Sultan idris akili zako unazijua mwenyewe. Hongera sana kwenu cheka tu
@fathiyahhassan83725 жыл бұрын
Idriss sultan waweza broo....#good work Cheka tu
@deusgabri6 жыл бұрын
Safi sana ....umekuwa mkubwa...endelea kukaza
@bahatimayani88015 жыл бұрын
I love you my bro unani furahisha sana
@bintybinahsiraj94996 жыл бұрын
I lv u jamani bro Idris big up👏🤣🤣👍
@IringoAdventChoir6 жыл бұрын
Hongereni Sana Bongo Cheka Tu Kwa Kufany Stand Up Comedy, nashauri tu boresheni Kwenye Kuingia Mtu akiwa anatajwa tu Anatokea back faster tu kwenye Shangwe Zile, ili pia Isionekane video ni ya Dk Nyingi, mana Inatakiwa iwe hata Dk 5 tu.
@jordanvenance70595 жыл бұрын
Official Yonas C Mashambo . . .
@elpinarichard18845 жыл бұрын
Kweli
@ferdinandmarcus85475 жыл бұрын
I second you bro
@maryamammar17026 жыл бұрын
Alaf na wewe koy unakuwaga handsome😁😁😁😁😍
@dracktrucks6 жыл бұрын
Happy birthday ya simu yangu nimeimwagia maji
@mwanasuleiman34795 жыл бұрын
Isey,,nikiwainjoy wa Kenya sasa ntmn nije daa nije nishuhudie .I love so much
@nzoyihayalylyshadia41496 жыл бұрын
Kumuona tu Idris nimejikuta nishacheka😂😂😂
@kennedjohn57855 жыл бұрын
You made my day bro
@tadeonkonya16566 жыл бұрын
Hahahahah Mdogo angu umetisha, Umekua sana Idriss, Poda mikononi umetisha....
@carterbillionearnelly74956 жыл бұрын
Shou nzuri sema sauti haiko sawa
@gretagonga29666 жыл бұрын
Pokea simu ya samaki....ulimezwa na changu😁😁😁😁😂
@jokhasaid15295 жыл бұрын
Yan mm jamn nasem kwel napendag vichekesho vyake kwel tena napenda
@aikajulius55155 жыл бұрын
greta gonga samakiii😂😂😂😂
@maryseriah1575 жыл бұрын
hapo ndo utaenda kula ulipopeleka mboga
@elizabethgunni91705 жыл бұрын
Schoolmate idriss umeniuwa mbavu mshenz sana we jamaa hahahahhahahahadah
@roymhando13694 жыл бұрын
Vp
@ngoyemotinspnetwork.71246 жыл бұрын
Sauti mmekosea sana. Haikutakiwa kutumia sauti ya moja kwa moja.
@kbboytv68153 жыл бұрын
Tulia
@robertlomayan67146 жыл бұрын
Hatarew huyu jamaa namkubali sanaaaaaaaa
@mohamedkipingu48076 жыл бұрын
Huyo jamaa hapo mwanzo nafikiria aliwaza mbn idris hatokei
@kilistonechami5196 жыл бұрын
Goooooooood Keep it up!!!!!
@munaahmed84994 жыл бұрын
Hee kumbe Idriss ana Tege balaa sijawah muon leo ndio kwanza namuon
@selemzunga68526 жыл бұрын
aisee we na Optalema ni kila kitu apo "cheka tu"💪💪
@shadrackmutua25354 жыл бұрын
Mungu aweke roho yako mahali pema boss marther.kifo zako kinauma Sana hadi huku Kenya.poleni familia yote .
