Hongera sana Zuhura Yunus Abdallah utuletee mambo mapya na ya kisasa katika Ikulu yetu. Tunakusubiri kwa hamu kubwa. Karibu sana.
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
Hilo ndo ninaloliwaza Kama atasimama vizuri sana kwa Nia njema ya mstakabali wa nchi yetu,Mwenyezi Mungu amuongoze kufanya vizuri katika eneo lake,
@aminamtikaonlinetv73052 жыл бұрын
Kila jambo hupangwa na m/mungu tu na hakuna binadamu wakuweza kulipangua labda watalichelewesha tu lakini siku ikifika huwa imefika. Hongera sana zuhura upo vzr sana ktk kazi zako.
@abdunur3232 жыл бұрын
Hongera dada'etu Zuh'ra Yunus bint Abdallah, hizi ni neema zake Allah,amejua why amekunyanyua, kujua na kutojua Mola wako anazo khabari Zaidi, Chaps kazi,uko Diplomate tangu utamudu Insha Allah.tunakutakia Kila la kheri.
@zuwenaalesrizuwenaalesri74612 жыл бұрын
Mashallah Dada yetu mwenyezi mungu Akupe Afya utuwongozee nchi yetu
@jefwamtumwiru58302 жыл бұрын
Hongera sana Bi Zuhura Yunis.Hii kazi ina kutosha kabisaa hasa kwa uzoefu ulionao kwa sekta hii.Wako watangazaji walio teuliwa kwa nafasi na walifanya vizuri. Kwa mfano hapa Kenya yuko msemaji wa ikulu Bi Kanze Dena pia yeye alikuwa Mtangazaji. Yuko Mtangazaji wa zamani wa BBC Swahili huko DRC bwana Lubunga Biaombe pia yeye alikuwa msemaji wa rais mustaafu Joseph Kabila.Hongera sana Madam
@wowlook73212 жыл бұрын
Hongera sana Dada Zuhura, nakuomba kama unasoma hizi comments, tunaomba sana ujaribu kutazama taswira ya mawasiliano nchini, bado kuna mapungufu mengi sana hasa kwenye contents zinazozungumziwa ambazo hazina tija kwa maendeleo ya nchi yetu na vizazi vijavo. Mfano mdogo tu ni kuona mahojiano mengi yanayofanyikaga huwa yanalenga sana maisha binafsi ya wasanii wetu kila siku. Watoto wetu hawana cha kujifunza zaidi ya kujua jana Diamond alikuwa na Zari leo yuko na Hamisa Mobeto. Hakuna vipindi kwy TV japo vinavozungumzia viongozi mbali mbali wa nchi yetu, Africa na dunia kwa ujumla. Kuwajuza watoto wetu nani anafanya nini kwa ajili ya maendeleo ya Africa. Watoto hujifunza kwa kuona na kusikia kuliko kusoma kwy vitabu au mitandaoni. Kwa hivo mimi nakuomba kama kuna namna yoyote unayoweza kufanya ili kuweza kuvikumbusha vyombo vya habari kuzingatia sana vipindi vyao kwa ajili ya maendeleo ya nchi/bara na kwa ajili ya kuongeza upeo wa elimu kwa watoto wetu naomba ufanye hivo. Nna imani kwa experience yako, elimu yako na kwa utendaji kazi wako basi hili na mengine mazuri yanawezekana. Nakuombea Mmungu akupe ujasiri na akuongoze katika kuifanya kazi hii kwa nia safi kabisa. Asante
@MathiasKishiga Жыл бұрын
Hogera sana zuhura kazi yako nzuri
@ndingimwananzeki57762 жыл бұрын
Hongera tunakupenda sana sauti nzuli , Tumebaki na salim kikeke
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
Tizama na hii 👇.... kzbin.info/www/bejne/d6imnaSuadeohZY
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana BI ZUHURA
@ombenishirima64442 жыл бұрын
Hongera sana ,Mama Samia amefikiria sana ,,wewe ni mtu sahihi kabisa
@gracegrace62002 жыл бұрын
Sahihi lakini siyo raia
@ezekielmabwai4822 жыл бұрын
Huyu mdada kwanza ni MUREEEEEEMBO. Sauti ya KINUBI. Hongera, karibu. TZ.
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
Tizama na hii 👇...... kzbin.info/www/bejne/d6imnaSuadeohZY
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Ni mrembo kweli... Pia ana angelic voice... Amebarikiwa! 🤗🤗
@mkude2 жыл бұрын
Hongera zuhura njoo umsaidie mama wa taifa vizuri.
