Chege feat D Voice & Billnass - Sir God (Visualiser)

  Рет қаралды 397,180

Chege Chigunda

Chege Chigunda

Күн бұрын

Пікірлер: 413
@brunnerrhymes3020
@brunnerrhymes3020 2 ай бұрын
Ila chege mbishi San wenzake wote wamepotea kwenye game ila yeye bado yupo tuuu🎉🎉🤝🤝
@mwanahamisisadiki4892
@mwanahamisisadiki4892 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@officialseif6422
@officialseif6422 2 ай бұрын
😅😅😅
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 2 ай бұрын
Sio poa
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 ай бұрын
Noma sana
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 2 ай бұрын
Nimecheka sana😂 chege si Mha ndoo maana maana wanasema kazi ngumu mpe mha.😂😂😂😂
@Felimo-p6d
@Felimo-p6d Ай бұрын
Jamani wcb msiifananishe navitu vya ajabu kama nawe mwanafaili wcb tujuene jameniii
@MichaelMosesmg
@MichaelMosesmg 2 ай бұрын
Kama unaamini mungu anakulinda na unapumua kwasababu yake gonga like hapa
@mbaloplatnumz646
@mbaloplatnumz646 2 ай бұрын
Safiiii mwanangu
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 ай бұрын
Amin
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 2 ай бұрын
Mm zaidi ya kuamini yani am over the liarity that God is for everything to me.
@Princedavidamusic
@Princedavidamusic 14 күн бұрын
Mungu si athumani....
@iddymvukuye2502
@iddymvukuye2502 2 ай бұрын
Tunaoamini hiki nikipaji kutoka kwa mungu na ndio maana hapotei nimwendo wa kutoa vyuma juu vyuma, Mnipe like zangu 🙏🙏🔥🔥
@mwagudutv
@mwagudutv 2 ай бұрын
kama unamkubali d voice gonga like hapa❤️
@TRONIXMAKER
@TRONIXMAKER 2 ай бұрын
respect kwa bro billnass🙌🙌🙌🙌🙌
@AnithaIrankunda
@AnithaIrankunda 2 ай бұрын
Jamani Billnass Wakwanza sana Hip Hap wamuachie ❤❤❤❤Yani anajua kuimba kbx Congrats 👏 for You Baba Naya ❤❤❤
@user-im4ik1zb5y
@user-im4ik1zb5y 2 ай бұрын
Wanaosema D-voice kaua dondosheni like apa
@dullamkumba860
@dullamkumba860 2 ай бұрын
umemsikia nenga umo alivyopita wewe😂
@user-im4ik1zb5y
@user-im4ik1zb5y 2 ай бұрын
@@dullamkumba860 nimemsikia kaka wote wametisha🔥🔥🔥🔥
@user-im4ik1zb5y
@user-im4ik1zb5y 2 ай бұрын
Wamemfunika hadi mwenye nyimbo
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 ай бұрын
Wameuwa sana🔥
@user-im4ik1zb5y
@user-im4ik1zb5y 2 ай бұрын
@@mohammedkidody5618 Nakubali
@SwalehShaibu
@SwalehShaibu 2 ай бұрын
Ngoma Kali sanaaaaaaaaaa kama Kali weka like hapaaaaa 😅😅😅😅❤
@fnzojaguar
@fnzojaguar 2 ай бұрын
Billnas unauwaa kinoma love from bdi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@ninjaisma7983
@ninjaisma7983 2 ай бұрын
Nibonge la kopo la mungu
@AlikoAli-h2m
@AlikoAli-h2m Ай бұрын
Nakubali unyama nimweingi sana from 🇺🇸🇺🇲🇺🇸🇺🇸
@hawahawa8441
@hawahawa8441 2 ай бұрын
