CATHERINE KAHABI AIBUA UPYA SAKATA LA RAMADA HOTELI NA MENEJA WAKE KUTOROKA NCHINI KILA KITU WAZI

  Рет қаралды 13,742

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@BlessedFlorah
@BlessedFlorah 5 ай бұрын
Tanzania bila ushoga na ulawiti inawezekana💯✍️Mungu ibariki Tanzania 🙏
@estermathias8354
@estermathias8354 5 ай бұрын
Mdada mzuri wito mzuri YESU akutunze
@philipongenzatv
@philipongenzatv 5 ай бұрын
Safiiiii sanaa Aiseee hongera Dada Kahani unahitaji ulinzi
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 5 ай бұрын
Kahabi kazi mnauofanya ni ya Mungu na ulinzi wa Mungu uko juu yenu
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 5 ай бұрын
Kazi nzuri katheren kahabi Mungu akubariki sana katika jambo hilo mashoga wote wafukuzwe nchini na wasiingie nchini Na pia ninacho mchukia mama samia suluhu ni moja kuto kutoa kauri ya wazi kwamba anapinga ushoga hilo tu jpm tunakumbuka alisema azalani kabisa
@happinessamaro5825
@happinessamaro5825 5 ай бұрын
Hongera Mtu Kazi yako njema
@DamasMhiche
@DamasMhiche 5 ай бұрын
Kazi anayoifanya huyu dada ni nzito na ni ngumu Sana, inabidi tumuombee Sana,
@mwanyongamama4407
@mwanyongamama4407 5 ай бұрын
Mungu Mwema Mbarikiwe Sana kumfurahisha MUNGU Mwema Ktk Jina la Yesu Kristo Aliyehai. Tutapona mengi kabla ya kiama
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 4 ай бұрын
Dada Mungu akulinde na wabaya wote aksate Sana dada na mzee wetu mwakyembe
@hollymore4904
@hollymore4904 5 ай бұрын
Mnajitekenya tu.. si rais atoe Sheria kali
@gilbertmathias7594
@gilbertmathias7594 5 ай бұрын
Napenda sana kujitoa kwenu hongera sana okoa kizazi cha watoto wetu
@christianlutego1288
@christianlutego1288 5 ай бұрын
Mungu awalinde Sana kwenye vita hii, nashauri Kwenye kamati yenu Dudu Baya pia awepo
@timothbenard8213
@timothbenard8213 5 ай бұрын
Hakika wewe ndio unafanya kaz kubwa hapa nchini hongera mungu akutunze ,tupo nyuma yako .
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 5 ай бұрын
Hongera sana Dada Mungu akulinde pia Rais Samia angetoa tamko kuhusu Ramada pia mikoa yote na mitaani
@Marjeby
@Marjeby 5 ай бұрын
Hii movement ni nzuri sana dhidi ya ushoga but mie najiuliza sana kwanini movement hii inafanywa kwenye makanisa tuu?
@florencemeza6540
@florencemeza6540 5 ай бұрын
Kwa sababu wachungaji warahubiri kanisani na kukemea kumbuka ni ciku za mwisho bila kukemea tutaangamia
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 5 ай бұрын
Sababu chama cha kupinga ccm ndio kinaunga mkono ushoga.
