 минут бұрын
Aky nyinyi jameni ahaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@emanherman9658
@emanherman9658 9 сағат бұрын
Timu strong from dubai like zangu jamani 🎉🎉🎉
@SabrahNibuka
@SabrahNibuka 8 сағат бұрын
❤kutoka Oman 🇴🇲 😂🎉🎉
@Rehemajumanne-qy5mk
@Rehemajumanne-qy5mk 6 сағат бұрын
Dubai moja❤
@ireneevaristo5552
@ireneevaristo5552 8 сағат бұрын
Bibi zuu nae kumbe dishi limeyumba kiasi hiki loooh sikujua😂😂😂😂😂
@sakina5550
@sakina5550 7 сағат бұрын
Umeona kumbe na wewe😂😂😂
@Juliety-v3o
@Juliety-v3o 9 сағат бұрын
Sibo na ww utafia kwenye vifua vya wanawake kila mwanamke ni wako
@NyagawaEmmanuel
@NyagawaEmmanuel 9 сағат бұрын
😂😂😂
@JaneMhango-yl7xo
@JaneMhango-yl7xo 7 сағат бұрын
Mm kutoka 🇿🇲 dada zatiti nimeipenda sana tabia yako mana najifuza vutu vingi kupitia kwako mungu akubariki
@OmarJaffar-fw4lt
@OmarJaffar-fw4lt 9 сағат бұрын
Leo nimewahi jaman zatiti anaupendo ❤❤❤❤❤
@HudhaimaYussuf
@HudhaimaYussuf 9 сағат бұрын
Kai una kisebu sebu na kiroho papo😂😂😂😂😂
@sadahamad6158
@sadahamad6158 9 сағат бұрын
😂😂😂 umeonaeeh
@nurusaid4698
@nurusaid4698 9 сағат бұрын
Namshangaa Anataka Kumtenda Mweziwe Wakati Awezi Kutendwa😂😂😂😂
@judithkahise6451
@judithkahise6451 8 сағат бұрын
𝘒𝘢𝘪 𝘢𝘮𝘦𝘥𝘶𝘸𝘢𝘢 𝘬𝘢𝘮𝘢 𝘡𝘰𝘮𝘣𝘪𝘦🤣🤣🤣
@DolinKavishe
@DolinKavishe 7 сағат бұрын
Nimecheka ka mjinga jaman
@marthalunyalu
@marthalunyalu 5 сағат бұрын
🎉😅😢😅😅
@osadgstuy5746
@osadgstuy5746 6 сағат бұрын
Dada zatiti nmefurahi sana kwakumukomoa kai chukueni ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako, wenye wamefurahi pitieni hapa na like
@aishaomar9621
@aishaomar9621 8 сағат бұрын
Leo zatiti umenifurahisha mwanamume kma kai hiyo ndio dawa yake usimuonyeshe udhaifu wako kbsaa😂 chukuwa mauwa yako kipnzi🌹🌹🌹🌹🌹rahma we hatari 😂😂
@FaudhiaWadongo
@FaudhiaWadongo 4 сағат бұрын
Zatiti leo nimezidi kukupenda❤❤❤ Umemkomesha kai😂😂😂
@CharityImaculate
@CharityImaculate 9 сағат бұрын
Jama 😂kwa zatiti kumeanza kuchangamka😂
@mohamedlopa8410
@mohamedlopa8410 8 сағат бұрын
Yeyote utaksyesoma hii comment uwe na usiku mwema na baraka inshalaaaaa 🤲🤝🙏🤝🤝🙏🤲🤝🙏🤲🙏🙏🙏🤝🙏🤝
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 5 сағат бұрын
Ameen thuma ameen yarab na wee pia
@salummohorovic8690
@salummohorovic8690 9 сағат бұрын
hhhhh kai anaekti kufa wakat kuzimia hawez kumbe bdo anampenda zatit
@شاميمشاميم-ر9ت
@شاميمشاميم-ر9ت 8 сағат бұрын
Eee kai mkuki utamu kwa ngurue ila kwa binadamu utungu 😂😂😂😂😂
@AlinaNizigama
@AlinaNizigama 9 сағат бұрын
Kai nabado kipendi hajasema na utasema😂😂😂
@Fredmsemw
@Fredmsemw 9 сағат бұрын
