The song is on another level every time i listen it feels like it's the first time am blessed
@loliciachiwowa44436 ай бұрын
God bless you brother touched, Malawi let's gather here
@paulsaimon87505 жыл бұрын
siku zote mwahangila nakuambia na nitazd kukuambia kwamba, laiti kama wange rusu kulike mara 10 basi mie zoote ningekuwa nakupa,lakini kulike mara 1 wamenibania mnooo jamani
@emilymaramba60414 жыл бұрын
Wapi likes za brother Chris🖐
@winifridakasibu29004 жыл бұрын
Nikuaminia mtumishi was mungu
@SILASNYONGESA-mh7gd3 ай бұрын
Hi
@ditrickkayugwa71164 жыл бұрын
Upako mtupu...hii nyimbo ikipigwa wachawi, majini, mapepo na vibaraka vya shetani vinatafuta njia.. Yesu yupo hapa
@henrickaidan83713 жыл бұрын
Together as Jesus
@josephstevin65594 жыл бұрын
Unanyimbo nyingi Christopher ila hii imesha ninasa kiroho! Kila niisikiapo najihisi ubaridi wa baraka zamungu ndani yangu ubarikiwe.
@mariengomo70964 жыл бұрын
Yesu iko apa ooh namuona yesu !!!nauna mukono wake!!!nataka kumuona yesu ku maisha yangu,anipiganiye !!!!nasikiya manukato ya Mungu!!ubarikiwe sana mutumishi ya Mungu Chris!!!from Marie kutoka Congo
@jerrymwangemi4200 Жыл бұрын
The man of God. Be blessed Kenya is listening. 🙏🙏🙏
@samuelmwangi3245 жыл бұрын
Naitwa Sam kutoka kenya, wewe ni wa Baraka sana, tafadhali kuja Nairobi siku moja
@christercheru83282 жыл бұрын
Video zake zimefanyiwa Green span mall hapa juction ya kayole
@espoirshabashaba22545 жыл бұрын
Katika waimbaji wa injili Tanzania wanao weza ku perform huyu mwimbaji huwa namuweka kwa namba ya kwanza.
@greysonkyando63254 жыл бұрын
kuna nyimbo zina gusa moyo moja kwa moja ukipata nafasi ya kuona na kuusikiliza unaona kabisa uwepo wa Mungu wetu. hakika MUNGU akubariki sana kaka chriss kwa kutufanya tuseme na Mungu kupitia kibali chako...yupo hapa hakika...31.DEC.2019 tunamaliza mwaka namna hyo.
@shakiraibrahimiii36572 жыл бұрын
Louisiana to
@hawajngoliga1551 Жыл бұрын
Kabixa
@rozinahmukupa36393 жыл бұрын
Though I don't understand the language but I understand they are showcasing the power of God, love from Zambia
@mchjohnmasegese81935 жыл бұрын
Nyimbo zote umeimba ila Huu ni zaidi.una Upako ndani yake.
@katukumartin59264 жыл бұрын
oh yes very true
@danielmwambola4 жыл бұрын
Good song
@ابوريمان-ك7ب4 жыл бұрын
@@christophermwahangilaofficial Amen Ameni naskiza nikiwaTabuk saudi arabia naitwa judith okumu kenya. Citizen
@veniranda65084 жыл бұрын
Dear mi naskiza nikiwa Abha💃🏾💃🏾
@cyniengota454 жыл бұрын
i didnt know Chris is from Tz 254 we love n appreciate you I thank God for your ministry
@paulinewausi83094 жыл бұрын
cynie ngota I love your work.
@henrickaidan83713 жыл бұрын
Hahaaahahaaha. Tz noma Sana , praise the Lord
@aureliajacinta44513 жыл бұрын
This song blesses me
@starluzenja98613 жыл бұрын
I first listened to this song while believing God for something...I praised and danced to this song... Now see God,,He came through and I saw Him I have ended the year with praise.... Such a blessed song. Yesu yuko hapa,nimeona nguvu zake
@patrickjnr93123 жыл бұрын
yesu yuko hapa amen .chris karibu kenya twakupenda
@colethaalphonce37945 жыл бұрын
Barikiwa kwa ujumbe mzuri nauona uwepo wa Mungu kupitia wimbo huu, ooh hakika Yesu yuko hapa
@maureenakinyi41714 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana
@katukumartin59264 жыл бұрын
hakika uwepo wa yesu upo hapa nilipo nimetoka mombasa na kuanzia voi nimesikiza huu wimbo na nimefika salama na bado sijachoka kuendelea
@katukumartin59264 жыл бұрын
neema ya Bwana yanitosha hakika
@jacklinemutonyi47394 жыл бұрын
When I always listens to this song tears flow from my eyes because I know I’m the one of these word he name
@annaoyugi66383 жыл бұрын
Powerful song your songs always blesses my heart. May the Lord continue to lift you up. From Kenya.
