Christian Bella ft. Hamisa Mobetto - BOSS (Official Music Video)

  Рет қаралды 5,264,967

Christian Bella

Christian Bella

Күн бұрын

Пікірлер: 3 400
@VijanaPowerTV
@VijanaPowerTV 5 жыл бұрын
King wa ma melodies Likes za Bella tafadhali! 🔥🔥
@lukindoomary8616
@lukindoomary8616 5 жыл бұрын
Vijana Power TV huyu jama anajua
@janethjoseph5293
@janethjoseph5293 5 жыл бұрын
hatamm nnam kumbali
@lennyfence183
@lennyfence183 5 жыл бұрын
Kali keeping big up
@storyzetu8114
@storyzetu8114 5 жыл бұрын
Kama umeanza kumuelewa HAMISSA katika game ya muziki weka like yako hapo Ni motooooo
@josendaki2321
@josendaki2321 5 жыл бұрын
Safi sana uko juu sama
@faithjoseph9255
@faithjoseph9255 5 жыл бұрын
Yupo vzr
@NaomyBernard
@NaomyBernard 4 ай бұрын
Kama umeipenda sauti ya hamis gong like
@mgubulilefamily531
@mgubulilefamily531 5 жыл бұрын
Mtu akisema nyimbo mbaya huyo ni mchawi wa maisha, nice song mobeto God bless you, gonga like twende pamoja ❤
@mtetezimellody5161
@mtetezimellody5161 5 жыл бұрын
Eh! Eh!Eeeh!!Bonge moja la pini like yako hapa kama umeikubali hii ngoma kutoka kwa King of the best mellodie CB
@nicoleli8098
@nicoleli8098 5 жыл бұрын
Mtetezi Mellody gud
@laikatwaha8934
@laikatwaha8934 5 жыл бұрын
Mtetezi Mellody yap
@josephinekwaselema5566
@josephinekwaselema5566 4 жыл бұрын
Wangapi mnaangalia hii Ngoma zaidi ya Mara tatu kwa siku kama mimi noma sanaaa 👏👏👏
@BrianKiprop-el6bg
@BrianKiprop-el6bg Жыл бұрын
niko hapaaa
@wasaoswaq
@wasaoswaq Жыл бұрын
@laurie_lifestyle
@laurie_lifestyle 5 жыл бұрын
Hamisa baby kasauti tu. much love from Dubai. Nipeni likes basi kaa unamkubali Hamisa
@ruthmaina7810
@ruthmaina7810 5 жыл бұрын
Soo sweet voice 💋❤❤❤❤
@ruthmaina7810
@ruthmaina7810 5 жыл бұрын
Hamisa nakupenda sana ❤sauti tu💋
@maurynenazzi1430
@maurynenazzi1430 5 жыл бұрын
Thanks dear plz mk people view it❤👏
@priscaalphonsine2753
@priscaalphonsine2753 5 жыл бұрын
lauryn kirimi ❣️❣️
@BONGO_FILAMU
@BONGO_FILAMU 5 жыл бұрын
Waliowaza kurudia mara ya pili kabla nyimbo haijaisha ....twende sawa
@bettymasitsa4425
@bettymasitsa4425 5 жыл бұрын
Mimi
@moonpatienceongara5607
@moonpatienceongara5607 5 жыл бұрын
Naangakia mara ya 4
@najmommy8768
@najmommy8768 5 жыл бұрын
Kama umeniona vile haha
@venesterkemuntos536
@venesterkemuntos536 5 жыл бұрын
Aki nimerudiaaaaaa mara Mia moja
@venesterkemuntos536
@venesterkemuntos536 5 жыл бұрын
Narewandi Tu usiku muzima
@bizimanasadiki1657
@bizimanasadiki1657 Жыл бұрын
Christian and Hamisa Mbeto Congratulated to your beautiful song i like verry muche ! Yani ki Ukweli Muziki wenu huu Umeniosha moyo Mungu Awajalie Muendelee kutupa Vitu Vipya
@faithjoseph9255
@faithjoseph9255 5 жыл бұрын
Hamisa asiwepo mtu wa kukuvunja moyo wallah hii nyimbo umeitendea haki kbsaaaaa.... Mungu aendelee kukubariki na kukuinua viwango vya juu zaidi Amen🔥🔥🔥🔥🔥 Mliosema hamisa hajui kuimba tangulien sero tuwakute😂😂😂👌👌The real definition of madam Hero
@maimunaathman4664
@maimunaathman4664 5 жыл бұрын
True there's big improvement, keep it up lady misa
@faithjoseph9255
@faithjoseph9255 5 жыл бұрын
Yes dear
@kimsd2184
@kimsd2184 5 жыл бұрын
Hakuna linaloshindikana chini ya jua .....kama unataka kitu jipe muda kuna muda Hamissa atakuwa top na waliombeza watashangaa
@anitangingo9598
@anitangingo9598 5 жыл бұрын
Yani hamisa anazidi kukomaa kimuziki siku hadi siku
@miss-kitawa3254
@miss-kitawa3254 5 жыл бұрын
Team misa like sijapata jomon mzee wa masauti hapo ndio ninapo mpendeaga Christian Bella🎶🎶💞😍😍😍😍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹💕💕:🔝🎼🎼🎵🎵🎵🎵🎧🎧🎧🎙🔥🔥🔥
@rayanalhabsi8029
@rayanalhabsi8029 5 жыл бұрын
ngoma kali sanaaaa
@ummunaaleicester4337
@ummunaaleicester4337 5 жыл бұрын
@@rayanalhabsi8029 tupo
@issadady1351
@issadady1351 5 жыл бұрын
Angely -kitawa 👌👌👌
@maurynenazzi1430
@maurynenazzi1430 5 жыл бұрын
Thanks dear plz mk people view it on their phones❤
@mtamomtamo544
@mtamomtamo544 5 жыл бұрын
Angely -kitawa
@beroyagospelchoirkahama1979
@beroyagospelchoirkahama1979 5 жыл бұрын
Kwan mnakwama wapi na hiki kinyimbo chenu, yaan hata 1million viewers hamjafika. Wababe tumeshapindua meza kibabe kule #INAMA #MAAJABU Like zenu
@L_twaxiebae123...
