Mziki ndo huu Hauna kiki Na Unaeleweka Sauti Ndo usiseme Kama wewe Umekubali Like yako please!
@faridasaid87246 жыл бұрын
kabisa hata ujakosea
@wanyemaselemani92594 жыл бұрын
Mungu akubariki nakazizako 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@bidimkaribidi75237 жыл бұрын
video kali nyimbo kali kama na ww umeielewa gonga like za kutosha
@barakambise24255 жыл бұрын
Nimekwelewa
@rashidPetro4 ай бұрын
Me nakupenda sana
@wilonjahatua20677 жыл бұрын
Akuna maswali mengi huyu jamaa kama hajawahi kukuangusha Kama Mimi ambavyo hajawahi kuniangusha like nyingi tafadhari
@ebbymasterjuniourtz30337 жыл бұрын
kama unamkubali bella weka like apa tuzd show love
@zamibrahim30144 жыл бұрын
The cover song by Angella brought me here, wow I will be your big fun from now CB♥️. Love the original song more though 👋
@jackmwangi19014 жыл бұрын
same angella brought me here
@sharonondolo50144 жыл бұрын
Same to me here
@jayfadhil84044 жыл бұрын
Sure the cover was more than the original
@mizemize88944 жыл бұрын
Same😄
@aksantedeborah79137 жыл бұрын
ndeko na biso ye moko, from Holland tolingi yo, Wewe ndo wakututosha aibu Congolese natural 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏Pambe baba 😉😉😉😉
@aminatairakoze78315 жыл бұрын
Penda sana bella
@jujulizzy2835 жыл бұрын
Marioo ulitisha katika uandishi mno
@annieharmis179 Жыл бұрын
This song is nice please💝💝💝🇿🇲
@sadikikiba85367 жыл бұрын
Kama umeupenda huu wimbo LIKE apa
@ckukuu84047 жыл бұрын
Wapi likes za Bella...+254 Mombasa
@emmanuelpius18487 жыл бұрын
Cku Kuu kweli kikk Ber nakukubali San ume jitahid kweli saluti kwako kk l nakupu pongezi sana mwamba sana endelea kushusha vitu kama hivyo hivyo sana
@samwelibky_eze25714 жыл бұрын
2020 tuko wapi???
@deekiwonyi43957 жыл бұрын
Vzr sana
@nardztravynice79297 жыл бұрын
Millady ayo bro huyu jamaa n tatizo lisilo na utatuzi ktk mziki wa tz...HESHIMA YAKE SANA.
@nardztravynice79297 жыл бұрын
Katisha sana
@Bongo24TV7 жыл бұрын
Millady ayo
@jescacheyo13294 жыл бұрын
Nyimbo kali big up christian bella
@Josephjr1237 жыл бұрын
Unastahili king 👑 much respect king of the best melodies #bellachristian Kama na ww ume mkubali king 👑 gonga like kwa ku mpongeza👑👑👑
@baruanindume86957 жыл бұрын
Aisee wakongomani wana bahati kubwa sana kutoka kwa Mungu, Wana uwezo wa kuimba mpaka singeli, Que Dieu te benisse mon grand frere. Nou sommes ensemble.
@faridmobji7 жыл бұрын
Watu wanajiulizaga kwa nini napondaga wasanii wengi wa bongo isipokuwa Christian bella.Ni kwa sababu nakubali anavyofanya na ninawish siku moja kufika halipo.Brother ana mziki ambao uko Unic
@esterrahma1477 жыл бұрын
Kwan n mmbongo au mkongo nisaidie
@faridmobji7 жыл бұрын
Saa hivi ana uraia wa Tz
@timothysalehe4027 жыл бұрын
Farid Mob Ji pambana na hali yako huwezi kutoka maisha yako
@erickhaule86807 жыл бұрын
kwani wewe ndio madam Rita au salama jabiri
@pelodieudonne99686 жыл бұрын
bro hiyo kweli ajana nauyo sister nimnafki
@tausak45687 жыл бұрын
Hujawahii kosea babangu ❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥💯the king 👑 of the best melody 🔥🔥😍
@mudyamrani98487 жыл бұрын
Tausi Ak safi sana
@AFRiCANKiDOnline4 жыл бұрын
Wa 2020 tujuane kwa like hapa
@expert58984 жыл бұрын
Bonge la song Hilo hapo
@frankiekalogi56177 жыл бұрын
Ngoma iko makini mzee wa melody gonga 👍 twende sawaaa #
@rodgersgingila93675 жыл бұрын
marioooo uliandika ngoma kaliii
@Weplanetitsolutions7 жыл бұрын
Kitoko ndeko mobali nangai namoni yo oyebi kitoko koyemba !Felécitation Christian Bella nalingi yo mingi
@nasridickson86647 жыл бұрын
kaka hata uimbe kwa kupiga madebe! me nakuelewa tuu. Kazi iko poa sana
@ibrahimmkoko58507 жыл бұрын
Kiba, Christian Bella na Aslay... Ndio waimbaji, wengine wote wapiga kelele tu a.k.a Unga Unga mwana.
