Kamanda achana na bogazi hilo usipojua kusoma hata kwa macho huwezi kuona.
@ceciliamagalabajimmy43917 күн бұрын
Huyo dada ni ccm damudamu. Ubishi wake unajieleza.
@rasnchimbi8 күн бұрын
Chadema andaeni filimbi kila mtu awenayo, wakitokea wavamizi usiku,pulizeni filimbi ya wizi mitaa yote wananchi watawashambulia.
@musa-v3f8 күн бұрын
kazi ya media ni kupewa taarifa halafu wao kuzifanyia uchunguzi sasa mtangazaji anataka apikiwe na kupakuliwa. kwanini Neema haonekani kutaka kuoji haki za watu kuhujumiwa kwa kutaka kujua kutoka kwa waliofoji barua kwa mkurugenzi badala yake anaita taarifa za uzushi bila yeye mwy kufanya uchunguzi wake ili kuthibitisha kuwa ni kweli au si kweli
@MathayoSaid-d4t7 күн бұрын
Huyo mdada arudi darasani na uchawa wake, anafikili wananchi wa miaka hii ni wajinga etieeee.