Like ikiwa ni kweli.. KUWA MSOMI WA KWELI HUMU AFRIKA NI JANGA...
@enockmasesa15135 жыл бұрын
tena dhaifu sana bibi kizee hakuna bunge apo ni mkusanyiko wa wabunge wa ccm
@lydiathadeous66445 жыл бұрын
MWANAUME 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🤛🏾🤛🏾🤛🏾🤛🏾🤛🏾🤛🏾 NANYOOSHA MIKONO NA MIGUUU JUU TENA NAKUSEMA CAG WEWE NI MWANUME 💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾💪🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 BINAADAMU NI MISIMAMO KATIKA MAISHA .
@williamngalla76375 жыл бұрын
Nipo na wwe CAG nakuunga mkona 100%...proffessor Asadi anaponzwa 1.5 Tr
@williamngalla76375 жыл бұрын
Umenyoosha hadi miguu hongera sna
@josephharri90155 жыл бұрын
Yupo sahihi
@actwazalendo27845 жыл бұрын
Mmewako wewe
@lydiathadeous66445 жыл бұрын
ACT Wazalendo am just being real bruuuh
@chiefmkungirwa86675 жыл бұрын
Ukituliza akili vzr ukaipa uhuru utagundua CIG yuko sahihi Allah ambariki
@sigorijoseph49775 жыл бұрын
Chief Mkungirwa kwwli kabisa
@anthonymgina22535 жыл бұрын
Kwanza lugha yenu haijitoshelezi kwanini msitumie kamusi ya kihasibu?.
@moringelangas72765 жыл бұрын
Hata ww uneingia kwenye mtego wa CAG!Umeonesha udhaifu wako.
@mosessamwel11795 жыл бұрын
Mimi naomba msome kwanza comment zetu ili mwone Je sisi wananchi tuliowapigia kura na kufanya nyinyi mjulikane, tuna mawazo kama ya kwenu au LA! Na kama sivyo, Je mnadhani ni mambo mangapi mmeyaamua kinyume chetu ambayo sisi hatuyapendi lkn nyinyi mkasema ni maamuzi ya watanzani wote? Je ni nani kati yenu atakayesimama mbele ya Hukumu ya Mungu na kuyajibu haya kwa niaba yenu? Mimi nawakumbusha Duniani sisi ni wapitaji, iko siku ambapo Bunge halitakuwa mtetezi, wanadamu hawatakuwa watetezi, Jamii yako au ndugu wa karibu hawatakuwa watetezi. Siku hiyo kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe! KUMBUKA: Maandiko yanasema Sisi uwenyeji wetu uko Kule Mbinguni wafilipi 3:20-22, Pia Mkumbuke maandiko yanasema Baada ya kufa ni Hukumu Waebrania 9:27, Sulemani akamwomba Mungu ajue namna ya kuwahukumu watu kwa Haki. Remember our lives under the earth is just temporary. No body will live forever. None!
@jumajaffary96985 жыл бұрын
Yeye ni mhasibu, lazima atumie lugha ya kihasibu, kumbuka yeye si kama mbunge Msukuma, yeye ni professor katika fani yake.
@tmt26425 жыл бұрын
Live Long Mussa Assad...Hakika umeonyesha msimamo unaotakiwa kuijenga nchi..hakuna kubadili badili maneno...
@waltermbelwa49735 жыл бұрын
Ndio heshima ya mtu kuwa Professa.Kusimamia kile unachokiamini hata kama kitakupunguzia shibe.Bravo Camarada Assad.
@japhetmaturo40735 жыл бұрын
I stand with CAG
@antonykashube20655 жыл бұрын
Kuna watu wanadhani ni salama kusema hakuna Mungu kuliko kusema binadamu wana mapungufu. Mungu mbariki CAG wetu, Mungu libariki Bunge letu, Mungu ibariki Tanzania. Ndugu zangu wahasibu poleni, najua mnashangaa hadi mnachoka. Haya najisomea hapa ISA 265 -' communicating deficiencies...'