@joasitz95592 жыл бұрын
Superb, upo vizuri madam Zuhura
@ayubumbembati86582 жыл бұрын
Hongera zako Zubura Yunus, always napenda sana vile ulivyo na hakika una- deserve kwa hiyo position! Mungu akutangulie ktk hiyo nafasi mpya! All the best!!
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
Tizama na hii 👇.... kzbin.info/www/bejne/d6imnaSuadeohZY
@davidernest14982 жыл бұрын
9j
@drp52252 жыл бұрын
Hongera saana Dada Mungu azidi kukubariki
@isidorimayagilo38062 жыл бұрын
Juma moja limepita nilikuwa nafuatilia mazungumzo yako na Salama, nilikomenti kuwa unafaa kuwa Waziri, naona Mungu kakupendelea. Kafanye kazi dadangu,
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
Tizama na hii 👇.... kzbin.info/www/bejne/d6imnaSuadeohZY
@felixshafes87062 жыл бұрын
Zuhura Yunusi kupokea kazi aliyopewa na ikulu ni wajibu wake na haki yake kama mzaliwa wa Tanzania . Hii inatokana na Rais mwenyewe kuona Nani atamsaidia katika kipengele anachokiona apate msaada wa usaidizi. Habari kuwa Ana toka wapi haul eti picha nzuri Kwa watanzania wenye kujenga moja Bali matendo ya mchagyliwa kuja i ndiyo tutapima. Hata hivyo inaniumiza sana kusikia Zuhura na washika wake walijua ila sana lumpia vita jpm. Watanzania ni kipenzi cha Magufuli hata uko jaribu kufuata vipi umaarufu na uzalendo wake. Na Helena kusema kama Zuhura alishiriki kumchafua Magufuli Kwa kutokujua au Kwa shinikizo la mabepari basi sasa ni mtihani kwake .long the wisdom of magu
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
@@felixshafes8706, Siwajibu wake na si haki yake mana wengi tu wanauraia wa nje na wamezaliwa Znz na hawawataki wanasema wameukataa uraia wao. Uwe na nyumba ile wakijua unailipia kodi. Sasa yy ni nani hata awe nahaki na wajibu???
@johnngowi29922 жыл бұрын
Unaweza. Hongeraa
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Zuhra, tunakupenda 🌹 Ila hapo hujazungumza ukweli!😇 Huwezi kutuambia ilikuwa surprise kwako !🤦♂️ Mimi nadhani Rais amekuomba (to beg) "Mwanangu, njoo kanisaidie, nakuhitaji sana sana sana Ikulu"!!! 🙆♀️Na ww ukaangua kilio kwanza (you wept with fear and sorrow) 😢😥 maana haukutarajia hili, ilikuwa ngumu kuacha maisha uliyojitengenezea huko London and go back Tanzania! Mwisho wa siku ukamhurumia Mama, basi ukakubali! (for love and patriotism)😘 Karibu Tanzania! 🇹🇿 We 💕U! Na tuna imani na ww! Hakika Ikulu inakwenda kunyanyuka! 🔥👌 Na Mama yetu atapata raha, InshaAllah !🤗🤗
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Don't hesitate to review the decoration of Ikulu! Remove all that weird old stuff! 🤣🤣Give a new look à la Présidence !🏡Take care of Mom's look too!🥀 But the most important, you're used to the media, make Mom known on the international scene... She 's a great Woman and Leader, the World must know it! Bonne chance! 🙋♂️🦜🦜🦜🦜
@dareva19732 жыл бұрын
Hongera sana dada yetu tunakutakia mafanikio
@MaryamSimai-b9fАй бұрын
Hongera
@salimally84962 жыл бұрын
Maasha Allah hongera sana Mungu akusimamie
@bibianajangandu17272 жыл бұрын
Hongera Zuhura karibu Nyumbani
@aminakupila30792 жыл бұрын
Hongera Zuhura Yunusi MUNGU akuzidishie🥰🥰🥰🥂🙏
@omanomqn43452 жыл бұрын
Mie namuunga mkono mama Samia kumteua zuhra yunus, kwasababu zuhra ni mwanamke mwenye nidhamu ya Hali ya juu na ni mtu mwenye ulewa ktk mambo ya Habari,, Sasa hii nafasi ataendana nayo,, na tunamuomba kwa Allah amfanyie wepesi kwa wale maadui na mahasidi wasipate nafasi wakaanza kumuandama,, mungu amlinde akafanye kazi vizuri hadi raisi ampe tunzo
@mohammadalrawahi95732 жыл бұрын
Bi Zuhura Yunus Nakutakia Kheri na Baraka ktk Kazi yako Mpya Matumaini Utamudu kama Ulivyo kua BBC. Amin ya Rabi Al Alamin.