@ChrisMeshack
@ChrisMeshack 5 ай бұрын
Kazi ya kuwataja mpeni dudu baya
@estermathias8354
@estermathias8354 5 ай бұрын
Tena nataman waungane
@esthermakelemo2864
@esthermakelemo2864 5 ай бұрын
Mawasiwasi na chombo Cha habari wasafi,uenda kikawa miongoni mwa wanaosapoti mambo yakishoga,narudia tena mawasiwasi Sina uhakika nisieleweke vibaya plz😊
@BilalMuhammad-jt6sq
@BilalMuhammad-jt6sq 5 ай бұрын
Kabisa mana ata juma lokole ninawasi wasi nae sina uhakika
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 5 ай бұрын
Tanzania hamna uwezo wa kupambana na ushoga kutokana na ombaomba
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 5 ай бұрын
Salute sana
@pendojohn5759
@pendojohn5759 5 ай бұрын
Najiulizaga huyu dada yuko wapi nilikua nafwatilia habari zake global saiv ni mhubiri wa wapi naomba kujua
@SiaCollins
@SiaCollins 5 ай бұрын
Alaaaniwe na watu wote waseme ameeeen
@ThomasAlute
@ThomasAlute 5 ай бұрын
Mwenye mamlaka ndio shida kwanini hatoi tamko
@HaulSidney
@HaulSidney 5 ай бұрын
Wabunge wa bunge la Tanzania hawajitambui
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
NA VYOMBO HIVYO NI KAMPUNI ZA MEDIA.
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
SASA HUYO NI MTANZANIAA AU ABAASILI YA KIGENI?
@anosiata8242
@anosiata8242 5 ай бұрын
Mnapoteza mda tu mbona serikari haitoi tamuka kama rais mseveni .
@publicityzone9583
@publicityzone9583 5 ай бұрын
Kwanza rudi darasani ujifunze kuandika ndio uje kukomenti humu KZbin choko wewe
@anosiata8242
@anosiata8242 5 ай бұрын
@@publicityzone9583 wewe mwenyewe ni Choko hujui chochote
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Hao mameneja wa kishetani shetani wataumbuka mchana kweupe hakuna kichaka cha maficho tz huo uovu hatuutaki
@joharikitundu
@joharikitundu 5 ай бұрын
Naona hizi channel za KZbin wangekuwa na vipaji km hivi Tz tungesimama Hongera sana dada Mungu tu alikuchagua
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo 5 ай бұрын
Hamjui ushoga ulivyo na Nguvu kifedha. Watu wamesha chukua chao ninyi mnapiga kelele tu.😂😂😂
@salehmdemu5722
@salehmdemu5722 5 ай бұрын
Hii nchi shetani amewashika viongozi wengi
@MageAwe-hl5zb
@MageAwe-hl5zb 5 ай бұрын
Ee mungu wa laaniwe wanaowa haribu kizazi chetu
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 5 ай бұрын
😊hv niukize. Huwa unaelekeza wapi waende wanaoraka ushoga. Maana naona km unahusika kuhamasisha
@baghabaghaingwengwe1750
@baghabaghaingwengwe1750 5 ай бұрын
Sasa makofi mpaka mlalamike ndo wachukue hatua
@AwaziRajab
@AwaziRajab 5 ай бұрын
Wazungu Wakija Kuleta Mambo Ya Ovo Kwanza Wanakuja Kama Wawekezaji Wa Mambo Tofauti Wakishaweka Wigo Tayari Ndipo Wataanza Kumwaga Pesa Kwa Watu Walio Kalibu Nao Sasa Watu Hao Ndio Watakua Kama Bango La Matangazo Kuwageuza Vijana Kuwa Mashoga Cha Ajabu Watu Weusi Watakua Mbele Kuchangia
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg 5 ай бұрын
dada unajisumbuwa bure iyo kitu kwa mabosi wako
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 5 ай бұрын
Ngoja Mauzinde ajeawasikie.
@salhawaziri1668
@salhawaziri1668 5 ай бұрын
Hahahah
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 ай бұрын
MKAMATENI MVALISHENI TAILI LA GARI MCHOMENI .
@betricemainoya4176
@betricemainoya4176 5 ай бұрын
Tanzania bila ushoga na ulawiti
@abeidsanga7361
@abeidsanga7361 5 ай бұрын
Ivi analindwa na Nani
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Kuna jambo unalisahau mwanadamu sio kitu yupo mungu mlinzi wa viumbe vyooote yeye asipo kulinda wakulindao hukesha bule
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 5 ай бұрын
Ndio baadhi ya tuvyombo huto ni vyavhao wa sodoma na Gomora...
