Please ladies jiweke down. Sisi wanaume hatutaki mtupende ila heshima na kutusikiliza basi. Gonga like kama ni kweli
@Silvia-k4b7 ай бұрын
lbda kujieka down kwa kitanda hiyo ingine ni yako
@judymangi90482 ай бұрын
😂😂😂😂😂Aya sawa tumekuelewa tutajirekebisha
@victormzolex98179 ай бұрын
Likes za 2024 wakuu
@Ruthscasher8 ай бұрын
Wekeni likes za dancers hapa, waliweza walai👏👏👏
@EstherYouze7 ай бұрын
Sana
@saleskeyya72967 жыл бұрын
daaaaaaah bonge moja la ngoma...liko composed...full melody... aiseee mimi mmenimaliza kumuweka Dunga....nakikubali sana icho kichwa...damu yangu hiyo...big up kwa featuring ya Emmy...noma noma sana
@meshackvitalis77717 жыл бұрын
kwa kweli chege na temba mmetisha kwa ujio huu yaani lazima kieleweke tu @godown iko bamba noma ile mbaya big up to you guys
@efremtegete27177 жыл бұрын
bonge la dude...chegge we tisha.....unamzd had kiba...akasome kwako
@itskisaka7 жыл бұрын
Wimbo huu unatisha sana.More love from Kenya.
@antonychaka97604 жыл бұрын
Chege noma
@frankmollel61197 жыл бұрын
%255+254 ata maramoja moja jiweke down NDEMBERE.Ngoma ipo poa kinoma big up kwa producer chege.temba na emmy mmetendea haki nyimbo kazi nzuri.#wachakubinuakichuguu #godown
@emmanuelmsambwa74907 жыл бұрын
Bingo music to nxt level.....bonge la ngomaaaa,,,,,,waliopo kwenye kichupa nao wamekitendea haki
@raynestory6007 жыл бұрын
chege mpo juu na temba kwa ngoma hiyo mmepiga asa ni hatari sana na hilo biti
@ChegeChigundatz7 жыл бұрын
To download from iTunes click here -> goo.gl/2c7sem Click here to play the full audio on Spotify -> goo.gl/v2Kt9Z
@1082-n9j7 жыл бұрын
Chege Chigunda chege chigunda
@bihadjawamtambaro27737 жыл бұрын
Benter thelizard 2
@emaesthermuchiri62087 жыл бұрын
Chege Chigunda kaka uko sawa....muziki bila jasho...ebanaa wee...
@jihanesmgeni90337 жыл бұрын
bigp chege
@visharmmanga69567 жыл бұрын
Chege Chigunda
@monicanyefwe48087 жыл бұрын
Wimbo mzuri.....nafurahi kumuona Emmy Wimbo tena,big up mdada.....Chege u did well
@julianjulian75327 жыл бұрын
chege you are really thinking beyond your nose alafu hiyo sauti mashallah 🎷🎷🎷🎸🎸🎼🎼🎼🎼
@hamisibakora55686 жыл бұрын
oyooooo chege chigunga
@victorgor55035 жыл бұрын
Julian Julian enyewe
@charlowmathew97625 жыл бұрын
Hiyo sauti ni Noma Allah amjalie zaidi
@hassanbilali50267 жыл бұрын
Daaaaah its olvious big evolution in the game Mr chege daaah c amni kaka mkubwa kumbe unaweza kubadilika ivoo guuud talent god bless to our song go down .go down Africa Tanzania up but go down Tanzania chege chigundaa mkaliii more upper next level untouchable fire nice broooo
@vincentmaloba22907 жыл бұрын
Kudos bongos you are talking to great heights music of TZ. I watch and watch and watch.cant have enough of it.penda iyo ngoma kweli
@johnwaithaka20002 жыл бұрын
I really love this song ❤️❤️
@fikayolucas27692 жыл бұрын
Its the chorus for me,go down ata mara moja moja jiweke down
@sophyclay11616 жыл бұрын
Nimejieka down....n Nani anauskiza huu wimbo 2018😘😘😘😘.....mie huyu hapa...😋😋😋+254....
@johnnyjohnte43394 жыл бұрын
2020 badoh tuansonga bila kushtuka ingawa corona ni tafash , lakini lazima twende down 🙌🙌🙌🙌
@tumlakimwaitumule7 жыл бұрын
kwetu studio mmetisha sana..dunga salute kwako..chege na temba noma sana
@tumamilolelo99837 жыл бұрын
Hongereni Chege na Temba kwa wimbo mzuri Go Down.
@shahjanhabib43017 жыл бұрын
Mama yanguuu..Dunga we hufai jii ngoma kali sn big up Chegge na Temba
@Mandugudigitalify7 жыл бұрын
Shukrann sana sana kaka! Heshima kwako for supporting this. One love.
