Hiyo ya kumpa mtu tumaini inatosha sana kusema basi, kwa imani yetu tunatumia neno, insha Allah, basi mtu akiona hivo inageuka deni kwako hadi umtimizie anachohitaji,barikiwe sana
@joelnanaukaАй бұрын
Amen Asia
@YAMUNGUDANIELАй бұрын
Thanks God bless you.
@MrJuma-in5ioАй бұрын
Kazi nzuri Bro.
@philipomasanja2765Ай бұрын
Ahsant sana kaka joel kwa kutupatia haya materials kila mara nakufuatilia na umebadilisha sana maisha yangu laiti ningekufahamu miaka 6 iliyopita ningekuwa mbali sana kwa sasa lakn hata sasa nadhani cjachelewa nimepiga hatua kubwa kwa mwaka huu mmoja ambao nimekuwa nikikufuatilia
@magrethelias8734Ай бұрын
Ni kweli Bro
@wilbertmlyuka5723Ай бұрын
Hongera sana kwa kupata PhD
@shukranjulius9526Ай бұрын
Kila siku najifunza vitu kaka,Mungu akubariki sana,hii elimu muhimu sana
@ThomasMmary-r7wАй бұрын
Hongeraaa broh 🤝
@joelnanaukaАй бұрын
Shukrani sana
@AugustinoSemundi-u8iАй бұрын
❤
@jameshirimaАй бұрын
SHUKRANI SANA DR.JO
@joelnanaukaАй бұрын
Ahsante sana
@FarajaMkumbo-pc3ftАй бұрын
It's true ❤❤
@farajmanuar3589Ай бұрын
Mungu akuinue zaidi ndugu..
@joelnanaukaАй бұрын
Ameen
@alexlucas1571Ай бұрын
Hii Hali inanitesa sana Kaka JOEL NANAUKA
@joelnanaukaАй бұрын
Fanyia kazi
@bushimani1544Ай бұрын
Br unaakiri Sana
@LilianShenyagwaАй бұрын
Asante kwa somo zuriii Dr❤
@joelnanaukaАй бұрын
Shukrani sanaaa
@Madmomy6266Ай бұрын
Asante saaan
@herimailo8183Ай бұрын
Mungu akulinde doctor wetu.see you.
@joelnanaukaАй бұрын
Ameen Ahsante sanaa
@joelnanaukaАй бұрын
Ameen Ameen
@Aviero_07Ай бұрын
6:18 📌
@julianalaly2095Ай бұрын
Sawa sawa
@ShamimShamyАй бұрын
Asant Joel ❤❤❤
@joelnanaukaАй бұрын
Karibu sana
@AnnaMgala-n6gАй бұрын
👏👏🙏🙏
@JoynessRwelaАй бұрын
👏
@GraceSteven-qq5hnАй бұрын
Asant Kwa somo hili
@joelnanaukaАй бұрын
Karibu tuendelee kujifunza
@GraceSteven-qq5hnАй бұрын
@@joelnanauka sawa
@stevensamwel4854Ай бұрын
Panaitaji roho ngumu kuamua na elimu ya kutosha, Mimi hapa ninalo tatizo ilo, ila tusiwakopee watu pesa, ukiona maandiko yanasema usimdhamini mtu, jua Kuna b yake.