@ngalelefijo25455 жыл бұрын
CAG nakupenda kwa msimamo bunge la ndugai na tulia akson ni dhaifu hovyo na hao viongozi ni mafisadi wanataka kuficha wizi wa Magufuli wa triloni 2.4
@kiatu5 жыл бұрын
Just retire/fire him - he is insensitive, arrogant and selfish. Sasa hivi nina imani sana vijana, hebu hicho cheo wa rika ya kina Makonda, Hapi, Polepole, Lema, and the like. Naogopa sana wazee wakipewa madaraka makubwa - wanaka-mindset fulani ambako hakaendani na ICT era, vision ya Rais na contemporary way of thinking. Hongera kamati kwa kazi nzuri, japo majibu ya kimtaani ndio yayolikuwa yanapigiwa makofi.
@movicksungu72105 жыл бұрын
safi CAG umesimamia ukwer. God blesa you.
@husseinidd57515 жыл бұрын
kusema kweli sijamuelewa Mh aliekua anasoma ...
@mohamedothman97695 жыл бұрын
Sifa pekee ya 'uongo' ni kukosa maelezo yanayoeleweka
@getaromagaiwa79185 жыл бұрын
kweli kabisa bunge ni goi goi
@ashraphurassa38615 жыл бұрын
Bunge ni dhaifu mnacho bisha ni nini
@lydiathadeous66445 жыл бұрын
ahraph urassa mtenda akitendewaaa 😂😂
@ruthmoleli49785 жыл бұрын
ahraph urassa Ni kweli bunge ni dhaifuuu
@hashimally10785 жыл бұрын
ahraph urassa 😀😀😀
@tumainrenatus35725 жыл бұрын
CAG mungu akubaliki sana
@francischikwindo26165 жыл бұрын
Haya wenye nchi mnafanya maamuzi juu ya maisha ya sana nchi.
@omaryyusuph32515 жыл бұрын
Hongera CAG tulishalijua hili ipo siku ukweli utajulikana hata kama itachukua muda. Ukweli ni kwamba action speak louder than words sasa mkitulazimisha tuseme 2 wakati mnamaanisha1 tutawashangaa
@luqmanmohamedy38605 жыл бұрын
..mmejipanga kukataa ripoti ili tusione madudu yenu...iko wap tr1.4 ..Nchi inahitaji wasomi kama Assad sio nyie vichw Butu
@reusmayerere57435 жыл бұрын
ndiooooo,ndiooo kila kitu, no questioning mind
@hellenalex95415 жыл бұрын
kweli bunge ni dhaifu jamen msituchoshe
@olekoreka5 жыл бұрын
ukitaka kujua udhaifu wa bunge ndiyo huu sasa wamedhibitisha wenyewe kuwa wameendana kabisa na maana ya hilo neno dhaifu kama walivyo tafathili wao wenyewe...... Mungu inudhuru Tz..
@salumumsike81755 жыл бұрын
Nampenda CAG,... Kazi ya CAG pengine itajulikana baada ya miongo kadhaa...
@sk-wj9or5 жыл бұрын
Kwanini mkiambiwa ukweli mnacharukwa badala ya kujirekebisha? ??
