Wimbo iko Sawa bt kwani uwezi perform bila kupanda kwa vitu
@lydiamwihaki15152 жыл бұрын
Mimi pia nashindwa mpaka apande juu mara ajiangushe
@patrickebole86522 жыл бұрын
@@lydiamwihaki1515 iyo mm uwa inaniudhi Sana
@evangelistvincent79692 жыл бұрын
Kama sio kupanda kwa vitu na kuanguka kwa matope hangekuwa famous.. Wengi wameingia illuminate wakuwe famous but yeye ametumia ujanja bila kuingia kwa shetani. Akili my friend.