@L_twaxiebae123... 4 ай бұрын
Angalia saiv
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 жыл бұрын
Mambo ni motoo jaman na mm naombeni like khaa kila cku nawapa nyie tuu
@chubeally5293
@chubeally5293 5 жыл бұрын
Mashallah
@annatariq5378
@annatariq5378 5 жыл бұрын
Husna Uthman hamisa amejitahid sana mara hii ameitoa sauti kwakwel
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 жыл бұрын
@Kids 💕CHANNEL Hahaha rahaaa kuona coment yako ina like😂
@emmanuelkakuru1977
@emmanuelkakuru1977 5 жыл бұрын
Ngoma nzur
@richardmkandara3433
@richardmkandara3433 5 жыл бұрын
King of best merrod of Tz Christian Bella
@josephineakinyi1493
@josephineakinyi1493 5 жыл бұрын
Waliosema eti Hamisa ajuwi kuimba wako wapi?👆
@husnauthman7609
@husnauthman7609 5 жыл бұрын
Hakuna,aliezaliwa anaweza kila kitu
@happinessdmushi795
@happinessdmushi795 5 жыл бұрын
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Haka ka wimbo katamu jmn.👌👌👌
@marymsuko7919
@marymsuko7919 5 жыл бұрын
Wangapi wanasikiza na kusoma comments kama mimi tujuane. Hii imetisha saana. Fire baiby 😘💥💖
@mwanaidimgonja4910
@mwanaidimgonja4910 5 жыл бұрын
Fire
@mchumbaneema215
@mchumbaneema215 5 жыл бұрын
daaaaa hatari San nmeipenda hiy
@elizabethdaudi3839
@elizabethdaudi3839 5 жыл бұрын
Wow
@kennforreal5212
@kennforreal5212 5 жыл бұрын
Ni moto hii can't stop playing
@marianakomba7925
@marianakomba7925 5 жыл бұрын
Mary Msuko
@fatmarashidfatmarashid4291
@fatmarashidfatmarashid4291 5 жыл бұрын
Woow nimefurahi haki dada umeashida wasanii wengi sana but kwa kuwa roho mbaya ziko ndaniyao hawawezi kusifia umetisha dada tena sana endelea kupambana usisikize ya watu 😙😙😙
@amedeuslyimo2315
@amedeuslyimo2315 3 жыл бұрын
Dahhhhhhhh. Am speechless off you hamisa wachaa nilieee tuuuu😵😵😵😵
@attalebel
@attalebel 5 жыл бұрын
Agaaaaa Hamisa umetisha. Hilo jamaa halihitaji comment balaa lake linaeleweka. slt
@kakasijohari7461
@kakasijohari7461 5 жыл бұрын
Hatari 🔥🔥🔥🔥🔥@Christian Bella &@hamisamobetto mtabaki kuwa juu ,chiiiiiiiiiiiiiiiiiiîi
@kashihamakaundama1653
@kashihamakaundama1653 5 жыл бұрын
Bella tisha mbaya lazima wateteme
@jennifernduka720
@jennifernduka720 5 жыл бұрын
Nikirudi Tz nitapiga nyimbo kwenye Sabufa mpaka ziombe poooo 🤗🤗🤗🤗🤗 one love Hamisa Mobeto 😍😍😍
@surusuru1994
@surusuru1994 Ай бұрын
😂😂😂😂😂❤❤❤
@roseirungo1950
@roseirungo1950 5 жыл бұрын
Wooo wimbo mzuri hadi unakera 😋😋😋😋😋 Wale mliosema hamisa hawezi imba hiyo ni nyanyenu kaimba🙄 Manyoko nyie🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@patrickjohn9495
@patrickjohn9495 5 жыл бұрын
Wamebaki midomo wazi na nyimbo tamu inawaingia taratibu
@consolatamaarufu58
@consolatamaarufu58 5 жыл бұрын
Rose Irungo 😁😀😁😁😁😀😄😀🔥🔥🔥🔥🔥
@ibrahimsiwila8541
@ibrahimsiwila8541 5 жыл бұрын