@frankjoseph40816 жыл бұрын
Yew crazy Idris hahahahaha
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Hadi trh 03/08/2023 Saa 8:44Usiku Still inabamba
@fulgencegervas94596 жыл бұрын
Sauti haijatulia, hamsikiki vzr, jaribuni style ya churchul show
@stewardjacob19455 жыл бұрын
Sanaa ni ubunifu sio kuigana
@gretagonga29666 жыл бұрын
😁 jaman me hoi..eti we mwanaume ....ni kweli aisee.....nitumie Jam....kwani Jam imeisha nyumbani😂😂😂😂😂
@ganchu76 жыл бұрын
Kweri kabisaa
@amanimtasha91686 жыл бұрын
greta gonga 😄😄
@rogerslwitiko3915 Жыл бұрын
Hadi trh 03/08/2023 still hii Comedy inabamba
@jamesblackjaguar20843 жыл бұрын
✌✌✌😂😂😂😂😂😂 Nakubali Sana Apo Kwenye Samaki
@Attractifynetwork6 жыл бұрын
Idris is hilarious 😂😂😂😂
@naftharoun87344 жыл бұрын
Baraaa sana kaka
@zabibumtungi41106 жыл бұрын
Idrisa nimecheka hatar😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@leonmanyenye22745 жыл бұрын
Tanzania got talent
@iminzaiminza58136 жыл бұрын
Idris you look wow!
@kilungodionizi18655 жыл бұрын
😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁duuuuh Idris hapana
@muzlyzam6 жыл бұрын
Nitumie jam...jam imeisha nyumbani.... Nikikamatwa na majambazi wallah lazm nende nao
@marym86595 жыл бұрын
😂😂😂 pokea simu ya samaki😂😂
@officialshakila63075 жыл бұрын
Umetisha sana idris
@philiminaphilibert98256 жыл бұрын
idris ni fire...
@azezhgalb60696 жыл бұрын
nakupenda san kaka unawez duu nimechek mpak
@ENOCKBARBERSHOP2 жыл бұрын
Daaaah 2022
@dianapetter80325 жыл бұрын
Yaani wew qwahyo sisi Tunaroho mbaya hata Utekwe Tusiamini😆😆
@saidimasudi67675 жыл бұрын
Diana Yud mamb
@issamohamed68256 жыл бұрын
Wa kuolewa wakae huku, wa kuuliwa wakae huku. Hawa amabao hawakuuliwa adhabu zao🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@veronicamichael83516 жыл бұрын
Penda sana idrisa sultan hukoseagiiii
@sudyslaa82786 жыл бұрын
Idriss anajitahd xn siku hizi. Hongera
@leminakasindi92326 жыл бұрын
Jmn nacheka naumia tumble😁😁😁😁😁😁❤❤💖
@namvrasafi50046 жыл бұрын
Idris wey noma namatenge yako jamani
@luganojacob5 жыл бұрын
Kipindi yupo mtoto hakukua na pampasi walimfunga nepi kubwa ndo Mana matege yakampata
@dhunnunkatchem90195 жыл бұрын
Nyinyi mnaolalamika saut, cm zenu nd mbov
@azizabhanj13966 жыл бұрын
Idriss fala sana😂😂😂😂😂😂😂
@khadijahassan35046 жыл бұрын
hahahaaaaa mbavu zang idrisaaa uko vizur my
@abcdefgger6 жыл бұрын
Hahahaha nakupenda bure sana
@izellahie16513 жыл бұрын
Kazi safi
@kurthumiddy72226 жыл бұрын
I like it
@austinkennedy98706 жыл бұрын
Idriss is good mr. Beneficial is better... Deo is the maestro!!! Take a bow deo!
@cheiknamouna20583 жыл бұрын
Sultan wa miaka hiyo na Wema
@ladymarmalade3946 жыл бұрын
Hii show iko kenya ama upande gani
@jimjames25484 жыл бұрын
I like his style of dropping the jokes and the facial impressions, very similar to comedian YY of Kenya.
@MOTHERFLOWERS3853 жыл бұрын
😁😁😁😁😁🤝🤝🤝
@wavinonoclassic12746 жыл бұрын
Noma sana aisee,hivi hua inafanyikaga maeneo gni
@gracethomas6836 жыл бұрын
Wavinono Classic millenium tower mara nyng
@selehassan97246 жыл бұрын
+Grace Thomas gharama yake je?
@wavinonoclassic12746 жыл бұрын
Grace Thomas asante grace hua sh ngpi na ni SKU gni inafanyika?