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
Tizama na hii 👇.... kzbin.info/www/bejne/d6imnaSuadeohZY
@mc_mrope2 жыл бұрын
Hongera sana mama Zuhura Yunus
@skjjsj18892 жыл бұрын
Hongera dd zuhura
@abullahkabaka87742 жыл бұрын
Masha allah, alf mabruk zuhura na mungu akuzidishie
@sasha-ri7tf2 жыл бұрын
Hongera sana shangazi Zuhura Yunus kwa kuja nchini kuitumikia nchi yako wanawakeeeeee ndio chachu ya maendeleo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌🤲🤲🤲🤲🤲🤲.
@DonMooSTUDIO_Express2 жыл бұрын
Tizama na hii 👇.... kzbin.info/www/bejne/d6imnaSuadeohZY
@froliandismas21482 жыл бұрын
Kweli shar up
@Jonahchemironmutai2 жыл бұрын
Hongera sana
@historizantv2 жыл бұрын
Hongera Bi Zukhra
@khalidballeth59572 жыл бұрын
Chals Hilary big up🙏 Zuhura Yunus big up🙏 Kazi iENDELEE INSHALLAH 💕
@J4UPro2 жыл бұрын
Hongera sana mama
@mangieddie35482 жыл бұрын
Mambo yakienyeji sana,inakuwaje Rais anamteuwa mtu kwenye wadhifa bila kumjulisha KWANZA YEYE MWENYEWE KABLA HAIJATANGAZWA? inakuwaje muhusika asikie mitaani kwanza? Na kama angeikataa Kazi? Kwanza kabisa Ni Muongo sana! Haiwezekani ni lazima Rais akuambie kwanza
@KesheMedia2 жыл бұрын
yeye hakujua ila lazima alichunguzwa sana
@kharounngavason80122 жыл бұрын
Mashaalaa nilitaman nikuone karib naimekiwa
@Jonasmemruti2 жыл бұрын
Karibu ,nyumbani kumenoga.
@LETSDISCUSSTHIS242 жыл бұрын
Hongera Zuhura
@zefamange72812 жыл бұрын
Umepewa zawad kwa kazi YAKO kwa jpm
@mirajintandu44562 жыл бұрын
Alijua bhana Zuhura Yunus unazuga
@amourmtungo6232 жыл бұрын
Kabili changamoto na matatizo. Kukwepa au kuepuka mizozo sio suluhisho la utandawazi. Uvumilivu na upendo ndio silaha twende kazini
@evancekessy5922 жыл бұрын
tumekua kuskia sauti yake aise😍😍 asiache kutupa ladha ya saut yake tafadhali
@alimakame92152 жыл бұрын
Taaluma yko itapunguwa ya uwandishi kwasababu ukiwa bibafs muandishi wa habar kunamazungmz huyaban lakin ukiwa serekalin lazima utapunguza baadh ya hoja hatakama zakwel.ilahngera kwakuchaguliwa
@MarioMooga2 жыл бұрын
Nakupenda sana ndugu yangu zuhura yunus
@chrisdouglas84622 жыл бұрын
Ndugu yako kivipi🤔
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Ndugu yetu Mtanzania... Watanzania ni ndugu...
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
Hata hivyo, binadamu wote ni ndugu...
@movierecapsswahili10422 жыл бұрын
I love your Swahili accent
@el-gibbortv55642 жыл бұрын
Hatasema chochote kizuri cha TANZANIA. Hiyo atakuwa mamluki wa uingereza.
@kyataonline52622 жыл бұрын
ndio hongera bibie!
@ludobudege16622 жыл бұрын
Muongo tu alikuwa anajua ndio maana akaacha kazi bbc akadanganya amestaafu
@nusralilobwa47522 жыл бұрын
Naungana na nawe katika hili.
@sophiesadick55102 жыл бұрын
Hongera sana Bi Zuhra Yunus.