@japhetmaturo40735 жыл бұрын
Kisa kusikika Dunia nzima mnakasirika #bunge dhaifu la Tanzania
@josendaki23215 жыл бұрын
Kweli
@TheTemba15 жыл бұрын
Bunge la sasa ni Dhaifu tena Goi goi...... Kila kitu bora liendeeeeee, Hakuna Bunge siku hizi kuna tawi la chama Tawala CCM ambalo ndio linaongozwa na Bwana Ndugai
@gwamakaadamson29095 жыл бұрын
Tena lege lege nyoronyoro
@magigejoseph2555 жыл бұрын
Unachoongea kimetoka moyoni au umetumwa
@ibrahimtesha27335 жыл бұрын
Bunge si goigoi! Ni dhaifu tu kwa maana aliyosema CAG. Tuandike mambo ya heshima humu. Watu walipochagua wabunge hawakuchagua goigoi unavyodai Novatus! Tuache matusi kwa sababu hoja ya kweli haitaki matukano! Hata hivyo Baba wa Taifa alitoa mausia fulani katika TANU na baadaye CCM yaliyosema kukosoana ni jambo muhimu katika maendeleo hata kama anayekosolewa anaudhika. Kama tungejua baadhi ya wabunge wangeenda bungeni kujikweza, kususia wakaguzi wa hesabu za serikali na kuzima uhuru wa wapiga kura kuwaeleza wanapokosea (bila kujali msamiati) tusingewachagua na kama wangeteuliwa bila kujulikana wana hulka ya kususia wanapokosolewa tungemwomba mwenyezi Mungu atuepushe nao apendavyo. Mungu tu ndiye hakosolewi! Kweli Mh. Spika ametusaliti sisi pamoja na Rais wetu kwa kufanya jambo hilo dogo kuwa tatizo la kufarakanisha watu badala ya kujikita kwenye kuangalia udhaifu ulikuwa wapi, warekebishe nini hasa au angemwambia Mh. Rais amwambie mteule - Prof Mussa atumie msamiati fulani kufikisha hoja yake. Sasa badala yake wanasusa wajibu wao na wanafukuzana bungeni na kujitutumua kuita vikao vya kutiana adabu, kwamba wana ubabe dhidi ya kila mtu na hawaambiwi! Heshima ipo tu kwamba tunatambua ni wawakilishi wetu kwa sababu wote hatuwezi kujazana bungeni kujadili maslahi yetu kwa jumla. Mheshimiwa huwa hahitaji kujipongeza!
@lusekelomasika92475 жыл бұрын
Novatus Tanzania o
@rahelassery66585 жыл бұрын
Duh.
@groungreen40135 жыл бұрын
Acheni ujinga,fanyeni kazi mnalipwa hela nyingi sana,achaneni na CAG ni mkaguzi wa kimataifa
@saimonrweyemamu68555 жыл бұрын
mda walioupoteza kumjadili CAG bora wangerudi vijijini wakatatua matatizo ya wananchi.......kukubali ukweli kwa mtanzania huwa ni kazi maana tunapenda kujitetea sana...big up CAG umetoa yaliyo moyoni....
@jafarimchomvu96235 жыл бұрын
CAG Hana kosa ccm hebu acheni uonevu hebu jadilin mambo ya msingi ya nchi hii. Hiki Ni kipindi cha mwisho kwenu sijui mtatumbia nini mkirudi omba kura. Miaka mitano imeisha hakuna lolote tuona kiki tyu. Siku zote ukweli huwezi kua uongo Cag yuko sawa namuunga mkono.
@luciuskibaasa285 жыл бұрын
This is a real professor... Anasimamia anachokiamini
@anthonymgina22535 жыл бұрын
Bunge ni dhaifu tena sana
@jamaikasanga79645 жыл бұрын
ndembendembe
@reaganswai50345 жыл бұрын
Naomba kuuliza swali, je darasa la saba anaweza kuwa CAG, na darasa la saba anaweza kuwa mbunge nini tofauti hapa.
@anthonymgina22535 жыл бұрын
Reagan Swai - daah wewe ni shidaa nimekuelewa vizuri acha na mm niseme pia bunge ni dhaifu
@jacksonsungwana23445 жыл бұрын
Hapo ndipo udhaifu ulipolala,huyo darasa LA saba anaelekezwa tu cha kufanya lkn msomi professor anatumia akili yake mwenyewe kuchanganua mambo.
@allymaibisa12555 жыл бұрын
Kinachoendelea hapa,tunasubili kauli ya mheshimiwa,kama ikishindikana kabisa kuelewana.!!!?
@rabielulomi86075 жыл бұрын
Heshima ya Binge na uzalendo ni pamoja na kuusema ukweli. Hakuna anaehoji ukweli Wa maneno yake ila heshima tu!!! H eshima IPO kwenye ubora wa kazi yenu na sio kwenye vifungu vya sheria.
@elymollel5 жыл бұрын
Am with CAG
@amanimtasha91685 жыл бұрын
CAG atabaki kileleni chiiiiiiiiiiiiiiii 😂😂
@benjaminobadia45425 жыл бұрын
Hata kwenye mambo ya kitaaluma na kitaalamu "udhaifu" unaweza ukajitokeza tu ktk mazingira yoyote yale kwani hakuna aliyekamilika kwa asilimia zote isipokua M/Mungu pekee tu.Ikumbukwe kuwa udhaifu hautokei tu kwa mtu(Binadamu) bali hata taasisi mbalimbali ziwe za binafsi au umma.Na ndo maana tunakua na ukaguzi wa tofautitofauti kwa lengo la kuboresha na kupunguza udhaifu unaokuwepo kwa wakati huo ili tu ufanisi na uthabiti uchukue nafasi yake.
