CHIDBENZ ATINGA TENA BASTA AWAPIGIA MIKWALA MIZITO KABLA YA HUKUMU YAKE .

  Рет қаралды 64,952

BONGO 24

BONGO 24

Күн бұрын

#bongo24 #chidbenz #mejakunta

Пікірлер: 235
@RashidiNgabuja
@RashidiNgabuja 4 ай бұрын
Wakina chidy wote tulike hapa Genius meeeeeeeen respect wafundishe jins ya kuhoji🎉
@haisamseif2744
@haisamseif2744 5 ай бұрын
Huyu chid benz ana akili nyingi sana pengine kuliko hao waandishi wa habari Big up broo
@JustinMwakalukila
@JustinMwakalukila 4 ай бұрын
Kabsaaa
@RonnieBertin
@RonnieBertin 4 ай бұрын
Wahandishi wa 2000 bado wananuka maziwa
@ahz6907
@ahz6907 4 ай бұрын
​@@RonnieBertinwahovyo sana
@achiliadinan430
@achiliadinan430 5 ай бұрын
Big brain legends Chidy Benz
@josephmtavilalo5087
@josephmtavilalo5087 4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Chid benzino big up sana naomba tufanye kitu kwa legends huyu haraka narudia tena haraka kabla hajatutoka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 naomba ❤❤❤❤❤
@hamisimtyegee7319
@hamisimtyegee7319 4 ай бұрын
Wew nan amekwambia chidbenz nawew yeye ndo atatangulia?
@bavonichristopha1693
@bavonichristopha1693 5 ай бұрын
Chid benz kaongea fact kabisa Leo
@majidimussa8678
@majidimussa8678 4 ай бұрын
vp jana?
@frankpaul5951
@frankpaul5951 4 ай бұрын
Nimewasubiri dk45 yeye aniite dk5 tuh niende😂😂
@selemaniselemani591
@selemaniselemani591 4 ай бұрын
Oyaaa chidi benz ni 🔥🔥🔥🔥🔥 akili nyingi sanaaaaaa
@MohamedMwitumba
@MohamedMwitumba 4 ай бұрын
Nakukubari sana bro chidi benzi saruti ilala
@kiongozicharlie
@kiongozicharlie 5 ай бұрын
Semaaa kimeumana kubabake chid chid chid beenz respect merce mersiiii Boku🔥🔥🔥🔥🔥
@sulleymanjimmy2214
@sulleymanjimmy2214 4 ай бұрын
Eti kwann niende kumsikiliza mtu niliyemsubiri kwa dk 40 wkt yeye kaniita ndani ya dk 5 🤣🤣🤣🤣
@Razkenya001
@Razkenya001 5 ай бұрын
Nimeipenda hii kauli... one love mwanangu Chidi.. Hizo mada zinagonganisha sana wasanii.
@JimmyWilliam-mf4of
@JimmyWilliam-mf4of 4 ай бұрын
Chidi nimekukubar sana big up broo
@SaidMkwabi-ho8yy
@SaidMkwabi-ho8yy 4 ай бұрын
Uposahihi sana chidy benzi wape ukweli hao wanatumalizia mb zetu kwaumbeya wao
@alvinmalle9624
@alvinmalle9624 5 ай бұрын
Huyu jamaa yuko vizuri sana kichwan..
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 5 ай бұрын
Shetan haangaikagi na fala ukiona mtu shetan kamteka anakitu kikubwa Cha kimungu ndan yake
@shedrackmathias2138
@shedrackmathias2138 4 ай бұрын
Kweli kabisa ​@@ProsperReuben-fg6uh
@joycemaige6838
@joycemaige6838 4 ай бұрын
Yani wewe unayo akiri kubwa mno umeona mbali sana huo ndio ukweli shetani hawezi akapigana na mtu kumpa matendo mabaya au kuwapa watu mitazamo mibaya kama uyo mtu hana kitu kikubwa ndani yake kama yule Q j dah Mungu awasaidie watu wenye kazi za Mungu ndani yao Amen ​@@ProsperReuben-fg6uh
@JamesDadu-h5l
@JamesDadu-h5l 4 ай бұрын
Man is very bright... Chichichi----chid benzino
@TheReporter-A47
@TheReporter-A47 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 vichwa vya habari kama hivi ndy amekataaaa
@Millerremmy
@Millerremmy 5 ай бұрын
😂😂😂😂 nampenda kakangu chidi Benz mwandishi wa habari Kala interview
@jaylazorschannel5681
@jaylazorschannel5681 5 ай бұрын
Legend! Chchchchch! From 🇰🇪
@AndrewMajingwa-ln7oi
@AndrewMajingwa-ln7oi 5 ай бұрын
Jamaaa hili limepiga kwenye mshonoo
@lulugama1547
@lulugama1547 4 ай бұрын
Nakukubali sana Benz❤❤
@FedrickAloyce-nl1pl
@FedrickAloyce-nl1pl 5 ай бұрын
Na akachukuliwa mwandishi wa habari akaanza kuhojiwa na ikabidi awe makini kujibu maswali chid beeenz😂😂😂
@JumanneRobert-f3y
@JumanneRobert-f3y 5 ай бұрын
Hakuna wandishi hapo , chidi 🔥🔥🔥
@zawadjose5440
@zawadjose5440 4 ай бұрын
Chid Benz yuko smart sanaaa
@tnftz1461
@tnftz1461 4 ай бұрын
Mkiambiwa chid ni akil kubwa muwe mtaelewa💯🙌
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 4 ай бұрын
Kabisa Genius
@iddymvukuye2502
@iddymvukuye2502 4 ай бұрын
Chid benz kawa mwandishi wa habari 😂😂 Naombeni like zenu, eti harmonize huyu sio
@mansoursaid8
@mansoursaid8 4 ай бұрын
Duhh aisee kweli kabisa waandishi wa habari wana ugonjwa uwo sijuwi kwa nini wanashindwa kuandika kilichopo.
