Рет қаралды 340,713
Christina Shusho kwa aina ya muziki anaoufanya imekuwa ngumu kumsikia kwenye vyombo vya habari zaidi ya kuona na kuzisikiliza nyimbo zake. Leo Simple Ze Boi kamsogeza kwenye Break na kupiga nae story... Itazame hapa interview nzima.