@paulinechonerwa19723 жыл бұрын
Naitwa pouline chonerwa niko Saudia Arabia huu wimbo niikimba naona mbunguni hakika niliimba huu wimbo nikaweka maombi Siku hiyo niliongezewa mshahara kazini mwangu
@bintundurosy70104 жыл бұрын
Mimi niko Congo Kinshasa ni mesema bwanayesu apewe sifa nyimbo ina upakosana gloire à toi Jésus Christ de Nazareth ✌✌🖐🖐🖐👏👏👏👏
@jacklinemakombe42715 жыл бұрын
Amen kweli Yesu yuko Hapa.......Yesu ndiyo mtenda miujiza.....Glory to God.....In God we Trust.
@nellymwangilwa42884 жыл бұрын
Upakoo!upakoo! upakoo! kweli Yesu yuko hapa, naskia nguvu zake ziko hapa,fungua moyo wako akugusee
@fulgenceniyonzima72784 жыл бұрын
naitwa niyonzima fulgence kutoka rwanda,wewe ni wa baraka sana tafadhali kuya kigali siku moja.
@aminatwahiri3273 жыл бұрын
Nimebarikiwa mnoo mungu azidi kukubarik kwajil yetu hakika yesu yuko hapa 🙏🙏😭
@dusabepontien5542 жыл бұрын
Hi nyimbo ndio olio nianzia mwaka mupya was 2022 nilibarikiwa sana nagufunguriwa njia za mipango yangu ndan ya lusaka Zambia 🇿🇲 tunagupongeza sana mutumishi wa mungu barikiwa sana wapendwa.
@titiwamungu9304 жыл бұрын
Je suis benie par tes chansons.. merci beaucoup,que Dieu nous benisse, oui Jésus est ici....
@pastorfrancois85333 жыл бұрын
Where is that ?
@florencekhatete47484 жыл бұрын
Utukufu wote umrudie bwana Yesu Wakati huu tunapokaa nyumbani. Bwana wetu Yesu Yuki hapa kumaliza janga hii la corona.Sisi tu washindi.
@emilymaramba60414 жыл бұрын
Huu ndiyo wimbo wangu ssa, najipata natoa machozi😢😢
@henrickaidan83713 жыл бұрын
Be blessed madam
@emilymaramba60413 жыл бұрын
@@henrickaidan8371 amen
@seqtawa2783 жыл бұрын
Acha tuu, huu ndio wng sasaa, Mike from Tanzania
@mollybella37255 жыл бұрын
Wow!Winners yetu...Basi like za Winners wezangu.
@jacksonkalya16264 жыл бұрын
Nyimbo imenibariki,,,,be blessed toi
@henrickaidan83713 жыл бұрын
This song changed ma life, Jesus' can
@charlesjacksontz2674 жыл бұрын
Napendaga colas tu na hiyo sitepu ya kuanzia hahahahahaabaaaa aiiiii aiiiiiii
@camelineomukami90474 жыл бұрын
From +254.I ran into this song a few months ago and I can't stop listening.This is a song that was composed in the secret place.🙌🏾
@perismaghema35574 жыл бұрын
Your songs give me hop.and bring me.close to my creator .
@benardmukyema28833 жыл бұрын
Yesu yuko hapa namuisiIt blesses me so much endelea hivyo hivyo kuimba nyimbo zenye zinabadilisha watu kutoka dhabini! God bless you brother good job
@henrickaidan83713 жыл бұрын
Praise the Lord God Jesus, Mwamba, corner stone
@ruthmungwe1068 Жыл бұрын
Yesu namuona Kweny maisha yangu. Naziona nguvu zake, naona miujiza yake
@henrickaidan83713 жыл бұрын
Criss, you really deserve brother, @ praising Yule Mwamba jiwe Jesus Christ
@andreotshudi3 жыл бұрын
The happiness from this song contagious God is Great the guy in front dancing 🔥🔥giving me hope that God will do wonder in my life amen
@asiamdachi93853 жыл бұрын
Masha Allah ujumbe mzuri sana
@florabuzoya26342 жыл бұрын
Huu wimbo umenibariki sana nimerudia kuusikiliza zaidi ya mara 5
@E-TMN4 жыл бұрын
Much love from kenya
@theonesteb.mwanamayi49995 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@florencekhatete47484 жыл бұрын
This year am breaking limits with this inspirational song.May God use you more to draw souls to his kingdom.