Hii ngoma iko pw kama umeielewa gonga like hapa kisha comment yeyote hapo
@patrickjohn9495
@patrickjohn9495 5 жыл бұрын
Iko vizuri kila upande
@patrickjohn9495
@patrickjohn9495 5 жыл бұрын
Kaimba kilingali sio kiswahili wako wapi waliosema misa hawez kuimba #mond #Rubi aibu yao
@halimafuketi8369
@halimafuketi8369 5 жыл бұрын
Jamani n mm kutoka Kenya naomba like zenu wabongo
@Kulwasaidi
@Kulwasaidi 10 ай бұрын
@rhouzieosore5143
@rhouzieosore5143 5 жыл бұрын
Hamisa I love ❤❤❤❤ ur growth even Roma was not build in one day n that's why I will always support you coz u gave growth time n each day u show growth Congratulations this collabo is 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 support from +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi like za growth
@kellyfrank5448
@kellyfrank5448 5 жыл бұрын
rhouzie osore christian bella thanks vocal imetulia
@innocent_kazeratv2787
@innocent_kazeratv2787 5 жыл бұрын
Beat ya kinyamwezi...kama umeikubali hili pini gonga like hapa...🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇯🇲🇯🇲🇯🇲
@peterkyese4516
@peterkyese4516 5 жыл бұрын
Hatariii
@marrychomola1828
@marrychomola1828 5 жыл бұрын
Ngonga like apa kama umeipenda jaman hamisa anajitahidi kinahamo waliimba Malaika wakakataliwa Lakin Leo Yuko juu ila hamisa anajitahidi Sana
@rayanalhabsi8029
@rayanalhabsi8029 5 жыл бұрын
bella na hamisa kazi mzuri sanaaa
@JamesJames-en3nm
@JamesJames-en3nm 2 жыл бұрын
Wangap 2023 mnaangalia ngoma hii
@flornce123oganda8
@flornce123oganda8 5 жыл бұрын
Wooooollliiiiiyeeeee team misa hoyeeeeee ngoma kaliiiiiii wow, najukuta mwenyewe
@omarykishoke5933
@omarykishoke5933 5 жыл бұрын
Tatzo ni nyota au kutokuwa mzawa...like mingi kwa Bella 🙌🙌💥
@salvatory2987
@salvatory2987 5 жыл бұрын
Kumbe hujui, Bella is a king of vocals 👑 in Tanzania, every Tanzanian knows and accept it. Tunamkubari sana.
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 жыл бұрын
Nani bado anaskiliza hii 2020?
@justuskirui4863
@justuskirui4863 5 жыл бұрын
Mi nimekuja kuona hamisa kama weee pia ngoga like twende
@patrickbalickpatrick3744
@patrickbalickpatrick3744 5 жыл бұрын
Haya twende kama umemuona mwarabu gonna like hapa
@laurie_lifestyle
@laurie_lifestyle 5 жыл бұрын
Patrick Balick Patrick lol nimemuona
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 5 жыл бұрын
😄😄😄😁😁😁
@tatumkumba5397
@tatumkumba5397 5 жыл бұрын
Patrick Balick Patrick nimependa sana
@virginiawangui1108
@virginiawangui1108 5 жыл бұрын
Hamisa hua hazongui kitu poa ajabu
@manchizemedia8060
@manchizemedia8060 5 жыл бұрын
BELLA SHIKAMOOO!!!! MUNGU AKUBARIKI KWA KUWASAPOTI RAIA WETU CHA MSINGI USIBAGUE WAKUWA KAMPANI BROTHER BEBA WOTE TU KWANI SH NGAPI?????? DADA HAMISA BIG UP !!! UMEBEBWA UKABEBEKA.
