Рет қаралды 13,957
Karibuni kutafakari wimbo huu pamoja nami.
Jina la wimbo: Bwana hakawii
Mtunzi: Donge P.H
Mwimbaji: Trizah Matu
Audio & Video: RAJO Productions
Organist: Adrian John
Tafadhali support muziki wangu kwa kusubscribe kwenye channel yangu uendelee kutazama kazi zangu za siku zijazo.
Mungu atubariki sote