Рет қаралды 752,792
Video hii imeimbwa na kutengenezwa na watanzania. Imekusanya matukio mbalimbali yenye utani mwingi ndani yake, nafurahi na ninapenda kukukaribisha kwa kuitazama na kuwaalika rafiki zako. Karibu!
Directed by
G-Viper
Artist
Carpoza & Cat P
Song Writters
Carpoza & Cat P
Sub Character
Oka Martin
**WARNING**
Do not re-upload this video on any revenue platform
**ONYO**
Hauruhusiwi kupakua video hii kwenye mtandao wowote wa malipo.