@saramimo70632 жыл бұрын
It's slap well well after kusema "mama nyanguuu"🙈🙈
@wairorejohn74077 жыл бұрын
This is the most underrated song ever! Should be kitu 10 million by now!!
@esieferdinandwks54057 жыл бұрын
Wazi.kali sana..wametokea na nguvu sana.like the song Go down.i like your voice from Dar mpaka moro
@quinterawuor6198 Жыл бұрын
2023 kama bado una watch hii wpi like🥰🥰😛
@lindaminayo8961 Жыл бұрын
Niko nyuma yako
@SerenakaremboDzombo Жыл бұрын
Nikikumbuka hizi enzi I saay natokwa na wazimu 😂😂😂
@marymurimi4238 Жыл бұрын
Yaan raha ya lyf usiruke stage 😂😂😂❤❤❤
@noreen-r7z9 ай бұрын
watu mko wapi
@Brigitha-x3b9 ай бұрын
@SerenakaremboDzombo 😮😢
@kaninifellisterkawinzi93723 жыл бұрын
I really love this song....nkiiskia heri nisimame niiskize kwanza
@afuyaarnold11697 жыл бұрын
How many likes For Chege's voice ..LEGEND!!
@smartpoint-tz73407 жыл бұрын
here is mine
@faustermasha93006 жыл бұрын
Mara mia ila Bado ham
@salomemwendo42816 жыл бұрын
afuya arnold kwa iyooo
@youtubevideojepleting27364 жыл бұрын
I really love the voice
@sheilawere96434 жыл бұрын
Mimi apa
@sylvestermihale28873 жыл бұрын
Hiii ngoma iko 🔥🔥🔥🔥sana huwa haichuji kwenye ngoma ya masikio👂👂 kuusikiliza 📻🎧🎵 na kuitizama 👁️👁️🖥️📺🔥🔥🔥
@mohamedmatalaulaya90817 жыл бұрын
bonge la ngoma Ni moja kati ya ngoma Kali sana zilizotoka mwaka huu big up to chege chigunda and temba best comeback ever
@khadijahamisi46807 жыл бұрын
the best
@realngauwizy98127 жыл бұрын
mo the baddest jam of the year🔥🔥
@nashonomesh26367 жыл бұрын
salute
@adamkayombo24017 жыл бұрын
mo the baddest yuko safi kwa songs
@joelnassari1057 жыл бұрын
ur ryt
@sambae48297 жыл бұрын
vidio nzuri nyimbo nzuri tz sasa wasanii mnaamka na kutenge neza vdeo zuri na zakuvutia big up chege and temba
@winniemwiks2667 жыл бұрын
wooooow go dowwwn hta mara moja moja goo down ...going down from +254 loooove it bit tune there...hongera Dunga
@gabrielgiftswai8507 жыл бұрын
hii nyimbo ni Kali sana nmeisikiliza vizur nimependa ujumbe wake
@sarahlithoqueen4957 жыл бұрын
weweweeeee chege na temba iko dope sanaa iyo ngoma 😍😍😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘
@cristasyliver71527 жыл бұрын
Ngoma kali sana hiii..... fireeeeeee
@maxwellnjehu24252 жыл бұрын
Chege my all time fav. Mob love from Kenya 🇰🇪🇰🇪💕
@saidimpwili50297 жыл бұрын
Big up Chegge na Temba, mumeonesha kukomaa kimuziki. Huu muziki unaweza kusikilizwa na rika zote. Radha za namna hii nazipataga Jamaican riddim but now in my mama land.
@okeriwilson88247 жыл бұрын
chege you have Golden voice !
@penieltarimo46117 жыл бұрын
Hiyo sauti mkubwa chege, haipo ol Universe 🔥
@leilasarai48522 жыл бұрын
Chege that voice waaah...and the message. I love the song😍😍😍😍
@sammswita7167 жыл бұрын
bonge moja bongofleva bonge moja la video kaliiiiiii thanx chege na temba
@ChegeChigundatz7 жыл бұрын
Chege latest song #Runtown ► bit.ly/2wt5I6n
@aliymawe35947 жыл бұрын
Chege Chigu
@aliymawe35947 жыл бұрын
Chege Chigunda chege bigau
@qaalimusse83657 жыл бұрын
Chege Chigunda
@atladaaloise81917 жыл бұрын
Chege Chigunda
@tobiasimalibiche257 жыл бұрын
Chege Chigunda mambo vpi
@johnmachoka7 жыл бұрын
Hata Mimi nimeikubali!! Representing 254!!