@kajsun5918
@kajsun5918 4 ай бұрын
Chid hapo umewaeleza vizuri hao waandishi wa habar wajisimamie vyema na misingi yao wasikiuke
@pena_tz
@pena_tz 5 ай бұрын
Wakitoka hapo wanaandika "sakata la chidii , mapya yaibuka" 😅😅
@agustinojoseph4450
@agustinojoseph4450 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wamekoma awam hii
@newforcejv9721
@newforcejv9721 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@newforcejv9721
@newforcejv9721 4 ай бұрын
Kwakweli mapya yaibuka
@BIGGIEBOOST
@BIGGIEBOOST 5 ай бұрын
Benzino mamae unajua San asee 🔥🔥
@RahimMatambala-w7r
@RahimMatambala-w7r 4 ай бұрын
Kawaonyesha jinsi gan mtangazaji anatakiwa kuhoji maswali ya msingi
@OmmyLily
@OmmyLily 5 ай бұрын
Fact broh respect
@VivecCarol
@VivecCarol 4 ай бұрын
Chiddy Benz UNA AKILI SANA.
@mjroyaltz8322
@mjroyaltz8322 4 ай бұрын
Leo mwandishi wa habari anahojiwa😂😂😂😂🙌
@ahz6907
@ahz6907 4 ай бұрын
Gemu limegeuka.😂
@AmisamauridNgagada
@AmisamauridNgagada 4 ай бұрын
Brother chid ameongea point xana🔥🔥🔥🔥
@IsmailYusuf-nb9jt
@IsmailYusuf-nb9jt 4 ай бұрын
Yule jamaa wa chidi ana mke leo kaamua kufunga bakuli lake 😂😂😂
@GeorgeEdward-e1e
@GeorgeEdward-e1e 5 ай бұрын
Bado tena mnaandika chid bez atinga na mikwala 😂 daah waandishi awasikii kbsa awa
@jamescustom6699
@jamescustom6699 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂duh
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 5 ай бұрын
😂😂😂ni wapuuzi
@themoredwamichano8636
@themoredwamichano8636 4 ай бұрын
Yani Bongo mijinga mingi sana 😂😂😂
@mdachiog5211
@mdachiog5211 4 ай бұрын
😂😂
@josephlemi8084
@josephlemi8084 4 ай бұрын
😂😂😂
@ludotheplanet7475
@ludotheplanet7475 4 ай бұрын
Respect you chiiiiddd benz
@sarahkinyashi6213
@sarahkinyashi6213 4 ай бұрын
Safi sna CHIDY🙏🙏🙏🙏wachaneeee
@nourahismaily
@nourahismaily 5 ай бұрын
Respect my brother Huwa sikupingi 👊👊👊
@rasvuaimarley4049
@rasvuaimarley4049 5 ай бұрын
Huyo mwaandinshi leo amekutana na kibokoo😂😂
@erqmusic5973
@erqmusic5973 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@adrophinamwanguse1510
@adrophinamwanguse1510 4 ай бұрын
Bora umewambia washenzi sana hao😊
@mussarashid2216
@mussarashid2216 4 ай бұрын
Kuna mtu ana Doubt na hilo kauliza CHID...May God bless u son,Ila siku ukikata KAULI wataongea mengi kuhusu MJOMBA
@amanijm746
@amanijm746 4 ай бұрын
Respect Chidi B.
