Allah akujaze kheri ,tuyazingatie n kuyafuata Inshallah.
@ramadhanisuru18225 жыл бұрын
Nashukuru kwa darasu zuri sana Allah walipeni hery
@mohammedsalum99825 жыл бұрын
Maasha Allah
@muhidinali81803 жыл бұрын
Ukumbusho kwa masheikhewetu wa mambasa maranyingi wanamtaja mama aisha kwa jina mwana aisha qur ani suratul ahzabu aya ya 6 inasema وأزواجه مهتهم na wakezake mtume ni mamazao sasa hilitamko mwana nivizuri tukaliacha na tukatumia hivi mama aisha