2024Eu adoro tanto essa música...estão de parabens❤
@rodgersthethe99636 ай бұрын
GOOD MESSAGE GUYS KEEP THE SPIRIT
@ElizabethIravuna-i1i13 күн бұрын
Bwana yesu asfiwe wimbo umenijaza sana nitafuteni munilee katika wimbaji napenda sana wimbo,
@TitusKorir-vd3le9 ай бұрын
Mungu asifiwe
@mercyogato9052 Жыл бұрын
This song reminds of my dad he used to tell me whatever you do in darkness it will come to light he used to play this song anytime i wronged him as a kid 😢 May his soul rest in peace 😢
@sharletmwambui48553 ай бұрын
Naskia kutetemeka nikisikiza huu wimbo! Ni lazima nijitahidi kuwa sawa na Mungu na pia mwanadamu. Barikiweni wana kwaya.
@HabinezaAbdon Жыл бұрын
Mfanikiue knxa mungu awape nguvu 😢😢😢
@veronikajackison46822 жыл бұрын
Mmeimba vizuri sana Wana wa mungu,nimebarikiwa sana,hasa ujumbe wa wimbo,tujiweke tayari kwa Toba mapema tusijeaibika siku ya mwisho.kwa kupitia wimbo huu wengi waponywe wamjue yesu.mbarikiwe saaana Wana wa mungu.
@devotajulius7572 Жыл бұрын
Amen mumetubirin injini
@jothamekisouke23262 жыл бұрын
😭😭😭😭Ni wimbo Unaonitoa machozi Mara kadhaa.... Kweli Mambo yte tunayoyafnya gizani Leo iko sku yatawekwa peupe.....
@AnthonyEtiang3 ай бұрын
Huu wimbo unabariki sana,mubarikiwe sana
@BarakaMwajanaga3 ай бұрын
Mungu atulehemu maan daah kila ninacho Fanya anaona
@getrudemuluki25302 жыл бұрын
Amina amina Wimbo mzuri huu neema bado ipo kila mtu atubu ajitakase awe tarari maana yatawekwa peupe siku moja
@monicasisya67792 жыл бұрын
Mmenibariki kwa kiwango cha juu Amen 🙏 🙌 👏 ❤
@josephatmanthi40784 ай бұрын
Still cogratulating the choir for a nice job , may God pay you
@DennisOmare-zx8mhАй бұрын
Nimepalikiwa 🎉
@davidmagehema52954 жыл бұрын
Hakika mambo yote peupe mbarikiwe sana wanakwaya
@willard92604 жыл бұрын
nimebarikiwa nakuzidi kujihoji katika safari hii ya mbinguni
@janetkalamanzozi6675 Жыл бұрын
Dunia imeisha tumuamini Mungu tuishi maisha ya upendo.
@danieljonkey-vh8fc Жыл бұрын
Wimbo huu unaniliza sana
@joyceserem65686 ай бұрын
Very true mambo yote tuweke peupe bila kujificha,macho ya mungu ni makali kumulika Kila kona😢😢😢🤲
@miriyamasanja67662 жыл бұрын
Nimeumis huu wimbo japo Ni wa kitambo sanaaa
@JeanmarieNshimirimana-he8bb3 ай бұрын
Ni kweli kwenye utotoni wangu nilikuwa sijui barabara Kiswahili ila nilikuwa naskia wimbo huu.so ni kweli nimebalikiwa sana kuskia Na kuona kwa macho yangu
@HarrisonMwazuma Жыл бұрын
Wonderful song God bless all
@JACKSONEMBODE-xh4hq4 ай бұрын
Amina mambo yetu yatakuwa peupe.Mungu atusaidie tutende mema.
@elinabenderathuvaelinabend7929 Жыл бұрын
Kabsa.kilapeupe.mubarikiwe.sana🙏🙏🙏🙏
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
Hakika Mungu atusaidie😭
@josephatmanthi40787 ай бұрын
Shukrani ziwaendee hawa wana choir, utukufu umfikie mungu wa mbinguni
@ministerlunas Жыл бұрын
I love this song with my whole heart ❤️
@sumambukwa2864 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana cjawah choka kuusikiliza huu wimbu una ujumbe sana
@fatumaibrahim89732 жыл бұрын
Mashallah 🥰 mwenyez mungu awape maisha marefu
@MsandajrSaimon4 ай бұрын
Wimbo WA moto wakat wote haubadiriki mbarikiwe
@CosterAugust2 ай бұрын
great great reason for us to repentance
@paulineshitandi1864 Жыл бұрын
Thanks for the good message am always blessed by your songs may God bless you abundantly
@japhethkiema27472 жыл бұрын
Wonderful work, Ambassadors of Christ, good and sound song, it's. listenable
@VallaryBaraka4 ай бұрын
Mungu tusamee watu wakoo
@StansilausvisensioKapinka5 ай бұрын
Yesu awabariki
@CosterAugust2 ай бұрын
mungu apewe sifa
@jovansoares23162 жыл бұрын
Muito lindo esse hino sou do Brasil mais gostei muito
@tamalihussein57932 жыл бұрын
Mungu awatunze mnaujumbe mzuri sana
@happyshayo69594 жыл бұрын
Mungu awabark kwa ujumbe mzur hakika Mambo yote n peupe cku ikifka