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 5 ай бұрын
Anatorokaje
@ThomasAlute
@ThomasAlute 5 ай бұрын
Dada mimi nakukubali sana lakini machozi ya samaki huishia kwenye maji tu hapo unajifurahisha kwa sababu serikali imenyamaza kimya yaani kutorokaje wakati anachun anachungua
@siaammo1104
@siaammo1104 5 ай бұрын
Hata serikali ikinyamaza Mungu wambinguni anaona kazi nzuri anayoifanya
@Pablolookman
@Pablolookman 5 ай бұрын
Chini ya ukristo kuna nini mbona wamaovu yote wanapitishia katika njia za ukristo hiyo hoteli angekua mwarabu kutoka omani waislam wangetukanywa mwanzo mwisho
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Huko ndiko kwenye uzima shetani hashughuliki na malehemu anahangaika na walio hai sasa imani ilio kwa yesu ndio inayoipa dunia uzima katika mungu sasa utaonaje ajabu shetani kuindama kwa kuingiza mawakala ili kuitia doa? Na ukiona imani yako haina kufuatiliwa na shetani ujue hiyo ni imani mfu ilishajifia zamani
@stanastana3199
@stanastana3199 5 ай бұрын
Tanzania shoga si ni rafiki au?
@mwitaagness455
@mwitaagness455 5 ай бұрын
Rafiki wa kike, huezi. Muita mwanaume rafiki ako shoga
@EvaKiswaga-j2o
@EvaKiswaga-j2o 5 ай бұрын
Mama yetu yuko kimya kabisa kuhusu ushoga. Hakemei. Hataki kuweka Shelia. Aseme neno basi walibifu Hawa. Kuharibu vijana. Wetu. Wahasiwe tu. Ili wakome. Sasa hivi. Tuko yatima
@geey7893
@geey7893 5 ай бұрын
Aseme anyimwe mikopo?😂
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 5 ай бұрын
Mbona chadema wao hawasemi wala kuandamana kuhusu ushoga.
@AwaziRajab
@AwaziRajab 5 ай бұрын
Mbona Kama Uyu Mdada Na Kundi Lake Linausika Kuutangaza Ushoga Wapi Wanapatikana Kwanini Kuanzia Uyu Mdada Na Kundi Lake Wapi Wanapata Pesa Ya Kuwekeza Mpaka Apo Walipo Nao Wachunguzwe Pia Kutangaza Kitu Ni Kukikuza Ukitaka Kumaliza Kitu Maliza Kimia Kimia Hata Kwa Kuwashika Kimia Kimia Na Kuwapim Na Kujua Cha Kuwafanya Walio Ndani Ya Ushoga Je Awa Awausiki Kuwatangaza Anaelia Sana Msibani Ndio Mchawi Uyo
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 4 ай бұрын
Kwa mawazo yako wanyamaze au mbona sikuelewi kwa hiyo mawazo yako pesa zipo kwa mashoga pekee ndio humiliki pesa ? Miaka 60 ya uhulu tumeishi bila ufadhili wa mashoga je tuliishije ?mbona tumekula na kusaza na kujemga majumba kwa kazi halali za mikono yetu ? Leo imekuwaje tuamini hatuwezi ishi ila kwa kuuza utu na kujizalilisha ?
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 5 ай бұрын
Propagandas
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33
This Game Is Wild...
00:19
MrBeast
Рет қаралды 193 МЛН
كم بصير عمركم عام ٢٠٢٥😍 #shorts #hasanandnour
00:27
hasan and nour shorts
Рет қаралды 11 МЛН
MAKONDA ALIVYOCHARUANA na BOSI wa MAJI ARUSHA - WANANCHI WASHUHUDIA.
41:29
Noodles Eating Challenge, So Magical! So Much Fun#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:33