Рет қаралды 936
JUMAPILI YA TAREHE 23/08/2020 MWADHAMA POLYCARP CARDINAL PENGO ALITOA SAKRAMENTI TAKATIFU YA KIPAIMARA KATIKA PAROKIA YA MT MAXIMILIAN MARIA COLBE MWENGE JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM KWA WATOTO WAPATAO 50.
MOJA KATI YA MAMBO ALIYOWASISITIZA WAAMINI WA PAROKIA HIYO NI KUTOFANANA NA WATU WANAOAMINI KUWA YESU KRISTO HANA MCHANGO KATIKA ULIMWENGU HUU WA LEO.