Рет қаралды 10,339
Simba Pro ni Channel maalum kwaajili ya mashabiki wa Simba ambayo inajihusisha na kuongelea klabu ya Simba kiundani, imebobea kwenye maswala ya usajili pamoja na uchambuzi wa michezo ya Simba
Pia Simba Pro inafahamika ndani na nje ya nchi kuanzia Tanzania Kenya Uganda Burundi Congo United States Zambia China na Germany huko kote kuna watazamaji wanafatilia Channel hii
Waendesha vipindi ni Heavyweight Dulla ambae anapatikana Instagram kama Heavyweight_dullah pamoja na Innocent Moshy ambae anapatikana Instagram na Tiktok kama Realmoshyy
Simba Pro ndio channel ya mashbaiki wa simba inayofanya vizuri zaidi kuliko Channel yoyote ya mashabiki wa Simba Tanzania