@wilycsterkwatera98804 жыл бұрын
Simba wa kabila la yuda Yuko hapa very powerful
@angelinemusana27233 жыл бұрын
Every time l listen to this song something bigger must happen to my soul as if am standing next to God. Ameeeeen
@vincentmaundu74485 жыл бұрын
Your so blessed pastor, your voice is blessing to me and many among the all nation. Big ups ad May Almighty God uplift more and more pastor
@wakeshongarera7725 жыл бұрын
Wimbo huu unanibariki sana
@arafatnassoro73983 жыл бұрын
Nalia kila naposikia nyimbo hii upo kwangu yesuuuuuuu?
@apollobupolo98843 жыл бұрын
MWAMPOSA anaupenda sana huu wimbo kwenye ibada zake amakweli MUNGU yupo nasi panapo Kusanyiko Amnaaaaa
@mamaafrica40805 жыл бұрын
Namuona yesu yuko hapa naupenda sana huu wimbo unanibariki sana.Ubarikewe sana ndugu
@rosembithe69272 жыл бұрын
Nyimbo zako tamu unibariki sana my brother may God bless you
@anithachrispine5044 жыл бұрын
Barikiwa sana unaimba kwa uhalisia na hautoki kwenye msatali hakika unawito hufanyi bihashara maana waimbaji weng sasa wanfanya bihashara nimebarikiwa Sana nymbo zako znanitoa sehemu naknipeleka sehemu hasa wimbo wa HAKUNA KAMA WEWE nabarikiwa sana sanaaaaa
@queensaida3334 жыл бұрын
Penda nyimbo zako xna..huwa zinanibariki xnaa
@bettyandeso65595 жыл бұрын
Amen.YESU yuko hapa ni kweli nimemuona.barikiwa sana bro Chris
@ruthwamboi25965 жыл бұрын
Am blessed...mungu akubaliki sana
@evaristeridrisser51533 жыл бұрын
I saw Jesus today through this song
@jessicastephano59744 жыл бұрын
Mwahangila nakupa like
@lukamu58062 жыл бұрын
I discovered this song today Friday so to me it is sounding very fresh very latest. Have downloaded it and just playing it on repeat fr the time I discovered it. Yeahhhh have seen Jesus near me. Jve seen his powers yeahhhh. Zambian 🇿🇲🇿🇲🇿🇲💯
@everlineonyona4168 Жыл бұрын
Nyimbo za huyu mtumishi, za ni gusa moyo naku ijenga
@nellynelly87962 жыл бұрын
Fungua moyo wako akuhudumie💃💃💃💃Yesu mutenda miujiza yuko💃💃💃💃💃penda sana kumutafuta Yesu 😍😍😍😍😍
@estamathew51673 жыл бұрын
Kwa imani na mm namuona yesu yupo hapa katk mahitaj yangu nitashinda ktk jina la yesu kristo
@bethshebachongo6029 Жыл бұрын
The man of God is truthfully siku zote mwaitenge mwaingila
@jeanjacquesibis3938 Жыл бұрын
Depuis le Cameroun, vraiment je suis ému par cette chanson. En l'écoutant, le bon Dieu se fait ressenti. Vraiment le Dieu d'Israël est manifeste, tangible
@leillagrace65114 жыл бұрын
Nimeskiza hii nyimbo over and over Mungu ako hapa kwa kweli🙏🙏🥰🥰🤗🙏🙏🥰🥰🥰
@pennyjohn28164 жыл бұрын
Yesu yupo nami sku zote amen🙏🙏
@leonardmugura6022 Жыл бұрын
I like this one .in Zimbabwean language Jesus Aripano......Jesus Aripano Aripano Aripano ...Ndamuona Jesu
@elizabetheliya15925 жыл бұрын
wawooooo mtumishi inaleta raha sana kwa kwetu na kwa YESU pia
@delraypizario35512 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wamungu nyimbo iyi inabariki kbs
@queenofdecor73653 жыл бұрын
Inspirational song .I declare that the remaining 2 months am breaking limits with this song
@neddykhaoya39793 жыл бұрын
Ni Kama namguza yeah hii song inapoimbwa.Hakika Yeah Yuko hapa.I love it
@annettemureshya42983 жыл бұрын
Mugu akumbariki sana kwanyimbo zako usipo zi miya roho mungu ata kurimpa zaidi ka mbisa
@valentinekavita88314 жыл бұрын
Its true Namuona Yesu.....hakika yuko hapa.
