Christopher Mwahangila #255716620000 +255756068844 #Subscribe Produced By MeshaKey DMP Directed By Elijah D ED Media
Пікірлер: 387
@marcelotshilewu2 ай бұрын
Kama unajivunia pia wimbo huu weka like kwenye comment yangu ili kila nikipata like nirudi tena kutazama wimbo huu mzuri. ❤🎉 I'm following Mr Christopher Mwahangila in DRC Congo 🇨🇩 Jah bless you all 🙏🏾
@jacyjacinth53592 ай бұрын
𝑨𝒌𝒊 𝒏𝒂𝒉𝒊𝒔𝒊 𝒌𝒖𝒃𝒂𝒓𝒊𝒌𝒊𝒘𝒂 𝒔𝒂𝒏𝒂
@user-uw7zb2wx3eАй бұрын
Me pia nomeshashindwa Toka kweny hii page 🇧🇮🇧🇮
@filexingutia36202 ай бұрын
Wapi Wakenya wangu jamani🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤🇰🇪 Kakamega
@rhodawachira2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@francisaswani2 ай бұрын
Nipo hapa mmoja uko vipi
@paulineisiaho17652 ай бұрын
Am here... More blessings.. More songs 🙏👌👌
@user-fq4yl9lk9s2 ай бұрын
@pa💕💕💕ulineisiaho1765
@phaniceakumu42552 ай бұрын
Niko hapa injili tuu❤
@Gospel4342 ай бұрын
Like zangu jaman watumish🤔 Nice work
@user-fq4yl9lk9s2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@kelvinchira38772 ай бұрын
This gonna be a Hit of its kind, Wapi likes in advance?
@serahwanja69952 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉,hakuna hakuna wa kufanana na JEHOVA❤❤❤❤❤❤ from kenya
@user-ct7xj2ks7g2 ай бұрын
This song teçhes sous thanks be Chris am Sam c Banda am from Zambia
Barikiwe ,hakuna wakufanana namungu ni yeye nayefanya lolote bila itilafa yeyote. Nakupenda sana mungu
@MathewKitakaАй бұрын
Oooooh yessssss,,akuna hata kamwe any mkamba in the house wapi likes jameni
@AilenMakakaАй бұрын
Hallelujah Tanzania 🙌.... Tutamsifu MUNGU Tanzania 🙌 Hakika Bwana azidi kutukuka kwetu 🤏. Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@professor19922 ай бұрын
Kutoka Kenya am ohangla gospel rhumba kazi safi mtumishi nipewe likes mukinifuata #hakuna
@magdalinejuma20282 ай бұрын
Nko ndaaaan
@user-fq4yl9lk9s2 ай бұрын
♥️♥️♥️
@elizabethoswana79262 ай бұрын
Woow! Christopher mwahingila I love your songs so much ❤❤❤❤...from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@naomimckellar85462 ай бұрын
Hakuna wakufanana na Mungu 🙏🏾🙏🏾💯
@ShanixPoeug-jd1il2 ай бұрын
Live from state house of Kampala😘💃💃💃💃💃💃💃💃 one day utayimba kwa harusiyangu , Mungu akubariki Christopher
@ibrahimsonyofficiel16402 ай бұрын
Uwe nguzo ya maisha yangu🔥🔥🔥🔥 Hakuna waku fanana na mungu.
