CHID BENZI alikuja na KIDONDA kikubwa Ameungua MGUU/ROMA alikuja Tz kisirisiri? BLACK X Afunguka

  Рет қаралды 62,911

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Пікірлер: 68
@KarisBaya
@KarisBaya 11 ай бұрын
Furaha ni kwamba mtu mbadi chidbenz imerudi mjini , awe na kidonda awe hana hainihusu kabisa
@petermagomola-gf9nq
@petermagomola-gf9nq 11 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@thomaslima921
@thomaslima921 11 ай бұрын
Daaah hyo kaliii😂😂😂
@dismasjerome1658
@dismasjerome1658 11 ай бұрын
Nakubali black x wewe ni mkali sanaaa
@tigalo2284
@tigalo2284 11 ай бұрын
Awe anaumwa au haumwi we got love for him acheni usenge
@chazypantony7133
@chazypantony7133 11 ай бұрын
Zungumzia ngoma kwenye interview sio mambo mengine...😮
@mariodattany
@mariodattany 11 ай бұрын
Roma Hajaja Tanzania Hakuna Kiashiria Chochote kwenye ile video cha kuwa roma kaja Tz kilichofanywa ni kitu kidogo sana mmemix clip za chidi tz na roma marekan huko
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 11 ай бұрын
Chidi Benzi mkongwe wa hip hop na namuaminia kwa utunzi wake na kipaji chake ,mm nampenda chidi Benzi coz he is agood man in Tanzania Artist hata Diamond hana cha kumlipa Chidi Benzi
@lusajooden5185
@lusajooden5185 11 ай бұрын
Broo jamaa tunamkuli sana,na kinachotufanya tumkuli ni kipaji chake na namn watu wanavyomfanyia sivyo ndivyo kisa tuu mziki wake,wanamchawia lakini sisi tutaendelea kuhamini alichojaliwa na mungu.iyo nyimbo itafanya vyema kupita mulivyowai kufikili,cz mumembeba mwanetu chidi benzi basi tutawabeba zaidi,.nyimbo imesima poa Loma nae ni mwanetu pia ila ka mkubwa chid mwanetu zaidi,, mfanyia maokoto mazuri Ili nae asimame vyema kwenye life na mungu wambinguni atawabariki kwakufanya vyema zaidi
@Tozdance3570
@Tozdance3570 11 ай бұрын
Roma ni mkimbizi , alikuja aje kisirisiri wakati mipakani mtu kama roma wanamjua mnoo,so roma kuonekana na chid benz ni ufundi wa director siyo eti oo kaja kisirisiri nooo
@RamadhaniAlphani-j6g
@RamadhaniAlphani-j6g 11 ай бұрын
Ila ilikuwa haina haja yakuongelea matatizo ya chidi sabu hamna mtu asiye jua matatizo ya chidi kwajinsi ngoma ilivyo penya ingemsogeza mukiendelea kusema matatizo itazidi kuumpa mawazo zaidi
@paulclementmakune3661
@paulclementmakune3661 11 ай бұрын
Tafuta interview yako nawe usiongelee hayo unayoyasema
@paulclementmakune3661
@paulclementmakune3661 11 ай бұрын
Coz wa2 wanasema chid anamatatizo anahitaj kusaidiwa wa2 wengine wanaom2mia wanasema chid yuko sawa
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 11 ай бұрын
Nadhani lengo la director Black X lilikuwa kutuambia kwamba kwenye video ametumika stunt double kuchukua nafasi ya Chid Benz. Alitaka kutuonyesha maunyama yake.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 11 ай бұрын
Hakumvunjia heshima ila that the fact, na amesema anamuheshimu sana na hata ingekuwa asingeweza kufanya hata sn moja hivyo anamuheshimu sana chidi benz sasa ubaya uko wapi.
