Safi sanaaa Orlando mmejua kutupa amani mjini mana tulikua hatupumui ligi ya bongo hadi iliitwa ligi ya mbuzi aisee kweli Mungu fundi🙏
@balakakashomwa3602 жыл бұрын
Washamba utawafaham
@immahjr.46222 жыл бұрын
Acha ushamba ww Africa 36 umezidiwa had na namngo ushamba tu
@donedaddy45612 жыл бұрын
HAKUNA MWANAUME ANAE KUBALI KUPIGWA MBELE YA MKEWE ahsante SIMBA
@immahjr.46222 жыл бұрын
Africa yanga 72 namngo 56 Simba 12 angalia umbal huo na mayeleko wenu huyo tuone mtafika wap
@tausshasani20642 жыл бұрын
@@immahjr.4622 75 sio 36
@zaitunialliiy60752 жыл бұрын
Conversations za Kapombe na Kipa Wa Orlando nimezipenda sana.
@lululawrance80842 жыл бұрын
Nimejikuta nairudia pa1 na kagere
@selemaniselemani70142 жыл бұрын
Kuna watu lazima tukubali wanatuwakilsha vema hawa wazawa munula, kapombe na shabalala wanaupiga mwingi penalt hazinaga mwenyewe lkn hawajamaa wako vizuri kabisa kiukweli mimi nawaombea wafike mbali kama samata na msuva in shaa allah.
@agilimohamedi37792 жыл бұрын
Hongera Air Manula Molo akupe afya njema na aibariki kazi ya mikono yako
@aprow20592 жыл бұрын
Hongereni mmepigana sana penati ni bahati
@damsonkelvin12152 жыл бұрын
Kama umependa filamu ya Kapombe na kipa wao gonga like 👍🏿
@husseinabdhallah87922 жыл бұрын
Shukran simba mmejitahid sana
@titobernard3832 жыл бұрын
Game nzuri !! Asante kwa kutuwakilisha !
@edsoneliah28022 жыл бұрын
Orlando Pirates walijua game itakuwa rahisi sana kwao. Mambo yakawa tofauti. Hongera Simba mmeiwakilisha Tanzania na mmetupa heshima kwenye soka la kimataifa
@bashirumilumba84212 жыл бұрын
Hivi watarudi kucheza tena ligi ya Mbuzi?
@bashirumilumba84212 жыл бұрын
Tuna penda wangefika mbali ila kauli zao za kashfa na maneno kama ya waimba taarabu yanachosha bora wafungwe tu
@halimajuma23402 жыл бұрын
Jaman jamn mnyonge mnyongen hak yake mpen pamoj na kwmba simba imefungwa lkn wanaume wamepambana wat waltegemea simba itaoga magol kam yote lkn wameobexh sok la kiume hongeren san simba kukosea njia ndo kujua njia msim ujao mtafany vzur zaid
@winfridagama58322 жыл бұрын
Kabisa
@ummuruwaida34402 жыл бұрын
aliyepambana niyule aliyeshinda simba nisawa na kichaaa mwendo mrefu anarudi na makolokolo
@rossmaryphases85092 жыл бұрын
Kfngw ni kfngwa 2
@salimramadhani52372 жыл бұрын
Mmebakwa kwa mbinde😂😂😂
@Emedroadtocanada2 жыл бұрын
tunasogea sasa leo timu inatolewa kwa penalt hii inaonyesha ukomavu unaongezeka sasa insha allah msimu ujao tutasonga mbele
@maryjkiosa33802 жыл бұрын
Na bado tulikua pungugu next time tutakua imara Zaidi 🦁
@hajihija19032 жыл бұрын
Kapombeee unatufaaa Wanajangwani unajiamini sana kuliko wale wa kongo wachafu kina inonga
@fatumasophu58552 жыл бұрын
Tuwe na shukrani kaaaaaah mbona inonga kafanya kazi kubwa sana looooh
@fatumasophu58552 жыл бұрын
Inonga huna baya na sisi mashabiki wako kukosea penalty kawaida sana Wala isikupe shida kazi kubwa unatufanyia
@uwesushabani21812 жыл бұрын
Hapewi pole mwenye kilanga
@sosomacharles66852 жыл бұрын
Shomiii jina la kiislam but yy kaamua kuwa mkristo👏👏👏👏
@josephatmassae73162 жыл бұрын
Kumbe na wew umeonaee
@janethsemboni98742 жыл бұрын
Ukiwa na Yesu mambo ni 👍
@sosomacharles66852 жыл бұрын
@@janethsemboni9874 kweli
@ericksangajr71732 жыл бұрын
Anaitwa Shomary Salumu Kapombe lakini ni mkristo😀😀
@sosomacharles66852 жыл бұрын
@@ericksangajr7173 Kafuata kwa mama yake mzazi.