@awemaqway1201
@awemaqway1201 4 ай бұрын
Nimependa alivyoanza kumhoji mwandishi😂😂😂 benz yupo makini sana!!!! Kambananisha mwandishi 😂😂😂
@emmanuelpius6387
@emmanuelpius6387 4 ай бұрын
Akili mtu wangu
@ankoomaluta9438
@ankoomaluta9438 5 ай бұрын
Spitting facts like never before
@RonnieBertin
@RonnieBertin 4 ай бұрын
Ni vizuri umewachamba Kwa sababu Hawa wahandishi wasenge sana hawana content ni usenge sana
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 5 ай бұрын
😂😂😂,ila chid ni smart kichwani
@ChuxDaniel
@ChuxDaniel 4 ай бұрын
mwamba ni legend kweli eti wenyewe wamenisubilisha dk40 Mimi dk5 niende
@jonasamos555
@jonasamos555 5 ай бұрын
Mwandishi kaingia kwenye mfumo wa mlatini chidd benzino chid go chid floo
@RehemaJustine-co2kp
@RehemaJustine-co2kp 4 ай бұрын
😂😂😂 zamu yao leo kuanikwa,alaaah
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jacksonmacha.8613
@jacksonmacha.8613 4 ай бұрын
Unaweza kuchekaa afuu ukajibuuuuuuu...😂😂😂😂😅😅😅... Chid umewakamataa leooo..
@RichardAssey-pw9ns
@RichardAssey-pw9ns 4 ай бұрын
Mwanangu benzino leo umenikoshaaa
@edmundnkarangu134
@edmundnkarangu134 5 ай бұрын
Chidy very smart
@AlifaHamis
@AlifaHamis 5 ай бұрын
Chidy anaakili sana ila Ana jitoa ufahamu tu
@fikirially9888
@fikirially9888 4 ай бұрын
Hivi vimedia vya sasa vinatia hasira sana, mm ndio maana na deal na milard, mwananchi au wasafi.
@ahz6907
@ahz6907 4 ай бұрын
Huku umefuata nini?
@issaissa1361
@issaissa1361 5 ай бұрын
Chidi ajengewe sanamu jamani anajua Mpaka amepitiliza
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 5 ай бұрын
😅😅😅😅chidi amng,ata harmonize 😅😅😅😅
@gadialmwalilino6735
@gadialmwalilino6735 5 ай бұрын
Chid Benz Legend
@eliahjoseph8884
@eliahjoseph8884 2 ай бұрын
Uyu jamaa ni GOAT
@leonardngoga7019
@leonardngoga7019 5 ай бұрын
😂😂 lakini chid kwanini harmonaiz mda wote
@clevergrapher
@clevergrapher 4 ай бұрын
Unaweza kunyamaza 😂😂😂😂
@CosterMwamasage-ie9lb
@CosterMwamasage-ie9lb 5 ай бұрын
Hahahaha kaka tusha mkosaaa kasha kua mtangazaji
@khalidmwinyi1981
@khalidmwinyi1981 4 ай бұрын
Chidi kawa zombie sana saiv😂😂😂😂
@ToxicManOfficial
@ToxicManOfficial 4 ай бұрын
Tanzania kuna ujinga mwingi mpaka ujinga umewatawala wajanja
@YasiniMahomba-mx6ux
@YasiniMahomba-mx6ux 4 ай бұрын
Nikweli waandishi wabongo wasenge sana abali nzuri wanaipindua.kua mbaya .abali mbaya wanaigeuza kua nzuri
@HassanAlly-l2c
@HassanAlly-l2c 4 ай бұрын
Apo ujuwe nn mkwara wa chid Benz wa kuwatimua ndio wanauogopa 😂😂😂😂
@avitusmichael5
@avitusmichael5 5 ай бұрын
Kuna anaebisha kuwa siwezi kuwakimbiza nyie 😅😅😅
@FedrickAloyce-nl1pl
@FedrickAloyce-nl1pl 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ahz6907
@ahz6907 4 ай бұрын
Ntawapiga mabao na mashuti 😂
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 4 ай бұрын
CHID BENZI KING 👑🔥🔥🔥🔥 KONG
@KARIMNGOMBO
@KARIMNGOMBO 4 ай бұрын
Njaa mbaya Sana
@shukranikayange2275
@shukranikayange2275 4 ай бұрын
😅😅😅 nimecheka uyo mwandish kapungua uzito
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 4 ай бұрын
"😮Mimi nimekua hapa namsubiri dakika 40, Why yeye ananiita Dakika 5 niende!?" Chidi Beenz Kauli hii inatoka kwa Mtu anayejielewa tu 🙌
@ActiveMedia-j9y
@ActiveMedia-j9y 4 ай бұрын
MKUBALI MKATAE JAMAA YUPO TIMAMU SANA
@alexmahenge9408
@alexmahenge9408 4 ай бұрын
Waandishi wanazingua sana aisee huwa wanaandika headings za kiwaki sana😂
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 4 ай бұрын
Tumekuona kwenye tv chidy
@matanobaya619
@matanobaya619 4 ай бұрын
Uyu jamaa anajielewa sana, waandishi wabongo ni visokonoqwinyo. Wagonganishi.