@amlialoyce619
@amlialoyce619 4 жыл бұрын
Nakubali xaxana hamisa namini ipo xiku mungu atakuinuwa juu zaid ya apo I love you so March
@ndagoboystephan7242
@ndagoboystephan7242 5 жыл бұрын
Kama na ww umeirudia ngoma hii kali mara mbili mbili twende sawa hapa
@nyishudodo7810
@nyishudodo7810 5 жыл бұрын
mala kumi 😂😂😂
@mercimerci9644
@mercimerci9644 5 жыл бұрын
Cristian na hamisa much love from Kenya 🇰🇪❤❤
@alliceallice8937
@alliceallice8937 5 жыл бұрын
Bella hamisa kama utasoma iyi comment naitaji jibu kutoka kwenu tena tunataka yingine ngoma kama iyi nawee kama unayitaka nip lik nione kama munanijali👄
@jamesurassa7263
@jamesurassa7263 5 жыл бұрын
NIKIAMKA NAAMKA NAO SIKU NZIMA NASHINDA NAO MAANA UMEPENYA MPAKA KWENYE MISHIPA YA DAMU...KIUKWELI WIMBO NI MZURI VIDEO NAYO NI KALI HATARI....KEEP IT UP 🔥🔥🔥🔥
@asiacalvin5175
@asiacalvin5175 5 жыл бұрын
James Urassa yani mimi nikistuka usiku wa manane nausikiliza umepenya kweny dam
@priscillaamossen8249
@priscillaamossen8249 5 жыл бұрын
Boss Bella na mremboTanzania nzima miss Mobetto 🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️
@harmoniofficialtz6065
@harmoniofficialtz6065 5 жыл бұрын
Nimependa ulivyo Anza Bella na kuitikia mbetto. We mdau Kama Mimi Kama umeufurahia njoo nikuonee
@wizdallas6282
@wizdallas6282 5 жыл бұрын
Km me
@rahmaathman721
@rahmaathman721 5 жыл бұрын
Harmoni Official yaan song 🎵 ni taaam jaman Bella and missa ni. Fire😍😍
@harmoniofficialtz6065
@harmoniofficialtz6065 5 жыл бұрын
Yes nakubali
@bellaalis1272
@bellaalis1272 5 жыл бұрын
Na penda sana iyi kwa lingala na france ongera sana hamisa
@bellaalis1272
@bellaalis1272 5 жыл бұрын
Hamisa edela ivo
@hamzacedricole3673
@hamzacedricole3673 5 жыл бұрын
Tatizo simba kaashia inama video sasa iyi aita trending San sababu simba kaashia video kamuharibia hamissa na fasi wallah
@nyishudodo7810
@nyishudodo7810 5 жыл бұрын
yule kaka ana Roho mbaya hataki Hamissa na zari wafurahi hata siku zari alikuja Bongo arifika anachia vidéo yak ili watu wasifwatilie yake ila kila mtu ana nyota yake tutam saport tu
@claraemmanuel4169
@claraemmanuel4169 5 жыл бұрын
Hamisa umeiva mumy😘😘 Christian bella Asante umeona kipaji Cha mtt mzuri na umeamua kumfundisha hizi ni juhudi zako big up brother.
@ferdicamkaya
@ferdicamkaya 5 жыл бұрын
naupenda sana huu wimbo wa hamis na Christian kwanza nampa hongera dada yetu kipenz hamisa mobeto wimbo ameutendea haki ongera sana
@claraemmanuel4169
@claraemmanuel4169 5 жыл бұрын
Ferdi Camkaya 🙌😘
@cathelinjoseph3366
@cathelinjoseph3366 5 жыл бұрын
Naikubari Goma hiii
@frankmadege5224
@frankmadege5224 4 жыл бұрын
Safi sana@@ferdicamkaya
@everlynemulongo7004
@everlynemulongo7004 5 жыл бұрын
Kama na wewe umependa hio part ya Misa ngonga like tuendeeee 👇👇👇👇👇🧚🧚🧚🧚🧚🧚🧚🧚🧚🧚go Misa
@firstdanah8746
@firstdanah8746 5 жыл бұрын
Wanakusema sanaaa mobbeto ila ww nimpiganaji sanaaa inshaallah utafika upatakapo
@saidamsangi6670
@saidamsangi6670 5 жыл бұрын
umeniua my love hamisa mpka ninajisikia Julia jmnii Kumbe unaweza Hvo Christian Bella jmnii tutakuheshimu umemsaidia dadaetu
@milkerndunya1538
@milkerndunya1538 3 жыл бұрын
Jamani mpaka mtoto wa 1.9 yr kaganda hataki nyimbo ingine
@خسنموس
@خسنموس 5 жыл бұрын
Nmerudi kwa Hamisa sasa hii umeimba vzr sana umeua kwa sauti yako nlikua nasubiri next song unakujaje but umenimaliza kwa hii misa big up sana..