@emmanuelherman24322 жыл бұрын
Dada Ake na Rihanna uyu , nani anabisha... Ajifanye anajikuna😎☺️
@alonsobrazzel30112 жыл бұрын
👉🇰🇪🇹🇿 - Zuhura Yunus zungumza na Dada yako mwenzako ambaye alichaguliwa na Rais Uhuru Kenyatta kuwa Mkuu wa Mawasiliano IKULU ya "KENYA STATE HOUSE". Anaweza kukuambia Vile anafanya kazi yake ikulu Kenya. Pia yeye alikuwa mwanahabari kabra ya kuchaguliwa na Rais Uhuru Kenyatta. "Wish you ALL the best". GOOD LUCK. 🇨🇦☻🇰🇪
@gracegrace62002 жыл бұрын
The difference is, she is a Kenyan working for a Kenyan president, and she is British working for Tanzanian President against our laws. Tanzania hairuhusu raia wa kigeni kuajiliwa bila kibali. Shida kubwa zaidi ni for security reason, Huyu ni muingereza, hata siku moja haitatokea Mtanzania kuajiliwa ndani ya offisi ya prime minister wa Uingereza. To make it worse Huyu aliishambulia sana Tanzania awamu ya tano lawama bila ushahidi. Samia betrayed Our late President MAGUFULI.
@richarddamas19682 жыл бұрын
Acha kuzuga watu, hizo Habari ulikua unazijua Sana tu. Hakuna uteuzi wa level hizo unafanyika bila consultation na muhusika, kwamba uliacha kazi BBC kwa Bahati mbaya?? Zamu yenu hii
@kenyfrancis29462 жыл бұрын
Kweli..huo ndo ukweli haiwezi kuwa bahati mbaya,alikuwa na dodoso lazima.
@selemankishema57802 жыл бұрын
Acha chuki Richard ndio kina mama wakati wao
@mkude2 жыл бұрын
Ilipokuwa zamu yenu mbona watz wote walikaa kimya,vumilia tu kaka
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
@@selemankishema5780 Halafu mbona wengi waliopita wamewahi kusema wameshutushwa tu na ngugu na rafiki,mfano joketi na wengineo wengi kwa Nini kwa Sasa inakuwa tatizo?
@abuusufian65062 жыл бұрын
Kaka umeongea point iliyoniingia aisee ni kweli kabisa
@edgarnandonde482 жыл бұрын
mwanamke wa kiislam asiyekua na mtoto wala mume safi sana komaa hivyo hivyo kuzaa jau buanaaa🤒🤒🤒🤒
@kamalofanuel81202 жыл бұрын
Kamuulize TIDO MHANDO
@gracegrace62002 жыл бұрын
Umewezaja kuajiliwa kama mtanzania wakati wewe umeisha chukuwa uraia wa Uingereza? Na Kuna Watanzania wengi hawana kazi, Je Rais amekeuka sheria za nchi kuajiri wageni na kuwaacha Watanzania ?
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
nalo neno ata kama sio raia lkn hajakaa Tz miaka na miaka
@aairraahseif56482 жыл бұрын
@@zuleikhakhamis3303 ni kweli,inawapa watu maswali atoke kote huko apewe nafasi kwani hakuna waandishi wenye sifa
@gracegrace62002 жыл бұрын
@@aairraahseif5648 unataka nianike paspoort yake?
@gracegrace62002 жыл бұрын
@@aairraahseif5648 Asante kwa kusema hivyo. Mimi najuwa huyo dada ni British, pengine Rais amukingie kifuwa.
@aairraahseif56482 жыл бұрын
@@gracegrace6200 ahsante pia,ninakuelewa pia unacho kimaanisha!tuko pamoja
@gracegrace62002 жыл бұрын
Wote waliomutukana Hayati Magufuli kwa sasa mmoja mmoja wametunukiwa. Hata raia wa nnje wametunukiwa. Huyu anadanganya, muongo mkubwa anatuzinguwa.
@rastafare8782 жыл бұрын
Bi dada huyu ni mzanzibari hilo ulijue sio mtu wa nje la pili tuoneshe hiyo clip aliomtukana Magufuli , miongoni mwa kazi za uandishi wa habari ni kufichua maovu Na kusema ukweli ,hilo ndilo linalowaudhi , mbona dada wa watu ni mkweli , Na Magufuli ni binaadamu tu kama Mimi Na wewe so ana maovu yake na mema yake
@gracegrace62002 жыл бұрын
@@rastafare878 Najuwa ni muzanzibari, lakini alibadilisha URAIA wake na akachukuwa uraia wa Uingereza. Hiyo sio zambi kujitafutia maisha. Sheria ya Tanzania hairuhusu dual nationality uraia wa nchi mbali. Kuna Watanzania wengi waliochukuwa uraia wa nje, serikali hii hii iliwaambia wazi hawawezi hata kununuwa ardhi Ila wawe wawekezaji kama wageni, Wacha kuajiliwa bila ya kibali (work permit) Je Kuna sheria ya Watanzania wenye uhusiano na Rais na sheria kwa Watanzania ambawo hawana connections Na Ikulu? Nijibu bila ya kigugumizi.
