Рет қаралды 9,863
Chama cha Wiper kimejitenga na matamshi ya mbunge wa Dadaab Farah Maalim kuhusu vijana walioandamana ambapo alisem aangewauwa vijana 5000 kila siku kama angekuwa rais. Baraza kuu la chama hicho zimeazimia kumwondoa kama mwakilishi wa chama hicho kwenye jopo la maspika na kamati zote za bunge