@mlimaMT
@mlimaMT 5 жыл бұрын
🤣🤣 mimi kwa misa sitoki
@irenenelson9072
@irenenelson9072 5 жыл бұрын
Wako wapi team @hamisamobetto, wekani like twende pamoja 👍👍
@rebeccaungwa1787
@rebeccaungwa1787 5 жыл бұрын
IRENE Nelson here
@benedictamaganga614
@benedictamaganga614 5 жыл бұрын
Tupooooo
@shiraann632
@shiraann632 5 жыл бұрын
👌👌👌
@nihalimohamed1875
@nihalimohamed1875 5 жыл бұрын
Tupo
@ratiffahdolle9931
@ratiffahdolle9931 5 жыл бұрын
Tupoooooooo
@blaiiisehakiza
@blaiiisehakiza 10 ай бұрын
Like yako kama you're listening to this pist in 2024
@selemanjuma1595
@selemanjuma1595 5 жыл бұрын
Mondi kaa pembeni hili goma halikuhusu linawenyewe gonga like hapa twende sawa
@godfreywazidy3141
@godfreywazidy3141 5 жыл бұрын
Acha ushamba ww mond anahuska na nn kwenye hii ngoma au unawashwa
@rkplatnumzrkplatnumz9691
@rkplatnumzrkplatnumz9691 5 жыл бұрын
Seleman Juma Mmmmh. Unaumwa ww au unamuonea wivu tanaxha unataka ww ndo uwe tnxh
@annariziki5851
@annariziki5851 5 жыл бұрын
@@rkplatnumzrkplatnumz9691 nice
@Johnjoo196
@Johnjoo196 5 жыл бұрын
Una mwonea wivu tanasha mzee daa kweli wanaume surual
@ansyfalesy1457
@ansyfalesy1457 5 жыл бұрын
Dah,, hamisa upo vizurii
@aminamaulidi1788
@aminamaulidi1788 5 жыл бұрын
Namkuba sn hamisa ❤❤❤🙌🙌🙌hii sauti naweza kwenda kopea diriham kwa kwa Shekhe Zayd Dubai shukurani hamisa👍👍👍👍👍🙌❤❤❤
@pyuritjuvenal7657
@pyuritjuvenal7657 4 жыл бұрын
Dah hamisa umepatia hap,! Sheri nalinga kayomigiieeh yoza limoba liyavinangaiih atabaliedise pambaeeh ngana kulinga kakayooh zhetem zhetem elepulivi motema nangaiih Kama na ww umekubali achia like
@gloriakwibe7410
@gloriakwibe7410 5 жыл бұрын
Hamisa is the first song napenda kutoka kwako 👌👌👌👌👌👌🇹🇿🇨🇩🇨🇩🥂👌👌👌 umeimba vizuri
@engkinuthiagerald2763
@engkinuthiagerald2763 5 жыл бұрын
true
@mymunamymuna4807
@mymunamymuna4807 5 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@jacquelinembanda
@jacquelinembanda 5 жыл бұрын
Team Hamisa hapa like zake❤️❤️👇🏾kitu hicho ❤️❤️❤️❤️
@hildaurassa4174
@hildaurassa4174 5 жыл бұрын
Safi Hamisa songa mbele waache waongee tu songa mamaaaa😍😍
@hyungtae318
@hyungtae318 5 жыл бұрын
Kama umemuona Christian Bella kavaa sketi nyeusi gonga like hapa😂😂😂😂
@kibibijimmy8791
@kibibijimmy8791 5 жыл бұрын
hiyo sio sketi ni kam misuli wanaume wakikongo wanavaa sio sketi unazozijua
@everlynemulongo7004
@everlynemulongo7004 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@benlyn8212
@benlyn8212 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@Tapleley
@Tapleley 5 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂
@marynoni7498
@marynoni7498 5 жыл бұрын
hahahahha mjinga kweli hahaha eti siketi nyeus
@bellathegreat3802
@bellathegreat3802 5 жыл бұрын
Tisha sana Brother like kama zote kama unamkubali
@fathmasalim7934
@fathmasalim7934 5 жыл бұрын
Team Misa Forever from +973 wapi like tujuwane
@zingabrigitte652
@zingabrigitte652 5 жыл бұрын
Courrage hamisa
@zingabrigitte652
@zingabrigitte652 5 жыл бұрын
Hot song
@maurynenazzi1430
@maurynenazzi1430 5 жыл бұрын
Thanks plz mk people view it ❤
@mymunamymuna4807
@mymunamymuna4807 5 жыл бұрын
Tz swtheart ni🔥🔥🔥🔥
@aishaelias3867
@aishaelias3867 5 жыл бұрын
Hamisa mobeto this round time you Nailed it best collaboration ever go gal go much love from kenya Germany 🇩🇪
@mercyromanus5033
@mercyromanus5033 5 жыл бұрын
Exactly my thoughts...