@rastafare8782 жыл бұрын
@@gracegrace6200 Mimi sina kigugumizi , ulisema jambo kuwa Na ushahidi , tuoneshe uthibitisho wa ubadilishaji wake wa uraia , then nilikuambia tuoneshe hiyo clip aliomtukana Magufuli, hata ukiona kachaguliwa ujue ana haki kama ulivyo wewe , kuishi kwake nje au kufanya kazi isiwe ni sababu ya yeye kukosa haki , ana haki kama wewe
@gracegrace62002 жыл бұрын
@@rastafare878 mimi sikuitunga sheria hiyo, ni sheria ya Tanzania kwa Watanzania wote. Kama Kuna Watanzania exceptional sheria hiyo haiwahusu basi waweke wazi. Lakini wasitufanye sisi wajinga. Tanzania ni ya Watanzania wote. Sheria na taratibu ni,kwa Watanzania wote. "
@rastafare8782 жыл бұрын
@@gracegrace6200 mi naona unazunguka tunajua kuna katiba Na Sheria hiyo ni kweli ,Ila Mimi nilitaka kujua uthibitisho wa huyo zuhura yunnus ya kuwa amebadili uraia , kwasababu sisi hatujasikia hilo
@rehemajuma22022 жыл бұрын
Nakushauri simamia haki,wasaidie watu wenye shida ambao shida zao rais ndo suluhisho lkn hawana uwezo wa kumuona ukipata habari zao mwambie kama anajua chochote khs hill jambo kama hajui afuatie au awatume washauri wake runamatatizo uwanja wa ndege musoma baadhi hatujalipwa tusaidie
@andreaotaigo402 жыл бұрын
Bibie hakika wadau wa BBC tutamis sana sauti yako yenye ubashasha wa aina yake
@biubwasalim34602 жыл бұрын
Tutakumiss sanna Kukuona bbc hongera ila pole serikalini kugumu
@pinkertontv57352 жыл бұрын
suala la uraia pacha ulionao ni kigwazo, hatimae mmetuweza na umamuruki wenu.
@nassorabdallah72872 жыл бұрын
Huyo ni mzanzibar siyo kamchuguwa
@osupatkaren2 жыл бұрын
Leo mmekutana mnabonga story wadada
@MarioMooga2 жыл бұрын
Daaaah usiache BBC jamani
@ShomariMoses2 жыл бұрын
KAMA WAPENDA SEASON ZENYE NGUMI ZA KUFA MTU KAANZE NAYO HII NI MOTOOO GUSA HAPA kzbin.info/www/bejne/bpqkd2d-btqpY68
@janiaoma70932 жыл бұрын
MNAMPA HOGERA YANINI ZUHURA NI MWANAMKE WA MASLAHI KWAJILI YA NAFASI ALIYO PEWA NA PESA LAKINI SIMTU WA KUWA NA UPENDO NA NCHIYAKE MESAHAU ALIVYOKUWA BBC ALIKUWA ANAIKASHIFU TANZANIA ALIUGANA NA MABEBE WAKIZUGU LEO ZUHURA MZURI
@aairraahseif56482 жыл бұрын
Alivyo kuwa bbc utadhani hakuwa mtanzania,kweli yupo kimaslahi zaidi
@gracegrace62002 жыл бұрын
Kutunukiwa kwa kumubeza Hayati Maguguli.
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Si yy tu wa maslah, kila unaemuona kimbelembele awe mwandishi wa habari, yule Fatma Karume sijui, awe chadema, Act, Cuf wote wapo kwenye maslahi. Na ndio unaona wanabweka sana nje huku lkn wakirembelewa fupa tu kimnya wanang'ong'ona. Likimaliza wanabweka tena. Kwahio pole yao wale wanaozubaika na kubweka kwao wakafikia mpaka kuuawa au kupigwa siku za kampeni na uchaguzi au wanaohasimiana na ndugu zao, marafiki, majirani nk kwa kuwaendekeza watu km hawa. Ambao hawana wanalolijali zaidi ya matumbo yao.
@dickaugustino22142 жыл бұрын
Ivi Ni lazima uachane na BBC ndo uwe msemaji wa ikulu au hii ikoje?
