Enyewe celebs wengi behind the camera wanaumia cause lazima waishi life poa
@ignikimani9335 Жыл бұрын
Realest guy .🔥🦾Keep it up
@ShawnLexonke_ Жыл бұрын
Amazing sana 🔥🔥 keep them coming 🔥🔥
@mirewamirewa3920 Жыл бұрын
Hakuna place bike inalipwa 1k hiyo sasa ni kipindi juu hata watu wako na bike ya Loan hawalipangi hivo alafu I can advise huyo driver aendee bike yake na aezi lipa more than 650
@TWDOFFICIALke Жыл бұрын
wivu itakuua bro hata hauskizi
@mirewamirewa3920 Жыл бұрын
@@TWDOFFICIALke hakuna story na wivu juu mie niko kwa hii industry ya bike na najua but ulidanganya live on camera bro
@aaronmwangi8453 Жыл бұрын
@@mirewamirewa3920 amesema 24 hours bro
@Reagan254 Жыл бұрын
Wanafanya wengine wetu tunakaa ni kama tulikuja hii dunia kuota jua
@joelgitui9573 Жыл бұрын
Ndio hivyo pole pole hata me nilianza na bike , mungu akanionekania na Subaru mzee yote tunashukuru.
@Kengele Жыл бұрын
Lets get real like this dudes
@themajellans9330 Жыл бұрын
Truth 👏👏
@quanahmad3393 Жыл бұрын
3:28 3:29 hio part wins Kwa interview mzima,ati "unashindwa kwani umedinywa haga na the wrong person mtu amesota"😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@WILLY_SKY1 Жыл бұрын
Truth watch dog vs tumbili Iko sawa bro
@luchirimusa231 Жыл бұрын
i remember kwa shosh time ya familt re_unions cuzo akikuongeza mboga unaskia ukitendewa wema sema asante wema ni deni na deni hailipwi kwa mateke. #kioko #presenter_ali #truthdog
@kevinkiprop2124 Жыл бұрын
Keep mentoring the youths fam ...
@SirJulio254 Жыл бұрын
Which Mentorship is their
@TWDOFFICIALke Жыл бұрын
@@SirJulio254 huwezi elewa tunawrite history uko busy unawrite comment,
@SirJulio254 Жыл бұрын
@@TWDOFFICIALke 😅 Haitaki hasira mtu wangu
@geoffreyomwanza6013 Жыл бұрын
Ambia truth watch dog ajimarket Kama celeb bodyguard pia Walai
@GeorgeMuigai-l7c3 күн бұрын
Truth tupe ukweli ya pasta show
@kalossissi2692 Жыл бұрын
22 ambia Truth anisakie rider manze,ata kama ni hao wawili wa mchana n wa usiku nitashukuru sana babake
@fun_H Жыл бұрын
Love you 2 boyz
@onlineproknow19399 ай бұрын
When i grow up i want to be truthwatchdog 😢
@SirGambi9 ай бұрын
you won't grow up then
@theeaprill_mx9 ай бұрын
ndo nimetoka kuwatch TWD akianika 2mbili
@lobby001 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂UNAONGEA KUHUSU JUSTINA NA UKONA T-SHIRT YAKE
@lilianW647 Жыл бұрын
Sio huyo
@TWDOFFICIALke Жыл бұрын
jii ni ngombe ya wapi juu unaitwa lobby we ndio unaitwa hivyo pekee ? wacha kurent akili
@Car_enthusiastic2549 ай бұрын
I like how anawamezesha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@justuskoech3249 ай бұрын
Eve wee pia mnatapua😂😂😂, fun wako mbaya
@thukusimon Жыл бұрын
Hii kenya ukaeza jaribu kuambia kijanaa Forex ni scam anakitusi ati hio inafanya waendeshe gari.Hizo za celebs ni scam forex haiezi kununulia kitu ya maana
@thehouseofforex9872 Жыл бұрын
Bro walai we n fala sana 😢😢😅how can you say Forex trading is scam.....bro if you tried and failed wacha kusema n scam .Forex it's real many people do it and are successful 🙂 outside here
@peterleyian2627 Жыл бұрын
@@thehouseofforex9872 forex is a big scam ukikuja apa kuitetea we want screenshot ya deposits na withdrawals
@thukusimon Жыл бұрын
@@peterleyian2627 good one bro,acha aonyeshe io utajiri ametoa kwa forex.yeye ni scammer si unaona hata jina
@thukusimon Жыл бұрын
@@thehouseofforex9872 its alright.we niite fala bt deep down we both know that forex is gambling and its a scam..loses are always more than gains..FOREX HAIEZI KUPEA KITU YA MAANA ITS JUST A GAMBLE. Hata ukiwin ni once tu
@traveldroll9159 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 buda ninini unataka kupingana na msee hafanyi forex ...hata kina kafuri hwafanyi forex ..sa acha kufanya msee a understand
@antonypsytu641 Жыл бұрын
Big up kiongozi
@topigady956 Жыл бұрын
si adi mnipee malikes banaa, 🙂😂
@thehouseofforex9872 Жыл бұрын
Za nin
@pishyp9 ай бұрын
Ukipewa likes unaeza Zi convert into pesa?