@claireantonie9574
@claireantonie9574 5 жыл бұрын
Best ever
@bettymasitsa4425
@bettymasitsa4425 5 жыл бұрын
Yees
@maurynenazzi1430
@maurynenazzi1430 5 жыл бұрын
Thanks dear plz mk frds view it❤
@dottoemanuel9697
@dottoemanuel9697 3 жыл бұрын
Welcome to dar esalaam Tz
@kazamoyo7631
@kazamoyo7631 5 жыл бұрын
Jamani kunawatu wameumbuka hapaaa. Wako wapi walosema hamisa mziki haumfai? Sasa kaalikwa ikulu kumuimbia rais. Wale wapiga majungu wamealikwa magereza kweli mungu humpa mtu kinacho mstahili
@jumachingomanje6439
@jumachingomanje6439 5 жыл бұрын
Well said
@jennymallya4533
@jennymallya4533 5 жыл бұрын
Upaswi kukaa kinyonge ukiwa na me ##weka like zako nkufuate
@kinjeathuman2350
@kinjeathuman2350 5 жыл бұрын
Mimi ndo mkaguzi mkuu wa nyimbo kali Tz.... Nasema hivi hii ni yenyewe KBS 👐
@godfreybryson6039
@godfreybryson6039 5 жыл бұрын
Hahahaaaa sawa sawa mkuu kwamba hii ni yenyewe hahahaaaa
@tinahmashaka4355
@tinahmashaka4355 5 жыл бұрын
Yan xo kwa mkaguz ww,, jna mekukuta kwa kala umexma n ynyw kbxa,,, ax ip zaid
@angelally5258
@angelally5258 5 жыл бұрын
😍😍😍😍
@ShamsaDavid
@ShamsaDavid 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤ kama unamkubali mobetto na christian bella
@ShamsaDavid
@ShamsaDavid 2 ай бұрын
Naombeni like jamani
@poshsmith4268
@poshsmith4268 5 жыл бұрын
Mbona wimbo mzuri sana....video ya hatari munooo....ginga like hapa kama umeikubali video
@bernis2579
@bernis2579 5 жыл бұрын
Relistening hiyo part hamisa anaimba kilingala......wooow this lady is multi blessed
@enidajeremiah4102
@enidajeremiah4102 5 жыл бұрын
Nyimbo Kali bro !!Ila kama kavaa sketi waliona tuungan
@husnahongeramwinjuma1436
@husnahongeramwinjuma1436 5 жыл бұрын
good
@mercyromanus5033
@mercyromanus5033 5 жыл бұрын
@@enidajeremiah4102 ni kawaida kwa Congo na ni vaz la heshma uko so nahc kavaa hvo cs wmbo wametumia kicongo pia
@philexsiyoi-mj2fi
@philexsiyoi-mj2fi Жыл бұрын
Namwelewa sana hamisa mobeto,,,keep it up toto la kitanga
@zablonchesa1157
@zablonchesa1157 5 жыл бұрын
Likes zangu mbili na tisa za Hamisa pliz
@BigZhumbe
@BigZhumbe 5 жыл бұрын
Huyu ndo Misaaaaaaaaaa go go bae I love you 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Here for #Hamisa
@willison1066
@willison1066 5 жыл бұрын
Big Zhumbe uko juu
@bbycandy3979
@bbycandy3979 3 жыл бұрын
Nzuri sana bby amisa
@sampalsa_Official
@sampalsa_Official 5 жыл бұрын
Nimeisubiri kwa ham Sana baba, kazi kubwa sana baba big up Sana the best melody @Christian Bella kazi kubwa sana my brother
@gamechanger9646
@gamechanger9646 5 жыл бұрын
Hapo kwa kikongo Hamisa umenikumbusha Yondo Sisters 🔥
@reyca_v.i.p
@reyca_v.i.p 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@irenembowe1747
@irenembowe1747 4 жыл бұрын
Jiaaamini tena uringe ukiwa na mim💋😙😙
@charleseshiembwe922
@charleseshiembwe922 5 жыл бұрын
2:30 chéri nalingaka yo mingi ee yozali mobali ya vie na ngai atabalobi se pamba , nga nakolinga kaka yoo ...je t'aime , je t'aimerai pour la vie motema na ngai. Swahili version [ mpenzi nakupendaga sana wewe ndiye mwanaume wa maisha yangu hata wakisema ni bure mie nita kupenda wewe...nakupenda nitakupenda kwa maisha moyo(roho) yangu]
@gabrielshewio6599
@gabrielshewio6599 5 жыл бұрын
Very nice verse I appreciate
@lubungatv3609
@lubungatv3609 5 жыл бұрын
Tokoos
@charleseshiembwe922
@charleseshiembwe922 5 жыл бұрын
@@gabrielshewio6599 thanks bro
@charleseshiembwe922
@charleseshiembwe922 5 жыл бұрын
@@lubungatv3609 merci
@zabibubashiri3034
@zabibubashiri3034 5 жыл бұрын
Hamisa cjawahi kukufagilia ila umenigusa Asante I like you mamaaa kwanza umeimbavizuri sana na umetokelezea
@arafachiponde6745
@arafachiponde6745 5 жыл бұрын
zabibu mjema yani hata mm nilikuwa simpendi ila hii big up.sana.