@farajisureman99252 жыл бұрын
Sina wasiwasi na uwezo wako.Bahati nzuri saaaana na kwa upande ule si mlegevu
@benedictmrisho59472 жыл бұрын
Aiwezekani uteuliwe Bila kuarifiwa. Ikikataa je? Katumike kwa uaminifu Mungu akubariki dada. Usimwangushe. Hayo mengine achana nayo. Kaitumike Tanzania yako.
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
kabisa haingii akili atadanganya watz tuu kwanini kisha aache kazi BBC Kuna benefit kibao kama hakuna malengo upande mwengine
@yascoguidezanzibar2 жыл бұрын
Uyu mdad nampendaga san asee
@gracegrace62002 жыл бұрын
Zuhura Yunus Waambie Watanzania ukweli, wewe ni raia wa wapi. Tunajuwa kweli wewe ni muzaliwa wa Tanzania lakini. Kwa miaka 14 kufanya kazi BBC bila ya kuwa na passport ya Uingereza isingefika hapo ulipo, kazi yako ingekuwa ngumu sana haswa kwa Safari za nje. Je wewe bado Mtanzania ama ni raia wa Uingereza? Na Kama ni raia wa Uingereza je tuko salaama kwa wewe kufanya kazi Ikulu? Je una work permit ama umeteuliwa kijamaa? Watanzania wana haki ya kujuwa. Usifiche ukweli hautakusaidia, tuambie ukweli. Mimi jibu ninalo, hii ni kwa Watanzania wengine wasiojuwa, wangepeknda kujuwa. Wana haki ya kujuwa.
@johnmichaellukindo212 жыл бұрын
Kumbuka alivyomshambulia kabudi bbc kulani democracy ya Tanzania chini ya mama samia kama makamo wa rais
@gracegrace62002 жыл бұрын
Hizo zilikuwa kampeini za pamoja za Uingereza na watu waliokuwa na chuki na Rais Magufuli ya kuitowa Tanzania kwenye umasikini. Anaye kudhulu mala nyingi si mtu wa mbali. Wote waliokuwa wakimutupia mawe Hayati Magufuli kwa sasa wametunukiwa nafasi kubwa,hata na wasiokuwa na elimu hata ujuzi.
@saheedali74672 жыл бұрын
Zuhura mwari mtondoo (mpevu) kwa nini hutaki kuolewa?
@mohdabdallah85692 жыл бұрын
💋💋💋💋💋💋
@mathewungani97242 жыл бұрын
Umeolewa?
@fortunatuskapinga52502 жыл бұрын
🤔????!!!!
@simonmagaigwa54962 жыл бұрын
sema ukweli.
@bjzee19812 жыл бұрын
Zuhura mfano wa Kanze Dena wa Kenya alie kua Citizen tv
@anitasita62992 жыл бұрын
UNAJULIKANA WE DADA UNA UDINI NA UZANZIBAR UNAFIKIRIA WATU HAWAKUJUWI? Usidanganye mtu huwez kuteuliwa bila wewe kujuwa acha uongo
@jumaabdala75302 жыл бұрын
Mashanllah 🤲🤲
@jamesponeca89122 жыл бұрын
M
@kipokendirangu25722 жыл бұрын
Wenye dhambi wana nufaika sasa
@abdilahmohamed1482 жыл бұрын
As
@sickdazanigodfrey72942 жыл бұрын
Mengi tuombeane
@olivambala30862 жыл бұрын
Hatukutaki utatoa siri za nchi kwa wazungu wewe
@JohnDoe19xx2 жыл бұрын
Hizo “Siri za nchi “ zenyewe mnazitunza kwenye savers za wazungu
@mkude2 жыл бұрын
@@JohnDoe19xx hajajajajjhajaja duuh
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
@@JohnDoe19xx 🤣🤣🤣👊🤛👍
@gracegrace62002 жыл бұрын
Rais amecharuka kuajiri ndungu zake, marafiki na jamaa. Huyu mama alimushambulia Hayati Magufuli kwa habari nyingi za uwongo nyuma yake kumbe musaidizi wake alikuwa akumuunga mkono. Binadamu ni wa kuwaangalia kwa macho makavu. Anayekula manofu ni yule munayekula naye pamoja. Dunia ni ya mviringo, tupo tutaona yanayoendelea wacha 9wale bata kwa mafanikio ya Hayati Magufuli mpaka akapoteza maisha yake.