Zatiti hongera Sana kwa mama unavyo mpenda
@susanchebet3298
@susanchebet3298 9 сағат бұрын
MashaAllah Leo nimekua wa kwanza 😅
@CarolyneNyanchama-yk1gf
@CarolyneNyanchama-yk1gf 6 сағат бұрын
Wow hii couple ya mwasha na zatiti si inapendeza jamani tamaa yako Kai tulia😂😂 I miss chiko where are you??juu huu wimbo ukiimbwa naona ni wewe tu
@RashidMgeni
@RashidMgeni 9 сағат бұрын
Nimewahi jmn kabla waomba like hawajafika
@Riziki-y7x
@Riziki-y7x 4 сағат бұрын
𝑲𝒂𝒊 𝒌𝒖𝒍𝒂 𝒄𝒉𝒖𝒎𝒂 𝒊𝒄𝒉𝒐 𝒛𝒂𝒕𝒊𝒕𝒊 𝒖𝒎𝒆𝒋𝒖𝒘𝒂 𝒌𝒖𝒎𝒕𝒐𝒂 𝒎𝒂𝒄𝒉𝒐 𝒌𝒂𝒊 😂😂😂😂😂😂
@NoorAli-gk8bj
@NoorAli-gk8bj 9 сағат бұрын
Kay bwana bado anamtaka zatiti
@LovenessLucas-r2x
@LovenessLucas-r2x 7 сағат бұрын
Pole Kai😂 umeshindwa kutofautisha mwanamke wa ndoto zako na staree
@Shinyg3l
@Shinyg3l 7 сағат бұрын
Mm ni zatiti kabisaaa wanaume kama kai alishawah kuniacha kwa kufuata pesaa kwa mwanamke mwingine 🤣🤣🤣ko mwisho wa kai naujua kabisaa
@EvaluluMpandagoya
@EvaluluMpandagoya 4 сағат бұрын
Alichokifany zatit jmn nmejikuta naenjoi atali❤❤❤
@nurusaid4698
@nurusaid4698 9 сағат бұрын
Kai Kula Chuma Icho Ukisema Wa Nni Mwenzio Anauliza Nitampata Lini😂😂😂😂
@GloryKabdzo
@GloryKabdzo 8 сағат бұрын
😂😂😂😂😂Akule chumaaa
@DalmondLaurent
@DalmondLaurent 8 сағат бұрын
Zatiti leo umenipa funzo kubwa sana ongera ❤❤
@OmanMobile-py5bq
@OmanMobile-py5bq 9 сағат бұрын
Yaan kama namuona kai roho inavyomfurukuta ila ndo dawa ya watu kama nyie 👍
@PerezQuenisha
@PerezQuenisha 9 сағат бұрын
Zatiti hongera sana
@JullyKasungwa
@JullyKasungwa 8 сағат бұрын
siyo kwa kuwahi huko unalala busati nn
@جاااحظمجنون
@جاااحظمجنون 8 сағат бұрын
Leo nafurahi kumuona zatiti akiwa na furaha🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@PhilbertHabonimana-o1z
@PhilbertHabonimana-o1z 9 сағат бұрын
Kai anashangaa sana kabisa huuuu koma zatiti nakupenda❤❤❤
@SwabraAli-v8r
@SwabraAli-v8r 4 сағат бұрын
😂😂😂😂zatiti umepigaje apo 😂😂 Kai kula chuma
@OmaryRamadan-m8v
@OmaryRamadan-m8v 9 сағат бұрын
Kai kimemramba na zatiti anafanya makusudi😂😂😂
@JoannaHemedy
@JoannaHemedy 7 сағат бұрын
Zatiti unawakomowa kabisa very good
@salhaissa-xq9ov
@salhaissa-xq9ov 8 сағат бұрын
Honger San zatit ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Kai pole man ulimliza San zatit
@KenethMwasenga-x2i
@KenethMwasenga-x2i 9 сағат бұрын
My mother ipo tiali manapenda kuifuatili my mother tujuane ane jameen nawapenda sanaa busat
@SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xl
@SECILIAEZEKIELMREMA-mu8xl 8 сағат бұрын
Ukisema wa nini, wenzio wanasema tutampata lini.