@sumosaid34977 жыл бұрын
hiii bonge ya song asiejua ataona sio washazoea singeli zakutiua vumbi nakukbali san chege😙😙😙
@dominickalume28915 жыл бұрын
Hili Dude linachapa zaidi mzee Sema Air play Ndio kisitani...Wimbo mkali sana huu I say....All in all keep wrowling 2019#Godown#ChegenaTemba•√
@realngauwizy98127 жыл бұрын
dunga the magic fingers!! the jam is dope melody and everything good music for real
@Madcowspider7 жыл бұрын
Chege Chigunda!!! Mtoto wa mama Saidi. You never disappoint my guy. Mara yangu ya 56 kuicheza hii sasa.
@emmanuelkipchumba50215 ай бұрын
30th June 2024. Location; eldoret kenya 🇰🇪 Watching everyday
@kikubegeorge24744 жыл бұрын
Daaah uhu wimbo niliujulia kwa rafki yngu shuleni alikuwa anapenda kuimba sna hii nyimbo mr.junior from taqwa sec
@aggreymsemwa51677 жыл бұрын
Dungaaaaa dar umedungia fresh sana hii ngoma voice yako like Eddy kenzo wa Uganda big up brother
@Mandugudigitalify7 жыл бұрын
AHSANTE! Nashukuru.
@zainabumkanitenda56664 жыл бұрын
Nawakubali bonge p.a. ngoma
@headboy77684 ай бұрын
Likes za Gen z Ambia Ruto go Down
@venancegaspar67937 жыл бұрын
Go down ngoma imesimama kiukweli, appreciate guys good job
@millenniumschoolsruaha-iri99147 жыл бұрын
daaa kweli mmetisha chegechigunda na temba, tmk family forever mmenifurahisha sana toka Toronto what a song. mbona go down. 😎😎😎 is hard br hahaha
@changapeter89177 жыл бұрын
Kali hiyo Chege,,,,,,love the dance.
@gerryreggea7 жыл бұрын
Moto sanaa...mandugu Wakenya tunaifeel 🔥🔥🔥
@jovithlaurian22397 жыл бұрын
lisongeshe chege hakika unaweza big up to you
@estherwangare97597 жыл бұрын
the devil that will come between Chege and Tembe labda akuwe hana adabu ...love young mwaaah
@efremtegete27177 жыл бұрын
bonge la dude...chegge we tisha.....unamzd had kiba
@gracekiprotich65643 жыл бұрын
2021 this song still hit into the soul whenever I play this song my spirit rises... I really feel this chege guy nakupenda tu bure
@chepkoechmercy63022 жыл бұрын
waauh
@joelnassari1057 жыл бұрын
bonge la wmbo ...kweli Tz kuna vipaji
@Shemejiable7 жыл бұрын
I have been a fun of chege since I can remember, his voice is amazing. it's beautiful to see his progress, love these Chege, an old fun who is still remains a fun...
@mufamomufash47057 жыл бұрын
tembe muna pendana na chege mno mungu awape maisha marefu na afia daima
@joshuaabel71277 жыл бұрын
dark master kitambo sana heshima kwako mtoto wa mama side na mwanao tembeleee na kabinti special
@faudhiyahussein65432 ай бұрын
Love 😘😍 bro chege ,,,,,.i like you 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@slayqueenvevo81187 жыл бұрын
Hi bro,,,,, dunga for ever.. Dunga Dunga Dungaaaaaaa juuu
@Mandugudigitalify7 жыл бұрын
Shukrann sana sana! I appreciate your support.
@wacundirangu16617 жыл бұрын
Chege na Temba!!! Wakongwe wa game nawapenda!!! Temba looks different though.. #BongoTMK Anything flies with me 😊
@_KING10317 жыл бұрын
I like to see artists keeping real na washkaji wa zamani. Hii dude inabamba sana. #Temba_na_Chegge. Big up sanaa waseeeee
@domnicotieno88537 жыл бұрын
great to you Chege niko ndaaani huku kenya
@emmanueloyuoya15967 жыл бұрын
Cool song indeed, Chege keep it up.You never disappoint
@abdulshee77147 жыл бұрын
sanaa wehh!!!