@neymarsuleyman86025 жыл бұрын
Kwamaneno yote mawili (dhaifu na pungufu), yote mawili yanapatikana tu
nime penda msimamo wa CAG tungepata mutu kama huyu awe ndie Raisi wanchi nchi ingekua sarama, maana anjitambua.
@emuthree5 жыл бұрын
Hivi hili linawasaidia nini wananchi, au nchi....mbona tunageuka kuwa wanangonjera badala ya kuangalia mambo mengi yanayowaumiza wananchi...tatizo tunapenda kuongea sana, kunyambulisha maneno, utafikiri sisi ni wasafi saana..., kwann hatupendi kuambiwa ukweli...!!! CAG, leo wanakufanyia hivyo, ila historia itakuja kuandikwa, wewe ulichosema ni 'ukweli, na ukweli unauma...'
@jadenhoope53715 жыл бұрын
Tatizo kubwa ni siasa!
@benjaminobadia45425 жыл бұрын
Sasa jamani neno "Dhaifu" limekua changamoto sana hvyo.M/Mungu mwenyewe alituumba sisi wanadamu lakini bado tu dhaifu kwasababu hakuna aliyekamilika ktk maisha haya tunayoishi.So sikuzote ziendazo kwa mungu ni siku za KUJIFUNZA KWA KILA MWANADAMU.
@happinessmwenda27735 жыл бұрын
Nchi za Afrika uwa tunasifia tu kukosoa ni mwiko na usaliti.Tuna karne moja yaani miaka 100 kutoka kwenye unafki huu.Ndio maana tuko tulipo.
Mmezoea kuombwa misamaha Sasa hapo sijui mtafanya Nini make jamaa hataki kupelekeshwa
@frankkashner5 жыл бұрын
Nyinyi ni Dhaifu siasa tu, ingefaa ningelifuta bunge kabisa niunde chombo kingine
@mofetyendi6915 жыл бұрын
kama si bunge cheo chake kisingekuwepo.bunge si ndugai ni lazima ujue bunge ni nini na ndugai ni nani
@mofetyendi6915 жыл бұрын
kuna haja ya bunge kumuita rais bunge ni tuone atakataaa au atawahi kufika huko.ili iwe mfano kwa watumishi na RAIA kwa ujumla
@AP-uk3mq5 жыл бұрын
Wewe mwenyewe ni dhaifu.
@magrethamalliya80315 жыл бұрын
Kwani tatizo nini?kwani hakuna udhaifu hapo?acheni porojo nendeni kwa maslai ya wananchi.
@eliassylvester81505 жыл бұрын
Inachukiza sana kuona watu wazima mnaongelea mambo ya kamusi kila baada ya maneno mawili lazima ataje kamusi yan hakuna sababu yenye mashiko kwenye suala hili CAG tuko pamoja mzee baba
@actwazalendo27845 жыл бұрын
Nyie wabunge hamna wajibu wa kumuwajibisha CAG hamjui mkifanyacho nyie wabunge na bunge ni dhaifu
@susankilimtali50255 жыл бұрын
IPO siku mtakuja kujua wtz ni watu wasiopenda ujinga mnaambiwa dhaifu afu mnashindwa kujilekebisha afu mnazidi kufanya viburi mnakula jasho LA wtz IPO siku na siku hiyo yaja
@jamaikasanga79645 жыл бұрын
mmeona ana uchademachadema hata nchi inaona udhaifu mkubwa ndy man mnatumia nguvu badala y akili hatar
@kato_tz5 жыл бұрын
The true meaning of the statement is from the one who said it, sasa yeye CAG aliwaambia alichomaanisha then nyie mnasema hakumaanisha hivo. This brings even more attention aisee
@actwazalendo27845 жыл бұрын
Jamani mbna nyie mnapitishia sheria za hovyo mbna hamuwajibishwi msiambiwe ukweli
@westonmbuba64215 жыл бұрын
Wasomi hatutumii kamusi kufasiri dhana mbalimbali. Kamusi zina fasiri finyu. Maneno na dhana huwa na maana finyu na maana pana. Mimi ni mwalimu. Huwa tunawaandikia watoto vizuri sana, vizuri, wastani, dhaifu na dhaifu sana. Kwa hiyo tunaposema dhaifu sana tunamaanisha goigoi sana? Au gonjwa sana?