@CeciliaCeciliamuparose-zt6tx
@CeciliaCeciliamuparose-zt6tx 9 сағат бұрын
Hongera sana zatiti kai kula chuma hicho
@tossynia
@tossynia 9 сағат бұрын
😁😁😁😁😁😁😁 Kai zatiti amekuona amefanya makusud kumkubal Mr mwasha
@DanielMwasha
@DanielMwasha 8 сағат бұрын
Zatty Binti mzuri sana, Kay Hajui mwanamke mwenye upendo wa kweli.
@OmanMobile-py5bq
@OmanMobile-py5bq 9 сағат бұрын
Ila zatiti unajua kumchoma mtu roho jaman
@MakaNkoka
@MakaNkoka 8 сағат бұрын
Tooba bibi zuuh huku kacharuka 😂😂😂
@KhadijaSalim-jx5gd
@KhadijaSalim-jx5gd 8 сағат бұрын
Zatiti jmnii si kwa Mashauzii ayoo
@nurucinemax
@nurucinemax 9 сағат бұрын
Na mm wa 43 like zangu jamni😂😂
@PendosimonDenis
@PendosimonDenis 5 сағат бұрын
Mm sijawai ata kupata like moja
@CelineBahati
@CelineBahati 8 сағат бұрын
Zatiti big up
@AishaRashed-m5o
@AishaRashed-m5o 7 сағат бұрын
Umelionaeee ipo saf san❤❤❤❤❤❤
@MovinJuma
@MovinJuma 6 сағат бұрын
Walai leo nimecomment busati just for Zatiti❤
@MwajabuHaji-kg9yq
@MwajabuHaji-kg9yq 8 сағат бұрын
Hivi jaman zatiti anatumia jika gan kwny mitandao hii ya kijamii nampenda sn nataman nimdiem jamm❤ zatiti
@DanielMwasha
@DanielMwasha 5 сағат бұрын
@Zatity_actress
@MwanamisiSuleiman
@MwanamisiSuleiman 6 сағат бұрын
Mabusu hayo rahma😂😂😂
@SalomeSumbizi-ll9wc
@SalomeSumbizi-ll9wc 9 сағат бұрын
😂😂😂😂 Zatiti weeee apo saw daw ya moto ni moto😂
@carolinesidi-od4ni
@carolinesidi-od4ni 7 сағат бұрын
Ila mama sania
@HarrietNeema-d9v
@HarrietNeema-d9v 3 сағат бұрын
Kai kimekuramba😂acha zatiti afurahidhe moyo wake😂😂 utajua hujui 😂😂🎉🎉🎉🎉 nawapenda bure ❤❤🎉🎉
@sharifanyumayo6314
@sharifanyumayo6314 6 сағат бұрын
Zatiti my love umejua kunifurahisha mno, huyo Kai anapenda pesa TU Kwa huyo ila penda unapopendwa jmn .Nan kafurah kama mie🎉🎉🎉🎉🎉❤
@Jenniffer-m9k
@Jenniffer-m9k 7 сағат бұрын
🎉🎉sahii kai ashapoteza chombo kizuri .❤❤zatiti amenifrahisha sana leo 😂😂tusubiri matokeo y machozi y kai😂😂
@rizikisalim6630
@rizikisalim6630 6 сағат бұрын
,😂😂😂😂😂😂zatiti Yani Leo umenikosha mwaya kumbe Kai kumbe wajifanya jasir kumbe huna ata uvumilivu imekula kwako leo
@ShamimAbdul-tf3fw
@ShamimAbdul-tf3fw 8 сағат бұрын
Zatiti Yani nimefurah sn kidog nipingie kelele bos anion kwa furaha ya zatiti ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 kz nzur
@Grace-kt3yp
@Grace-kt3yp 4 сағат бұрын
❤❤❤❤❤ jamani tumupe thatti mauwauako Leo amenifulaisha kipenzichangu
@Gladys-254
@Gladys-254 7 сағат бұрын
Kaieeeee😂😂😂😂😂😂 nmefurahi zatiti anavyomchoma kai😂😂😂😂😂 acha ncheke tena😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@افااقع
@افااقع 9 сағат бұрын
Zatity leo umenifurahisha sana kai acha kukasirika ngoma ndio inaanza so tuliza nyavu❤❤❤🎉🎉🎉busati yani mko vizuri sana
@MwanamisiMuna
@MwanamisiMuna 2 сағат бұрын
Kai kai kai nmekuita mara ngap,acha kuinua hiyo mijinyusi yko kaa manyoya y tausi😂😂😂😂ubaya ubwela daddy,,zatiti swadakta kwa kipigo ulicho mpiga nacho kai majuto ndo hao msiba w kujitakia hauna kilio