@faizaannassir25682 жыл бұрын
Tulia wewe magu alijaza wasukuma mbona hamkusema
@gracegrace62002 жыл бұрын
@@faizaannassir2568 nani alikuambia wasukuma siyo Watanzania? Wote aliyowaajiri walikuwa wana elimu ya kutosha na wenye integrity na ni Watanzania. Samia anaondowa watu wenye ujuzi na kujaza mazeze, wahuni na wengine wadokozi. Huyu dada alishaukana utanzania akachukuwa passport ya Uingereza, ameajiliwaje wakati kuna Watanzania wasomi kumushinda yeye hawana kazi. Acheni kutuzinguwa na uwongo wenu.
@felixshafes87062 жыл бұрын
@@gracegrace6200 jamani watanzania acheni uninafsi na si vizuri kuhoji Nani amusjiriri mradi kama Ana uwezo kutupeleka mbele na Ana uzalendo wa kweli . Tu us kama alitumika ku pigs vita Magu basi dhambi hiyo itamtafuna polepole na kama kweli alisaidia kumsemea samia basi sasa ndipo itajulikana maana binadamu husema anayeuliza Kwa upangaaa naye asubuhi malipo ya kazi yake. Mimi Naamini alikuwa pengine anafanya kazi ya uchambuzi wa demokrasi ya Tanzania bila kupata hali halisi ya nia njema ya jpm na Hilo akishalijua Naamini litamuumiza bila watu kujua Lakini Kwa sasa tumaini i kuwa kupokea kazi Kwa moyo mmoja na sio kuingamiza nchi ati anatoa siri. Hilo si kweli alitoa ni samia mwenyewe na nchi ukiangalia ni samia ametungamiza na si mwingine wa kulaumu ni ccm. Ndugu zangu watu tunakuwa na uelewa tofauti Lakini ukweli wa mambo ndio utakaotuunganisha. Zuhura hata kama alitumika ku pigs vita jpm sasa ameingia kwenye jibu anajua mbivu na mno chi na hivyo kama mkwe li tutajua tu. Nijuacho yeye ni mtanzania wa kuzaliwa sio kuomba uraia hivyo ni haki yake kupewa nafasi tatizo kama mtoahi America Kwa kisingizio ya ubinafsi basi hatatusaidia ka watanzania .Atatakiwa kulishughulikia matarajio ya Rais aliyemuajili. Jambo la Pili Zuhura lazima ajifunze na ajue kuwa Magufuli alikuwa kipindi cha watu na asijeakajikuta anatumia kujenga chuki na wanainchi. Magufuli ni kipenzi cha watanzania kweli kweli na asidanganywe na wanasiasa akili ya za kuleta ataona kazi mbaya sana. Mwisho msimamizi wa Magufuli ulikuwa na wakizalendo sana hata samia hafikii hata nusu yake na pia Magufuli nilikuwa mjuaji wa mbinu za wakubwa ndio maana a kawa Ana sham ukiwa BBC ilitumika sana kumdhalilisha Magu ndio maana Hivi sasa . HadiWHO wataalamu wametoa ja BBC kumuomba radhi Magufuli kuhusu Korona . Hii ni Kwa kujihifadhi kuwa hatua alizochukua Magufuli zilikuwa sahihi na zimeokoa maisha ya wengi . Njaa kila kona Lakini Susie tupo vizuri na tuna kisha nchi jirani. Hatuna jinsi Bali kumshukuru magu.
@gracegrace62002 жыл бұрын
@@felixshafes8706 Asante sana kwa maelezo yako. Nina elewa unayosema, but I am too emotional for Magufuli. Kitu kinachonishangaza na kuwapa Watanzania uchungu ni kuona watu wakimubeza Hayati Magufuli kwa kazi kubwa alizozifanya, mpaka kupoteza maisha yake. Hayati Magufuli aliipokea Tanzania iliyokuwa imetafunwa na kuwachwa mifupa mitupu. Tanzania iliyokuwa haina nidhamu. Tanzania iliyokuwa na dhuluma kubwa kwa wananchi walio wengi. Kupigana na mafisadi ni kazi kubwa sana, na ya hatari. Magufuli alijitolea maisha yake na kujenga misingi mikubwa na bora ya uongozi, huku akishambuliwa pande zote mbili na wezi waliojificha kwenye chama chake na nje ya chama chake. Leo mama anaongoza kwa ulahisi kazi kubwa alifanya Hayati Magufuli. Badala ya kulekebisha machache anayoyaona sio sawa, alianza kuibomowa na kuyaponda yote aliyoyafanya Hayati Magufuli. Mama kaingia kwa Kasi, na kuanza kubomowa yote