Chid Mapenzi kapoteza nuru / Shamsa alikuwa kaumaliza ujana ~ Mwijaku

  Рет қаралды 20,016

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@richardmnkande1130
@richardmnkande1130 5 жыл бұрын
Hakuna Kazi ngumu kama kujipa jukumu ya kuongelea mambo ya watu, Yani ni moja ya jambo la hatari sana, na maeneo mengine wengine wamekufa kwa ajili ya kuzungumza mambo ya watu. Mungu amlinde tuuu Huyu Jamaa lakini ni moja ya watu wako hatarini sana.
@priscajohn6090
@priscajohn6090 5 жыл бұрын
Mwijaku upo vzr kweli uwafundishe wanaume wenzio
@shishiromantic3637
@shishiromantic3637 5 жыл бұрын
mwijaku nakupenda unaongea kitu true
@lutemelele9619
@lutemelele9619 5 жыл бұрын
yaani wewe kaka nakupenda sanaa sanaaa doh watu wamemsema sana huyo dada ila cjaona kosa lake
@lydiathadeous6644
@lydiathadeous6644 5 жыл бұрын
Mwijakuuuuuuu banaaaa 😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@sarahkimboi2161
@sarahkimboi2161 4 жыл бұрын
Sio kupayuka ni kupauka!!! Wew ni mzmaaa
@naimasaid7763
@naimasaid7763 5 жыл бұрын
Nakupenda mwijaku unasemaga ukweli
@dn.n4983
@dn.n4983 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa msema kweli mpenzi Mungu
@chandemalletha4379
@chandemalletha4379 5 жыл бұрын
Uyu mwanamke jaman wanaume awaongei hvii
@rennysteve3227
@rennysteve3227 5 жыл бұрын
Mwijaku kuna siku utapigwa endekeza domo lako ilo
@josephmateru8892
@josephmateru8892 5 жыл бұрын
Yan Ww Jamaa Ww Hatr Cna Yan Umegeuka Mtabili Wa Maisha Ya Watu Yani Unamzungumzia Mtu Kama Unamjua Kiundani Jamaaa Du Kiboko
@idrissatuppa3997
@idrissatuppa3997 4 жыл бұрын
Kuna mwanaume na mtoto wa kiume huyu sijui nani🤣🤣🤣sio kwa kuongea huko.
@directorngogo
@directorngogo 5 жыл бұрын
Mwijaku bnaaa😂😂😂
@agnessmluge5784
@agnessmluge5784 5 жыл бұрын
Mwijaku unaongeaga ukwl nilikua nakusubiri kwa hamu
@rodamulangila8951
@rodamulangila8951 5 жыл бұрын
acheni kumtukana anaongea ukweli huyu kaka
@sakinaomar2090
@sakinaomar2090 5 жыл бұрын
Mwijakuuuuuu
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 5 жыл бұрын
jamani mapenzi ya wa bongo haya dumu hee nn?tatizo
@kazkaz1943
@kazkaz1943 5 жыл бұрын
Siku utakayokuta mkeo analiwa ndo mineno itakuisha, Mtume alitushindwa wanawake utaweza wewe kaa kimya usisifie usoyajua wanawake s nomaaa tunaweza chepuka miaka 10 na mume asijue akabak kusema siku ukitoka najua ukilala na mwanaume najua kumbe hata jana umetoka kulalwa we nyamaza
@chandemalletha4379
@chandemalletha4379 5 жыл бұрын
Uyuu MBNA anaongea umbea c maneno ya mwanamke ayaa
@mozasaid3869
@mozasaid3869 4 жыл бұрын
Mwijaku wee!!
@deboramatpapaztv
@deboramatpapaztv 5 жыл бұрын
Mambo s nuru hayooo
@yusuphharuna1476
@yusuphharuna1476 5 жыл бұрын
Mwijaku mm nataka nimuoe
@alyahmuhsin6061
@alyahmuhsin6061 5 жыл бұрын
Mzee wa kullul khaka kwani sh ngapi kukupenda
@Papa2thaE
@Papa2thaE 5 жыл бұрын
Chidi ni kipapa tu.