@nasraAl-b1w
@nasraAl-b1w 9 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂ila zatiti😂😂😂😂❤❤❤
@Najmahnyangasi
@Najmahnyangasi 5 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂sania anasema siyò mayai ya kukarangia chips😂😂😂😂😂ni mayai ya kuzaaaa😂😂😂😂😂 mbavu zangu mimi😂😂😂😂
@BintmohamedNasiri
@BintmohamedNasiri 8 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 kai anachomeka roho 😂😂😂😂na bado hiyo ni trela baba😂😂jinsi zatiti alivyokichuna waona ataoka mtu kweli nyooooooooo 🎉team zatiti tukutane nyuma ya tent
@EvethaSimba-i1c
@EvethaSimba-i1c 5 сағат бұрын
Kai wee kai hahahaha jishikilie kijana huyo ndiyo zatiti jipange acha makasiriko,ulmlijua mna mkomoa sasa nawe shuhudia halafu kama yeye alivyotulia na maumivu yake juu yako na batuli endelea kutumika kwa batuli halafu jipange utaachwa siku sio nyingi
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r 8 сағат бұрын
Mmmmh sasa kai ulivyo muacha zatiti kwa zarau ulitegemea wewe ni wa mwisho wanaume wote wamekufa yatakushinda hayo 😂😂😂
@شاميمشاميم-ر9ت
@شاميمشاميم-ر9ت 8 сағат бұрын
Mmm bibi zuu hujambo bado hali gani mwenyee huna baya asikwambie mtu 😂😂😂😂😂
@عائشةال-ل6ص
@عائشةال-ل6ص 9 сағат бұрын
Kai moyo n mmja2 huwezi penda wawili jicho limekutoka tena kwa zatiti n ulimwambia hutaki tena😂
@SarahWanyonyi-nu5zc
@SarahWanyonyi-nu5zc 5 минут бұрын
Kai unajam nini sasa na bado hujasema yaani mpaka useme lazima tu useme😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@buru1235
@buru1235 8 сағат бұрын
Zatiti Wangu jmn mbona unateseka ivyo bt usijali utakuwa poa soon wallai Yani Mungu ako n you Always Kwa kai nayee nataka kimrembe kabisa
@AnnoyedMarsh-is4nr
@AnnoyedMarsh-is4nr 4 сағат бұрын
Yaan leo zatiti umenifurahisha sanaa kwakwel umejuwa kumuumiza Kai na matamaa yake yakupenda pesaa🎉🎉
@NeemaAnita
@NeemaAnita 9 сағат бұрын
Zatiti umejua kunifurahisha Kai kula chuma hicho wamwisho Toka oman team strong ❤
@DellyCruiz
@DellyCruiz 5 сағат бұрын
Ila kai ni class moja na mwanaume wangu hanipendi lakini hataki kuniona na mwanaume mwingine😅😅😅😅😅
@MariamuKulumba
@MariamuKulumba 6 сағат бұрын
Nimeipenda hiyo zatiti mwache huyo kai na huyo anaye mdanganya na yuko na waume wengine kula chuma hiko kai😂😂😂
@JaneMhango-yl7xo
@JaneMhango-yl7xo 7 сағат бұрын
Mm kutoka 🇿🇲 dada zatiti nimeipenda sana tabia yako mana najifuza vutu vingi kupitia kwako mungu akubariki
@jacklineteresia2629
@jacklineteresia2629 6 сағат бұрын
akia ya mungu kai leo ndio leo mauwa yako zatt 🎉🎉🎉🎉umenifulahisa sana apo vile umekomoa kai
@aishaomar2287
@aishaomar2287 9 сағат бұрын
Zatiti kama umejua kupeana dozi kwa kai basi ni leo...weuweeeh🎉🎉🎉🎉💃💃💃
@mummyjei5634
@mummyjei5634 7 сағат бұрын
Kia jicho lishamtoka kweli wanaume hawaridhiki good job zatiti
