Safi sana. Ninawakubali kwa sababu Tatu: 1. Kusimama peke yenu bila backup ya kampuni maarufu maarufu za video; 2. Kuilinda mood ya nyimbo; na 3.Sauti zenye utulivu pamoja na kutokuwa na mbwembwe nyinginyingi. Keep it up. Nasubiri upload nyingine.
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Asante🙏
@Ynicodemu3 жыл бұрын
@@peaceandlovesingers700 mnapatikana wapi
@nthengebenson15863 жыл бұрын
@@peaceandlovesingers700 Tena sauti zimetulia, na pia mood ya wimbo...inapeleka msikilizaji mpaka hapo juu
@nthengebenson15863 жыл бұрын
Pianoist...kongole
@SilvesterIlanda-eb7oj4 ай бұрын
Wimbo mzuri Sana tena unadhirisha hisia, Mungu awabariki Sana katika kumwimbia Bwana Milele na Milele !!
@dralianvitalis66614 жыл бұрын
Mwenyezi awatie nguvu katika kazi hii nzuri, muendelee kuinjirisha...
@elizabethjohn67103 жыл бұрын
Nakukubali sana makelele mwalimu wangu wa kwaya hongeea kwa kutunga huu wimbo bora
@catholicdigitalnews10244 жыл бұрын
Very touching song and cooling . Can't tired of praying with it ! Wow remain eternally blessed ,choir. Congrats Sana. Nawapenda was tz from me 🇰🇪🇰🇪
@menancemhombwe22673 жыл бұрын
Nimeusikiliza zaidi ya 20 dah umenigusa sana
@winifridaboniphace61164 жыл бұрын
Congregation guyz mpo vizuri kwakweli
@dr.sarahbusongo4 жыл бұрын
Mungu awajalie zaidi na zaidi uinjilishaji wenu uwavute vijana wengi ili tumtumikie Mungu... Hongereni Sana
@ragnamashibe8764 жыл бұрын
Mjitahidi kuyaishi mnayoyaimba itampendeza Sana Mungu
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Amina, Mwenyezi Mungu atusaidie
@PaulAdam-z8v9 ай бұрын
Mwenyezi mungu awabariki kwa kweli pamoja na mtunzi wa nyimbo hii ❤❤
@leocadiabwire5122 жыл бұрын
Kwa kweli nkisema chochote naweza kosea Mungu awatunze wapendwa ,nawapenda jamani!
@mugyabusobeatrice36624 жыл бұрын
Hongera wanakwaya. Kazi nzuri sana ndugu yangu Salvador. Mwenyezi Mungu azidi kuibariki kazi ya mikono yenu @ Salvador,Khom.
@josephinegravasiano88603 жыл бұрын
Hongereni sana , Mungu awasimamie ktk uinjilishaji wenu si kazi rahisi
@peaceandlovesingers7003 жыл бұрын
Asante Josephine
@salomemandary10474 жыл бұрын
Nimebarikiwa sn na wimbo huu hongera sn mdogo wangu Salvador Mungu abariki kazi ya mikono yako
@menancemhombwe22673 жыл бұрын
Bonge moja la wimbo na mmeutendea haki. Sauti na recording ya hali ya juu sana. Barikiwa sana aiseeeeee
@peaceandlovesingers7002 жыл бұрын
Tumshukuru Mungu
@irenemrua82053 жыл бұрын
Mimi ni NANI HATA NISIUSIKILIZE HUU UJUMBE KILA SIKU.... NABARIKIWA SANA
@peaceandlovesingers7003 жыл бұрын
Amina🙏
@vaneazael53643 жыл бұрын
💞💞💞💞...there is power in this song am telling you ...cant get enough it🤦🏻♀🤦🏻♀🤦🏻♀
@peaceandlovesingers7003 жыл бұрын
Amen,All praise and Glory to God
@lizjoseph44043 жыл бұрын
Me too
@michaelwaiharo19604 жыл бұрын
Safi Sana.... Wimbo umetulia kweli.... Mungu awazidizishie.