@shabanabdullaziz99345 жыл бұрын
Kwa maamuzi haya sasa tumepata ithibati kuwa Bunge letu ni dhaifu kweli. Kama nyie sio dhaifu kinachowachomachoma ni nini?
@amanipascal28235 жыл бұрын
Kamati ya ajabu sana.badala ya kuangalia ni wapi CAG alitaka bunge lijirekebishe ,badala yake kamati inamshambulia.ili maovu na mapungufu ya bunge yasijulikane kamwe.
@deustutu11625 жыл бұрын
CAG yuko vizur sana ukwel utakuwa ukwel tu
@boyhamimboy53845 жыл бұрын
wana ccm 2500 wanazidiwa hekima akili na muono na mpinzani m1
Nyie hamtaki kuambiwa ukweli ukikosea lazima uambiwe ukweli Sasa Nyie ukweli hamuutaki mtaka uongo. Mtuambie basi labda Nyie ni Malaika Kati ya spika alevuruga bunge na bunge kuwa dhaifu zaidi kuliko yote ni huyu asyetaka kuambiwa ukweli utadhani n Malaika Wakati ni binadamu mwenye mapungufu kama binadamu wengine. Unajiona wa maana saaaaana hipo siku mungu atasikia kilio cha watanzania.
@kato_tz5 жыл бұрын
Mhhh kwa hiyo sasa hivi ni mwendo wa Kamusi eh, hii nayo kali
@idrissaismailhaidahaida52875 жыл бұрын
Kweli C A G we ni mwanaumme hasaaaaaa
@waltermbelwa49735 жыл бұрын
Neno moja tuu.
@shabanabdullaziz99345 жыл бұрын
Sasa mnachobisha nnini? Kwani tatizo lenu nini? Kwani ni uongo? Bunge kweli ni dhaifu...
@neymarsuleyman86025 жыл бұрын
Mbona nyinyi huwa hamchagui chombo maneno yakuzungumza mkiongea na watu wachini yenu???
@abdimtemba85255 жыл бұрын
kwa mwendo huu wa hili bunge letu kuhusu CAG ,waTZ hesabuni maumivu maradafu ktk bunge&ktk maisha ye2 ya @siku
@mageminja80525 жыл бұрын
huo ni ukweli bunge dhaifu
@hamedmaskari5185 жыл бұрын
Mh Rais usije ukafanya mistake ya hio tumbua yako ukamfukuza huyo msomi kama kweli unataka mahisabu yende vizuri huyo mtu wanamlia nchi nyingi tu nakupa ushauri huo la kama vp unataka kumuweka msukuma afanye manyago ni wewe mwenye mamlaka
@actwazalendo27845 жыл бұрын
Sasa BUNGE mmepishana na ofisi ya rais wamewapinga
@hamedmaskari5185 жыл бұрын
Kwanza hakuna liye kuwa si dhaifu binadam wote ni dhaifu
@ttec94315 жыл бұрын
Malaika wetu wasiokosea ....wao wako sawa kwa kila kitu hawakosei ... Ndo udhaifu wenu huo Kama hamujui
@mweec5 жыл бұрын
CAG endelea kutumia neno hilo had waelewe tu
@saeedal-awen21905 жыл бұрын
basi nyie imara. mwacheni Assad afanye kazi.
