You deserve s better man ,,huyu sio man to date,,,tuambiane tu ukweli 2025 is in less than 40hrs😢
@Suzzyne7 сағат бұрын
Ladies learn to read red flags, Arianna you are still young to date that old guy ,,sio lazima relationship contents ndio youtube igrow
@wangechi593810 күн бұрын
Aaai muachane na Ariane body count inakujia wapi apa it is just because ako kwa social media ata nyinyi hatujui mmepitia wangapi... Gal keep dont give up on love ata iyo ikikataa tafuta mwingine wataongea na hakuna mahali watakupeleka wishing you all the best my gal❤
@risperkanana705910 күн бұрын
Sa mtu akae single ju ya bodycount??????
@ruthngendo64149 күн бұрын
Buh huyu Chali alikuwa na Dem aaaaaai Arian amekuwa too much
@Wambohruth9 күн бұрын
Goodgirl
@sharonmwamba68407 күн бұрын
Hii ndio nilikuwa natafuta tell them
@Zingua-comedy4 күн бұрын
@@Wambohruthkindly npitie pia
@Simplymukami00146 күн бұрын
Ariane tafadhali date mtu mwingine this time mtu hayuko ata social media...hawa wa online zii
@NISHYTRIZZY2544 күн бұрын
Nipitiee 🙏
@VivianmogitiOgeto4 күн бұрын
Hadi nashangaa anadate huyu chali, 😊
@DianaMwangi-w6n8 күн бұрын
Hii nayo ungeieka tu private relationship juu aaai ata si type yako😢😅unapenda kumake poor decisions 😂
@RozzeyNjeru7 күн бұрын
😂😂😂
@officialseline96516 сағат бұрын
😂😂😂
@MaryNdungu-w2r9 күн бұрын
Team napitia kila mtu mwenye atani pitia ☑️ let's go 🎉🎉
@evamugus91856 күн бұрын
Sasa ii n relationship gani huyu boy n mkora😂😂yani arian 2024 umedate 5mrn nauko 21 yrs
@eznermomanyi8146 күн бұрын
Chorea 😂😂😂😂😂😂
@Zingua-comedy4 күн бұрын
Kindly npitie pia
@Leonanda3187 күн бұрын
Brukenge even after kuambiwa ni prank aelewi😂😂😂😂😂😂😂😂kujeni mnichape
@theharveyslifestyle2117Күн бұрын
Ebu muachane na Ariane😂
@dejaydannyboyofficial25410 күн бұрын
Wa kwanza Leo nipitie nkupitie pia let's grow guys
@Wambuilifestyle-ft4sm10 күн бұрын
Nipitie pia
@dejaydannyboyofficial2549 күн бұрын
@Wambuilifestyle-ft4sm done kitambo
@MuringiNduta-f4p9 күн бұрын
Nipitie please
@dantemmojaTv99049 күн бұрын
Nipitie nkupitie
@dejaydannyboyofficial2549 күн бұрын
@@MuringiNduta-f4p done nipitie pia
@CuteCindy-y9z6 күн бұрын
😢😂😂😂 weh sasa huyo jamaa ama anampenda juu ya haka kamwili kake kadogo 😢😂heh apana hii relationship nowhere
@vailetjunior27085 күн бұрын
😂😂😂😂umesema n relationship empty
@PhoinaWambui-fw4re6 күн бұрын
Hii nayo ni nini 😢so bado arianne huoni red flags ama it's your favourite colour
@NISHYTRIZZY2544 күн бұрын
Tafadhaliii nisubscribieee
@sheiiknaum29519 күн бұрын
Shem kama shem je online whoever 😅 mnamkubali kweli ? Bora ako happy 😄😁❤
@cory_mwanza10 күн бұрын
please look for a relationship mentor you're a nice smart girl but there on love😢maahn tufungue macho❤️i love you Arian
@MuringiNduta-f4p9 күн бұрын
Nipitie please ❤❤❤
@peaceTinah-e7d9 күн бұрын
Exactly 😢ama what this
@Joyblessine7 күн бұрын
Aki she needs prayer 😢 Walai angekuwa my SIz huyu ningempiga ngumi ya mhongo arudi normal anadate jangili wuee heeee atakama sina taste ya wanaume this guy is a no vane poooh and the way arien is too beauty 🥰 aki hiii ziii sijui aliokota wapi waaah💔🤣🤣🤣
@adamjaama97467 күн бұрын
Hana beauty hapo ni makeup tu @@Joyblessine
@eliudwanjiru16639 күн бұрын
Prank went left 😂
@khayalalzaabi98Күн бұрын