@risperkigen25784 жыл бұрын
Iam blessed by your songs ...Very inspiring it brings heavens down 🙏🙏
@mazingno1officialpage7104 жыл бұрын
Nice song Mungu mkuu kwa icho kipaji chako
@titrosa61832 жыл бұрын
This song reminds me my journey to salvation Big up man of God
@ronnexouma63065 жыл бұрын
Mtafute sana Yesu kuliko kutafuta miujiza, maana Yesu ndie mtenda miujiza..this song blesses my soul. God bless your ministry Chris.
@geofreymkwamira22444 жыл бұрын
Yan katika waimba injili hakuna mwimbaji nnaemkubali kama Chriss namuomba mung ampe pumzi na amjalie afya njema cku zote za uhai wake penda sana kakaangu Amen
@mwajaburashidi95314 жыл бұрын
Mpaka mwili umenisisimka... 😍
@fabricenkeshimana71904 жыл бұрын
Vip
@joelndayisaba70594 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo zako zinanijenga kabisa Mungu akubariki
@sonnynjeri12064 жыл бұрын
Hata Mimi nataka kumuona yesu maana Yuko.
@collo.africa5 жыл бұрын
This is a blessing. I'd love to work with you... Yesu yuko hapa...
@sharonolumbe20103 жыл бұрын
Nami nimemuona Yesu yupo hapa
@michelinefuraha52904 жыл бұрын
nyimbo zako zoke zinanibariki namuona Yesu yuko hapa nasikiya nguvu zake mungu nasikiya uwepo wake yuko hapa Amen Amen Yesu niguse na mimi
@emilymalawaga96754 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu ata mimi nabarikiwa sana kwa nyimbo zako zenye uvuvio
@thedykyaruzi86283 жыл бұрын
YESU wetu anaweza yote kwa imani anatenda, Ubarikiwe kaka🙏
@shubatheboss8526 Жыл бұрын
Kwelli kabisa hakuna kama yesu
@balozitv39005 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki
@guyantoinebob53673 жыл бұрын
Uwimbo una ni jenga ni roho asante mungu akutiye nguvu tena
@dorothyachieng56312 жыл бұрын
Indeed your songs are heart coolant.i always search for christopher songs everyday n listen before going to bed
@wlkmwlkm88464 жыл бұрын
Feeling blessd with this song kamati ya roho chafu mtaambia nn watu?
@elicanageorge13193 жыл бұрын
HAPO HATA UINGIE NA STRESS ZA MAISHA UNAZIACHA HAPO.
@irenebellabellah40035 жыл бұрын
Ameeeeèeen. Nimebarikiwa kwa jina la yesu
@jakeyfesto50994 жыл бұрын
Aki mm ubarikiwa na songs zako sana expecialy ii wah naona roho anashuka kabisa be blessed mtumishi wa mungu
@florahnekoye19914 жыл бұрын
May God use more
@epifaniamilinga28483 жыл бұрын
Endelea kuimba nyimbo za kuabudu,unaponya wengi
@sharonolumbe20103 жыл бұрын
Hakika nimemuona Yesu yupo nami halleluyah
@gisellekavira89664 жыл бұрын
Kweli ndugu yesu ako na wewe umeubiri enjili kupitiya nyimbo hii. I honor the grace of God upon you Mara nyimbo zako zote zanifariji.🙏🙏🙏
@alexlaurenti1740 Жыл бұрын
Nice Christoph tunakupend Burundi
@peterkihongosi90873 жыл бұрын
Siyo anapenda anastaili sifa kwakazi zake
@abugaann25014 жыл бұрын
I really like this.am blessed
@wlkmwlkm88464 жыл бұрын
💃💃💃💃💃Am feeling blessd with this song, God has done alot in my life who used to Laugh to me now are ashamed, wicked people enemies have no power now its God time💃💃💃💃
@guymasudi44224 жыл бұрын
Notre voyage n'avait rien donné, mais je garde confiance, rien n'est perdu. Il agira mon cœur est ouvert à Lui. Seul Jésus Christ Roi de l'univers visible et invisible en qui j'espère et je ne crains rien
@badlandz66732 жыл бұрын
Namuona yesu yuko hapa that lyrics am telling u hallelujah 🙏🏻🙏🏻