D voic❤❤❤🎉🎉🎉 Bilnasi ❤❤❤🎉🎉🎉 mnaweza Chege ❤❤❤
@esthersawike-gj2nv
@esthersawike-gj2nv 2 ай бұрын
Aaaagh nyiee bn mmenikosha🎧🎶🔥🥳
@bigc5729
@bigc5729 2 ай бұрын
Chege 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
@christopherchacha7944
@christopherchacha7944 2 ай бұрын
Usishindane na sir God na kama unateseka we toka hapa
@DekelvaSoujaboy-mb8ps
@DekelvaSoujaboy-mb8ps 2 ай бұрын
Ngoma kali Sana walahi 💥💥💥🌟💥
@LinnetPauline
@LinnetPauline 2 ай бұрын
Sauti ya chege ni amazing 😊😊😊
@luvboynyamz27
@luvboynyamz27 2 ай бұрын
All the way from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.... Hatari 🔥🔥🔥🔥🔥
@LwebúlaMathieu
@LwebúlaMathieu 2 ай бұрын
Wakwanza Hapa toka USA 🇺🇸 kama Una kubali Chege towa Comment Chini Hapo🎉🎉🎉
@Serlerm
@Serlerm 2 ай бұрын
Ni follow
@JOSEPHATLASWAY
@JOSEPHATLASWAY 2 ай бұрын
Upo zako buza apo😅😅
@officialbizou7649
@officialbizou7649 2 ай бұрын
Umepata shi ngapi ulivyo wa kwanza
@Ismaeldaktari254
@Ismaeldaktari254 2 ай бұрын
​@@JOSEPHATLASWAY umempa vidoge vyake,na mwenyewe niko London na sisemagi😂😂
@alfredj7524
@alfredj7524 2 ай бұрын
❤hatari sana chigunda chegena🎉🎉
@YahayaIssah-f4x
@YahayaIssah-f4x Ай бұрын
Kweli sir God azidi kutu bless ila d voice umeua sama❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😢😢😢❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂
@JEANS-TZ
@JEANS-TZ 2 ай бұрын
Jameni nime kua wa 20 naomba like za D voice hapa ❤😢
@bigtv4204
@bigtv4204 2 ай бұрын
Huyu jamaa anastahili award ya kukaza ause sio rahisi hapotei
@masaboissa
@masaboissa 2 ай бұрын
Kama unamukubari billnass ngonga like Apa
@floribertndikumana3088
@floribertndikumana3088 2 ай бұрын
Wapili gutoka 🇧🇮🇧🇮🎉
@eliasmlundwa3880
@eliasmlundwa3880 Ай бұрын
Bigup sana @Chege Chigunda
@VictorRich-v4d
@VictorRich-v4d Ай бұрын
Ni mbaya tuu😮😮😮
@mashabikiwaharmonize
@mashabikiwaharmonize 2 ай бұрын
Na mpitie kurasaa yangu nina jipya pia
@VictorKM2003
@VictorKM2003 2 ай бұрын
Chege 🇨🇩🇨🇩💪
@kennethkimathi9515
@kennethkimathi9515 Ай бұрын
Sauti ya chege pale dar mpaka moro...dah
@RoyAshuma
@RoyAshuma 2 ай бұрын
D voice na Billnass wamechafua🔥🔥
@NoName-pp4lo
@NoName-pp4lo 2 ай бұрын
Yap bro chege ww Achia Tu mawe Sisi kazi yetu nikusapoti mziki mzuri...
@benagajohn
@benagajohn 2 ай бұрын
Kenyaaaaaaa
@MzeewaYanga-hm8jq
@MzeewaYanga-hm8jq 2 ай бұрын
Duh bilnas w moto sana😮
@laxmajor
@laxmajor 2 ай бұрын
Chege 🙌
@lizoname
@lizoname 2 ай бұрын
Ngoma kalai sana mwangu mlaponda beats Kali sana uwezo wako umekua sana mlabeat 🎉🎉
@kamuchidyblez2136
@kamuchidyblez2136 2 ай бұрын
Ngoma kaliii sana tena sana 🔥 ilaa videoo hapana ni mbaya
@lizoname
@lizoname 2 ай бұрын