@muhibumchenje94077 жыл бұрын
Kama umeiona rangi nyekundu kwenye ulimi gusa like
@goz-bbubex44667 жыл бұрын
King Of The Best Melody👏👏👏👏 Background vocals, Biti Imesetooo💪💪💪💪💪💪💪💪💪
@glorymolly79726 жыл бұрын
Hivi hzo likes watu znawasaidia nn mana kila atakae comment ni weka like dondosha like ai
@elizabethchima81295 жыл бұрын
Aseeeeee cjh nicomment nini vile nakukubali Bella,fundi ya melody,fundi ya music, maneno kuntu,location murua,haloooooh big up sana broda....
@kisharywakwanza71497 жыл бұрын
mutu ya Congo inajua
@salimuomary45017 жыл бұрын
nimekuba jamani kuwa ww ndo king of the best melody umetisha mbb nakukubali na nitaendelea kukubali mpk kufa tishaaaaaa
@isserkherry85937 жыл бұрын
Pambe nayo on street kazi kwetu mashabiki now mpaka tunaona kizunguzungu mamiziki mazur mazur tu, Bela wew balaa nimependa umekuja na beats zilizo sokon now
@nestorabdallah50456 жыл бұрын
D y ftuk
@theresiamuzenga36257 жыл бұрын
wooow King of the best melodies ngoma kali kinoma PAMBE
@officialrummy8477 жыл бұрын
Ngoma kubwa sana christian bella songa mbeleee
@TanzaniaTrendTV7 жыл бұрын
Wapi lyk za christian bella obama..
@logatesimon90464 жыл бұрын
Kweli marioo hii ngoma aliandika aisee🔥🔥
@grayzkas3745 жыл бұрын
pourquoi cette chanson n'a pas plus de un million de vue? c'est vraiment injuste quoi...
@NotiFlow4 жыл бұрын
I’ve looked for this song for 2 years since I first heard it !!!! the joy I've had after finding it. 😆😃😄😁💃🏽❤️❤️❤️
@ELISSKGTV3 жыл бұрын
Says NOTI FLOW♥️♥️🇰🇪
@mosesnyirenda31217 жыл бұрын
Najiuliza,inakuwaje mziki mzuri kama huu, una viuwers wachache hivi ..
@johnsondiason80197 жыл бұрын
huyu jamaa akijua kiswahili vizuri atakua balaa
@sadikikiba85367 жыл бұрын
We jamaa unajua sana uko juu kama Juma sharobaro
@alvinemmanuel75357 жыл бұрын
nyimbooo hiii ni kaliii bela mpaka imenibore khaaa ongera saana brooo
@lembrislession70537 жыл бұрын
Vikali hutoka kwa wakali..!
@bazubazenga7 жыл бұрын
Huyu msela wimbo zake nimezikubali
@mayeyej7 жыл бұрын
Bella hii ngoma imetulia sana, umetengeneza harmony kati ya ala, mashairi na ujumbe. Naamini so far wewe ni Tanzania One kwenye Muziki.
@erickmoses63957 жыл бұрын
Ngoma kali...video editor amejisahau kucheza na rangi ya mdomo
@simonkefa27722 жыл бұрын
I love this song I'm here in 2022
@mamakeshif74852 жыл бұрын
😘😘
@deo_gratius7 жыл бұрын
Huyu jamaa ni fundi sana! But even for his standards hii ngoma KAUA! Love this song! too sad he doesn't get the views and likes he desrves!