@wazirimpeo89952 жыл бұрын
Keeper'you again?,,Kapombe after penalt kick'Yes Iam..
@sultanseifu25552 жыл бұрын
😂
@xaverisunday6992 жыл бұрын
#aboi_4rm_makambako simba bhn wamechoma na moto ktk ya uwanja kwl mpira wa africa mhhh pmj nakuchoma lkn ndo hv tena mmerudi kwenye kombe la mbuzi
@salumalele48502 жыл бұрын
Kifafa kitajirudiaa tarehe 30 mchezaji wa kimataifa ana pressure mpk anapata kifafa aibuuu 9:30
@georgenorasco17052 жыл бұрын
Kapombe manuna shabarara nawaelewa Sana kabla hata ya kufanya vizur
@lovemwagala82592 жыл бұрын
Manura Fundi jmn
@iuem57922 жыл бұрын
Game la kimataifa hili,mtu anabeza aisee
@najmakhamis3352 жыл бұрын
dah inaniuma sanaaaa ila naamini apo tulipo fika Ndo allah alipanga
@alfredidabaliga8142 жыл бұрын
Kazi mmeifanya wanaume
@georgenorasco17052 жыл бұрын
Mkunde na inonga mmeweka ustaa, hii game kwenye matuta ilikua yetu, BC tu
@emeldaswai92212 жыл бұрын
George kweli kabisa wanajikutaa saa hasaa inonga
@jacklinmasawe26972 жыл бұрын
Simba hatuna wapiga penati kabisa
@fadinangemae2532 жыл бұрын
Tumejitaidi kwakweli
@hamidayanga82242 жыл бұрын
Kwahyo hapo inonga alikua anatetema kwakutumia mikono au??🤣🤣🤣🤣
@michaelmisana6502 жыл бұрын
Polen kwa kubakwa
@ip_header2 жыл бұрын
Asanteni kwa Kuja...!
@zunnahmohammed47192 жыл бұрын
Simba wamepambana kiume wamefia vitani kuimbambania taifa lake
@paulshuna65962 жыл бұрын
Kuimbambania
@budodilufega85972 жыл бұрын
Kipaa ameni furahisha Kama mayele 😅😂😂
@cleofasnyoni38362 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣
@jeffreymgaya75686 ай бұрын
Kumbe mwakarobo kitambo mpaka shirikisho
@petit10782 жыл бұрын
Hiv Shomari kapombe n dini gan?
@livinusmugisha54692 жыл бұрын
Acha ujinga dini inaingiaje humu au hauna la kusema???
@gladnesisrael5515 Жыл бұрын
Mkristo
@reubenismail36722 жыл бұрын
Simba penat hakuna wapigaji kabisa!lkn kocha umechemka Sana dakika za mwishoni ungeingiza wapigaji penati Kama boco na nyoni!Kama walikuwepo bench lkn
@nakampephillemon88482 жыл бұрын
Good
@linuskyando41552 жыл бұрын
WAKONGOMAN WA SIMBA HAWAJUI KUPIGA PENALT
@rajaabuseifu662 жыл бұрын
Simba mmejitaidi
@edsoneliah28022 жыл бұрын
Kwa watu wanaojua mpira lazima waipongeze simba . Sasa kuna wake viraka wacheza bao
@yasiniselemani24122 жыл бұрын
Wacha wapigwe maana taraweh imehamwa kisa mpira
@ummuruwaida34402 жыл бұрын
uliskia wapi simba kashinda kwa matuta
@danikilawe74982 жыл бұрын
Simba siku zote atabaki kuwa timu bora,,huwezi mlinganisha na Yanga,,aliyetolewa round ya kwanza tu .Kukosa nusu fainal ni mipango ya Mungu iwe hivyo.,,, hakuna wakumpinga.