Bby girl uko beautiful tafuta class yako achana na boys
@queenkavula90738 күн бұрын
Uzuri mapenzi ilinishinda😂😂😂nimenyamaza 😂😂😂😂
@fredkitheka87376 күн бұрын
Huyu jamaa iz no go zone😂😂😂
@euniceMutete-z3o4 күн бұрын
Weeeuuh kama ii ndio relationship acha nkae single for the remaining years
@EvalinDama3 сағат бұрын
Eeee Ariane kwani uliruka mkojo ukakanyaga mavi 😭😭
@RuthshauriСағат бұрын
😂😂😂😂
@agatanjoki19038 күн бұрын
But aki akuna love hapa. Waah akuna kubembelezwa😂
@Roxana-q5j8 күн бұрын
Huyu na hanna benta ni group moja my man my man hawawezikaa hivo
@graceabisaki41568 күн бұрын
😂😂😂upusi
@RuthshauriСағат бұрын
Ariane kuna boyfriend mwengine ama ni uyu 😂😂
@bethmwangi24269 күн бұрын
Wueh..wakikuyu lets gather here for the song of samidoh**toxic love*
@risperkanana705910 күн бұрын
Sa kudate watu watatu mshaanza kusena body count na nyi mnakuliwa kila siku na different people stop judging
@HappyLollipop-fi4qw7 күн бұрын
ata heri huyu tunajuwa waru huku nje body count ni 10 na wako apa ku judge Arian 😊
@pamelamueni181Күн бұрын
Mafala wawili😅😅
@karimikarimi50599 күн бұрын
Ata after kujua ni prank kondooo aielewi😮hapo kwa boyfriend nayo hapana huyu ni kisirani...
@IrineKathue10 күн бұрын
Huyu shemeji hatutaki😂😂😂
@AdrianHazel-cp5cn9 күн бұрын
😂😂😂shemeji amefanya nn😂anyone awake kuka mugukamukuga😂😂
@Joyblessine7 күн бұрын
We rebuke him by the blood of Jesus 💔🤣🤣🤣
@Zingua-comedy4 күн бұрын
kindly npitie pia
@AnnwambuiMaina25410 күн бұрын
Huyu apanaa😢😢😢😂😂😂😂😂
@lizzycreatives50469 күн бұрын
weeh kumbe huku nje ampewi ata pesa ya snacks na watu wenyu😂😂
@Zingua-comedy4 күн бұрын
Kindly npitie pia
@Tinnie-shii9 күн бұрын
Kumbe uliamua kudate na defire 😂😂😂😂😂
@ck-in1fn9 күн бұрын
😅😅😅😅ghaaii kwani uyu ndo boy wako,,huku akuna relationship 😅😅
@SherynKhalai-tb4th6 күн бұрын
😂😂😂😂 kwani wanadate serious eeei
@MillyBliss-pu4ds6 күн бұрын
Enyewe Arianne apa ulitupa mbao😂😂
@traceeytracie68119 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Arianna ni mpenzi mtazamaji🤣🤣🤣🤣🤣🤣girl it will end tears sasa anaongea aje
@@Roxana-q5jwalai ata heri simple boy Ako cute undani na Ako na akili sa huyu mwenye amechangua woishe am so disappointed as an online Aunt 💔
@Zingua-comedy4 күн бұрын
@@Joyblessinekindly npitie pia
@josykitua5054 күн бұрын
😂😂😂😂 sasa venye tumegonja hivi dio huyu heri stivo umeni😂😂
@Zingua-comedy4 күн бұрын
@@josykitua505 😆😆😆
@suekimberly56669 күн бұрын
Huyu sasa 😂😂😂😂
@EmilyKanana-rx7jm10 күн бұрын
Waah 😂 kama hii ndio mapenzi sitaki😢
@kakisap10 күн бұрын
Kwani huyu jamaa hambuyii nguo 😢😢,,,he has to get his gal what she needs 😮,,,wah😢,,cna conclusion
@ruthngendo64149 күн бұрын
@@kakisapAlf huyu Dfire alikuwa na Dem yake
@Zingua-comedy4 күн бұрын
@@kakisapkindly npitie pia
@Zingua-comedy4 күн бұрын
@@ruthngendo6414kindly npitie pia
@salomewamuhu22526 күн бұрын
Ariana hanaga nyota ya mapenzi ati hawezi nunuliwa nguo ya Christmas yeye si mtoto huyu jamaa niwale jamaa visirani anaweza hta mkatakata na amtupe kwa mtoo
@TheMarendisFamily8 күн бұрын
😂😂😂katoto kanataka pesa ya snacks. Ni prank, kama hawangeitana beb prank haiendq vile ilifaa kuwa
@Ronaldo-u9o1g10 күн бұрын
na si nyinyi watu mnajua kujudge haraka. sasa huyu boy amefanya nini jamani...maybe hata mko worse.