@mathiastamara9912 Жыл бұрын
Hehe anapark mabaseni😆ukweli inachoma.😎
@njoromkeys7 ай бұрын
Creation of employment 😂... Congrats TWD
@anonymoustim Жыл бұрын
Thao ni mingi sana, mia tatu ndio ya mdosi kwa nduthi
@joelmwamburi714 Жыл бұрын
Enda usome mambo ya employers liability ndo ujue
@360empirelabel Жыл бұрын
Ati Nani haana place ya kupark hata besheni ya kufua? 🤣🤣🤣
@davidgitau9475 Жыл бұрын
leta nimuonyeshe😅😅
@kougin13aller Жыл бұрын
After God fear women 💯
@victornyagah486 Жыл бұрын
ati kupack mabasini 🤣
@sharktusk4931 Жыл бұрын
#Eti 1k daily for nduthi..hizi ni story za jaba kama wenye uber wengi ndio hukanjwa 1200/= daily sembuse nduthi??😮😮😢😢😢😂😂😂😂
@TWDOFFICIALke Жыл бұрын
uba mtu anamake 4k before morning we endelea kubeba watu wa 50 sawa
@sharktusk4931 Жыл бұрын
@@TWDOFFICIALke ,sifanyi kazi ya uber ila tu nakushow uwache kuona wasee wakiwa maasai wote, hizo story za 1k kwa nduthi ni hekaya za abunwasi nanii kua mtrue kama jina lako ,no need of sugar coating.😏
@collinscotienoh2517 Жыл бұрын
Bro am not a rider but kuna kitu inaitwa USIKU SACCO,nduthi yangu unachukua asbui 5/6 unarudisha jioni..hio jioni rider wa usiku anaichukua anafanya nayo job the whole night
@sharktusk4931 Жыл бұрын
@@collinscotienoh2517 , bei ya msee wa nduthi ata akufanyie both day and night ikienda sana ni 800/=, at most bei ya mwenye nduthi hurange from 300ksh to 400ksh na inalingana na upya ya nduthi yako pia.
@collinscotienoh2517 Жыл бұрын
@@sharktusk4931 let's not forget that Truth told Tumbili in 24 hours/per day hawezi kosa soo nane
@briankipchumba83869 ай бұрын
Lets be real 💪
@NjengaBenn Жыл бұрын
Sasa first viewer to comment nini hutu saidia 😂😂
@stevokaranja7437 Жыл бұрын
Ati thao kila siku na uko na deni ya 25k ,,
@TWDOFFICIALke Жыл бұрын
niko na watoto sita under my care hesabu yako ni sweet dream
@edwinkaris9602 Жыл бұрын
truth watchdog ni hatari anaeza toa hadi evidence ya jina iko kwa birth cerficate yako ,aproof haikuwa hiyo na akuje na evidence
@jogechi2105 Жыл бұрын
Kuna Moja najua mliscript kama ya DJ Cibin
@2mbili1 Жыл бұрын
You are wrong coz Dj Cibin drives the Crown to his gigs & he owns it...