Kanuni (1)Fanya KAZI Kwa bidii Kwa kujali muda na wakati (2)Komaa kumwomba mungu,funga omba (2)Nenda kanisani mtolee mungu sadaka Utafanikiwa kama Mimi.
@magdah56187 ай бұрын
am willing brother, ni connect
@FidkimKim3 ай бұрын
Fidd Kim✌️👁️✌️💯❤️✨💥
@AndrewKyule7 ай бұрын
kama sio ushetani mbona hauna familia.Unajifanya unajua ila sisi tunaielewa hii dunia kukuliko.Hauna nafsi na hauwezi kua na familia.Pesa unazo ila sio pesa umezichokea,Uliuza nafsi ila wewe omba tu usife.
Kwan ambae hana familia ..ni shetani mbna kuna masikin hana familia
@SamweliJacob-bm2ij3 ай бұрын
wewe familia unayo mpaka leo inalia njiaa tu kwasababu huna akili unatumia matako kufikilia uyu haongelei familia hapa anaongelea mafanikio sikiliza kwa masikio usitumie pumbu kusikiliza
@victoriamtangi32872 ай бұрын
Wakati mwingine anaongea point Sana ila usitukane watu basi. Ni kweli umaskin ni maind set😢 usipoweza kufikiri na kusubutu ukiendekeza waganga umekwisha
@Jay-Ningo7 ай бұрын
We nimwamba blo nakubali sana
@ramadhanimohamed41902 ай бұрын
Ebu tuonyeshe vidole vya miguu yko kwanza ndipo tukuamini
@JamalYahaya-xv7mu7 ай бұрын
Kwanza angalia picha ilioko nuumayake yann
@ashuramuhammed32573 ай бұрын
Umenitapeli Hela yangu ya ugali watoto wanakufa njaa nrudushie
@saleemsuleiman22203 ай бұрын
Anekupiga shillings ngapi 😂😂😂😂😂
@SamwelMahabula7 ай бұрын
Msaada gan hadi ulipishe hela acha utapeli kaka
@LovelyMountainLandscape-dd4xe7 ай бұрын
Broo unaongea fact sana nitajiunga kwenye grop
@KundaeliJacobo5 ай бұрын
Kweli mkuu
@AllenNevele-v2cАй бұрын
Nisaidia kaka kila nikijalibu kujiajili nafeli naweza kutumia njia Gani ili nifanikishe
@michaelsamson96637 ай бұрын
😂😂😂maskini kuweni wapole
@issafwendem17587 ай бұрын
Nice
@FaridiBuruani4 ай бұрын
🎉
@TAYTA_MEDIA6 ай бұрын
💪🏿💪🏿💪🏿
@hamzamfyagidzi63447 ай бұрын
Masikini kuwa wapole Mtajiri naongea hapa😂😂😂
@KhadijaSidi-i5vАй бұрын
nakam uko mbali jee
@ashachitemo78162 ай бұрын
Mmmh! Kwa hiyo zile kilo tano za mchele ndiyo unataka tulipie laki moja jamani...😂😂😂
@JoyceWilfred-s4g3 ай бұрын
Msije kudanganywa na huyu jamaa pesa zipo mbona Mimi ninaela za kutosha Kwa maombi na kumwomba mungu, kufunga na kuomba.pesa zipo tu
@stephanomtila61892 ай бұрын
Mzee acha kupotosha watu maana maandiki yanasema mungu atabariki kazi ya mikono yako na Wala sio maombi bila kifanya kazi😂 🤣
@JoyceWilfred-s4g2 ай бұрын
Ujasoma meseji yangu ya pili hapo chini nimetoa kanuni za mafanikio, nimesisitiza maombi na kufunga NI hili sasa mungu akupatie KAZI ya kufanya yaani usijichagulie wewe KAZI ya kufanya mana kuna KAZI Nyengine NI machukizo MBELE ZA mungu ukadhani NI KAZI Tu kumbe unajenga ufalme na utawala wa ibilisi bila kujua.
@JoyceWilfred-s4g2 ай бұрын
Mimi Kabla sijawa na pesa nilianza na Mwenye pesa yaaani mungu "Baba muumba wa vyote"nikapata KAZI mbali mbali na vyanzo vingi vya kiuchumi pasipo kuelewa elewa yaani kama Bahati Bahati Tu. Vingine naota kwenye ndoto alafu baadae Sana nashangaa ninavyo.
@devidmafuru55387 ай бұрын
Sawa me kwel sina
@ABDUL-WAHIDMACHANO7 ай бұрын
Safi sana broo
@stephanomtila61892 ай бұрын
Kuna watu ni majinga mno 😅😅 sijaona cha kushangaa kuhusu kiingilio cha laki moja kwenye group la uyu mwamba sababu ni osifi yake kama unaweza na wewe fungua lakwako la ngono waimize watu waingie..kuna watu wanaofisi zao yaani ukienda ofisini tu kuonana nao unatakiwa ulipie hata laki au zaidi hapo ni kuonana nae tu 🤣🤣 sasa cha ajabu ninini hapo kwa uyo jamaaa..acha mwamba azidi kipiga hela zake
@LuluByams3 ай бұрын
We Unafanya kazi gani
@victoriamtangi32872 ай бұрын
Matajiri hawalali
@FaridiBuruani4 ай бұрын
Nakuerew mwamba
@AnnaCharles-g1p3 ай бұрын
Nipe michongo kaka
@KundaeliJacobo5 ай бұрын
Nakuelewa
@USDisdoomed7 ай бұрын
Bdo tujueje hizi mbinu njia
@victoriamtangi32872 ай бұрын
Maskin kuweni wapole anaongea kufuru huyu mtu mtoto unachangia
@IbraahchatySabini2 ай бұрын
Jicho latu?
@subiralemaАй бұрын
Mke wako mbona atumuoni
@Egideo-zx5ik3 ай бұрын
Yani uhuyu jama anaongea mpaka inachoma😅😅
@HilaryHamza3 ай бұрын
Samahani Baada ya kulipia nini kinafata
@OmaliMsafili-zg3qw6 ай бұрын
Chifu godilafu shikamo
@FedhaVanbility4 ай бұрын
Pesa bandia
@kinjekitilew6 ай бұрын
Zaasubui mr money mr famous hakuna kubisha nikuombe msada wako maisha yangu haya eleweki kabisa niko namajukumu kunawakati nashindwa kuya tekeleza niombe msada wako namimi niwe mutu kama wewe ama watu wengine
@malkavoice25707 ай бұрын
Unajiungaje bro,unatuma tu laki alafu nakupataje?
@ussiussi34137 ай бұрын
Mafumbo mengi hayaagui majibu sahihi bali hukuacha kapuku tu, ww huna uwezo wa kumjenga mtu bali uwezo wako ni ku-diversify anuai ya mafanikio tu na kumuacha mtu njia panda. You're not a mentor but a complicator.
@simonitolya80297 ай бұрын
Choko ww
@HamisMbonde-wm8bs3 ай бұрын
Kichaa bwamdogo wewe unazalau sana mjinga wewe je sisi wenye ela tusemaje