Ngoma kalai sana mwangu mlaponda beats Kali sana uwezo wako umekua sana mlabeat
@GideonMark-o7c
@GideonMark-o7c 2 ай бұрын
Chege to the world 🇰🇪
@lifewithgod9466
@lifewithgod9466 2 ай бұрын
As a Zambian I declare this a banger 🇿🇲💪🏿
@katsopolechonyiboy4896
@katsopolechonyiboy4896 2 ай бұрын
Billnasss wow🎉🎉🎉💯🙌🙌🙌🙌
@WapoHao
@WapoHao 2 ай бұрын
Oya we mtoto mama side kazi nzuri san
@JansanMokiwa
@JansanMokiwa 2 ай бұрын
Chege anaenda na kila genaration❤❤❤
@BoniphaceMakwale
@BoniphaceMakwale 2 ай бұрын
Upoo sawaaaa xana kwl nakuelewa
@christopherchacha7944
@christopherchacha7944 2 ай бұрын
Sir God wewe ndio komesha ya wenye roho mbaya na wabinafsi,,Bariki baba maana ww uuh msikivu na ukipanga umepanga
@TitusKipkogei-w1t
@TitusKipkogei-w1t 2 ай бұрын
Chege is the most hit makers legend lol this is a none de badest best hits in Tanzania and kwa the look of things D voice is coming to be the Gen z best all time artist Thank you much thanks 🙏🏿
@PandaKakozi-n9i
@PandaKakozi-n9i 2 ай бұрын
Bien sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@ramadhanichuma8877
@ramadhanichuma8877 Ай бұрын
🇰🇪 Kenyan mna chakujifunza kuhusu wasanii wa Tanzania 🇹🇿 hizi ni talents kabisa sio kubebwa bebwa tu fuatilieni ata madogo mtaona what we impressed with its a really talent.... It's just remark Plz don't catch feelings
@CHAIMBILI
@CHAIMBILI 2 ай бұрын
D voice with the voice
@Willzyp
@Willzyp 2 ай бұрын
Chege unajua sanaa muzikii we uncle
@madchoxy
@madchoxy 2 ай бұрын
Ukiwa unajua unajua tu chege 🔥🔥
@ziggertv3185
@ziggertv3185 2 ай бұрын
Kabisa
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 ай бұрын
Kabisa yn legend
@Michealfarah-n1w
@Michealfarah-n1w 2 ай бұрын
Kibanabaaa🎉
@DaudiMazengoMasterDTEM
@DaudiMazengoMasterDTEM 2 ай бұрын
Super kazi na colabo nzuri. Hongernei kwa kuwa wamoja.
@IshevannyAnatory
@IshevannyAnatory 2 ай бұрын
mtoto wa kiha huyo! matungulu km yote wakina Juma Nature hoi taaabani kwsbb hawana matungulu
@AntoniopedroPedrokingnobafo
@AntoniopedroPedrokingnobafo 2 ай бұрын
D voice 🔥🔥🔥🔥
@pdselanasir2574
@pdselanasir2574 2 ай бұрын
Nakubali kaka ngoma imeweza
@manytz5618
@manytz5618 2 ай бұрын
Nam leoo mapemaaa naombeniii like zanguuu
@ministernikolaus
@ministernikolaus 2 ай бұрын
Nakubali brother chege chigunda, nimebarikiwa sana na kazi hii 🙏
@FAMOUS_aka_DAZECKS
@FAMOUS_aka_DAZECKS 2 ай бұрын
D voice angekaa kwa chorus waaah ingekua 🔥🔥 zaidi, anyway hii anthem bana
@AbdiazizHassan-s5g
@AbdiazizHassan-s5g 2 ай бұрын
Hiyo n ukweli 😢😊
@manigatz5271
@manigatz5271 2 ай бұрын
D voice kauwa sana
@DanielNdalila-i8b
@DanielNdalila-i8b Ай бұрын
ila chege daah fundi huyoo mpe like,,,aaafu mpoa yuko single samaha naomba tujuane.