@monicanjeri48337 жыл бұрын
chege always does me justice.......mad love for you. love the song
@faithann12306 жыл бұрын
Chege's voice is mwaaaaah...bro Nakupenda
@lightnessmollel70987 жыл бұрын
Bongo fleva ndo hii sasa ladha tam tam tu.Big up Chege n Temba
@charleschachasibena74547 жыл бұрын
MH temba... i remember ur song Mpenzi ninakumaindi... you need to do a video for the song
@araarambo54147 жыл бұрын
Chege ni Nouma! Yes Temba... bonge la kitu
@deearacemarg4507 жыл бұрын
I love this combination Chege and Temba I love their friendship .Big up .good song
@missagatha17567 жыл бұрын
go down hili ngoma linanimaliza kabisaaa,big up sn bro chege ukiwa na temba kitu kinanoga hatariiii
@winnieabiero4267 жыл бұрын
i need a dj mwenye anaweza mix hii song na ya king kaka...cheza chini,na ya kenzo katia chini😍😍😍yani itakuwa fire baibbby......love the song my bratha am on my bed twerking like shit😂😂😂😂
@eliahtullo96437 жыл бұрын
Good xana rasi chege
@lizzatinnjoka23077 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁sailing on the same boat, twerking is real🎧🎧🎵🎧
@youngtyga82627 жыл бұрын
Winnie Abiero whatta this shii funny asf
@djjefreykings86387 жыл бұрын
Ni inbox namba ntakutumia hyo mix by kesho jioni
@djjefreykings86387 жыл бұрын
Apa amna inbox 😂😂😂😂😂😂😂😂, but just comment your digits ntakutumia. Alacfu check out my channel
@jabilifadhili19427 жыл бұрын
du!! chege unimala sana yani ktk vanu nguvakubalite pamoja na chege pia tembele Bigap sana piga kazi
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
#Dunga sio mtu mzuri Tisha sana afu long time mtu wangu duuh tulikumiss sana
@vincentmudasia12633 жыл бұрын
Hata jini kisirani sio kama wewe' its really daily experience to some of married couple best dedication song to me
@niceroman48737 жыл бұрын
ngoma kali ...hicho kinanda humo ndan ..dungaaaaaa
@Mandugudigitalify7 жыл бұрын
SHUKRANN!! Ahsante kwa support yako.
@movineogonda97253 жыл бұрын
Ngoma Kali
@umusarurotv84637 жыл бұрын
Temba and Chege Kwanza sema na moyo wako Usilingie uzuri wako Kuna kupandaga mami na kushuka Tupendane forever mpaka kufa Usiku nikipita twitter Mami nakukuta twitter Nikisema nikucheki insta Nakuta ushapost picha Pe
@nurumadulu54597 жыл бұрын
Ni shidaaaaahh!!
@turkpundit33127 жыл бұрын
Ngoma Kali hiyo...254 tuko ndaaani kabisa--big up mazela
@christinemakandi66627 жыл бұрын
Amazing team chege all kenyans in Oman I hope tuko ndani ndaniiiii dancing this nice song woooooi
@philipocathbeth3437 жыл бұрын
BONGE LA CHUPA...BRO's..... naa better kudelay kutoa nyimbo but once mkitoa inakuwa pin kama hiiii ....GoDown
@adrietermwende21364 жыл бұрын
this song is so sweet aki althanks should go back to this hero chenge
@maulididdy10717 жыл бұрын
Kazi nzuri sana sana beat yaukweri mpangilio wa sauti safi.. Uchezaji good music
@nelmisana9197 жыл бұрын
aiseee track Kali sn big up chege Na temba booonge
@moseswisdom4 жыл бұрын
Hiyo n wabebe
@justinmvungi69277 жыл бұрын
chege chigunda mtoto wa mama said nakuelewaga sana sana.
@nestorshentella81147 жыл бұрын
who is watching before millions views.....we are proud ..keep it up Artist
@julianjulian75327 жыл бұрын
Nestor Shentella Mimi apa niko Oman this the 20 time
@nestorshentella81147 жыл бұрын
proud of Chege
@julianjulian75327 жыл бұрын
Nestor Shentella exactly
@dj5_tz9717 жыл бұрын
Nestor Shentella me!
@festoshine33567 жыл бұрын
tisha sana mkuu
@danilimi74867 жыл бұрын
unamuumiza chege dada jiweke down mara moja 1
@felixodhiambo39085 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@mercychelangat2702 жыл бұрын
There's something about Chege's voice...nice song
@fredykifunge92655 жыл бұрын
Fundiiiiii Chege nakubali sana kaka
@esthermaunga30707 жыл бұрын
temba man has killed it! can't stop watching it bcoz of temba man 😍
@ValetineStella Жыл бұрын
that's y l like his songs
@sarah.wangoi.56917 жыл бұрын
ngomaa nomaa. congratulations to chege
@njeafricansauce31507 жыл бұрын
Mamayanguuu na huyu Ana jini go down ata jini hu go down plz Straight Outta 254
@gelvinareyo3457 жыл бұрын
Hey Chege, I absolutely love your songs! Why lie? Endelea hivyo hivyo👌👌👌...