@saidlwanda845
@saidlwanda845 5 жыл бұрын
Up OK xaut hongela hamixa
@mwanazizsalua5068
@mwanazizsalua5068 5 жыл бұрын
nampenda sana amisa kwakweli uu wimbo naupenda sana sichoki kuuangalia
@jastonemile6534
@jastonemile6534 4 жыл бұрын
Naipendaaaaaaa sanaaaaa
@dottoemanuel457
@dottoemanuel457 3 жыл бұрын
Leo ninamajonzi yakupoteza Rais mpendwa ila najifaliji na wimbo wa mobeto
@yusraibrahim8218
@yusraibrahim8218 5 жыл бұрын
DAHAMISA CHAUTUTUNDU UPO nakuonatu wazidikuwabuluza mtandaon WAOOO WIMBO MZULI DAHAMISA HONGERA🔥🔥✔
@ndagoboystephan7242
@ndagoboystephan7242 5 жыл бұрын
Jamani bella kashindikana na huyu mwanamke ndo hatari kabisa yaani ni 🔥 mno
@rehemashelukindo3799
@rehemashelukindo3799 5 жыл бұрын
Bella umefanya nmeanza kumpenda misaa kwenye kuimba dah big up to nyie
@aminahassan1546
@aminahassan1546 5 жыл бұрын
Kwakwel wabongo hawataachakusema piga kazi wabaki midomo wazi!!!!!!! Hamisaaaaah
@elizabethmichael1431
@elizabethmichael1431 5 жыл бұрын
wow! misa jiachie mama naona ss umeiva yani ngoma umeitendea haki yani utabaki kileleni 🔥
@rddully6584
@rddully6584 5 жыл бұрын
like kama umeona hamissa anaweza kuimba.
@alisss9757
@alisss9757 5 жыл бұрын
Uyo ni marikia wakuimba nakasauti kazuli
@judymensch
@judymensch 5 жыл бұрын
why you don't sing stupid🤣
@judymensch
@judymensch 5 жыл бұрын
You are so stupid 😢you broke 💶
@danieljohnson6539
@danieljohnson6539 5 жыл бұрын
Nimependa kinyama sehemu yako mobeto ulivyoimba félicitation madame chérie nalinga'kayo mingi,......!
@gloriamkenda6807
@gloriamkenda6807 3 жыл бұрын
Katisha mno💞💞💞👆
@elirehemalema6828
@elirehemalema6828 2 жыл бұрын
Yan
@bananatz4216
@bananatz4216 5 жыл бұрын
From Muscat mobetto wewe ni nyoko kwahiyo umezima vi song vyote dah najionea taabu mm sio kwa song hili uko vizuri mama 💪💪💪🙏🙏🔥🔥💕💕 kama nawaona team #WCB mlivyo nuna 👌👌👌👌👌
@jafarijumanne6922
@jafarijumanne6922 5 жыл бұрын
Wcb hoiiiiiiiiiiii😂😂😂mobetoh kill them mumy🤣🤣🤣
@esthermbilinyi3611
@esthermbilinyi3611 5 жыл бұрын
Nice hamisa nyota inazidi kuwaka
@ThomasKimulu-lo4pi
@ThomasKimulu-lo4pi 3 ай бұрын
264 representing❤
@dreambeesafricalimited4831
@dreambeesafricalimited4831 5 жыл бұрын
Hamissaaaaaaaa always unazidi ku improve...hii ni kali saaana Hammisaa ...bella tumezoea ni mwendo wa kuua kila kona
@brendagwembe9495
@brendagwembe9495 5 жыл бұрын
mm siyo team hamisa ila leo nakupa like
@eutopiakavishe9326
@eutopiakavishe9326 4 жыл бұрын
Good song naikubali kinoumerh ...
@saidsongo4998
@saidsongo4998 4 жыл бұрын
Asante Bella nimeipenda.b
@mimokassim1887
@mimokassim1887 5 жыл бұрын
All the way from South Africa 🇿🇦 to Tanzania 🇹🇿 hamisa kakuwa sasa
@milleycarey3198
@milleycarey3198 5 жыл бұрын
Mimo Kassim salami zifike kwa zari😎huko sausi mwambie tunasonga
@rehema2018
@rehema2018 5 жыл бұрын
Mimo Kassim kwaio zaman alikua mdogo 😍😍
@magynzioka1122
@magynzioka1122 5 жыл бұрын
Ngoma ya watu wa kujielewa # kenya twa kupenda bure hamisa
@cynthiaawino931
@cynthiaawino931 5 жыл бұрын
Diamond and tanasha released that pregnancy video to distract people from concentrating on this music coz they also realized it's dope... Kama unakubali gonga like
@faithjoseph9255
@faithjoseph9255 5 жыл бұрын
Wangap hatuchoki kuangalia hii nyimbo.... Tujuane plz
@tatiya6883
@tatiya6883 5 жыл бұрын
Mie
@mariyaal5366
@mariyaal5366 5 жыл бұрын
Misa ana kasauti kazuri sana
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 5 жыл бұрын
😂😂😂😂
@faithjoseph9255
@faithjoseph9255 5 жыл бұрын
I love y'all
@munamdogowangumuombemsamah8360
@munamdogowangumuombemsamah8360 5 жыл бұрын
Hamisa umewafunika wale vijuso
