MHE FREEMAN MBOWE AVAMIWA NYUMBANI KWAKE WANANCHI WATAKA KUMUONA

  Рет қаралды 57,410

Chadema Media TV

Chadema Media TV

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@issackchalahani1235
@issackchalahani1235 2 жыл бұрын
The Man of Inspiration, Honorable. Freeman Aikaeli Mbowe.
@simonnembomadola7512
@simonnembomadola7512 2 жыл бұрын
Kumweka ndani Mbowe kumempa millage sana.
@godblessmbowe1514
@godblessmbowe1514 2 жыл бұрын
Penye wengi kuna mengi na penye mengi kuna Mungu, God bless us
@opynassary2469
@opynassary2469 2 жыл бұрын
Safi sana✌️
@joejosca7594
@joejosca7594 2 жыл бұрын
mpaka rahaaaaaaaaaaa😁💪🏿✌🏾
@salimmohammad3627
@salimmohammad3627 2 жыл бұрын
Kk mbowe wewe unawaza kuwa raisi wa tz ila piko kitu kimoja unafaa ujuwe kuwa mangufuli alikuwa anapendwa sana na raia Sasa ivi wanakosa mtu wakuwa tetea uki taka uwe raisi ongea mangufuli vizuri na ambia raia kama utawafanyia yote kama mangufuli ngizi alikuwa na wapenda na utakuwa raisi ya wanyonge...kk utakuwa raisi wa tz vizuri sana ..God bless you sir
@sesicasi1364
@sesicasi1364 Жыл бұрын
Eti kama magufuli.
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 2 жыл бұрын
CHADEMA inakubalika!! 2025 uchaguzi uwe huru tu masanduku yataongea!!!
@it-vw4zj
@it-vw4zj 2 жыл бұрын
Honorable Mbowe tupo pamoja tunakuombea Dua upate nguvu na afya zaidi mpaka nchi yetu ikomboke kwenye makucha ya CCM
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 2 жыл бұрын
Hili jamaa Kama utani vile litakuja kuwa Moto wa kuotea mbali..... Kama utani vileeee,,,,,
@mosesmacha6007
@mosesmacha6007 2 жыл бұрын
Mungu anamakusudi na mboe mateso aliyo
@danielchibo6233
@danielchibo6233 2 жыл бұрын
Inapendeza Sana
@elizabethcharles6228
@elizabethcharles6228 2 жыл бұрын
Nice baba
@hezronsanga5197
@hezronsanga5197 2 жыл бұрын
Akili kubwa nguvu kidogo Chadema aman ndio nguzo yetu
@johnsonbagambi1908
@johnsonbagambi1908 2 жыл бұрын
Ataliiii
@immanuelinvocavith1498
@immanuelinvocavith1498 Жыл бұрын
Hii ndo MACHAME bw
@happinesssamwely4796
@happinesssamwely4796 2 жыл бұрын
Hai oyee kwasha kaka akika ni upendo mkuu mno
@papaamashana3962
@papaamashana3962 2 жыл бұрын
Hongela mweshimiwa mbowe
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 2 жыл бұрын
Watu awana kazi zakufanya aisee wanapoteza mda wao
@johndaniel617
@johndaniel617 2 жыл бұрын
Wewe fanya kazi
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru 11 ай бұрын
Kila jambo na wakati wake kuna wakati wa kazi kuna wakati wa kukaa pamoja kuna wakati wa kulia kuna wakati wa furaha nk hawa unaowaona hawanaga utani na kazi acha wivu na chuki angefanyiwa unayempenda ungeshangilia
@saebajoma8419
@saebajoma8419 2 жыл бұрын
Yaani lazima nirudi Tanzania kupiga kura tuu naipenda chadema
@kevinmtei1457
@kevinmtei1457 2 жыл бұрын
Upendo ni kila kitu
@abdulhakimhasan7673
@abdulhakimhasan7673 2 жыл бұрын
Inuka Tanzania na nguvu zako kwa pamoja , na sukuma gurudumu la maendeleo bila kuhadaika .
@GhaniaSaid-u5k
@GhaniaSaid-u5k 29 күн бұрын
Kaingia kanisani haramu kwa muislamu ht kasali unaweza
@oyay2821
@oyay2821 2 жыл бұрын
Waliomfunga Mbowe wamempa umaarufu zaidi kupitiliza
@felixkamkala3303
@felixkamkala3303 2 жыл бұрын
Upuudhi mtupu
@kinginno3412
@kinginno3412 2 жыл бұрын
Upuzi upi
@ruciamwashiuya6306
@ruciamwashiuya6306 2 жыл бұрын
Title Sasa mmetisha
@barakambasile2651
@barakambasile2651 2 жыл бұрын
Magufuli mwamba
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 жыл бұрын
Masanduku yawe ya huru na haki 2025 yataongea tu.
@almasjuma6872
@almasjuma6872 2 жыл бұрын
Kiki zakifara
@makongoronyerere1564
@makongoronyerere1564 2 жыл бұрын
Fara ww umekalia 0
@khuiii9032
@khuiii9032 2 жыл бұрын
Ww mtu hatari wataka kutiyaa waslamu kanisani
@papaamashana3962
@papaamashana3962 2 жыл бұрын
Chunga .mudomoeako
@henrytumain1496
@henrytumain1496 2 жыл бұрын
Huna akili
@frankmtei3017
@frankmtei3017 2 жыл бұрын
Waende wakutane na Yesu
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 жыл бұрын
Umeandika nini hapa😄
@chelesielisha5908
@chelesielisha5908 2 жыл бұрын
Mmetisha sana wana hai
KWA MISUMARI HII TULIA AKSON ANAHALI MBAYA SANA MBEYA MJINI
12:47
Chadema Media TV
Рет қаралды 19 М.
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2,2 МЛН
龟兔赛跑:好可爱的小乌龟#short #angel #clown
01:00
Super Beauty team
Рет қаралды 38 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 19 МЛН
MDUDE NYAGALI AFUNGUKA JUU MIHIMILI YA MAHAKAMA
3:33
Chadema Media TV
Рет қаралды 663
Leo Chadema MAFINGA Wametisha | Mapokezi ya Mbowe | Vlog
12:38
Swahili The Traveller 🇹🇿
Рет қаралды 5 М.
Всё пошло не по плану 😮
00:36
Miracle
Рет қаралды 2,2 МЛН