@dayanaunique7698
@dayanaunique7698 3 сағат бұрын
Mm naon niko tofauti zatiti u kill me napenda unavovaa always smart & unapendeza sanaaaaa, una mitoko mitamu kweli ❤
@tabithanzisa9755
@tabithanzisa9755 7 сағат бұрын
Zatiti leo umenikosha sio kwa kumuonyesha kai kuwa ata ww unaeza kupendwa asikuzoee ety ww ni mnyonge❤😂
@VivianMbokigwe
@VivianMbokigwe 7 сағат бұрын
sijawahi coment ila leo zatiti amejua kunifurahisha😅 nimejikuta nafurahiiiiiiiiii
@mariambakari-h9n
@mariambakari-h9n 6 сағат бұрын
Kai kula chuma icho 😅 siku zote aanzae haumizi kai ila amalizae pole sana ila ulipuuza maneno y mamako na bado unampenda zatiti ulitupa dhahabu ukaokota jiwe acha kikurambe sasa😂
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 8 сағат бұрын
Weeee za titi hapo umenifulahisha sana muvuone ka kai ili maisha yako aendelee nakupenda sana ❤❤❤❤
@joselynedusabimana8046
@joselynedusabimana8046 3 сағат бұрын
jamani zatiti nkupenda sana ubarikiwe mahari uripo❤❤❤❤❤
@EvethaSimba-i1c
@EvethaSimba-i1c 5 сағат бұрын
Mama fridausi ukiletewa hela pokea wala usiuluze ila zimetoka kwa wake wenzio maana baba fridausi hataki kufanya kazi anataka kulelewa tu
@marymwatsum98
@marymwatsum98 8 сағат бұрын
Zatiti dadangu utakunywa nn kwa ajili yangu ndowanaume mjifunze mtu wapendwa wajifanya muelewa
@MaryIsaac-l3e
@MaryIsaac-l3e 7 сағат бұрын
Zatiti hapo umeweza chukua maua yako baby girl🎉🎉🎉
@ShamieWise
@ShamieWise 9 сағат бұрын
Kwani bff in full ni nini??
@ireneevaristo5552
@ireneevaristo5552 8 сағат бұрын
Best friend forever
@ShamieWise
@ShamieWise 7 сағат бұрын
@@ireneevaristo5552 ohhh nimekuelewa dada
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 5 сағат бұрын
Zatiti Safi Sana my love Kai kula chuma icho😂mwanaume anataka kufanya yy lkn akifanyiwa yy wanakufa 😅😅
@DevothaRobert-y6q
@DevothaRobert-y6q 5 сағат бұрын
Zatity umejua kunifrahisha👌👌😘🥰kai ad aite maji mma😂😂😂
@rukiasalum631
@rukiasalum631 6 сағат бұрын
Kai utabaki na mwanamke wako asoheshima humpendi kidhati najua umefata hela😂
HOUSE GIRL EP 11  | S3 | Love Story 💕💞
19:24
BUSATI TV
Рет қаралды 13 М.
PLAN B _ Episode 18
40:31
kp wa Aquino
Рет қаралды 35 М.
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 15 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
MY MOTHER EP 17 | Sad Story 💔💔
26:16
BUSATI TV
Рет қаралды 36 М.
JUAKALI  LEO ALHAMISI FULL MOVIE 26 SEPTEMBER 2024
21:47
MECKY NOVELA
Рет қаралды 9 М.
MLEVI FULL MOVIE
1:02:45
DORCAS CHEASE
Рет қаралды 42 М.
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,2 МЛН
Amsha Amsha Short Film   HD
4:55
Tai Plus TZ
Рет қаралды 391 М.
MISS WA KIJIJI (EP 01)
7:18
MR BIGI BIGI
Рет қаралды 24 М.
JUA KALI LEO ALHAMISI 26-9-2024 | FULL VIDEO HD
22:54
Mr. Zahir
Рет қаралды 13 М.
Spongebob ate Patrick 😱 #meme #spongebob #gmod
00:15
Mr. LoLo
Рет қаралды 15 МЛН