@gracethomas6836 жыл бұрын
Wavinono Classic 10000 kwa 20000 huwa alh au ijumaa na huwa wanasema kabisa
@wavinonoclassic12746 жыл бұрын
Grace Thomas nashkuru sana Dada,kama tuzid kujuzana
@neziajoseph97267 ай бұрын
Genius
@ramadhanmohamedy36464 жыл бұрын
Noma sana
@goodlucktemu31495 жыл бұрын
Am watch from africa tanzania🇹🇿 i like this show cheka tuu
@elisianastephano46494 жыл бұрын
Uwiiiiiii mbavu zanguu mie
@belindagiliard89776 жыл бұрын
Nawatakia sound zikae vzr. Ndo kujongea huko
@ibrahimmwakitalima33295 жыл бұрын
Live ndugu yangu
@diamondiplatnumz8645 жыл бұрын
idris unaweza
@manassecharles22515 жыл бұрын
Binafsi mi hua naenjoy sana kupitia cheka tu...nimejifunza mengi japo ni kwa njia ya comedy..
@maryseriah1575 жыл бұрын
tofaut ya geto na nyumbani ni nomenclature tu kila kitu geto kinaqngaliwa kiwe na matumizi gani kwa mda huo ila nyumbani kila kitu kina matumiz binas sasa geto nahis blanget linaweza kutumika kama taulo wakat wa kwenda bafuni
@joelrobert34636 жыл бұрын
HAhahahahaha ni noma, kaka jambazi me mateka huru.... kuna taa hapo mbele inapga inasababisha picha iharibke kdogo....
@revocatusthomas31016 жыл бұрын
😂 😂 😂 noma sana we jamaa
@aishaally56235 жыл бұрын
Hahahaaa lov more idris
@2mara_og1866 жыл бұрын
ivi ii shoo inafanyika wapi
@geillabroffenz58455 жыл бұрын
Huyu ni Shabani alikua anaenda lorry mbele yangu😂😂😂😂
@MrSoftBrains5 жыл бұрын
Platform ndogo sana
@papapauson11466 жыл бұрын
My model idris ,I like everything you do for me
@mbassatv47645 жыл бұрын
Aisee!
@gabodontz40665 жыл бұрын
Salot I like tht
@juliethpeter25936 жыл бұрын
Love u
@kennethjohny48546 жыл бұрын
Uko vizuri ila try to change your voice my bloody
@missleemamuya37576 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂samakiiiiiii
@nekashash21903 жыл бұрын
Hapo kwa wema chenga umezingua
@jennbiligi26525 жыл бұрын
so nice
@bsongang86433 жыл бұрын
Really talented
@emmanuelsiboth91806 жыл бұрын
Good show guys...keep the good work up. Nadhani you need to take a very serious action on sound quality. You need to tap it direct from sound box and keep more mic on audience ku capture sounds za audience.
@jesscahmshana51045 жыл бұрын
Kwan wanapatkana wapi jaman
@samueljohn04786 жыл бұрын
A like his sense of humor, he's hilarious
@danielsanga51985 жыл бұрын
Hivi mnashindwa nn kubolesha hizo mike
@edmundingiri2116 жыл бұрын
Da tsha sana
@winnefridakweka32386 жыл бұрын
Nice broo
@shashemuzyo45376 жыл бұрын
Hiii 😀😀😀😀
@raymondkaswaga83346 жыл бұрын
Jitahidi asee kazi bado
@happinessakim96405 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@colorwhitetv70266 жыл бұрын
😘😘😘😘😘😘😘
@patelmpene36504 жыл бұрын
Hahahaha 2021.
@andrewmihayo17065 жыл бұрын
Good Can
@josephrobert50864 жыл бұрын
Good
@magrethmhoha16305 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/ZoTPYXl6rKxjf7M jinsi ninavyokunywa maji lita tano kwa siku fungua link 👆 👆
@KingMuta6 жыл бұрын
Practice make perfect umeimprove sana kaka
@karimushomari16044 жыл бұрын
Mambo
@annachuwa84956 жыл бұрын
nomaaaa duuh
@saumuhassan63656 жыл бұрын
😂😂😂😂 Sasa umekuwa official mchekeshaji, pokea cm ya samaki dah! Cyo kwa kucheka uku.