@mohamedothman97695 жыл бұрын
😂😂😂
@paulmollel58615 жыл бұрын
hahaaaa umetisha
@mosesmkoma68825 жыл бұрын
😂😂😂😂
@walidsultan74865 жыл бұрын
nyie mnatafuta sababu tu hamna lolote
@ernestsinje95325 жыл бұрын
Bunge ni dahaifu mnajitetea nini ?mnatupotezea pesa zetu bure kumhoji msomi aliyesema ukweli BUNGE NI DHAIFU Tanzania yote tunajuwa
@papadimayo1chanel.7475 жыл бұрын
Acheni ujinga wa kuukata ukweli. Prof aliulizwa mbona kila mwaka mnafanya hesabu lakini hakuna kinachoendelea?. Alijibu kuwa hill c majukumu yetu, mm ninavyona ni udhaifu wa bunge. Fanyeni mjadala juu ya hilo na wananchi tusikilize cyo mtueleze tu mnavyoona nyinyi yafaa. Prof hasadi yuko vzr. Yuko kwa ajili ya maslahi ya taifa na anaonekana ana uwezo mkubwa wa kutumia taaluma yake na Uhuru wake wa kikatiba.
@heavymachineproduction.46135 жыл бұрын
SIJUI USWAHILI UTAISHA LINI. WATU WASOMI LAKINI USWAHILI NI BADO GONJWA
@mtumishipetermiselya12885 жыл бұрын
Mkikubaliana na udhaifu uliosemwa na cag msifikiri wabunge ndo wadhaifu,, ninyi wananchi ndo dhaifu maana wabunge ndo wawakilishi wetu,, sisi ndo wabunge kama hamjui,, katutukana watanzania huyo
@jamalnaeem3695 жыл бұрын
CAG atabaki kuwa juu kileleni .
@nethomalata31795 жыл бұрын
kwani mtazamo hasi ni kosa je kama MTU kalewa akiambiwa wewe ni mlevi ni kosa ilhali neno mlevi ni kitendo hasi.lakini pia mwenyezi mungu anatutahadharisha kuwa mwanadamu si timilifu, na kukosolewa si kosa kwan hata mungu anatutaka tutubu kwasababu anajua ni wakosaji, ukiwa mwanadhuoni lazima uzingatie weledi wa taaluma yako tusinafikie taaluma zetu eti umekosea unataka usemwe kwa woga na umtaarifu aliyekosea kwamba sasa naenda kukkosoa da hongereni tumombe mungu watanzania tuendelee kuwa na hali hii ya uelewa
@emmanueltarimo8925 жыл бұрын
Mkiambiwa ukweli mnakimbilia kamusi
@noorsalim99635 жыл бұрын
Prof alitumia kitu kinaitwa Contextual meaning ktk semantics....halafu alikuwa anaongea na wataalamu wenzake huko nje na wala si watanzania!!
@paulinamon90875 жыл бұрын
Alikuwa aneleza udhaifu wenu ktk kujibu hoja za kazi aliyotumwa na Katiba.
@geofreywadeya99725 жыл бұрын
Upo sahihi kabisa. Nadhani hawaelewi maana nyingi ya tafsiri au ni njia tu ya kulazimisha wnachokitaka
@mohamedothman97695 жыл бұрын
Tatizo shule kk
@clausemsemwa37045 жыл бұрын
Alikua anaongea na wenzie huko......wanaofikiri kama yeye ahahahhaha
@richardyusuphmsongolomakat20495 жыл бұрын
NOOR Salim Ndugu yangu usijisumbue sana Bunge dhaifu...alisikika CAG
@rashidmfaume18195 жыл бұрын
Tumekuelewa CAG
@aginiweyessayakyando98555 жыл бұрын
Ingawa haya maneno ni makali kwa mujibu wa walalamiwa, lkn iko sababu ya kukaa na kufikiria kwa nn wameitwa dhaifu
@ismailngolloh45175 жыл бұрын
Safari bado ni ndefu.....na ...muda hausubiri
@heavymachineproduction.46135 жыл бұрын
Maana ya Uzalendo ni nini?
@marcoyohana95305 жыл бұрын
Kwahyo mlitaka awaiteje??
@beroyatv34995 жыл бұрын
Nadhani alitaka waitwe, WACHAPAKAZI, MAHODARI
@ramadhanmanko46145 жыл бұрын
Huyo ni profesa
@heavymachineproduction.46135 жыл бұрын
So CAG aruhusiwi kusema dhaifu , this is disgusting argument