@dicksonmwenyembegu2523
@dicksonmwenyembegu2523 11 ай бұрын
​@@dunstunnchimbi7994sure pia alitaka kutwambia kwamba chid alisacrifice sana coz alikuja akiwa anaumwa
@majidjuma1321
@majidjuma1321 11 ай бұрын
Ahhaaaaaa, Naskia Aruufu ya udaku!!!! Ahhhhhhha, acha na Chidi Benz (The Legend)
@ManirakizaNadian
@ManirakizaNadian 11 ай бұрын
Ki2 konk nimeipenda
@gideondavid8249
@gideondavid8249 11 ай бұрын
namkubar san Black x uyu ndo mtu na nusu kama alivo kuwa Marehem nisher mungu amlaze mahali pema peponi amina keep going bros
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 11 ай бұрын
🤔 Nisher katangulia mbele za haki ?Lini?
@GregoryNarcis
@GregoryNarcis 11 ай бұрын
​@@D-Man.B-Freemwez wa 12 nwanzon
@IbrahimDastan-gu6wb
@IbrahimDastan-gu6wb 11 ай бұрын
Uyu namfananisha na producer wa Kendrick Lamar..anatumia A.I
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 11 ай бұрын
Mnaongea hayo sasa kwanini si muupeleke kwa matibabu huyo Chid
@mageniGrandson
@mageniGrandson 10 ай бұрын
Salute
@chiefnyanda3260
@chiefnyanda3260 11 ай бұрын
Pole chid
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 11 ай бұрын
Mtangazaji usinga"nganie swali moja tu. Unachukua muda swali moja
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 11 ай бұрын
Tunataka Chidi Benz afanye kazi sio interview za ku benefit wengine but yeye pia anufaike.Hongera Roma kwa kushikana mkono na Chidi Benzi so Diamond vipi mbona hamshiki mkono bro Chidi
@svt3
@svt3 10 ай бұрын
Mohammed-uo5sk : yaani kila mtu mpaka Diamond amshike? Ila Diamond akishika tena anasemwa kunakitu anatafuta, ao anataka kuiba nyota Diamond roho mbaya...... mumuache Diamond na amani we give washike walio anguka mkono kuliko Diamond kushika baadaye alaumiwe Diamond pia ana moyo wa nyama na damu
@lumulyimage4826
@lumulyimage4826 11 ай бұрын
Yoh Backamaza. Congratuation.
@josephngweta7033
@josephngweta7033 11 ай бұрын
Bakamaza all the best nduguyangu ✊🏿
@emmanueldaud8371
@emmanueldaud8371 11 ай бұрын
ndio maaana chidi a kasema binadamu bwana utaelewa
@HassanOpondo
@HassanOpondo 11 ай бұрын
Kazi Safi bro🇰🇪🇰🇪
@mohamedmgwali1880
@mohamedmgwali1880 11 ай бұрын
Imekaa pw sana
@OnlyRuky
@OnlyRuky 11 ай бұрын
Rick tuacheee 😂😂😂😂😂kwni wetu hawezi Chidibeenz hawezi usafirii🤣🤣🤣🤣🤣Nikweli Chidibeenz ameumia mguu and bado hajapona😢
@mr25d
@mr25d 11 ай бұрын
Nmekuvulia kofia black x wewe ni mkali sana
@JustineMwarabu
@JustineMwarabu 11 ай бұрын
Ebu nitumihe namba Zack mim nataka tufanye video
@BoscoSango
@BoscoSango 11 ай бұрын
Chid ni rapa mzr sn ila ana jiharibu mwenyewe kwa madawa ni bora akubari kuokoka YESU atamjenga upya
@jumannewazir6716
@jumannewazir6716 11 ай бұрын
Child kama chidi chuma achana na chuma tunamkubali sana dare Salam stend up Wacha kabisa kwanza unamponda chidi wewe SI Uvunge anaumwa. Kazingua sijui umemfisi nini wewe mwache chuma chidi
@rastamichael2734
@rastamichael2734 11 ай бұрын
Kazi kali
@issashabanihusseniwewe9024
@issashabanihusseniwewe9024 11 ай бұрын