@kanezabella6158
@kanezabella6158 5 жыл бұрын
Hamisa umenimaliza kwa iyi moja lingala perfect 👌🏽 Kabisa 💫✨salute
@tyrawanga568
@tyrawanga568 5 жыл бұрын
Team hamisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nlikuwa simpendi lakini vnye yy hupambana na hali zake nampenda hamisaaa goooooooooo from 254
@lucaskazungu311
@lucaskazungu311 5 жыл бұрын
Hukoseagi boss wangu nakukubali Sana Congratulations mtoto ya ng'ombe Obama 🙌🙌KING BOSS FIRE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@aishaelias3867
@aishaelias3867 5 жыл бұрын
Uwiiii hamisa hii ngoma umeitendea haki 🔥🔥🔥🔥🔥👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻👍🏻
@jumachingomanje6439
@jumachingomanje6439 5 жыл бұрын
Bonge la ngoma... Wako wapi wanaosema missa hajui kuimba? 😥
@teresiabrauer
@teresiabrauer 5 жыл бұрын
Hamisa.. hiyo sauti ni kali.. Especially hiyo part ya kilingala killed it..Big-Up guys. Much love from Kenya 🇰🇪
@marymutai1440
@marymutai1440 4 жыл бұрын
In love with the song. Keep it up Hamisa and Christian. 😍🇰🇪🇺🇸
@hamisitza5698
@hamisitza5698 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️
@sarahnusra6313
@sarahnusra6313 5 жыл бұрын
Wow sito choka kusikiliza hi music 🇨🇩🇨🇩👈🔥🔥🤗🤗❤❤😍😍 kama una wakubali gonga comment yako hapo chini👇
@mariamuthobias4836
@mariamuthobias4836 4 жыл бұрын
Good
@osiepsendvictorminyory301
@osiepsendvictorminyory301 5 жыл бұрын
Dah yani wameendana kinoma hii hii hatare mmetisha sana nimelike hii ngoma kizoooooooteeeee
@rahelmasiga1503
@rahelmasiga1503 5 жыл бұрын
Hamisa Safi Sana simamia saui hiyo hiyo wakati wa kimba nyimbo zako
@michellesharlet9496
@michellesharlet9496 5 жыл бұрын
Hamisa my gal this lit keep up the good job my darling much love from 254
@theresehakizimana5813
@theresehakizimana5813 5 жыл бұрын
Number one
@heleneesperancearusi3320
@heleneesperancearusi3320 5 жыл бұрын
Nakupenda.hamisa.
@peninachelangat3912
@peninachelangat3912 3 жыл бұрын
Missa ,sky is the only limit... The best is yet to come
@sbumwasinga3848
@sbumwasinga3848 5 жыл бұрын
This song can cook beans in 1 minute🔥🔥🔥🔥
@DominicMyumbilwa
@DominicMyumbilwa 5 жыл бұрын
hahahahaha, I Never Read a Comment Like This 🤣
@angelmchomvu3775
@angelmchomvu3775 5 жыл бұрын
Hahaaa geez
@amnemkubwa7353
@amnemkubwa7353 5 жыл бұрын
😁😁😁😁
@aikakangalawe1846
@aikakangalawe1846 5 жыл бұрын
😀😀😁😁😁😂😂🤣🤣🤣
@maryamngare9787
@maryamngare9787 4 жыл бұрын
Hahahaha
@nurumnyota8615
@nurumnyota8615 5 жыл бұрын
Hongera Sana Hamisa hujamuangusha Christian bella,wimbo unapunguza stress❤❤❤❤
Christian Bella Ft Rosa Ree - ONLY YOU (Official Music Video)
4:11
Christian Bella
Рет қаралды 2,4 МЛН
Diamond Platnumz Ft Rayvanny - Iyena (Official Music Video)
4:40
Diamond Platnumz
Рет қаралды 53 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
Yako Wapi Mapenzi
8:17
Christian Bella
Рет қаралды 44 М.
Christian Bella - Nishike (Official Music Video)
4:00
Christian Bella
Рет қаралды 6 МЛН
Dully Sykes  Ft Harmonize - INDE (Official Music Video )
3:53
Harmonize
Рет қаралды 18 МЛН
Hamisa Mobetto - Madam Hero (Official Music Video)
3:55
Hamisa Mobetto
Рет қаралды 2,3 МЛН
Malaika Music Band - Amerudi (Official Music Video)
4:30
Christian Bella
Рет қаралды 2,3 МЛН
Bruce Melodie - "Beauty on Fire" feat. Joeboy (Official Video)
3:27
Alikiba & Christian Bella - Nagharamia (Official Music Video)
3:59
Christian  Bella - Nashindwa (Official Music Video)
4:05
Christian Bella
Рет қаралды 3,2 МЛН
Bright feat Nandy - Umebadilika (Official Video)
4:04
Bright Tz
Рет қаралды 7 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН