Nashukuru mungu sasahv nimekuwa mtaalamu wakupik chapati
@zengeummu9575 Жыл бұрын
Maaaashaallah huwa nakufatilia sana my dear na huwa najifunza mengii
@malkiafoods Жыл бұрын
Barikiwa sana love
@MissRahma-z2h5 ай бұрын
Jamani dada sorry naomba unitajie hz ingredients bulizzoweka chumb sukar na nn
@abdullahalmahrooqi830611 ай бұрын
Assalam Aleikum mambo yamekwenda vizuri kilicho haribu mambo yote ni hizo kucha ndani umejaa uchafu wa kila aina hata ukinawa kwa sabuni hujawa msafi dawa yake uzikate kama za kubandika ndio balaa zaidi uamuzi uko kwako lakini ujue unalisha watu uchafuuuuu!!!!!
@magrethmlewa34228 ай бұрын
Ila watu mmezidi ujuaji kwenye maisha ya watu unakula wewe kwan ebu acheni watu waishi maisha yao uyo ni mtu mzima anajua anachokifanya
@abdullahalmahrooqi83068 ай бұрын
@@magrethmlewa3422 huu ndio ujinga wacha watu wafanye mambo yao kama haya ya mtoto kaingiliwa na baba yake kaka kamuowa dada yake tena anatolewa kwenye mitandao anahojiwa halafu anajibu mtoto mzuri kama huyu nimeona hasara aolewe na mtu baki Subhana Llah nyie wapigieni debe mtayakuta na mtaulizwa hata ikiwa kafiri Mungu ni yuleyule mmoja.
@abdullahalmahrooqi83068 ай бұрын
@@magrethmlewa3422 huyu ni mwanamke ndio ukaingia kati kujibu angelikuwa mwanamme ungetia lako au unataka akupende kwa kumtetea? Wewe hujui kama kuna watu wakienda haja wanapangusia karatasi au jiwe sasa huyo akusukumie chapati itakuwaje utasema unahisi harufu ya hiliki au karafuu?
@ElizaJovita5 ай бұрын
Kwan ww xi upokee elimu unayopewa kucha zinakuhusu nini umbea tu afu ww mwanaume acha hizo
@cookingwithmimmo Жыл бұрын
Asante kwa mapishi yako, nimeipenda sana
@mercymuhunyo8434 Жыл бұрын
From Tiktok am here❤
@patriciandinda85827 ай бұрын
Wow the chapati ever🙏🙏
@esterdanford556311 ай бұрын
Wakati wa kukandia unaeka vegetable fat oil kama kimbo au prestige?
@SaudaMuhammedyussuf Жыл бұрын
Mimi nataka kuku😊😊😊😊
@ElicahMugitya-ql7mo Жыл бұрын
Nimependa huwa nakufatilia na kujifunza kama maandazi n.k 😘
@AshuraJuma-r5d Жыл бұрын
Nataka kujiunga na darsa lako naomba muongoz
@sarahbuberwa721928 күн бұрын
jamani nafanya njia zote hizo lkn azipati leazi nakosea wapi?
@NackNzily6 ай бұрын
Jamn napenda niifnye biashar mtaj kam shingp
@delightnkya6086 Жыл бұрын
Nimeweza aisee Kila siku natamani kupika chapati
@nattymnaro541 Жыл бұрын
Samli ipi unatumia Malkia?
@abdullahalmahrooqi8306 Жыл бұрын
Salam tuandikie vipimo unga wa maziwa vijiko vingapi? sukari chumvi? Maji glass ngapi? Mafuta? Na huyo jogoo hana heshima anapiga kelele au anataka chapati mpe mimi nitalipa.
@malkiafoods Жыл бұрын
Angalia kwenye description box dear
@roseberryhamoud6542 Жыл бұрын
Kucha zikiwa ndefu kwenye upishi ni mtihani.
@zengeummu9575 Жыл бұрын
Nataka kujiunga na madarasa yako, Naomba muongozo
@JobNdeke Жыл бұрын
🎉🎉
@TeclaMtweve Жыл бұрын
Dada malkia mejaribu kupika mara ya pili mefata process zile ila zimekuwa ngumu nimefeli wapi sijui
@makynicky29704 ай бұрын
Inaweza kuwa moto wakupikia. Umeweka mdogo ndio zinafanya ziwe ngumu ,,,moto unatakiwa uwe wa saizi ya kati
@TimaFood-r2p Жыл бұрын
Wanawekaga hamira hawasemi
@sary-s6i Жыл бұрын
Alf kweli nimegundua
@happylema6763 Жыл бұрын
Hakuna hamira inayowekwa bwana jaribu kila mara utapata matokeo mazuri zinavimba vizuri tuu
@lilianjulius9500 Жыл бұрын
Mbona zangu hazichambuki hivo,nakosea wapiii😢
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Pol sn my 😂😂😂😂 jaribu tena uone😅😅😅😅
@Awatee Жыл бұрын
@@AAA-zu1vy😂😂😂
@zainablema17 Жыл бұрын
❤
@maryjoseph926 Жыл бұрын
Sijawahi jaribu haki jumapili ntajaribu
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Ndio kila mkunjo unamatokeo yake
@HappynesMedard Жыл бұрын
Nielekeze vitu ulivyochanganya
@kakozietho2303 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@neemakusenha2540 Жыл бұрын
Dada unga ni ppf??
@malkiafoods Жыл бұрын
Ndio dear
@esthermollel1461 Жыл бұрын
Kama hupendelei sukari unaweza usiweke.
@malkiafoods Жыл бұрын
Ndio, usiweke dear
@fooddiarytz Жыл бұрын
Chapatii ❤
@ElicahMugitya-ql7mo Жыл бұрын
Hello
@stellashayo1242 Жыл бұрын
Mafuta gani umechomea chapati zako? @malkia?
@malkiafoods Жыл бұрын
Samli
@faridarashid11987 ай бұрын
kwanza sili chakula cha mtu mwenye kucha ndefu wrong personal hygiene