Baada ya chidi kafunika funika kila kitu sasa mnaaza kumchafua sasa hayo mambo ya vidonda vinahusiana na nini tena huu c uchoko
@NicoDaudi-r6m
@NicoDaudi-r6m 11 ай бұрын
Uyu Jamaa Hana kitu Ila Hajui kujibu maswali
@jamesshotton9236
@jamesshotton9236 11 ай бұрын
Chid benz ninoma na kipaji akika akiishi daima😮😅
@alexmapunda2508
@alexmapunda2508 11 ай бұрын
Uyu jamaa noma sana
@HeriMagwaza-cd4wg
@HeriMagwaza-cd4wg 11 ай бұрын
Safi sana black kumfanya chidi ni MTU mbad sana
@RamadhaniallyAlly-ht6ey
@RamadhaniallyAlly-ht6ey 11 ай бұрын
Anajisikia sana hyu directa
@Abdulwaheedomar
@Abdulwaheedomar 11 ай бұрын
Ndio kazi yake usijudge mtu
@naidaathman5885
@naidaathman5885 11 ай бұрын
Bloody chidi jembe la majembe😅😅😅
@SaumAsha
@SaumAsha 11 ай бұрын
@Ibraahimyunus
@Ibraahimyunus 11 ай бұрын
Hatar san
@echagwhy4442
@echagwhy4442 11 ай бұрын
HIP HOP 🔥🔥🔥
@ChrstonJoseph
@ChrstonJoseph 11 ай бұрын
Yaan roho mbaya tu unasema matatizo ya mtu hujui mipaka ya kazi yako ww ni mburula yaaan hutunzi sili haya umesema anaumwa donda lako mbona usemi
@trofinlyimo3520
@trofinlyimo3520 11 ай бұрын
Chuma
@allywaziry6419
@allywaziry6419 11 ай бұрын
Angalieni huo mguu wa mwenzenu mateja mara nyingi wanapata shida za miguu..
@MohammedMohammed-uo5sk
@MohammedMohammed-uo5sk 11 ай бұрын
Chidi Benzi kiboko bwana
@allywaziry6419
@allywaziry6419 11 ай бұрын
Na huwa wanakatwa miguu..
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 11 ай бұрын
Unaulizwa suwali unacheka bd sn kijana
@FadhilMtunha
@FadhilMtunha 11 ай бұрын
Weeee black kajifunze jutunza utu wa mtu ayo hayakusitahi kusemwa apo ila goma kali🎉
@misskaume-fw4mf
@misskaume-fw4mf 11 ай бұрын
Acha akili finyu mbona ni kawaid tu
@muuhclassic1342
@muuhclassic1342 11 ай бұрын
Jamaa mbona kazungumza safitu na pia anaonesha anao utu
@Mtana-d2x
@Mtana-d2x 11 ай бұрын
Acha ujinga wew unataka azungumze uongo wakati uhalisia upo
@PeterMwawa-me6by
@PeterMwawa-me6by 11 ай бұрын
C chid ANAROGWA MNO NA YY ANAKAZA NDIO MAANA HIVYOOOO
@svt3
@svt3 10 ай бұрын
@PeterMwawa-me6by: acha imani za kishirikina na ushamba murogi ni Dawa za kulevya if you know substance abuse inavyo haribu watu haungeongea hivyo sababu hata mtu ambaye haana exposure anafahamu madawa ya kulevya ni hatari na kuachana nazo ni vita Kubwa saana
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 11 ай бұрын
Unakuja kuzumgumzia kazi ya mziki mzur au kuzungumzia matatizo ya mtu acha ujinga
@charolazimamwangala-bb7de
@charolazimamwangala-bb7de 11 ай бұрын
@yujinxhing3766
@yujinxhing3766 11 ай бұрын
Unakuja kuzumgumzia kazi ya mziki mzur au kuzungumzia matatizo ya mtu acha ujinga
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 9 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 27 МЛН
AKILI MIA NA MCHIZI MOXIE PART 1
35:05
Akili100_ Asili100_Platform
Рет қаралды 1,6 М.
CHID BENZ ALIVYOUCHAFUA UWANJA KWA DAR ES SALAAM STANDUP
16:04
Wasafi Media
Рет қаралды 195 М.
CHEKA TU. Mzalendo Edition. Deo Gratius kwenye stage.
22:27
Cheka tu
Рет қаралды 233 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 9 МЛН