Aksante papa celestin nishapata tena za mupya"takatifu inayo mpendeza mungu"
@celestinyve66834 жыл бұрын
Asante papa Philemon na Mungu ashukuriwe tuendeleshe kupasha injili kupitiya internet
@sindikubwaboalphonse36954 жыл бұрын
Nafurahi kusikia nyimbo kutoka nyakakoma , Mungu awabariki sana
@guershomsivihwa125 Жыл бұрын
Vraiment c'est douloureux d'écouter ça pendant ce temps-là certains sont déjà disparu
@samykarahu45614 жыл бұрын
I can hear a beautiful music from Nyakakoma.Be blessed.we need all your work please.
@samykarahu45614 жыл бұрын
courage vraiment cette Album.NYAKAKOMA SOYEZ BENIT.
@samykarahu45614 жыл бұрын
Tunangoja hii Album yote svp.siyo wimbo moja tu.tunjuwa Nyakakoma nyinyi ni ma shujaa.
@sindikubwaboalphonse36954 жыл бұрын
Niwe sikia shauku sana kusikia nyimbo za hapo Nyakakoma nili ishi hapo zamani mwaka 1984 nikarudi kwa safari ya injili kwa 1992 na ikakuwa mara yangu ya mwisho hapo DRC, basi tuonane tena huko mbinguni tukivikwa taaji za utukufu zilizo andaliwa waliotangaza injili ya kweli.
@wajezimidusson71734 жыл бұрын
Hiyo ni Orion choir nyakakoma kwetu nyumbani ?hapa marekani tunawapata vizuri mubarikiwe sana ndugu zangu