Hayati Magufuli aliyojenga. Ni mudi tu ya Watanzania ilimufanya ajifikilie. Kauli zake zimewaumiza Watanzania wengi wapenda haki kwa wote.. kawaondowa wote waliokuwa wakimusaidia Hayati Magufuli kwa kuwapaka matope lawama za uwongo mpaka sasa hawajashitakiwa. Watu wote waliokuwa wakimutupia mawe Hayati Magufuli amewatunukia vyeo, watu wasiokuwa na sifa za uongozi zaidi ya ufisadi. Wengine hawana hata elimu wala ujuzi. Ni wale wale wanarudi. Majina yale yale toka vizazi kama hakuna Watanzania wengine wanaostahili kulitumikia taifa lawo . . Hayati Magufuli alipigwa vita ndani na nje ya chama chake. Tugombane, tusikubaliane jamani ikifika kwenye uchumi wetu kwa nini hawakumuunga mkono? Hayati Magufuli alitukanwa kila kona kila mtu kimya. Rais aliyekuwa akitetea mali zetu. Vita iliyopigwa kwa Hayati Magufuli angekuwa dhahifu, asingeweza hata kupigania madini yetu. Leo yeye hatunaye tena, wanao tumia na sifa kumwagiwa hawakufanya chochote, zaidi ya kuwabebesha Watanzania madeni na kuwarudishia mafisadi fedha walizowaibia Watanzania. Leo Mama kutaka kumuondowa Lukuvi Na Kaparamagamba, na kuwateuwa Makamba, Nape na Kikwete na sasa Zuhura Yunusi wa BBC! Watu waliomushambulia Hayati Magufuli tuhuma za uwongo kweli hawa watu Mungu atawahukumu. Mama kawaumiza sana Watanzania walio wengi na kuwafurahisha matajiri na wawekezaji. Hayati MAGUFULI alifanya hata majirani zetu watuheshimu ambawo walikuwa wakituona wajinga. Kwa sasa tumerudi kuwa Kama kondoo walio nyeshewa mauwa. Kuvumilia inakuwa mateso makubwa. Ukimya wetu ndiyo umetufikisha hapa tulipo. Zuhura ni Mtanzania, lakini kwa sasa ni raia wa Uingereza. Je Watanzania waliochukuwa uraia wa nchi nyingine wanaweza kuajiliwa bila kibali? Kwa nini Huyu amepewa special treatment? Na Kuna Watanzania wengi wenye uwezo wa kazi hiyo, kwa nini kuajiri muingereza aliyekuwa na kazi na kuwaacha Watanzania wasiokuwa na kazi. Huu mutindo wa KUKAA KIMYA UMETUFIKISHA PABAYA.
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
@@felixshafes8706, Hakuna mwenye ubinafs lkn ukweli usemwe. Km hatujasema hapa unadhani tukasemee wapi vyooni na mende???
@francismigongwa41462 жыл бұрын
Muuuu
@mbaruokhamza43862 жыл бұрын
Mitoto yanini, raha unachopata kiwe chako, chako peke yako.
@alhamdulillah57962 жыл бұрын
Ukifikia umr wa kutokuueza mkojo wako unavaa pamper ndio hapo utakapojua thamani ya wtto au mtto. Mana kubadilishwa na watu usiowajua au wambali utajisikia aibu.
@shifaaal-baity45032 жыл бұрын
Inasikitisha zuhura yunis hakuolewa n hana wtt namuombea kheri asiwe mpwke😞
@mkenyamzalendo41302 жыл бұрын
Oh kwani hajaolewa ?
@j.c.maxima8162 жыл бұрын
@@mkenyamzalendo4130 west culture!
@mkenyamzalendo41302 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 nothing like west culture, one marries her type, educated women don’t want to be mistreated just because of religion.
@younginspired38992 жыл бұрын
Not hate lkn you would've just say you knew it, na ndio maana ukaacha kazi BBC, kama ungekua kazin bado ndo ningeamini kwamba hukua unajua.. Congratulations anyway
@wilfredndalahwa15392 жыл бұрын
Huna mpango wewe,ulikuwa unatumika kumponda sana Rais wetu mpendwa hayati magufuri tunazikumbuka sana makala zako.
@faizaannassir25682 жыл бұрын
Tulia wewe
@drp52252 жыл бұрын
Hongera saana Dada Mungu azidi kukubariki
@ommy_sborn2 жыл бұрын
Hongera sana
@ShomariMoses2 жыл бұрын
KAMA WAPENDA SEASON ZENYE NGUMI ZA KUFA MTU KAANZE NAYO HII NI MOTOOO GUSA HAPA kzbin.info/www/bejne/bpqkd2d-btqpY68