@legawayz6093
@legawayz6093 2 ай бұрын
muziki mzuri unaishi 🎵🎵🎵 sana big up kwa hii chege mtake 👊
@ArchyKid
@ArchyKid 2 ай бұрын
Noma sana kaka
@CoastQueensFootballclub
@CoastQueensFootballclub 2 ай бұрын
Kijana d voice ameuwa banaa ukweli usemwe kijana anajuwa
@JUNIORDESIGNER-e9l
@JUNIORDESIGNER-e9l 2 ай бұрын
Baang kama umekubali gonga like twende sawa, au kama unateseka wee toka hapa
@kissmanbashimeofficial
@kissmanbashimeofficial 2 ай бұрын
Kali saana
@ommyjh8225
@ommyjh8225 2 ай бұрын
Bonge la ngoma brother
@Philexstar
@Philexstar 2 ай бұрын
Chege ume tisha hase😮😮😮😮😮
@newtongasper8683
@newtongasper8683 2 ай бұрын
Nyie mungu huyu📢📢
@mustafakassim2232
@mustafakassim2232 2 ай бұрын
D voice nakupenda sana
@JamaldeenSuleimani
@JamaldeenSuleimani 2 ай бұрын
Gboy kwa Mbaali, Huyu Jamaa akiandika kitu huwa Hakosei kabisa
@PCBOYchibuOfficial
@PCBOYchibuOfficial 2 ай бұрын
D voice, nenga cheg🔥🙏
@user-Zadig
@user-Zadig 2 ай бұрын
Vi toto vya elfu mbili vinajiuliza kwani chege ndo nani tn? ❤ chege kanikumbusha kipindi tulikuwa tukimuangalia kwenye mabanda ya cinéma 😮, weke like kwaajili chege, DRC lubumbashi tupo 2:58 2:58
@NestymmwampambaNestymmwampamba
@NestymmwampambaNestymmwampamba 2 ай бұрын
Kazi yetu nikuwasapoti jaman ❤❤🙏🙏
@jemimajerome3971
@jemimajerome3971 2 ай бұрын
Chege kaaamua safari hii🎉
@lilchampion1960
@lilchampion1960 2 ай бұрын
D voice kauwa🔥🔥
@Jay_Humble-h8f
@Jay_Humble-h8f 2 ай бұрын
Nyimbo y a kawaida sana nenda uka i sikilize Kariyako ya lava lava halafu uje unijibu
@gee_mziwander
@gee_mziwander 2 ай бұрын
Hizi zina pigagwa na MLAMU ON THE BEAT. 🙌hongera kwa kuwa na sound yako
@GorretJyden
@GorretJyden Ай бұрын
Ngoma,iko lit
@kamuchidyblez2136
@kamuchidyblez2136 2 ай бұрын
Chege a still live congratulations 👏 ngomaa kalii sana
@zomasamweli
@zomasamweli 2 ай бұрын
D voice kauwa kinoma
@NICAISENIVYIMANA
@NICAISENIVYIMANA 2 ай бұрын
Nice song respect 💯💯 nawakubali Sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@asnathbyabato9633
@asnathbyabato9633 2 ай бұрын
IllBillnass nailed it, bhana
@claudepaluku1842
@claudepaluku1842 2 ай бұрын
Ça c'est la mère🎉🎉🎉❤❤❤💥💥💥💯🇨🇩
@SalumSaidi-p3i
@SalumSaidi-p3i 2 ай бұрын
🔥🔥🔥🙌🏿
@NeversMutega
@NeversMutega 2 ай бұрын
Chege ata ungekua peke yako ilingoma linge tembea tu❤
@HOMEBOYZLIBRARYLATESTMOVIE-q6v
@HOMEBOYZLIBRARYLATESTMOVIE-q6v 2 ай бұрын
BLESSING SANA
@IgiranezaAdronis-q2l
@IgiranezaAdronis-q2l 2 ай бұрын
Chege ulikuwa wapii mbona unaweza sanaaa ❤❤❤🤗🇧🇮🇯🇲🇯🇲🇰🇪🇰🇪🇬🇦🇬🇦🇬🇦🇬🇦
@BHALEEALI
@BHALEEALI 2 ай бұрын
D Voice kabadilika sana kuimba kwake
@WRONGNAMBA254
@WRONGNAMBA254 2 ай бұрын
Good vybzz naipenda song kanikumbusha mbaliii❤❤❤❤❤
@EmelyneNiyonzima-d8t
@EmelyneNiyonzima-d8t 2 ай бұрын
Baba nayi kasimama imala
@MaulidBombo
@MaulidBombo 2 ай бұрын
Kikubwa ujumbe hao wote wanajuh
@deogratiouswipson8448
@deogratiouswipson8448 2 ай бұрын
Ivi hizo like mnazo omba huwa mnafanyiaga nini ?
@kakaaignas3675
@kakaaignas3675 2 ай бұрын
Nashangaaaga
@gracechibuga7467
@gracechibuga7467 2 күн бұрын
Chegeeeeee babaaaa🙌🙌🙌🙌🙌♥️
@druumarley2159
@druumarley2159 2 ай бұрын
Bonge moja la ngomaaa
@denisalex-gx4uh
@denisalex-gx4uh 2 ай бұрын
ngoma kalii
@carlivian
@carlivian 2 ай бұрын
💯💯💯🔥❤️
@andrevaleriano4479
@andrevaleriano4479 2 ай бұрын
🎉 bomba shana
@KelvinjohnJohn
@KelvinjohnJohn 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉kama wamkubali billinass tia like
@noahchepe8036
@noahchepe8036 2 ай бұрын
Sir God! Ngoma kaliiiiii