NANA DOLLS AMJIBU MANGE KIMBAMBI ALIYEVUJISHA SIRI ZANGU SIO VYOTE VYA KWELI/NILIGOMBANA NA MUME #nanadolls #mangekimambi #carrymastorytv #nana #juakali
Пікірлер: 33
@sifaomary1490Ай бұрын
Nampenda sana huyu dada muonekano wake nakichwani kumbe anaonekana yuko vzur
@PaulMayorsАй бұрын
Watu wa kucomment vibaya pambaneni na maisha yenu , msifatilie maisha ya watu😎😎😎
@EmmahLiypixАй бұрын
Queen video mrembo outside &inside kwenye video zote ya king kiba..
@eladiuspeter586Ай бұрын
aya bhna. Mmeshatangaza biashara yenu inaitwa Fuego
@lucymgina8093Ай бұрын
huyu dada ana akili sana
@QueenGabriel-ys7ehАй бұрын
Mrembo sana nana na sauti kama ya faitha ally
@claudia1500Ай бұрын
You super cute and super intelligent
@GubraCity-dm5sxАй бұрын
Akili zake km zangu mpz unaakil mingi❤
@deborahmidiburo3541Ай бұрын
My Regina
@asteriaslaa5482Ай бұрын
nimekupenda bureeeeee my Nasma
@ashambumaАй бұрын
she so cute❤
@user-wu8qe4fv4jАй бұрын
Ni kweli kbs nana💗💗💗❤️❤️❤️❤️❤️
@HusnaIssa-wd2qxАй бұрын
Cute nana wa obey❤❤❤
@LoveAronАй бұрын
You looking good 😍 💞 ❤️ 🔥 🔥 🔥 so cute
@norahmajaliwa384122 күн бұрын
Nana, you're beautiful.
@user-os1cz4kh1mАй бұрын
Nice
@user-qh2bx5em6jАй бұрын
Anafanana na Lulu
@p.kasongot979Ай бұрын
Nikweli nilikaribia kusema hivo❤❤❤❤
@allykwaya29 күн бұрын
Umeona kama nilivyo mimi
@ritharutechura1026Ай бұрын
Nice nana
@moniquemapunda5533Ай бұрын
akili nyingi
@felistersanga7903Ай бұрын
Ana akili sana yani
@SesiliaFaustin25 күн бұрын
You're Soo cute
@AzaAzamhmodАй бұрын
Kupost hotelin tu kwako aaah😂😂😂😂😂
@Asia-p5rАй бұрын
Ana nyumba mzr huyu dada....sy kila mtu anapenda kila mtu ajue maisha yk halisi
@jescamichael3901Ай бұрын
akili mingi
@nahlahassan-fd6leАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AzaAzamhmodАй бұрын
Sasa makeup mbon ka umepaka mwenyewe yan elfu 70😢learn ur self how 2 apply makeup on ur face my mchaga nana
@JosephMutambalaАй бұрын
Mrembo wa utu
@Official83640Ай бұрын
Unakubali unakataa mwisho kubali tu kwamba kilichoandikwa ni kweli maana mwanaume hukai nae masaa 24 huwezi jua km ana wanawake au hana mwanaume sio mwenzio ndugu usitete mwanaume
@MsAggie5Ай бұрын
Kama hajashuhudia sio mbaya huwezi kuwa na relationship isiyo na changamoto. Na amekubali kama walikuwa na ugomvi ambacho ni kawaida ktk mahusiano. Kibaya ni pale unapodhibitisha mwenzio ana uhusiano wa wazi au picha zake akiwa na mwanamke au wanawake wengine la sivyo wasichana hawatakuwa na mahusiano
@shamsahaji620226 күн бұрын
Nywele za maiti ama wahindi...hizo ni laki 2 na nusu uh!mtihani kwa wadada..nashukuru mungu kunijaalia nywele .
@EmmahLiypixАй бұрын
Queen video mrembo outside &inside kwenye video zote ya king kiba..