@mrnickmusician71392 ай бұрын
Kweli hakuna Amen mtumishi ubarikiwe sana keep going ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gideongerald28462 ай бұрын
Huu wimbo praise team nyingi zitautumia
@user-fq4yl9lk9s2 ай бұрын
🎉🎉
@emilymukabwa47932 ай бұрын
Isaiah 43:11 Mimi, naam, mimi, ni BWANA, zaidi yangu mimi hapana mwokozi.Amen Amen
@christinephilip50432 ай бұрын
Amen sana hakuna mwingine ni yeye yule jana ,leo,na hata milele
@medetrickmalenya20067 күн бұрын
Ameen AMEEEEN AMEEEEEEN 🔥🔥🔥🔥🔥🙇🙇🙇🙇🙇🙇🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏
@topisternalianya4662 ай бұрын
Kama umebarikiwa wacha like hapa HALLELUJAH HALLELUJAH HALLELUJAH HALLELUJAH HALLELUJAH
@kiongozifelix2 ай бұрын
😊 From ❤️ Kenya 😊 this 🙏 man ❤️ is 😊 so ❤️ talented 🙏 I ❤️ love 😊 your ❤️ songs 🙏 God ❤️ bless 😊 you ❤️ everyday ❤️🙏❤️
@gutsylucabee205music2 ай бұрын
I really like kazi za huyu jamaa,tunaingoja sana hii.. Gutsy Luca Bee from 254 nko na hakuna mwingine Mungu pekeyake pitieni huku kwangu pia msupport kijana wenu unit is strength 💪 let's all gather up together here n spread out the good news about Jesus Christ 🙏 Amen
@monicamaina38542 ай бұрын
Kwa kweli hakuna wa kufanana na Mungu 🙌🙌🙌🎉🎉🇰🇪🇰🇪
@kennedykaye79602 ай бұрын
Hakuna kabisa wa kufanana na mungu. Great song
@EstherCharo-lc3md2 ай бұрын
Kweli kabisa hakuna wakufanana na MUNGU❤❤
@oscarzeze64522 ай бұрын
namimi naungana mkono nawewe Kaka kusema hakuna wakufanana na Mungu
@InnocentAutumnTrees-ux1jj2 ай бұрын
Hakuna wa kufanana na Mungu ....yeye pekee anastahili kuabudiwa na kusujudiwa
@danielmsongoleofficial2 ай бұрын
Hakuna wakufanana na MUNGU 🙏🙏🔥
@celestinmusabyimana53382 ай бұрын
Mungu Akubariki sana Hakuna nyimbo Mungu ni mungu
@annayambayamba86142 ай бұрын
Amen Amen 🙏 🙌 akuna wa kufanana na mungu aleluya🎉🎉🎉🎉nibarikiwa saana leo majir 19:45 usiku❤❤❤🎉🎉🎉
@DavidSilvanus-tp7guАй бұрын
Huuu wimbo umejitahid kucheza Napenda kaz zako hunaga kazi mbovu Mtaje sana YESU kwenye nyimbo zako
@raphaelmwamakimbula9642Ай бұрын
Hallelujah,nothing to be compered with God! In his only begotten son,Jesus Christ we move and dominate in the best and successfully ♥️💯☑️🇹🇿
@norahkathure69032 ай бұрын
Your songs really encourages me 🙏🙏 keep up the almighty work God bless you always 🙏🙏🙏🇰🇪
@winniewhitney22452 ай бұрын
Waiting 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mirriamnsabwa38442 ай бұрын
No body like him.he’s only one !!God bless you my brother nice song ❤❤
@DjumaMutitiАй бұрын
Shalom chombo mbarikiwe Mungu awajalie Kwa kila jambo mi Niko Burundi nyimbo zako zinatufariji sana
@ryangiggs56942 ай бұрын
No one....No one... There's no one like God... Sure...Sure.. Blessed 🙏🙏 More Grace.... Keep winning Chris 🙏
@FinesiaKwimba26 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa yesu, kazi yako ni njema sana, kweli hakuna wakufanana nae.
@jamesnteleva70732 ай бұрын
Wow! In your best singing as ever! Ubarikiwe sana mtumishi wa Yahwe!👏🏾👏🏾👏🏾 Glory and praises be unto our Most High God.💪🏾 🇹🇿
@Phoebenafula2 ай бұрын
Wainting to enjoy it💃💃💃🥁🥁👏👏🙏🙏
@JohnNgayeOfficial2 ай бұрын
Wapi Like Christopher Mwahangila-Song Hakuna🎉🎉🎉🎉
@chemutaijaneth5682 ай бұрын
Love your songs man of God,much love from Kenya 🇰🇪
@mutukuhemmahАй бұрын
Hakuna wakufanana na MUNGU ,Niko ambaye niko🙌 🇰🇪🇰🇪
@omerijames4277 күн бұрын
Lovely song. ❤❤❤❤❤❤❤Mungu akubariki milele dadangu. Huu wimbo ni WA upako mwingi.
