Big up chino, mungu amekupa, umeongea vizuri Sana dogo
@daltontemboTv2 ай бұрын
Mwanang @Chino We m2 sahihi sanaaa kaka Nakukubali Sanaa Brow fight wew kama Wewe Maisha hayanaga mapambano ya watu wawili
@Rk_African12 ай бұрын
duu😂😂 chino anaongea kama mlevi au kanywa pombe ndo akaingia studio nouma ananifuraisha sanaa😂😂😂😂😅😅😅😅
@FatumaKawawa-e6p2 ай бұрын
Big up Chino,Mungu azidi kukujalia.
@EliusCrissmwarua7 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ramababu20852 ай бұрын
Semaa brother wee ni mkwelii❤❤
@idrisakassim35332 ай бұрын
Mziki wa tanzania ni waajabu sn chino alikuwa hata kuongea hajui leo top artist daah
@DismassАй бұрын
Marioo acha wivu
@SarahManyama2 ай бұрын
Wote niwasanii jamani tunawapenda wote mshikamano😪😪😪🥰🥰
@McT-q6i2 ай бұрын
Chino maisha ya mziki anayaweza ila kilingo ndo anaempa magar na hera
@MTOTOWAvitoto2 ай бұрын
Kiki tuuuuuh
@Peterchila-un2lx2 ай бұрын
Teena kikiiiii ya pikipikiiii
@salimalesry4282 ай бұрын
Hakuna kiki ya harmonise na daimond wala kiba na daimond hawa wanasukuma tu mziki wao
@vincentsamuel1796Ай бұрын
Ni kweli ukitoka kufanikiwa lasima uwache wivu na kiburi
@MohamedRashid-k7k2 ай бұрын
Mbna uyo mtangazaji ana force bifu
@Truheta2 ай бұрын
Uyo mtangazaji ni wale wale mchochezi kinoma alf uyo snitch sana
@ASHAKHAMISMUSSA2 ай бұрын
Mmoja ajiandae kutolewa sadaka hapo 😅😅😅😅
@WazirRMLGh7y2 ай бұрын
Chino lep kawafanya watangazaji wa hii tv wanyweee na wawe wadogo baada ya kumsifia diamond hii hii tv hawampend sn diamond😂😂😂😂
@DicksonLucas-w3yАй бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Bestakid2 ай бұрын
💜💚🦈
@Art__imaxАй бұрын
Yani Marioo akifa tz burudan kubwa sana itatowez chino kama ulifany ivio siopoa kumbuk Alik kutow mnatak tukose byakupost mu tik tok na marioo njo anatufanyag sisi tujulikan tik tok nakutakiy maish maref kaka Marioo
@goodlegacytv50682 ай бұрын
Scientific
@RodrickRobert-i2l2 ай бұрын
Mwanangu nikuelew lazima nitoboe
@SesiliaMwalaАй бұрын
Kwani walitak chino awe na mario hadi lin
@Faustine_Charles2 ай бұрын
Rich anayehoji hajitambui, lazima uulize swali kwa busara pia angalia kuna vitu sio vya kuuliza, sasa unauliza swali ambalo lina utata, pumbavu.
@OsiahSimntala2 ай бұрын
Muulizeni siku akiwa hajalewa, mbona hanyoshi maelezo kaz kutoa dongo tu
@khatibsalim72982 ай бұрын
Namshangaa hata mm... anaulizwa yy amtaja mondi
@SockySocky-i7g2 ай бұрын
Unaiga maswali
@salimalesry4282 ай бұрын
Huyu na marioo kama hamjui ni kiki kujibust hakuna bifu lolote hapa mziki wa bongo mpaka ujiiingizie kiki ndio uvume
@Clemencelazaro-lg1qd2 ай бұрын
Mtangazaj nae chizi atakuoji ajui
@herberthkavishe29832 ай бұрын
Leo chino hawezi taja meno marioo jmn... nukuu " mama anatupenda sisi wote, kuanzia brother angu richi, mimi rafiki zangu mpaka yeye" Penye kumtaja mario unatumia yeye Ayaaa bhana chino
@tinejuxfrancis7292 ай бұрын
Sasa Kama jamaa kasema asimtaje unataka afanyaje..
@jamesedward10442 ай бұрын
ndio kamfundisha kuimba au wakati marioo kamkuta chino Kidd kwenye game
@kemmypius20352 ай бұрын
Hiv mpaka dakika hii hamjamuona mwenye shida ..? Kuna watu wakaribu kabisa kabisa wanakua wanakusaidia kunyanyuka ukinyanyuka tu ukajitakbua wanakuchukia balaa na wanaleta matatizo ili uonekane huna shukrani . Wenye akili wamenielewa