@mutwalesylvie7443
@mutwalesylvie7443 4 жыл бұрын
Uyu nae
@glorytarimo9730
@glorytarimo9730 5 жыл бұрын
Nikosa lajinai kutangz mwnzk mgonjwa nakielewa sanaa lkn leo umenikera kenge wew🤔🤔🤔🤔
@hidayankavilavya8890
@hidayankavilavya8890 5 жыл бұрын
Glory Tarimo wewe ndiye ambae ujamuelewa mwijaku
@kazkaz1943
@kazkaz1943 5 жыл бұрын
We acha kuongea sana mambk ya chumban waachie wana chumba we wa nje unapimaje wema wa mume/mke wa mtu.
@mbodzebemasika7477
@mbodzebemasika7477 5 жыл бұрын
Nilikua nasubiri neno la mwijaku😂😂😂😂😂duh hapo pa ukimwi🙄
@halimamohamed1693
@halimamohamed1693 5 жыл бұрын
Naam mathinaa jambo la kheri
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu jamaa bhana
@ramadhanibrahim7619
@ramadhanibrahim7619 5 жыл бұрын
Duh ww kiboko
@majidmasud6960
@majidmasud6960 5 жыл бұрын
Hahahahaha mwijako
@ramadhankulunge7345
@ramadhankulunge7345 5 жыл бұрын
jamaa simuelewi
@shabirujuma5
@shabirujuma5 5 жыл бұрын
Maisha ya watu broo
@stainasmkoko604
@stainasmkoko604 5 жыл бұрын
Ana mambo ya kitoto mkubwa ovyo hata kama anaumwa sasa inakuhusu
@happynjukiz6495
@happynjukiz6495 5 жыл бұрын
Hili limwijaku anapenda ingilia person issue za watu
@ladoceurtony1567
@ladoceurtony1567 5 жыл бұрын
Hahahha mwajaku wakiache yaani wewe mkali
@tonywilliams8819
@tonywilliams8819 5 жыл бұрын
Very true!!This guy talks sense always .
@chandemalletha4379
@chandemalletha4379 5 жыл бұрын
We shoga mwijuka walah
@nyoninyonii6956
@nyoninyonii6956 5 жыл бұрын
umeongea point
@jasminiomary7774
@jasminiomary7774 5 жыл бұрын
Mmh makubwa
@glorytarimo9730
@glorytarimo9730 5 жыл бұрын
Wap Sam
@keagleeagle821
@keagleeagle821 5 жыл бұрын
Hivi nyie mnafahamu kuna sheria ya HIV? Hivi nani anawapa mamlaka ya kudiscuss status ya mtu? Mnafahamu hata nyie ITV mnaweza kushtakiwa kwa kurusha huyu mpuuzi?
@annievibes8794
@annievibes8794 5 жыл бұрын
tatizo serikali haina msimamo huo ingekuwa ulaya chidi angekula mtonyo mkubwa kwa hao wote wanaomsema vibaya na kuntangazia maradhi..hata km anayo its not fear kumtangaza
@keagleeagle821
@keagleeagle821 5 жыл бұрын
@@annievibes8794 Yaani natamani sana awashitaki hawa . Watu kutwa kum discuss mtu.
@annievibes8794
@annievibes8794 5 жыл бұрын
@@keagleeagle821 sheria hiyo hakuna bongo ingekuwa ulaya wasingethubutu
@keagleeagle821
@keagleeagle821 5 жыл бұрын
@@annievibes8794 Mbona nakumbuka kuiona.Kana sio sheria basi ni policy.Inaambatana na ile inayosema hairuhusiwi kumpima mtu HIV bila ridhaa yake.Na zile za unyanyapaa.Pia hata kama hakuna specific ya HIV bado kuna sheria za communication na zile sheria za kumchafua mtu.Akipata mwanasheria lazima atapata kifungu cha kufanyia kazi
@annievibes8794
@annievibes8794 5 жыл бұрын
@@keagleeagle821 noo kwa huku niliko ni sheria ya wizara ya afya na Hiv&Aids centre
@semenhamad5414
@semenhamad5414 5 жыл бұрын
ninacho kupendea mwijaku unaongea ukweli
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 6 МЛН
Synyptas 4 | Жігіттер сынып қалды| 3 Bolim
19:27
kak budto
Рет қаралды 1,2 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 31 МЛН
کـودتای نوژه ؛ نقشه تـر.ور خمینی چگونه لو رفت ؟
23:03
Tunnel Zaman - تونل زمان
Рет қаралды 286 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36