@alexapolinaly47552 жыл бұрын
Kwani nyie makolo mlitolewa raund ya ngapi au nmesahau mmekula tatu kwenu na kutupwa kwa looser uko
@ukweli2556 ай бұрын
Tuko hapa baada ya Mamelodi kumtoa Yanga Sc
@rashidsaid10922 жыл бұрын
Katika penalty zote kapombe nimeipenda sana penalty yake anajiamni an utulivu sana..mkude kinachomsumbua ni dharau...jamaa ana dharau sana... penalty nyingi anapiga kidharau
@enickosanga49212 жыл бұрын
Dah simba tumetolewa lakini sina kinyongo wala sijaumia mmetuonyesha mpila mmetuonyesha kua mnajigambua kwa timu kama orando Dah tunajipanga upya nahakika msim ujao titafika final
@salimramadhani52372 жыл бұрын
Mmebakwa bila kondom😂😂😂
@enickosanga49212 жыл бұрын
@@salimramadhani5237 kua na heshima kaka kama huwezi kukoment achananyo tu sio kila mtu anapenda kujibizana lugha za hovyo naomba jitahidi kwa hilo
@sbusisoqmbhele36652 жыл бұрын
Up the buck s,,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ellyswai18012 жыл бұрын
Kapombe hana dini hawez mfanya mwingine vbaya ivo
@salimramadhani52372 жыл бұрын
Wamebakwa lkn kwa tabu
@salimramadhani52372 жыл бұрын
Orlando mnaenda peponi woooote
@HawaArkam-dj8zg Жыл бұрын
Nikii itazama hii kitu namuonea huruma inonga jinsi anavyo tetemeka
@chejamuya24702 жыл бұрын
Yani nikiangalia hv nasisimka 🙄jmn Simba
@mikidadijoseph56122 жыл бұрын
Kagere wetu huyo anamiaka 25
@sosomacharles66852 жыл бұрын
Inonga katetema kama Mayele wakati hajafunga.
@jerryjulius64212 жыл бұрын
Diamond
@edsonyahaya12272 жыл бұрын
Hamna kufa kiume
@emmanuelpaulmadahagoi70172 жыл бұрын
orando mmefanya lamaana Sana
@jumaothman94492 жыл бұрын
Muwende kwa yanga mukajifunze kupiga penalty
@kadsam9779 Жыл бұрын
Unyama
@linuskyando41552 жыл бұрын
MKEKA UMECHANIKA
@linuskyando41552 жыл бұрын
SIMBA WANASONGA UGALI
@rashidmohammed48872 жыл бұрын
Kifo ni kifo tu. Ukifa kiume au kike mwisho ni kuoza tu
@hamidayanga82242 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@shijamasunga68892 жыл бұрын
Utatulinganisha na utopolo hata mia hamkupata hata mia mlipigwa mbele na nyuma 😂😂😂 fyuuu
@rossmaryphases85092 жыл бұрын
Point hyo
@geofreymahally71152 жыл бұрын
kachinjwa hd huku... bora ngj tuwape dozi nyingine kwa mkapa
@georgenorasco17052 жыл бұрын
Mtakimbiana
@mgundamgobajaphety85512 жыл бұрын
katkat
@barnabasluambano67942 жыл бұрын
Hivi Shomari Kapombe anafahamu maana ya ishara anayoifanya?Au anaiga tu bila kujua,hajui kuwa ina maana ya ISHARA YA MSALABA ambayo inatumika na wakristu na yeye ni muislaam?Kwa ishara hii hana haja ya kwenda msikitini tena.
@gladnesisrael5515 Жыл бұрын
Yeye ni mkristo
@sosomacharles66852 жыл бұрын
🐖🐖🐖🐖🤣🤣🤣 huku kwetu mpaka sasa bado wamelala.
@sosomacharles66852 жыл бұрын
Manula penalty ya pili kaishia kupoga goti tu
@yujinxhing37662 жыл бұрын
Kwani kapombe ni mkristo😳
@dunstangeorge32632 жыл бұрын
Kapombe ni RC
@mohamedsalum31122 жыл бұрын
hata mm pia nimejiuliza
@emmadora78482 жыл бұрын
Dini yake inakuhusu nn?
@nuury62202 жыл бұрын
Kipa Katetema. Mayelee
@hadijamaiga9482 жыл бұрын
Ndo nn
@nuury62202 жыл бұрын
@@hadijamaiga948 tuyaache ila usisahau kula daku
@bwagizoselemani84342 жыл бұрын
Mayele ndio nani kama angekua na uwezo amekuja yanga kufata nini siangeenda mbele nawala musijal mwakan mutaenda kuyaona