@PendoUrassa-xm7ru
@PendoUrassa-xm7ru 5 ай бұрын
Huyu jamaaaa ana uwezo mkubwa sana wa akilili
@mnyampaa_kisasa
@mnyampaa_kisasa 5 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣chidy hpo katoa ya moyon kabisa dah waandshi hzi headings zenu za habari kupata viewers zitawaponza
@chiefdaboss3839
@chiefdaboss3839 5 ай бұрын
Hakika chid anatema madin ya kwelii
@rosehaule6765
@rosehaule6765 4 ай бұрын
❤akil nyingi
@JafarHashim-h1e
@JafarHashim-h1e 4 ай бұрын
Ebana chid yupo sahihi
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 4 ай бұрын
Chidy pombe aziwezi bora atumie sigara
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 4 ай бұрын
CHID BENZ AMNG'ATA AMONAIZ
@Boniphacetz-w9x
@Boniphacetz-w9x 5 ай бұрын
Mwandishi kayatimba
@SelemanHusen
@SelemanHusen 5 ай бұрын
Njo huku wameandika umendika chid awapiga mkwara basata😂😂
@TonnleeLwisgon-c6m
@TonnleeLwisgon-c6m 4 ай бұрын
Yan dah😂😂😂😂 sio mchezo.
@losttribe007
@losttribe007 4 ай бұрын
Basata ama basta? 😂
@samymdundu
@samymdundu 4 ай бұрын
Hahaha mahamaa wanaogopa angebisha mmoja hapo uwoneee pangenuka hapo dakika 0 hahhahaha
@KarimRamadhani-o6m
@KarimRamadhani-o6m 3 ай бұрын
He is really men
@KudrahPembe
@KudrahPembe 4 ай бұрын
Miyeyusho sana chid
@HairuIssa-f9y
@HairuIssa-f9y 5 ай бұрын
Chid kumbe Ana akil xan
@djhajiztz
@djhajiztz 4 ай бұрын
Lakini kaka Chidi kwenye wimbo wa mabantu sijakuelewa ulichoimba
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 4 ай бұрын
Namimi naandika waandish wahabari wakamatwa na chidibenzi😂😂😂...
@fadhilimbotela1049
@fadhilimbotela1049 5 ай бұрын
Benz kama benz nyote naweza kuwakimbiza 🤣🤣 ila chid 😂
@JofreyYohana-s5l
@JofreyYohana-s5l 4 ай бұрын
Hip hop Sana mkuu
@thomasnachenga795
@thomasnachenga795 4 ай бұрын
😂😂HARMONAIZ uyu SIO
@obednyagani506
@obednyagani506 4 ай бұрын
Waandishi mmeyatimbaa
@nobo26.9
@nobo26.9 4 ай бұрын
😂 Mwandishi Chid
@c-pivotltd8829
@c-pivotltd8829 5 ай бұрын
Jamaa aliemuuliza chidbenz km ameoa kwny interview moja kitambo namuona hana aman😂😂
@YohanaPetro-xv9tp
@YohanaPetro-xv9tp 5 ай бұрын
Chid Benzi Dudubaya Niki Mbishi hao Watu Intayu Zao Nihatali
@herrwin.
@herrwin. 4 ай бұрын
navunja makamera mkinipeleka Police nasema wamenifata wenyewe hawa
@RichardMallisa
@RichardMallisa 4 ай бұрын
Kaka wapig makof maku haooo.....😮
@TonnleeLwisgon-c6m
@TonnleeLwisgon-c6m 4 ай бұрын
Dah! Fact ila kaka mkubwa wanakuonea kweli maana nimeona habari et chidi dishi limeyumba kidogo nizimie dah😂😒😭😭.
@daudizabloni2962
@daudizabloni2962 4 ай бұрын
huyo asinge pata changamoto kwenye safariyake ya muziki angekua mbari sana
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 4 ай бұрын
Watu wabaya hua wanajua akili yamtu muda ujao atakua mbali ndowanao waharibu akili kwauchawi ili kuuwa mafanikio yake sikuzijazo ikoivo
Fido Vato ft Chidi Benz - Target (Official Video)
4:10
Fido Vato
Рет қаралды 237 М.
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
Mkasi - SO7E02 With Chidi Beenz
29:55
MkasiTV
Рет қаралды 268 М.
Tundu Lissu: "Hakuna tena kuimbiana mambo ya maridhiano  yasiyokuwepo"
32:08
CHID BENZ HAJAWAI KUONGEA HAYA! Ruge, Sio Marehemu, Bado yupo!
23:02
Cyborg-Chid Benz x Paul Maker x Black X (Official Video)
2:39
ChidiBeenz
Рет қаралды 46 М.