Kutoka Kenya. Kazi swafi sana Ndugu Mlelwa akiwa kwenye Mic. Tangia niwe mdogo mpaka leo naskiliza huu wimbo. Upako wa miaka ya 2004 bado ni ule ule wa 2023. Kazi nzuri wapendwa wa Yesu ❤🙏🙏
@eliasgombe525 Жыл бұрын
I grew up listening to these songs. Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri. 🙏🙏
@mutindidorcas-su7vo Жыл бұрын
Ni vyema mrudi kwani mlikuwa baraka Sana kwangu
@MawazoMasongosalima-ds8gn Жыл бұрын
Mubarikiwe kwakazi mzuri❤❤❤❤❤🎉
@stevefuraha7550 Жыл бұрын
Niko ndani ya YESU eeeeeeh YESU eeeeeeh
@simas.a1003 Жыл бұрын
Yani da, hili ni Jeshi kubwa sijapata kuona. one of my favorite song. Oh my God.
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa..!
@simas.a1003 Жыл бұрын
Amein Mtumishi. Pia naomba mkiwa na mikutano au makongamano mtualike ili tuje tujumuike kwa pamoja. Amein
@tsumiduwe1406 Жыл бұрын
brother please weka zote maana tumekumbuka 2004 very blessing
@joshuamlelwa Жыл бұрын
Tayari, nimeshaweka zote..
@AngelDaudi-f1p Жыл бұрын
Sijui wamepotelea wap mungu awakutanishe tu jaman
@galasmaroza4836 Жыл бұрын
Those were the days barikiwa sana hadi machozi yananilenga