Yupo vizuri sana lakini Media zetu sio rahisi sana kumuita awafanyie kazi kwasababu anaongea kinyume na wanavyopenda
@goodluckpaschal7857Күн бұрын
We need pple like this man full energy na realy fact
@Bishopdavidndaki7184Күн бұрын
Heavyweight dulla uko vizuri kijana wetu ninakuelewa siku zote na huwa ninaelewa kile unachokichambua simba mwaka huu tunautaka ubingwa wetu ambao watani wa jadi waliupoka miaka mitatu iliyopita ni saa ya kurudisha makombe kabatini
@AllyMohammed-nv5sj6 сағат бұрын
Upo vizuri sana keep it up
@AndrewAristarickoКүн бұрын
Ubayaaa ubwelaaa ❤❤
@Ally-jf6wuКүн бұрын
Mwanetyu unachambua vizury saana na penda unavoitetea team yetyu ila unaongea hisia saana hii sio nzury kiafya kwako haya maneno hayawezi kuisha dhidi ya simba simba ni team kubwa
@EdwinKabasaКүн бұрын
Dulla uko vizur
@markmangaya4947Күн бұрын
Kaka uko vzr
@OmygzooBizbizeКүн бұрын
Jitaid dogo upo poa kiuchambuz
@abdallahshariff6555Күн бұрын
Cristina asipo sema atakula wapi,mwacheni aseme mwisho wa siku wakioga magoli mashabiki watamuuliza,hapo kibaruwa ndiyo bye bye😂😂😂😂
@HidayaMussa-f1p7 сағат бұрын
Chukua maua ako🎉
@ErnestMalimaКүн бұрын
Kaka usitoe code watashituka😂😂
@NeemaManeno-x7hКүн бұрын
Hiyo pesa waliyoaidiwa waombe waongezewe mishahara wasishindane na mnyama
@relaxstarmanКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AminaKumbi-e7nКүн бұрын
Nakuelewa sana ila ucje ukaharibika mbele ya safar
@Esterkomba-ef7ebКүн бұрын
Huyu msemaji watabora anaropoka sana
@LindaMbilinyi-n3nКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂mwisho wa mdomo wke trh 2
@enockmlyuka6475Күн бұрын
Namshauri huyo dada apunguze kuropoka! Anaweza kujifunza kwa wasemaji wenzake!
@FabianDickson-z9tКүн бұрын
❤
@JohnAlagwaКүн бұрын
Tena. Aangalie maaana sio mtani wetu awatafute singida au Azamu. Ndio wadogo wenzake
@KHALIDMULILOКүн бұрын
Huyo dada mwacheni tu, maneno yake yatamtokea puani😂.
@ShabaniMlipuka-o5qКүн бұрын
huwa wanapenda kifuraisha genge ira yatamtokea puani 😅😅😅