@user-iz6nl2qo5v2 ай бұрын
There is no one like GOD
@shecksmsumba47412 ай бұрын
I like this song from Malawi🇲🇼🇲🇼🇲🇼
@annann82142 ай бұрын
None can be compared to yu my Dad God🙏🙏🙏🙏
@magdalinejuma20282 ай бұрын
Kila ninapo sikiliz nyimb zko najikut naomba nakulilia mungu napnd nyimb zako barkiwa sana much more love 💞💞💞from Kenya 🇰🇪
@rosembuthia-u7l3 күн бұрын
Hakika hakuna wakufanana na MUNGU
@jamesnteleva70732 ай бұрын
Jamaa aliyegonga bass guitar apewe pongezi zangu nyingi mno! Ametisha sana! Kudos to him...!!!💪🏾 And, Glory to God for him.👏🏾👏🏾👏🏾
@MaryMatabili9 күн бұрын
Indeed hakuna mwanzo na tena mwisho kama si mungu
@evelynanyeko16352 ай бұрын
Hosanna Hallelujah ✝️✝️✝️
@user-gf2yt6ul9d2 ай бұрын
Bravo depuis le CONGO I just like your work in God ministry
@CLAUDMWAKALASYAКүн бұрын
Kaka angu nakukubali sana
@user-ir3vy7hw6c2 ай бұрын
From Zambia ❤❤ hakuna, hakuna, hakuna, hakuna, not one
@stellahmaweu25942 ай бұрын
Na hakika hakuna wakufanan na Mungu na hata hatakuwepo.kazi nzuri kaka Christopher
@christinesaano6722 ай бұрын
May God bless you abundantly. Here in Uganda enjoying and praising with you.
@rwa8772 ай бұрын
MAN OF GOD, I LIKE YOUR SONGS. ALWAYS INSPIRING. THANK GOD 🙏♥️
@nalingojulie60752 ай бұрын
Woow huu wimbo umenipa ufunuo tofauti. Hakuna wa kufanana na Mungu 🎉
@esthermutua12872 ай бұрын
Blessed song 🎉🎉 hakuna kama mungu to the world 🌍🌍🌍 gonga like tukisonga much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@saidatabby47972 ай бұрын
This song deserves a million likes...keep up the awesome work Christopher🎉
@jeanvatistesony74072 ай бұрын
🇨🇩🇨🇩Amen❤ homme de Dieu wanawake wana vaa muzuri Sana akuna suluali Amen 🙏 Mtumishi wa MUNGU 🇨🇩🇨🇩
@josphatwambuasikuku91422 ай бұрын
Much love from 🇰🇪. Glory be to God.
@user-ho2iu3ou9y2 ай бұрын
Amen for real there is no like God
@gracemunderu95022 ай бұрын
Halleluyah🙏🙏 aakuna wa kufanana Mungu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪team strong 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@rabut.j.8492 ай бұрын
It’s not just a song or a hit but the word’s have so much encouragement,nyimbo zenye uhai unapiskiza unahisi uwepo wa Mungu,more grace man of God🙏🙏🙏
@user-yk3vv1dj3d2 ай бұрын
More blessings to you. My favorite songs.🙏🙏🙏 🙏🙏. May God continue blessing 🙏🙏🙏.🎉🎉🎉 Be blessed.
@user-cc9lu8qy8x2 ай бұрын
❤Mungu ni mwema namupenda huyu Mwanajeshi sana Mungu akubariki sana From BURUNDI🎉 maua kwa mungu🎉❤