@edinahimali9 күн бұрын
😊😊😊
@Wambohruth9 күн бұрын
Muy man apate nikicheat alf u guys mexpect tucheka.... Huyu wa ariane ata ni mzuri kiasi
@LatifaAyub3 күн бұрын
Huyu mkora kabisa utaachwa bila kuambiwa
@mirabelle55049 күн бұрын
Langu jicho 😂😂😂sina la kusema
@MaryNjery-o7f8 күн бұрын
Arian hajui English ata,,,,we ongea kiswahili 2
@CatherineJuma-k9g9 күн бұрын
😂😂😂aki ya mungu haya ni mambo gani
@Joyblessine7 күн бұрын
Kasongo eeeh nabali nangai😂😂😂😂
@winnykerubo2549 күн бұрын
Mkisema pretty girls wana😂😂bado sijapona ya nihan na forexer😂
@ivydan50610 күн бұрын
Surely kumbe unadate demwaki sijui de fire 😢😢
@MuringiNduta-f4p9 күн бұрын
Wadau nipitieni please nifike ata 1k❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@dantemmojaTv99049 күн бұрын
Let's go 😂😂
@Joyblessine7 күн бұрын
Done kwangu pia
@Joyblessine7 күн бұрын
@dantemmojaTv9904 done pitia
@MercyCherotich-s2x3 күн бұрын
I hope hii ni prank pia juu huyo mtu ziii😂😊
@shiroh_genius44259 күн бұрын
Psychopath! Ati we ishia tu😂 huyu ninja zii alafu anauliza hakuna kitu mmepika huku yho! Kwani ni must you guys😂😂
@NancyNyaboke-o7k3 күн бұрын
We listen but we don't judge
@ccna-ciscocertifiednetwork51698 күн бұрын
Uyu atakuwa ex wangapi 😂😂😂😂juu i know by march watawachana
@Zingua-comedy4 күн бұрын
Kindly npitie pia
@AlekhiMaish-u3g9 күн бұрын
😂😂😂😂😂mtu asiguze D-fire
@MwangiVirginia-s1r7 күн бұрын
You deserve better❤
@kawirakirimi328610 күн бұрын
Ati muishi pamoja utakurwa kukurwa huwachweee
@jackieb199910 күн бұрын
Aii Arian hakuna relationship hapa
@anastaciamuema9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@shiroliz86279 күн бұрын
Kumbe umeona anatumiwa tuu😂😂😂😂😂
@Dottina9 күн бұрын
😂😂KZbin yake huwa haiwezi kuendelea vizuri kama hayuko in relationship.
@AlekhiMaish-u3g9 күн бұрын
😂😂😂😂acheni wivu too early to judge
@Dottina9 күн бұрын
@AlekhiMaish-u3g labda wewe ni mageni kwa channel yake
@ngarajosphine83297 күн бұрын
Hii ni nini ariane!!!!!!!!
@GATWIRI25410 күн бұрын
Mungu akusaidie hii ilead spmewhere aki. I wish u the very best
@BettyLizz788 күн бұрын
😂😂😅ati confirm,,alitumia Agnes pesa 😅wololo😂sina boyfriend lakini sina haja
@z4ck_z76 күн бұрын
Weh watu wangu hapa kamama kameuma inje
@Zingua-comedy4 күн бұрын
Kindly npitie pia
@may28489 күн бұрын
Let me take one minute to😂😂😂 don't get pregnant ...hii nayo apana ...red flags ziko mob
@graceabisaki41568 күн бұрын
😂😂😂shida ukipeana advice wanakuona mjinga
@Joyblessine7 күн бұрын
Emewnda sana this guy is a turn off walai SI taste yake na SI wivu walai this gal is too pretty 🥰
@MuringiNduta-f4p9 күн бұрын
Huyu jamaa ni mkali ajab😂😂😂😂😂😂huku ni kunoma😂😂😂😂 nipitieni please
@Wambuilifestyle-ft4sm9 күн бұрын
@@MuringiNduta-f4p nipitie pia
@mercymburu725410 күн бұрын
aaai hii nayo umeuma nje, tafuta mali ingine
@tumaabby21729 күн бұрын
Prank zingine arian zinaumiza don't judge the man,work on
@Zingua-comedy4 күн бұрын
Kindly npitie pia
@Nj_Lee7 күн бұрын
Nyinyi ni Mafala wawili
@judystephen25485 күн бұрын
Am singleee😂😂😂😂😂😂
@sturboncuttey73296 күн бұрын
Ariana achna n uyu fala anakuwestia tu time shenzii
@kawirakirimi328610 күн бұрын
Ariani ariani ariani mumeru mwezangu kimekuramba huyu si mwanaume kimbia mama watakukula wakudump