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Amina, share link na marafiki zaidi muweze kusubscribe! Maana kuna kitu kitawajia hivi karibuni
@francisliberio33714 жыл бұрын
Hongereni sana kwa hatua iyo.....
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Asante
@willingtonmunyaga29714 жыл бұрын
Great singers. This is music at room temperature !!
@juliusmushobozi25642 жыл бұрын
Mmeimba vizuri sana
@merinakulwa34793 жыл бұрын
Mungu awabariki Sana kwa uijilishaji kwakupitia wimbo huu nawapenda sana
@peaceandlovesingers7003 жыл бұрын
Asante sana #Merina, 🙏
@stephenmathege5179 Жыл бұрын
Hii ngoma ni moto watu wangu❤
@samsonchacha45604 жыл бұрын
Wimbo mzuri kazi nzuri, naomba CONTACT za AG STUDIOS TAFADHALI
@tonykaloki13484 жыл бұрын
Wow superb! Sweet voices, Natamani pia muimbe Acheni kukata tamaa by Bernard Mukasa. Mbarikiwe zaidi
@luckyinnocent22554 жыл бұрын
So fantastic, I like it,,may God bless you all
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Amen
@samsonchacha45604 жыл бұрын
Tumsifu Yesu kristu, Naomba namba za Producer nahitaji kufanya nae kazi
@josephcharles94774 жыл бұрын
Hakika wimbo huu umependeza mnoo na umependwa na wengi mnoo
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Sifa kwake yeye Atutiaye nguvu.
@nicodemussyengo39194 жыл бұрын
@@peaceandlovesingers700 can you pls drop contacts for your singers pls I feel like niwajoin
@cyrilologe3 жыл бұрын
Wimbo umetuliaaa dah
@peaceandlovesingers7003 жыл бұрын
Asante🙏😊
@jacksoninnocent7173 жыл бұрын
Congraturation pnl singers
@diamondfratermartino84033 жыл бұрын
Kazi nzuri
@victoriamwangulube84683 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kazi nzuri! Lkn punguzeni vibrato ili walau wimbo uwe na utamu halisi.
@peaceandlovesingers7003 жыл бұрын
Sawa, tunashukuru kwa ushauri wako
@ernestkashunja15144 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana Mungu azidi kuwa inua
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Amina.
@v.k.m54752 жыл бұрын
👍wow ! I like it. Infact I'm in love with this song. Keep it up. All glory to God. Great voices
@peaceandlovesingers7002 жыл бұрын
Thanks
@anoasisoftranquillity57734 жыл бұрын
The song lifts up my soul. May almighty God bless you all abundantly
@ivynececilia94402 жыл бұрын
Wooooow...nice song...be blessed
@ringoclevertz8964 жыл бұрын
Wimbo mzur mashallah mungu awabariki
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Amina
@Blessedhopefamily4 жыл бұрын
ukweli ni kwamba ,wimbo huu ni wa zamani lkn kwa namna mmeuimba, mmeufanya uwe kama wa leo. mimi pamoja na walimu wengine wa Muzii naungana nanyi kuonesha uoekee kabisa wa kazi yenu na katika haya naunga mkonio kazi yenu. Naomba muhusika au mwalimu tuwasiliane ili anitumie video hiyo na nitailipia sh. 20000 za kitanzania Barikiwa sana P&L Singers
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Asante Ndugu! Japo ni muda umepita, lakini kama itakupendeza, tunaomba namba za mawasiliano yako. Bila kusahau kushare link watu wasubscribe zaidi kwani kuna kitu kiko jikoni kitawajia hivi karibuni
@theresiailovi6477 Жыл бұрын
Wimbo huu huwa unanibariki
@SpeceKanyange Жыл бұрын
Mwenyezi awatiye nguvu kwanjiri yakazi zake
@footballfanaticshub41432 жыл бұрын
The vocals🔥🔥. I have always loved the song since I first heard of it Great message and music flow
@innocentmomanyi14112 жыл бұрын
This song was sang at my father's funeral 😢. I miss my lovely Father. May he RIP
@peaceandlovesingers7002 жыл бұрын
Amen😢
@samuelmwangi58602 жыл бұрын
Powerful voices...Good work...keep up!
@mutulanishg44324 жыл бұрын
AMAZING UP THERE, MY SOUL IS UP,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
@innocentsayayi68194 жыл бұрын
Gud sanaaaa
@reginamutegi80882 жыл бұрын
Mtu anaweza kuwajoin ama
@sesiliasebastian68674 жыл бұрын
I love you guys so good
@carolinekamau92513 жыл бұрын
This song is🔥🔥🔥🔥 i love it. The voices are also👍👍👍👍😊😊😊😊
@peaceandlovesingers7003 жыл бұрын
Thanks to God🙏
@daudhenry62122 жыл бұрын
Wimbo mzuri
@jawabu924 жыл бұрын
Noma na nusu
@paulmziba10604 жыл бұрын
Good job
@celestinamwangu90654 жыл бұрын
Hongereni natamani nijiunge nao ila sijajua wako mkoa gani
@celestinamwangu90654 жыл бұрын
Selestina hongerni sana
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
@@celestinamwangu9065 karibu Kigamboni-Dar es Salaam
@allymchomvu19264 жыл бұрын
Avachee mithta mndeme
@yasintamdee2 жыл бұрын
Veimbie nedho mpaka mfumwa anitheiya ❣️
@papa717252 жыл бұрын
Nice prayer thru song.
@balayandemafelix67663 жыл бұрын
Nice voice🙏💪👍
@msambi12514 жыл бұрын
tremolo🤙🤙🤙🤙🤙🤙
@gracekahindi83174 жыл бұрын
Nice song
@deodatimassawe70764 жыл бұрын
💓💓💓
@sylviafrancis36542 жыл бұрын
Naomba latest song from this team pls.. tag me
@kombad463 жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️
@celestinamwangu90654 жыл бұрын
Mnanifanya niwatafute
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Karibu
@nicodemussyengo39194 жыл бұрын
I too mnanifanya niwatafte na Niko Kenya
@danielmise41684 жыл бұрын
Nice from the young stars. Only improve on the dynamics. Tremolo should not be throughout the song. You can varry them. Also have variery of dynamics.the crescendos, decrescendos, forte and piano. Secondly the male voices are not audible enough especially the tenor. Your expression and mood also should match the lyrics. Otherwise the tempo was ok. I know this your first production and with time you will get there. Continue with the good job. 👍
@peaceandlovesingers7004 жыл бұрын
Thanks, will work on your comments😊🙏
@danielmise41684 жыл бұрын
@@peaceandlovesingers700 Karibuni sana. Looking forward to your next production.
@kafulyawilson85673 жыл бұрын
Niko nje kidogo japo siyo saaanaaa,hivi taratibu za kuufanya wimbo uwe Mali ya Kwaya fulani (yaani kwenda kuurekodi) zikoje??? Maana nijuavyo mimi tungo ni fasihi andishi ambayo inamilkiwa na mtunzi (kifupi ni kwamba mtunzi wa huu wimbo hana namna ya kuwafikia ila hakupendezwa na hiki,yaani kuurekodi bila idhini yake)
@peaceandlovesingers7003 жыл бұрын
Sisi kuurekodi haimaanishi kuwa tunaumiliki! Utunzi huu bado ni mali yake aliyetunga!
@felisterligwa4 жыл бұрын
Congratulations for the good job but the vibrato is toomuch mpaka flavor ya wimbo inapwaya.Punguzeni kutetemesha sauti mengine yote mko fine.Keep the faith,mbarikiwe sana na utume mwema
@sundayssmile21284 жыл бұрын
Asante, hili tumelifanyia kazi, tazama wimbo mwingine hapo unaitwa "kwanini mwamtafuta" pia kuna "kilindi cha huruma" a new released audio
@charlesjkyallo58353 жыл бұрын
It's sounding sweet. Look the words from the Bible... they' really did it excellent. Nothing but the whole truth.which flavor are you talking about ?